Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ya Mwaka 2024
This section gives the by-law its short title and says it should be read together with the 2019 Nyasa District Council fees and charges by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the by-law its short title and says it should be read together with the 2019 Nyasa District Council fees and charges by-law. This section amends the main by-laws by deleting and rewriting the First and Second Schedules. Hii sehemu inaweka ada na ushuru kwa mazao ya kilimo, mauzo/usafirishaji wa mazao mchanganyiko kwenda nje ya nchi, pamoja na ada za machinjio na ukaguzi wa nyama. The text lists a fee for goat or sheep skin, including an amount of 100/= per kilo and a 5% charge based on the purchase price. This section lists fees for certain livestock and for permits related to traditional dance, disco, band performances, and stage arts.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ya Mwaka 2024
Showing 30 of 30
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section gives the by-law its short title and says it should be read together with the 2019 Nyasa District Council fees and charges by-law.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ya Mwaka 2019 ambayo hapa inarejewa kama “Sheria Ndogo kuu”. Marekebisho ya Jedwali
Part
Jedwali
- 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo kuu inarekebishwa kwa kufuta na
AI-assisted research summary: This section amends the main by-laws by deleting and rewriting the First and Second Schedules.
2. Sheria Ndogo kuu inarekebishwa kwa kufuta na kuandika upya Jedwali la Kwanza na Jedwali la Pili kama ifuatavyo: “_______________ JEDWALI LAKWANZA _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya ya 3(1)) SEHEMU YA KWANZA Ada ya kukodisha mali za Halmashauri 1 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) Na. Aina ya Huduma Kiwango cha ada (Shilingi) 1 2 4 5 7 8 9 10 11 Nyumba za Halmashauri Kwa mjibu wa Mkataba Kukodi Ukumbi na Viti Kwa mjibu wa Mkataba Kukodi Gari za Halmashauri Kwa Mjibu wa Mkataba Pango la Chumba katika Soko kwa mjibu wa Mkataba Boti za Uvuvi Injini ya Boti Kwa Mujibu wa Mkataba Kwa Mujibu wa Mkataba Nyavu ya dagaa Kwa Mujibu wa Mkataba Maghala Kwa Mujibu wa Mkataba Kwa mjibu wa Mkataba Mitambo(Tirekita,Mtambo wa kufyatua tofari,jenerata,Vifaa vya Kupimia Ardhi, Mashine ya kukamulia Alizeti, Mitambo ya kukobolea Mpunga na kadhalika SEHEMU YA PILI Na. Aina ya Zao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) A. USHURU WA MAZAO MCHANGANYIKO
Part
SEHEMU YA PILI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka ada na ushuru kwa mazao ya kilimo, mauzo/usafirishaji wa mazao mchanganyiko kwenda nje ya nchi, pamoja na ada za machinjio na ukaguzi wa nyama.
2. Mazao mengine 3% ya bei ya kununulia kwa gunia la kilo 100 Ushuru wa Pumba za mahindi, mpunga na Mashudu 500/= kwa gunia la kilo 100 B. ADA YA KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO YA KILIMO Na. Aina ya Zao Kiwango cha Ada (Shilingi) 2 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) 1 100,000/= Mazao Mchanganyiko kama vile Mahindi, mpunga, maharage, alizeti, karanga, ulezi, na n.k (Isipokuwa yale ya stakabadhi ghalani) C. USHURU WA MAZAO MCHANGANYIKO YANAYOSAFIRISHWA NCHI ZA NJE Na. Aina ya Zao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1 2 3 4 Na. 1 2 3 Mahindi, maharage, mpunga, mchele, muhogo, mawese na mazao mengine. Matunda. Unga wa mahindi, muhogo, ulezi n.k. Mafuta ya Alizeti, mawese, karanga na n.k. 10% ya bei ya kununulia kwa gunia la kilo 100 10% ya bei ya kununulia kwa gunia la kilo 100 10% ya bei ya kununulia kwa kila kilo 1 10% ya bei ya kununulia kwa kila lita moja. SEHEMU YA TATU Ada ya machinjio na ushuru wa bucha Aina ya huduma machinjio (machinjio zinazoendeshwa na Halmashauri) Kiwango cha Ada au Ushuru (Shilingi) - 3,000 /= kwa kila ng’ombe - 1,000/= kwa kila mbuzi nguruwe na kondoo ukaguzi wa nyama kwa kila Ng’ombe atakayechinjwa ukaguzi wa nyama kwa kila Kondoo, Mbuzi na nguruwe 1,500/= 1,000/= 3 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) 4 5 Kuingiza nyama aina yoyote ndani ya Wilaya
Part
SEHEMU YA TATU
- 2 Verify source ↗
Ngozi ya mbuzi au kondoo
AI-assisted research summary: The text lists a fee for goat or sheep skin, including an amount of 100/= per kilo and a 5% charge based on the purchase price.
