Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni a Mwaka, 2024
This section states the short title of the bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni a Mwaka, 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the bylaw. This by-law applies throughout the area under the Kinondoni Municipal Council. This section defines key terms used in the by-law, including fees, the authorized officer, the Council, the Director, and entertainment activities. A person who wants to hold entertainment or a ceremony in the council area must have a written permit from the council, and permit applications must include the required fee. Mtu anayepanga burudani au sherehe katika eneo la Halmashauri lazima aombe kibali kwa Mkurugenzi kupitia Afisa Utamaduni na ajaze fomu maalumu.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni a Mwaka, 2024
Showing 33 of 33
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section states the short title of the bylaw.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni a Mwaka, 2024. - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the area under the Kinondoni Municipal Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote lililopo chini ya Mamlaka ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, the authorized officer, the Council, the Director, and entertainment activities.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri leseni mbalimbali kwa au ajili ya vibali zinazotolewa na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Manispaa ya lengo Kinondoni; “Mkurugenzi” maana ni Mkurugenzi wa Halmashauri yake 1 Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Serikali Na. 512 (Linaendelea) Maombi ya kibali Utaratibu wa kuomba kibali ya Manispaa ya Kinondoni au aliyeteuliwa afisa yeyote ya kutekeleza majukumu Mkurugenzi; “shughuli ya burudani” maana yake ni shughuli yoyote halali inayojumuisha sherehe, michezo na muziki. - 4 Verify source ↗
(1) Mtu anayekusudia kufanya shughuli ya
AI-assisted research summary: A person who wants to hold entertainment or a ceremony in the council area must have a written permit from the council, and permit applications must include the required fee.
4.-(1) Mtu anayekusudia kufanya shughuli ya burudani au sherehe katika eneo la Halmashauri anapaswa kuwa na kibali cha maandishi kilichotolewa na Halmashauri. (2) Maombi yote ya vibali yataambatana na malipo ya ada kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza.
Part
Jedwali la Kwanza.
- 5 Verify source ↗
(1) Mtu anayekusudia kufanya shughuli ya
AI-assisted research summary: Mtu anayepanga burudani au sherehe katika eneo la Halmashauri lazima aombe kibali kwa Mkurugenzi kupitia Afisa Utamaduni na ajaze fomu maalumu.
5.-(1) Mtu anayekusudia kufanya shughuli ya burudani au sherehe katika eneo la Halmashauri anapaswa kuomba kibali kwa Mkurugenzi kupitia kwa Afisa Utamaduni husika kwa kujaza fomu maalumu kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili. (2) Maombi chini ya kanuni ndogo ya (1) yataeleza jina la mwombaji, aina ya burudani au sherehe, tarehe, muda wa kuanza na kumalizika kwa burudani au sherehe na eneo husika. (3) Endapo maombi ya kibali yatakataliwa, Halmashauri itamtaarifu mwombaji kwa maandishi na kueleza sababu za kukataliwa kwa maombi hayo. (4) Endapo Halmashauri imetoa kibali na ikadhihirika kuwa kuna sababu za msingi za kuzuiliwa kwa shughuli husika kabla au baada ya kuanza kwa shughuli hiyo, Halmashauri itamtaarifu mwombaji kwa maandishi na kueleza sababu za kuzuiliwa kwa shughuli hiyo. (5) Nakala ya kibali kilichotolewa itapelekwa kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ikiwa na kiambatanisho cha stakabadhi ya malipo ya ada. 2 Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Serikali Na. 512 (Linaendelea) Wajibu wa mmiliki wa ukumbi - 6 Verify source ↗
Mmiliki wa ukumbi wa muziki, burudani au baa
AI-assisted research summary: Mmiliki wa ukumbi wa muziki, burudani au baa lazima adumishe viwango maalum vya sauti na kuzuia wanafunzi au walio chini ya miaka 18 kuingia.
6. Mmiliki wa ukumbi wa muziki, burudani au baa anatakiwa- (a) kupiga muziki kwa kiwango cha sauti cha desibo hamsini na tano kuanzia saa sita mchana hadi saa nne usiku na desibo arobaini na tano kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi; (b) kuonesha picha mjongeo au sinema kwa sauti ya chini kiasi cha desibo hamsini na tano kuanzia saa sita mchana hadi saa nne usiku na desibo arobaini na tano kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi; na (c) kuhakikisha mwanafunzi au mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka kumi na nane haingii katika ukumbi na iwapo itabainika kuingia kwa mwanafunzi au mtoto hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake. Vigezo vya utoaji kibali - 7 Verify source ↗
Halmashauri itatoa kibali iwapo itajiridhisha na
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoe kibali cha shughuli ya burudani au sherehe ikiridhika kwamba masharti yaliyotajwa yametimizwa.
