Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro ya Mwaka 2024
This bylaw is titled the Simanjiro District Council Fees and Charges Bylaw, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This bylaw is titled the Simanjiro District Council Fees and Charges Bylaw, 2024. This bylaw applies throughout the area of Simanjiro District Council. This section defines key terms used in the bylaw, including fees, the council, a business licence, a market, the director, an authorized officer, and an agent for collecting revenue. Halmashauri lazima itoze ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake mbalimbali kulingana na viwango vilivyo kwenye Jedwali la Kwanza, na ushuru huo ulipwe kwa Halmashauri au wakala wake. Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro ya Mwaka 2024
Showing 43 of 43
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This bylaw is titled the Simanjiro District Council Fees and Charges Bylaw, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the area of Simanjiro District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the bylaw, including fees, the council, a business licence, a market, the director, an authorized officer, and an agent for collecting revenue.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa pale muktadha utakapohitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “bidhaa” maana yake ni kitu chochote chenye thamani kilicholetwa sokoni, gulioni au mnadani kwa lengo la kuuzwa; lengo “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro; “kodi ya pango” maana yake ni kodi ya pango itakayolipwa na mtu yeyote, chama, taasisi au 1 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) shirika lililopanga katika kibanda cha biashara, meza za soko, eneo au jengo lolote la Halmashauri; “leseni ya biashara” maana yake ni kibali cha maandishi kinachotolewa kwa mtu binafsi, kampuni au taasisi kinachoruhusu kufanya biashara au shughuli yoyote katika eneo la Halmashauri; “machinjio” maana yake ni eneo rasmi la kuchinjia wanyama ambalo linamilikiwa na Halmashauri au sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “mwalo” maana yake ni chumba cha barafu au jengo lolote lenye vitendanishi vya kuhifadhia samaki na rasilimali zingine za bahari, maziwa, mito na mabwawa; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “soko” maana yake ni eneo lililotengwa na linalomilikiwa na Halmashauri kwa matumizi ya wananchi kuuzia au kununua bidhaa; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria, bidhaa au mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. Utozaji wa ada au ushuru
Part
sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoze ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake mbalimbali kulingana na viwango vilivyo kwenye Jedwali la Kwanza, na ushuru huo ulipwe kwa Halmashauri au wakala wake.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na 2 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) Halmashauri kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri. Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu mwenye wajibu wa kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu mwenye wajibu wa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii atapaswa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa ukusanyaji wa ada au ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Ada au ushuru utakusanywa kuanzia saa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hutozwa katika saa zilizotajwa, na malipo yanaweza kufanywa kwa mpangilio wa kila siku, kila mwezi, au kwa makubaliano.
6.-(1) Ada au ushuru utakusanywa kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda ulioainishwa. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano kati ya Halmashauri na mlipaji. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. Ukodishaji wa mali na rasilimali za Halmashauri - 7 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kupangisha au kukodisha
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kupangisha au kukodisha mali na rasilimali zake.
7. Halmashauri inaweza kupangisha au kukodisha mali na rasilimali zake na kutoza kodi katika majengo, nyumba na vibanda vya biashara au viwanja au maeneo ya biashara na mitambo inayomilikiwa na Halmashauri. Utoaji wa stakabadhi za malipo - 8 Verify source ↗
(1) Ada au ushuru unaotozwa kwa mujibu wa
AI-assisted research summary: Fee or tax payments under this bylaw must be made to the Council or an agent, and an electronic receipt must be issued as proof.
8.-(1) Ada au ushuru unaotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au kwa Wakala ambaye atatoa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (2) Mlipa ada au ushuru atakuwa na wajibu wa 3 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) Ukusanyaji wa madeni kudai na kuhakiki stakabadhi ya malipo kulingana na kiasi cha fedha alicholipa. (3) Utakuwa siyo utetezi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, mtu kudai kuwa amelipa ada au ushuru lakini hakupewa stakabadhi ya kielektroniki. - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ada au
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya ada au ushuru kwa mahakama, kukamata mali zinazohamishika za mdaiwa, na kuuza mali hizo kwa idhini ya mahakama; Mkurugenzi lazima atoe taarifa ya siku saba kabla ya kuuza.