2. Ngozi ya mbuzi au kondoo 100/= kwa kilo 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia SEHEMU YA NNE ADA YA KUSAFIRISHA MIFUGO NDANI YA HALMASHAURI Na. Aina ya Mifugo Kiwango cha ada (Shilingi) 1 2 3 4 5 6 7 8
Part
SEHEMU YA NNE
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists fees for certain livestock and for permits related to traditional dance, disco, band performances, and stage arts.
2. Ng’ombe Ngamia Mbuzi Kondoo Nguruwe Punda Farasi 600/=kwa mmoja 600/=Kwa mmoja 500/= Kwa mmoja 500/= Kwa mmoja 500/= Kwa mmoja 500/= Kwa mmoja 500/= Kwa mmoja Kuku au Bata 100/= Kwa mmoja SEHEMU YA TANO ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI, BURUDANI NA MICHEZO Na. Aina ya Kibali Kiwango cha ada Kibali cha ngoma za jadi za kibiashara 30,000/= Kwa mwezi Kibali cha kuchezesha disco, Maonesho ya bendi, Sanaa za maonesho 25,000/= Kwa onyesho 4 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA TANO
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists charges including 30,000/= for a gaming permit and 10% of revenue per football match for a municipal-field match permit.
4. Kibali cha kuchezesha Michezo ya Kubahatisha 30,000/= Kwa Kibali Kibali cha Mechi za Mipira katika uwanja wa Halmashauri 10% ya Mapato kwa kila mechi SEHEMU YA SITA ADA NA USHURU WA STENDI NA MAEGESHO KWA MAENEO YALIYOTENGWA Na . Aina ya Chombo cha Usafiri
Part
SEHEMU YA SITA
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka viwango vya ushuru kwa baadhi ya maeneo ya maegesho, stendi za mabasi, na maeneo ya machimbo au usafirishaji wa madini.
7. Pikipiki maeneo yaliyotengwa iliyosajiliwa kwa Biashara katika Teksi Lori chini ya tani 7 au Pick up au Basi dogo Lori zaidi ya Tani 7 au Basi kubwa Magari mengine yasiyo ya biashara Ushuru wa kituo cha mabasi au stendi (i) (ii) Mabasi makubwa zaidi ya abiria 25 Mabasi yanayobeba abiria chini ya 2 5 Maegesho sehemu za machimbo au sehemu za kusafirisha madini Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 300/= kwa siku 500/= kwa siku 3,000/= kwa siku 5,000/= kwa siku 500/=kwa siku 3,000/= kwa siku 1,500/= kwa siku 1,000/= Kwa tani SEHEMU YA SABA USHURU WA MADINI YA UJENZI Namba. Aina ya Uzito wa gari Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA SABA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ada ya 30,000/= inaonekana kuhusiana na kibali cha kuchimba madini ya ujenzi, kwa kila kibali.