7. Halmashauri itatoa kibali iwapo itajiridhisha na mambo yafuatayo: (a) shughuli ya burudani au sherehe inayoombewa kibali haitasababisha uvunjifu wa amani; (b) eneo linaloombewa kibali cha kufanyia shughuli linaruhusiwa kwa ya burudani au sherehe shughuli inayoombewa kibali; (c) kumbi za burudani au sherehe zina usalama wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa vifaa vya kuzima moto, madirisha makubwa ya inayofunguka kwa kuingiza hewa, milango urahisi wakati wa dharura; na (d) shughuli ya burudani au sherehe haikiuki maadili ya kitanzania. Katazo - 8 Verify source ↗
(1) Mtu hataruhusiwa
AI-assisted research summary: Mtu haruhusiwi kuingiza watu walio chini ya miaka 18 kwenye sehemu za starehe au muziki baada ya muda ulioruhusiwa kuisha, wala kuonyesha picha mjongeo zisizo na maadili.
8.-(1) Mtu hataruhusiwa- (a) kumruhusu mwanafunzi au mtu yeyote aliye 3 Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Serikali Na. 512 (Linaendelea) Sura ya 13 Muda wa kuonesha sinema au picha mjongeo Mamlaka ya kufanya ukaguzi chini ya umri wa miaka 18 kuingia kwenye sehemu ya starehe au muziki baada ya muda ulioruhusiwa kuisha au kulingana na Sheria ya Mtoto ; au (b) kuonesha picha mjongeo ambazo hazina maadili katika ukumbi wa picha mjongeo , snema au sehemu nyingine yoyote. (2) Endapo mwanafunzi au mtu chini ya umri wa miaka 18 atakutwa katika eneo la starehe au muziki, mwanafunzi au mtu huyo, mzazi au mlezi na mtu anayehusika na sehemu hiyo ya starehe au muziki watawajibika kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii.
Part
sehemu nyingine yoyote.
- 9 Verify source ↗
(1) Muda wa kuonesha sinema au picha mjongeo
AI-assisted research summary: The permitted screening hours for films or moving pictures are set differently for weekdays, Saturdays, and public holidays.
9.-(1) Muda wa kuonesha sinema au picha mjongeo utakuwa ni kuanzia saa kumi kamili jioni hadi saa sita kamili usiku kwa siku za kazi. (2) Kwa siku za Jumamosi na siku za sikukuu, muda wa kuonesha sinema au picha za mjongeo utakuwa ni kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi na mbili jioni. - 10 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia mahali panapofanyika burudani au panaposhukiwa kufanyika burudani, kukagua kibali na masharti yake, na kutoa maelekezo ikiwemo kusitisha shughuli.
10.-(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kuingia mahala popote panapofanyika shughuli ya burudani au anapoamini kuna shughuli ya burudani inafanyika muda wowote kwa lengo la kukagua iwapo shughuli hiyo ina kibali au inafuata masharti ya kibali. (2) Katika kutekeleza mamlaka yake chini ya kanuni ndogo ya (1), Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kutoa maelekezo yoyote ikiwa ni pamoja na kusitisha shughuli ya burudani kulingana na hali itakayobainika baada ya ukaguzi kufanyika. Mkusanyiko wa watoto - 11 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote hataruhusiwa kukusanya watoto
AI-assisted research summary: Kukusanya watoto ndani ya Halmashauri kunahitaji kibali cha maandishi.
11.-(1) Mtu yeyote hataruhusiwa kukusanya watoto kwa ajili ya shughuli yoyote ndani ya Halmashauri bila kibali cha maandishi. 4 Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Serikali Na. 512 (Linaendelea) (2) Mkusanyiko wowote wa watoto katika viwanja vyovyote vya burudani ulioruhusiwa na Halmashauri kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) utafanyika katika siku za mapumziko na kuanzia saa nne kamili asubuhi na kuamalizika kabla ya saa kumi na mbili jioni. (3) Mtu aliyepata kibali cha mkusanyiko wa watoto atawajibika kwa usalama wao kipindi chote cha mkusanyiko huo na kuhakikisha wanatawanyika kwa usalama kutoka katika eneo la mkusanyiko. (4) Mtu mwenye mamlaka juu ya eneo la burudani hataruhusu au kusababisha mkusanyiko usio na kibali cha Halmashauri. - 12 Verify source ↗
Mikusanyiko ifuatayo itaombewa vibali bila
AI-assisted research summary: Certain gatherings may be requested for permits without paying a fee.