9.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ada au ushuru kwa njia ya mahakama endapo mtu mwenye wajibu wa kulipa atashindwa kulipa ada au ushuru ndani ya muda uliobainishwa. (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Endapo mdaiwa atashindwa kulipa deni la ada au tozo ndani ya siku thelathini tangu kukamatwa kwa mali kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (2), Halmashauri, baada ya kupata idhini ya mahakama, inaweza kuuza mali hizo kwa njia ya mnada. (4) Endapo mali zilizokamatwa kuharibika kwa haraka, Halmashauri hazijaharibika baada ya kupata idhini ya mahakama. zinaweza itaziuza kabla (5) Kwa madhumuni ya kanuni hii, kabla ya Halmashauri iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. kuuza mali yoyote (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa kwa uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. kushikiliwa na Uteuzi wa wakala - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kuwa wakala wa kukusanya ushuru, na wakala huyo lazima akusanye, awasilishe makusanyo, na ahakikishe malipo ya ushuru yanafanyika kwa njia ya kielektroniki na risiti hutolewa kwa kila muamala.
10.-(1) Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kuwa wakala wa kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Wakala atakayeteuliwa kwa mujibu wa kanuni 4 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) Mamlaka ya afisa mwidhiniwa Makosa ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. (3) Wakala atahakikisha malipo ya ushuru yanafanyika kwa njia ya kielektroniki na risiti zinatolewa kwa kila muamala. - 11 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri katika muda wa saa 12:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni.
11. Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 12 Verify source ↗
(1) Mtu anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Mtu anatenda kosa ikiwa anakataa au anakwepa kulipa ada/ushuru, anazuia maafisa kutekeleza majukumu yao, anatumia nyaraka za kughushi, anatoa taarifa za uongo, au anasafirisha bidhaa ambazo hazijalipiwa ada/ushuru.
12.-(1) Mtu anatenda kosa endapo- (a) anashindwa, anadharau, anakwepa au anakataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) anamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) anamzuia Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) anatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) anatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya 5 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) Halmashauri; au (f) anatumia chombo chochote kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. Adhabu Ufifilishaji wa makosa - 13 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa chini ya
AI-assisted research summary: Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa chini ya Sheria Ndogo hii anaweza kupewa faini, kifungo, au vyote viwili.
13. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa chini ya Sheria Ndogo hii atawajibikaa kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. - 14 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtaka mtu aliyetenda
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtaka mtu aliyefanya kosa chini ya Sheria Ndogo hii kulipa shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa maandishi katika fomu maalumu na kulipa ada au ushuru anaodaiwa.
14. Mkurugenzi anaweza kumtaka mtu aliyetenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii kulipa kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa maandishi katika fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. _____________ JEDWALI LA KWANZA _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA USHURU WA KUKODISHA MALI ZA HALMASHAURI Namba Aina ya Mali
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The section lists Halmashauri rental items, including a hall, chairs, and vehicles (small and large).
4. Nyumba za Halmashauri Kukodi ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya Kukodi viti Kukodi Gari: Magari madogo Magari makubwa - 5 Verify source ↗
Mitambo (Trekta, Vifaa vya GPS Na
AI-assisted research summary: This section lists a charge or tax item for tractors, GPS equipment, and similar machinery, with the amount tied to contract and market price.
5. Mitambo (Trekta, Vifaa vya GPS Na kadhalika) Kiwango cha ushuru/Kodi kwa Shilingi Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko 6 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Section heading about business stalls and sheds for a council factory.
7. Vibanda na Vizimba vya biashara Kiwanda cha Halmashauri - 11 Verify source ↗
Matumizi ya choo cha kulipia
AI-assisted research summary: Sehemu hii inataja matumizi ya choo cha kulipia na inaorodhesha kuoga na kujisaidia/haja.
11. Matumizi ya choo cha kulipia (a) Kuoga (b) Kujisaidia/Haja - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: Section title about bathing livestock at council dips.
16. Kuogesha mifugo kwenye majosho ya Halmashauri - 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: This provision lists local fees and charges for vehicle yard parking, livestock, and slaughterhouse/meat inspection services.
17. Ushuru wa kulaza Magari na Pikipiki kwenye yadi ya Halmashauri Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko 500 300 Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko 3,000 kila moja kwa siku 10,000 10,000 kila moja kwa siku 500 kila Ng’ombe 300 kila Mbuzi/Kondoo 200 kila mfugo kwa mifugo mingine 1,000 Gari 500 Kila kwa siku Kila Pikipiki chombo au cha Magurudumu matatu SEHEMU YA PILI ADA NA USHURU WA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA Namba Aina ya Chanzo Kiasi (Shilingi) 5,000
Part
SEHEMU YA PILI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision lists slaughter tax amounts for livestock, including cattle, sheep and goats, and pigs, but the exact animal-to-amount mapping is unclear from the text.