1. Kibali cha kuchimba madini ya ujenzi 30,000/= kwa kila kibali 5 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The provision lists fees for construction minerals by tonnage and advertising fees for different types of business advertisements.
3. Madini ya ujenzi tani 1 hadi 3 3,000/= kwa kila safari Madini ya ujenzi tani 3 hadi 7 5,000/= kwa kila safari 500/= kwa kila tani itakayoongezeka SEHEMU YA NANE ADA YA MATANGAZO YA BIASHARA Namba Aina ya tangazo Tangazo kwenye kuta za nyumba (Lisilong’aa) Tangazo kwenye kuta za nyumba (Linalong’aa) Kiwango cha ushuru 10,000/= kwa mwaka 15,000/= kwa mwaka Tangazo kwa kutumia kitambaa 5,000/= kwa mwezi au tukio Matangazo ya vipaza Sauti au Magari au Promosheni 20,000/= kwa kibali
Part
SEHEMU YA NANE
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Section 4 is a heading for Part Nine on fishing activity fees.
4. SEHEMU YA TISA A. ADA YA SHUGHULI ZA UVUVI Na.
Part
SEHEMU YA TISA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists fees for fishing licenses and fish levies for specific fish and dagaa types.
2. Aina ya leseni Kiwango cha ada (Shilingi) Leseni ya uvuvi kwa mwaka Leseni ya chombo cha Uvuvi 20,000/= 20,000/= B. USHURU WA SAMAKI NA DAGAA Na. 1 2 3 Aina ya Samaki Samaki wa Mapambo Dagaa Wakavu Dagaa wabichi Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 500/= kwa samaki mmoj 100/= kwa kilo 70/= kwa kilo 6 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) 4 Samaki Wabichi - 7 Verify source ↗
Magege
AI-assisted research summary: The text appears to list fee rates, including 2% and 3% of the purchase price, for land measurement and building permit-related charges.
7. Magege 2% ya bei ya kununulia 2% ya bei ya kununulia 2% ya bei ya kununulia 2% ya bei ya kununulia 2% ya bei ya kununulia 2% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia SEHEMU YA KUMI ADA YA UPIMAJI WA ARDHI NA VIBALI VYA UJENZI A. Ada ya kibali cha ujenzi Na. Aina ya Kibali Kiwango cha Ada (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The provision lists permit fee amounts for different construction types and a fee schedule for modifications to existing buildings.
9. Ujenzi wa Mnara wa simu Ujenzi wa Ghorofa moja Ghorofa litakaloongezeka Ujenzi wa Nyumba za Biashara Ujenzi wa Nyumba ya Makazi Ujenzi wa Kituo cha mafuta Ujenzi wa Majengo ya Taasisi Binafsi Ujenzi wa Maghala na Bohari Ujenzi wa baa, pub, mgahawa, kumbi za starehe 500,000/= kwa mnara mmoja 200,000/= kwa kila ghorofa 100,000/=kwa kila moja 50,000/= 30,000/= kwa nyumba moja 200,000/= kwa kituo kimoja 200,000/= 150,000/= 150,000/= B. Ada ya marekebisho ya jengo lililopo Na. Aina ya Kibali Kiwango cha Ada (Shilingi) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists land-service and permit fees for different property uses and related services.
7. Nyumba ya kuishi. Nyumba ya Biashara. Nyumba ya kuishi Ghorofa. Kiwanda, Bohari, Ghala. 20,000/=kwa kibali 60,000/= kwa kibali 10,000/= kwa kibali 200,000/= kwa kibali 60,000/= kwa kibali Mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Makazi) Mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Biashara) 50,000/= kwa kibali 100,000/= 7 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) C. Ada za huduma ya Ardhi Aina ya Huduma N a. Kiwango cha Ada (Shilingi) Hati halisi ya Hati miliki (OriginalR/O) 5,000/= kwa nakala Utafiti wa kitaalum (Official search) 5,000/= kwa kila huduma Kubadili Hati Miliki Mchoro wa upimaji 5,000/= kwa kila moja 10,000/= kwa kila mchoro Kutambua eneo (Plot identification) 10,000/= kwa kila plot Kurudisha mawe yanayonyesha mipaka (Beacon replacement) Ada ya uzio kwa majengo yanayoendelea kujengwa 5,000/= kwa kila jiwe 100/= kwa mita moja - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Kuna viwango vya ushuru wa matumizi ya fukwe kwa aina tatu za shughuli: hoteli zinazoangalia fukwe za umma, sherehe za ndoa za send off, na shughuli za burudani.