12.Mikusanyiko ifuatayo itaombewa vibali bila kulipa ada: (a) mikusanyiko ya kidini; (b) misiba na mazishi; (c) michezo ya watoto isiyotozwa. - 13 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayeendesha shughuli za
AI-assisted research summary: Watu wanaoendesha burudani ndani ya mamlaka ya Halmashauri lazima wasafishe eneo lililotumika na kuondoa uchafu wote uliosababishwa na shughuli hiyo.
13.-(1) Mtu yeyote anayeendesha shughuli za burudani ndani ya mamlaka ya Halmashauri atalazimika kufanya usafi ndani au nje ya eneo lililotumika katika shughuli ya burudani kwa kuondoa uchafu wote uliosababishwa na shughuli hiyo ya burudani. (2) Mtu anayekiuka kanuni ndogo ya (1) atawajibika kulipa gharama ya uchafuzi wa mazingira kadri zitakavyokadiriwa na Halmashauri na gharama zingine ambazo Halmashauri itaingia katika kuondoa uchafu huo. - 14 Verify source ↗
Mmiliki wa leseni ya biashara hataruhusiwi
AI-assisted research summary: Mmiliki wa leseni ya biashara haruhusiwi kupiga muziki kwa sauti inayozidi desibo 55 kuanzia saa sita mchana hadi saa nne usiku, au desibo 45 kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi.
14. Mmiliki wa leseni ya biashara hataruhusiwi kupiga muziki zaidi ya desibo hamsini na tano kuanzia saa sita mchana hadi saa nne usiku na desibo arobaini na tano kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi. - 15 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukamata vifaa vya shughuli za burudani zisizo na kibali au zinazokiuka masharti ya kibali; vifaa vinahifadhiwa na vinaweza kuuzwa kwa mnada baada ya siku saba ikiwa havijakombolewa na baada ya kupata kibali cha Mahakama.
15.-(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya 5 Vibali visivyotozwa ada Usafi wa mazingira Muziki unaoleta kero Ukamataji wa vifaa Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Serikali Na. 512 (Linaendelea) kukamata vifaa vyovyote vitakavyokutwa katika shughuli ya burudani ambayo haina kibali au inaendeshwa bila kuzingatia masharti yaliyoainishwa kwenye kibali husika. (2) Vifaa vitakavyokamatwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) vitachukuliwa na kuhifadhiwa katika Ofisi za Halmashauri na Halmashauri. litakaloamuliwa lolote eneo au (3) Vifaa vitakavyokamatwa vitatakiwa kukombolewa ndani ya siku saba kuanzia tarehe ya kukamatwa na baada ya hapo Halmashauri inaweza kuuza vifaa hivyo kwa mnada baada ya kuomba na kupata kibali cha Mahakama. Makosa na adhabu Kufifilishaji kosa (4) Mtu yeyote anayetaka kurejeshewa vifaa vilivyokamatwa chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa gharama za ukamataji, usafirishaji na ulinzi wa vifaa hivyo. - 16 Verify source ↗
Mtu anayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii
AI-assisted research summary: A person who violates this by-law commits an offence and, if convicted, may be fined, imprisoned, or both.
16. Mtu anayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii anatenda kosa na akitiwa hatiani atawajibika kutalipa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili au kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. - 17 Verify source ↗
Mkurugenzi wa Halmashauri atakuwa na uwezo
AI-assisted research summary: The Municipal Director may compound an offence by charging TZS 200,000, if the offender admits the offence, agrees to complete the prescribed form in the Third Schedule, and pays the amount due.