2. Ushuru wa Machinjio: Ng’ombe Ushuru wa Machinjio: Kondoo na Mbuzi Ushuru wa machinjio: Nguruwe 1,000 1,500 - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists slaughterhouse levy entries for animals, including poultry and other livestock.
3. Ushuru wa Machinjio: Jamii ya ndege 200 7 Idadi Kwa ng’ombe mmoja atakayechinjwa Kwa kondoo mmoja atakayechinjwa Kwa nguruwe mmoja atakayechinjwa Kwa mmoja atakayechinjwa Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The text lists inspection fees for different animals and a fee for bucha inspection.
7. Ada ya Ukaguzi: Ng’ombe 2,000 Ada ya Ukaguzi: Kondoo, Mbuzi na Nguruwe Ada ya ukaguzi: Kuku na jamii ya ndege Ukaguzi wa Bucha 1,000 200 500 mmoja Kwa ngo’mbe mmoja atakayechinjwa Kila atakayechinjwa Kila mmoja atakayechinjwa Kwa siku ya ukaguzi SEHEMU YA TATU USHURU WA MADINI YA UJENZI Namba Aina ya chanzo Kiwango cha Ada au ushuru (Shilingi) Kiasi
Part
SEHEMU YA TATU
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This provision lists fees for extraction permits and transport levies for certain materials, with amounts set for each item.
6. Ada ya kibali cha kuchimba Mchanga, Udongo, Kifusi au madini mengine Ada ya kibali cha kuchimba Mawe Ushuru wa kusafirisha, Udongo, Mchanga au Kifusi Ushuru wa kusafirisha Kokoto, Tarazo, Changarawe au Mawe ya kujengea Ushuru wa kusafirisha Chokaa Ushuru wa kusafirisha Madini mengine 200,000 150,000 1,500 Kila kibali (Tani 1,000). Kila kibali Tani moja 2,000 Tani moja 1,000 1,500 Tani moja Tani moja SEHEMU YA NNE ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI, BURUDANI NA MICHEZO Namba Aina ya Chanzo
Part
SEHEMU YA NNE
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists fee/tax amounts for permits related to traditional dance, disco, band performances, performing arts, cinema, and concerts.
2. Kibali cha ngoma za jadi Kibali cha kuchezesha Disco, Maonyesho ya bendi, Sanaa za Maonyesho, Sinema na Matamasha Kiwango cha Ada au Ushuru (Shilingi) 10,000 15,000 Idadi Kwa tukio Kwa kibali 8 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section lists fees for several permits and activities, including gaming, matches/sports competitions, nightclubs, traditional medicine, open-field operations, initiation-related activities, pool tables, promotions, hotel/bar activities, dance groups registration, video stalls, and traditional healers.
11. 12/ Kibali cha kuchezesha michezo ya kubahatisha Kibali cha Mechi kuendesha mashindano ya Mipira Kibali cha kuchezesha disco usiku (Night club) Tiba za jadi Kuendesha kwenye viwanja vya wazi Ada za shughuli za jando na unyago Kuchezesha pool table promotion hoteli baa, Usajili wa vikundi vya ngoma Banda la video Ada waganga wa Jadi ya Kibali cha 10,000 30,000 60,000 10,000 20,000 20,000 5,000 30,000 30,000 20,000 Kwa kibali Kwa kibali Kwa kibali Kwa mwaka Kwa siku Kwa tukio Kwa kila meza kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa miezi sita (6) SEHEMU YA TANO USHURU WA MASHAMBA MAKUBWA, UKAGUZI WA RAMANI NA VIBALI VYA UJENZI Ada za ukaguzi wa ramani na vibali vya ujenzi/Ukarabati wa Jengo/ubomoaji wa Jengo Namba Kibali cha ujenzi Kiwango (Shilingi) Idadi
Part
SEHEMU YA TANO
- 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: This section lists permit fees for different types of buildings and a permanent fence, with amounts set in Tanzanian shillings.