7. D. Ushuru wa matumizi ya fukwe Na. Aina ya shughuli Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Wanufaika wenye hoteli zinazotazama fukwe za umma 50,000/= Kwa mwezi Sherehe za ndoa send off 30,000/=kwa siku Shughuli za burudani 100,000/= kwa siku - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section sets fees for certain road-related activities, including a daily fee for a measured area used for a business and a permit fee for crossing a road with a pipe.
3. SEHEMU YA KUMI NA MOJA ADA YA KUFUNGA BARABARA Na. Aina ya Shughuli Kiwango cha Ada (Shilingi) 1 Sehemu iliyopimwa kwa ajili ya kituo cha 10,000/= kwa siku 8 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) biashara 2 Kupitisha bomba kukatisha barabara 10,000/= kwa kibali SEHEMU YA KUMI NA MBILI ADA YA VIBANDA VINAVYOZUNGUKA STENDI NA SOKO KUU Na. Aina ya Eneo Kiwango cha Ushuru
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The provision lists market table/stall charges for different markets, with monthly or daily rates in shillings.
3. Vibanda vya mzunguko ndani ya soko Kwa mujibu wa Mkataba Vibanda vya mzunguko nje ya soko Kwa mujibu wa Mkataba Sehemu iliyopimwa kwa ajili ya kituo cha biashara au stendi Kwa mujibu wa Mkataba SEHEMU YA KUMI NA TATU USHURU WA MEZA/VIZIMBA KATIKA SOKO Na. Aina ya Eneo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1 2 Masoko ya Mwanhuzi (Eneo la Meza moja) 6,000/= kwa mwezi au 200/= kwa siku Masoko Mengineyo (Eneo la Meza moja) 3,000/= kwa mwezi au 100/= kwa siku SEHEMU YA KUMI NA NNE ADA NA USHURU WA HUDUMA NYINGINE Na. Aina ya Huduma Kiwango cha Ada au Ushuru 9 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE
- 1 Verify source ↗
kupima afya kwa wahudumu
AI-assisted research summary: The text appears to mention health checks for certain workers and two shilling amounts, but the rule is unclear from the source fragment.
1. kupima afya kwa wahudumu Ushuru waliokamatwa kwa kuzurura ovyo. kuhifadhi wa wanyama (Shilingi) 3,000/= kwa kila mmoja baada ya miezi sita 2,000/= kwa kila siku - 2 Verify source ↗
Ushuru wa kuosha magari
AI-assisted research summary: Ushuru wa kuosha magari ni 10,000/= kwa mwezi.
2. Ushuru wa kuosha magari 10,000/= kwa mwezi SEHEMU YA KUMI NA TANO USHURU WA MAEGESHO – MAENEO YA MINADA NA MAGULIO Na. Aina ya Chombo cha Usafiri Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1 2 Magari makubwa ya Mizigo (Minada na Magulio) 3,000/= kwa siku Magari madogo ya Mizigo (Minada na Magulio) 1,000/= kwa siku SEHEMU YA KUMI NA SITA USHURU WA MINADA NA MAGULIO Na. Aina ya Mfugo Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This text lists fees for different animals and starts a section on contract fees.