17. Mkurugenzi wa Halmashauri atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili, endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu na kulipa ada anayodaiwa. 6 Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Serikali Na. 512 (Linaendelea) _______________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(2)) ADA YA KIBALI Namba Aina ya Shughuli ya Burudani na au Sherehe Kiwango cha Ada kwa kila onesho au tukio (Shilingi) (a) (b) 700,000/= 1,000,000/= 50,000/= 100,000/= 50,000/= 30,000/= 20,000/= 50,000/= 30,000/= 21,250/= kwa mwaka 100,000/= 50,000/= anayefanya 100,000/= (ada hii inalipwa na mtu sherehe husika na sio mmiliki wa ukumbi). 20,000/=
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Hii inaonekana kuwa sehemu ya fomu ya maombi ya kibali kwa shughuli za burudani na sherehe, ikiorodhesha aina za shughuli zinazohusika.
12. 13 Linalohusisha wasanii wa ndani Linalohusisha wasanii wa nje ya Tamasha la Muziki (a) ya Nchi (b) Nchi Muziki kwenye kumbi za burudani Sherehe za mashirika au mbalimbali Onesho la Sinema (isipokuwa maonesho ya kidini) Ushereheshaji katika sherehe au tukio Picha mnato za tukio Maonesho ya sanaa au vichekesho Mapambo Studio ya kurekodi sanaa Mashindano ya urembo ndani ya Wilaya taasisi matangazo mtaani kwa kutumia spika (yasiyo ya kidini) Kibali za zinazofanyika ndani ya kumbi. sherehe kijamii cha Sherehe mbalimbali za kijamii ikiwemo harusi, sherehe za kidini na nyinginize zinazofanyika majumbani 7 Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Serikali Na. 512 (Linaendelea) ____________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 5 (1)) FOMU YA MAOMBI YA KIBALI SEHEMU YA KWANZA (Taarifa za Mwombaji)
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The form asks for the applicant’s name.
1. Jina la mwombaji ........................................................... - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This item concerns the applicant’s address.
2. ......................................... Anwani ya mwombaji - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Section heading: “Type of activity.”
3. Aina ya shughuli ........................................................... - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section appears to label the place where an activity is intended to be carried on.
4. ................................................. Eneo analokusudia kufanya shughuli - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section is a heading for the commencement date.
5. Muda wa kuanza .......................................................... - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Hii aya inaonesha kichwa/kipengele cha “Muda wa kumaliza” tu, bila maelezo ya ziada kuhusu wajibu au muda mahsusi.
6. ............................................ Muda wa kumaliza - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section labels a permit fee in shillings.
7. ................................................ Ada ya kibali (Shilingi) - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kina kichwa “Namba ya Stakabadhi ya malipo”.
8. ........................................... Namba ya Stakabadhi ya malipo - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This is a section heading for Part Two, marked for office use only.
10. Tarehe…………………..... SEHEMU YA PILI (Kwa Matumizi ya Ofisi tu)
Part
SEHEMU YA PILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: 1. .......................... Maombi namba
1. .......................... Maombi namba - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Inahusu ada ya kibali kwa shilingi na namba ya stakabadhi.
2. .................. Ada ya kibali shilingi Namba ya stakabadhi - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section mentions payments.
3. ya malipo .................................................. - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section appears to be a heading about the payment date, but it does not state a rule in the provided text.
4. ....................................... Tarehe ya malipo 8 Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Serikali Na. 512 (Linaendelea) la Jina - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section refers to a person who received payment.
5. aliyepokea malipo ................................................... - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya kukiri kosa na kuonyesha nia ya kulipa ada inayodaiwa pamoja na faini mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
6. Saini ...................................... Maoni ya Afisa Mwidhiniwa: - *Nakubali/Sikubali (futa isiyohusika) Sababu: ………………………………..………………………………………… Jina:………………………………Saini: ……………Tarehe……………….. ____________ JEDWALI LA TATU ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 17) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, kwamba mnamo tarehe …… ya Mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya ................ya Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ya Mwaka, 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, niko tayari kulipa kiasi cha ada ninachodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADIRI YA UFAHAMU WANGU ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Saini……………………… Leo tarehe…………. Jina……………………………….. MBELE YANGU: Jina:……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa:………………………………………………………… Tarehe………………………………………………… 9 Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Serikali Na. 512 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imegongwa kwenye sheria ndogo hii kufuatia azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Baraza uliofanyika tarehe 24 mwezi 08 Mwaka 2023 na kushuhudiwa Lakiri hiyo mbele ya ; la Madiwani HANIFA SULEIMAN HAMZA Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni SONGORO KHAMISI MNYONGE Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni NAKUBALI L.S Dodoma MOHAMED OMARY MCHENGERWA 10 Disemba 2023 Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Tawala za mikoa na serikali za mitaa) 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni a Mwaka, 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in