12. Jengo la makazi Jengo la makazi ghorofa moja Jengo la makazi zaidi ya ghorofa moja Jengo la makazi na biashara Nyumba za biashara (Guest house& Hotel) Jengo la biashara Jengo la biashara ghorofa moja Jengo la biashara zaidi ya ghorofa moja Jengo la kiwanda Jengo la taasisi Vibanda vya biashara Ujenzi wa uzio wa kudumu 70,000 50,000 100,000 150,000 100,000 180,000 200,000 250,000 100,000 500,000 50,000 1,000 9 kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa mita kwa Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) - 22 Verify source ↗
Section 22
AI-assisted research summary: A demolition permit is referenced for buildings in the listed places.
22. Minara ya simu Kituo cha Mafuta Ofisi, Shule, Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali binafsi Maghala na Bohari Ukumbi wa starehe au mikutano Bwawa au Lambo Majengo mengine ambayo hayakutajwa Kibali cha kubomoa jengo - 25 Verify source ↗
Section 25
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada na asilimia mbalimbali, ikiwemo ada ya uhakiki wa umiliki wa kiwanja au shamba, ada ya ukaguzi wa ramani, na asilimia ya ada ya kibali cha ujenzi.
25. Ada ya uhakiki wa umiliki kiwanja au shamba Ada ya ukaguzi wa ramani 25,000 300,000 250,000 100,000 200,000 140,000 40,000 40,000 Asilimia hamsini (50%) ya ada ya kibali cha ujenzi Asilimia ishirini (20%) ya ada ya kibali cha ujenzi 40,000 40,000 (a) Namba Aina ya Jengo - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This provision lists fees for changing a building’s use, with different shilling amounts for different conversion types.
4. Ada ya mabadiliko ya Matumizi (Alteration) ya jengo Kiwango (Shilingi) 20,000/= 25,000/= 25,000/= 30,000/= Makazi kuwa biashara Makazi kuwa kiwanda Biashara kuwa kiwanda Makazi/biashara kuwa kituo cha mafuta Makazi/biashara ghala, kumbi za starehe 50,000/= bohari, kuwa - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The text appears to refer to a section about contractors’ fees and council tender procurement, with repeated references to permits and applications.
5. kila kibali kwa mita kwa kila kibali kwa mita kwa kila kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kila kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali Kila ombi Kila ombi Idadi kila kibali kila kibali kila kibali kila kibali kila kibali SEHEMU YA SITA ADA YA WAKANDARASI NA UNUNUZI WA ZABUNI ZA HALMASHAURI Namba Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA SITA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists a construction-related revenue item with a 2% charge and amounts of Sh100,000 and Sh150,000.
3. Ukusanyaji wa Mapato Ujenzi Halmashauri wa Majengo ya 10 Kiwango (Shilingi) Asilimia mbili (2%) ya malipo 100,000/= 150,000/= Idadi Kila Cheti Kila zabuni Kila zabuni Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Section 11 lists service and vehicle registration fees in shillings.
11. ya maji Ujenzi wa barabara Ukusanyaji na utupaji wa Taka ngumu Kupakua mashimo machafu (vyoo) Kurekebisha na kujenga vyoo vya uma, maduka na vioski Kurekebisha mali za Halmashauri (magari na majengo) Ukaguzi na upimaji wa viwanja Usimamizi na uendeshaji vyoo vya umma na maduka Huduma (Consultancy services) elekezi/mshauri 150,000/= 50,000/= Kila zabuni Kila zabuni 70,000/= Kila zabuni 80,000/= Kila zabuni 100,000/= Kila zabuni 100,000/= 100,000/= Kila zabuni Kila zabuni 100,000/= Kila zabuni Namba Aina ya Chombo cha usafiri SEHEMU YA NANE ADA YA USAJILI WA VYOMBO VYA USAFIRI Kiwango (Shilingi) 50,000/= 30,000/=
Part
SEHEMU YA NANE
- 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: This section lists annual fees for different types of vehicles and begins the livestock tax section.