3. Ng’ombe 5,000/= kwa kila mmoja Mbuzi au Kondoo au Nguruwe 1,500/= kwa kila mmoja Kuku au Kanga au Bata 500/= kwa kila mmoja SEHEMU YA KUMI NA SABA ADA YA MIKATABA Na. Aina ya Mkataba Kiwango cha Ada (Shilingi) 10 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA
- 1 Verify source ↗
Makampuni yenye leseni za biashara zilizotolewa
AI-assisted research summary: Makampuni yenye leseni za biashara zilizotolewa yanatajwa kulipa 1% ya gharama ya mkataba kwa Halmashauri.
1. Makampuni yenye leseni za biashara zilizotolewa 1% ya gharama ya mkataba na Halmashauri - 2 Verify source ↗
Makampuni yenye leseni za biashara zilizotolewa
AI-assisted research summary: Makampuni yenye leseni za biashara zilizotolewa yanaonekana kulipa 1% ya gharama ya mkataba nje ya Halmashauri.
2. Makampuni yenye leseni za biashara zilizotolewa 1% ya gharama ya mkataba nje ya Halmashauri SEHEMU YA KUMI NA NANE A. USHURU WA MAZAO YA MALIASILI Na. Aina ya Zao Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text states two amounts: 200/= each and 1000 for one load.
3. Kuni 200/= kila mmoja 1000 kwa mzigo mmoja - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: A rate of 5,000/= is stated for each 10 cm diameter of “Nguzo Kubwa”.
5. Nguzo Kubwa 5000/=kwa kila kipenyo cha sentimita 10 - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Small poles are priced at 3000 per every 10 cm of diameter.
6. Nguzo ndogo 3000//=kwa kila kipenyo cha sentimita 10 - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The text states an amount of 15,000 for each log (gogo) of a canoe/boat (mtumbwi).
7. Gogo la Mtumbwi 15,000 kwa kila gogo mmoja - 8 Verify source ↗
Mkaa
AI-assisted research summary: Mkaa hutozwa ushuru wa Shilingi 1,000 kwa gunia la kilo 50.
8. Mkaa 1,000/= kwa Gunia la kilo 50. B. USHURU WA KUSAFIRISHA BIDHAA ZITOKANAZO NA MALIASILI Na. Aina ya Chanzo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This provision lists charges for items such as chairs, window or door frames, and tables.
3. Kiti 500/= kwa kimoja Fremu ya dirisha au Mlango 4,000/= kwa moja Meza 2,000/= kwa moja 11 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists charges of Sh 6,000 for a door item, Sh 4,000 for a window item, and Sh 100 for a broom load, then starts a table for duties on bee products.
6. Shata ya Mlango 6,000/= kwa moja Shata ya Dirisha 4,000/= kwa moja Fagio 100/= kwa mzigo mmoja C. USHURU WA MAZAO YA NYUKI Na. Aina ya Chanzo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision lists fees for honey and wax and includes a form for admitting an offense and agreeing to pay what is owed plus a fine instead of being prosecuted.
2. Ushuru wa Asali 200 kwa kila lita moja. Nta 200/= kwa kilo moja 12 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) ________________ JEDWALI LA PILI ___________________ (Limetengenezwa chini ya Kanuni ya 10) FOMU YA KUFIFILISHA MAKOSA Mimi……………………………………………………… nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Nyasa, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa ya Mwaka 2019. Na kwamba niko tayari kulipa kiasi cha ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa mahakamani. Nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa mimi mwenyewe kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu. Leo tarehe………….ya mwezi…………..… mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU : Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 13 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tangazo la Serikali Na. 507 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Nyasa imegongwa kwenye Sheria ndogo hii kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Nyasa uliofanyika tarehe 15 Mwezi Mei, Mwaka 2023 na kushuhudiwa Lakiri hiyo iliogongwa mbele ya; KHALID A. KHALIF Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa MHE. STEWART J NOMBO Mwenyekii Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa NAKUBALI L.S Dodoma MOHAMED OMARY MCHENGERWA 30 Januari 2024 Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa) 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in