13. Teksi Gari ndogo aina ya Pick –up chini ya tani 3 Lori tani 3.5 hadi tani 7 Lori tani 7 na kuendelea Gari lolote la mizigo chini ya tani moja (1) Mabasi yanayobeba abiria chini ya 25 Mabasi Makubwa zaidi ya abiria 25 Pikipiki za magurudumu mawili (Bodaboda) Pikipiki za Magurudumu matatu (Bajaji na Guta) Trekta zinazofanya biashara Noah Gari lolote dogo lisilotajwa hapo juu Gari lolote kubwa lisilotajwa hapo juu Idadi Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka 60,000/= 80,000/= 20,000/= 30,000/= 70,000/= 20,000/= 30,000/= Kwa mwaka 30,000/= 20,000/= 10,000/= 30,000/= Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka SEHEMU YA TISA USHURU WA MIFUGO Namba Aina Kiwango (Shilingi) Aina ya Mnyama Idadi 11 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA TISA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Section 4 lists fees, a health certificate for transporting meat and hides, and a permit for transporting animal meat and hides.
4. Ushuru wa kuhifadhi wanyama waliokamatwa kwa kuzurura ovyo Ushuru wa Kununua Ngozi Cheti cha Afya cha usafirishaji wa Nyama na ngozi Kibali cha kusafirisha Nyama na Ngozi za wanyama - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonyesha viwango vya ushuru/ada kwa mifugo na baadhi ya bidhaa zinazohusiana kama ngozi na nyama, kwa makundi tofauti ya wanyama.
5. wa Ushuru mifugo minadani 8,000/= Ng’ombe, Punda na Farasi 3,500/= kwa Mbuzi, Kondoo, Nguruwe, Mbwa na wanyama wengine Kila mnyama kwa siku Kila mnyama kwa siku 1,000/= Ng’ombe 500/= Mbuzi, Kondoo 2,000/= Ng’ombe, Punda na Kwa ngozi Kwa ngozi kwa cheti kimoja Farasi 1,000/= kwa Mbuzi, Kondoo, Nguruwe, Mbwa na wanyama wengine 2,000/= Ng’ombe, Punda na Farasi 1,000/= kwa Mbuzi, Kondoo, Nguruwe, Mbwa na wanyama wengine 5000/= Kwa ng’ombe mmoja 2000/= Kwa mbuzi mmoja 2000/= Kwa kondoo mmoja kwa cheti kimoja Kila kilo 10 za nyama na kipande kimoja cha Ngozi kwa kibali Kila kilo 5 za nyama na kipande kimoja cha Ngozi kwa kibali Atakaeuzwa Atakaeuzwa Atakaeuzwa SEHEMU YA KUMI USHURU WA MAZAO YA KILIMO Namba. Aina ya Zao
Part
SEHEMU YA KUMI
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section sets tax rates for listed crops: 3% of the purchase price for business crops and 2% of the purchase price for food crops.
6. Viazi Kabichi Vitunguu Nyanya Nanasi Nazi Kiasi cha ushuru kwa mazao ya biashara (Shilingi) 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia Kiasi cha Ushuru kwa mazao ya chakula (Shilingi) 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya 12 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) - 22 Verify source ↗
Mazao mengineyo
AI-assisted research summary: Sehemu hii inataja “mazao mengineyo” ambayo hayakutajwa hapo juu.
22. Mazao mengineyo yasiyotajwa hapo juu - 24 Verify source ↗
Section 24
AI-assisted research summary: The provision lists permit fees for buying certain agricultural/forest products, including percentage fees and per-ton amounts.
24. Ada ya kibali cha kununua mazao ya biashara Ada ya kibali cha kununua mazao ya chakula kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 40,000/= kwa tani 20,000/= kwa tani SEHEMU YA KUMI NA MOJA ADA NA USHURU WA MAZAO YA MISITU Namba Aina Ya Zao La Misitu
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaorodhesha ada na ushuru mbalimbali kwa mazao ya misitu na baadhi ya leseni/usajili.
1. Ushuru wa: - (i) Mbao Kiwango (Shilingi) Idadi 1,000/= kwa ubao mmoja 13 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) (ii) Shata mlango au dirisha (iii) Fremu mlango au dirisha (iv) Kitanda (v) Kabati (vi) Kochi (vii) Magogo (viii) Mirunda (ix) Nguzo za simu (x) Nguzo za umeme (xi) Kuni (xii) Mkaa (xiii) Mabanzi (xiv) Asali (xv) Nta (xvi) Ubuyu Ukwaju na (xvii) Mkeka, Kikapu na Ungo (xviii) Vinyago mpingo vya (xix) Vinyago vya miti mingine (xx) Mazao mengine ya misitu Ada ya Leseni ya uvunaji Ada ya ya Leseni Biashara ya Mazao ya Misitu Ada kufanya Mazao ya Misitu ya Usajili wa ya biashara 2,000/= 1,000/= 5,000/= 5,000/= 2,000/= Kila moja Kila moja Kila moja Kila moja Kila moja Asilimia 5% ya bei ya kuuza 50/= 2000/= 5000/= 3000/= 5000/= 5000/= Asilimia 5% ya bei ya kuuza Asilimia 5% ya bei ya kuuza 150/= kwa mrunda mmoja kwa nguzo moja kwa nguzo moja kwa tani kwa gunia moja kwa tani moja - - Kwa kila debe moja 100/= Kwa kila moja 250/= Kwa kila ki moja 150/= Kwa kila kimoja 5000/= kwa tani moja Inategemea na Zao linalovunwa 200,000/= Kwa mwaka 100,000/= Kwa mwaka 14 - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha kifungu kinachotaja ushuru mwingine; haijaweka kanuni maalum ndani ya maandishi haya.
4. Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA MBILI USHURU MWINGINE Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists council fees and charges, including permit fees, business-related charges, and parking fees for different vehicle types and weight bands.
7. 17 18 Aina Ada ya muhtasari wa Halmashauri Ushuru wa vituo vya na kuoshea magari vyombo vya vingine usafirishaji Kibali cha kufyatua tofali za udongo (biashara) Ushuru chakavu chuma wa Kiwango (Shilingi) 2,000/= Idadi Kila maombi 4,000/= Kwa mwezi 50,000/= Kwa mwaka (a) Tani 1 (a) ½ Tani 6,000/= Kila inaposafirishwa 3,000/= Kila inaposafirishwa (b) ¼ Tani 2,000/= Kila inaposafirishwa Kibali cha kuuza pombe za Kienyeji Kibali cha kutengeneza pombe za Kienyeji Ushuru wa vilabu vya pombe Ushuru Wakala wa pombe za viwandani Visima vya maji vya biashara au vituo vya kuuzia maji 20,000/= Kwa mwaka 5,000/= Kwa kila kibali 20,000/= Kwa mwaka Biashara Kuu Tawi 100,000/= Kwa mwaka 30,000/= Kwa mwaka 80,000/= Kwa mwaka 30,000/= Kwa mwaka USHURU WA MAEGESHO YA VYOMBO VYA MOTO KWENYE HIFADHI YA BARABARA Aina ya chombo na uzito Gari uzito usiozidi tani moja na nusu Gari uzito unaozidi tani moja na nusu na usiozidi tani tatu Kiwango cha ada ya maegesho kwa saa (Shilingi) 200 Kiwango cha ada ya maegesho kwa siku (Shilingi) 500 300 1000 15 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) 500 1000 Gari uzito unaizidi tani tatu na usiozidi tani 10 Gari uzito unaozidi tani kumi na usiozidi tani 35 Pikipiki za magurudumu matatu na nyinginezo Pikipiki (boda boda) 1500 5000 200 200 NB: Viwango vya ada katika megesho maalum ni Tsh. 3,000/= meta moja ya mraba kwa mwezi. (b) Ada ya Mashamba Makubwa Namba Ukubwa wa shamba - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha ada ya kila mwaka iliyoandikwa katika jedwali, na fomu ya kukiri kosa kwa hiari mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro.
2. Ekari Moja Umwagiliaji) Ekari Kumi (Nyanda Kame) (Skimu ya Kiwango (Shilingi) 500,00 Muda Kwa mwaka na kuendelea 500,00 Kwa mwaka _________ JEDWALI LA PILI _______________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 12) FOMU YA KUFIFILISHA MAKOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro ya Mwaka 2024. Na kwamba niko tayari kulipa kiasi cha ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa mahakamani. Nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa mimi mwenyewe kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu. Leo tarehe…………. ya mwezi…………..… mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU: Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… 16 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 17 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Tangazo la Serikali Na. 510 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro imegongwa kwenye Sheria ndogo hii kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro uliofanyika tarehe 27 mwezi 10 Mwaka 2023 na kushuhudiwa lakiri hiyo ikigongwa mbele ya; GRACIAN MAX MAKOTA Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro BARAKA KANUNGA LAIZER Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro NAKUBALI L.S Dodoma MOHAMED OMARY MCHENGERWA 13 Mei, 2024 Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Tawala za mikoa na serikali za mitaa) 18
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in