Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024
This section gives the name of the by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the name of the by-law. This bylaw applies throughout the whole area of the Arusha City Council authority. Kifungu hiki kinafafanua maneno muhimu yanayotumika katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo Halmashauri, Mkurugenzi, mlipa ushuru wa huduma, na ushuru wa huduma. Halmashauri must charge and collect service levy from business-licensed persons, at 0.3% of sales after VAT and excise for those who submit sales accounts to the Tanzania Revenue Authority, and at the First Schedule rate for business-licensed traders who do not submit those accounts. Mlipa ushuru wa huduma lazima akidhi wajibu wa kulipa, kuwasilisha taarifa na hesabu sahihi, kutunza kumbukumbu, na kuonyesha nyaraka kwa ukaguzi.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024
Showing 22 of 22
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section gives the name of the by-law.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the whole area of the Arusha City Council authority.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Jiji la Arusha. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafafanua maneno muhimu yanayotumika katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo Halmashauri, Mkurugenzi, mlipa ushuru wa huduma, na ushuru wa huduma.
3. Katika Sheria Ndogo hii, utahitaji kama muktadha isipokuwa vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “biashara” maana yake ni uendeshaji wa shughuli yoyote halali inayomwingizia mtu, kikundi, kampuni au taasisi kipato; lengo “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Jiji ya Arusha; “hesabu” maana yake ni jumla ya mauzo katika kipindi cha siku, mwezi au miezi mitatu katika mwaka husika wa mapato; “hesabu za mwisho” maana yake ni hesabu 1 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 513 (Linaendelea) zinazowasilishwa na taasisi yoyote ya kibiashara baada ya kipindi cha hesabu pamoja na nyaraka au maelezo yatakayotakiwa kutolewa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; Sura ya 212 “kampuni” maana yake ni kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Kampuni; “kipindi maalumu cha hesabu” maana yake ni muda ambao mfanyabiashara anatakiwa kuwasilisha hesabu za biashara kwa Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji ya Arusha au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi chini ya Sheria Ndogo hii; “mlipa ushuru wa huduma” maana yake ni kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara mwenye leseni anayefanya la Halmashauri; zake katika shughuli eneo Sura ya 212 Ushuru wa huduma “tawi la kampuni” maana yake ni tawi la kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Kampuni; “ushuru wa huduma” maana yake ni ushuru unaotozwa na kukusanywa na Halmashauri kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara ambaye mauzo yake kwa mwaka ni zaidi ya shilingi milioni nne; “Wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, limeteuliwa na kampuni au shirika ambalo Halmashauri kufanya kazi yoyote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge and collect service levy from business-licensed persons, at 0.3% of sales after VAT and excise for those who submit sales accounts to the Tanzania Revenue Authority, and at the First Schedule rate for business-licensed traders who do not submit those accounts.
4.-(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango cha asilimia sifuri nukta tatu ya mauzo baada ya kutoa kodi ya ongezeko la thamani na ushuru wa bidhaa kutoka kwa mtu yeyote mwenye leseni ya biashara anayewasilisha hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), 2 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 513 (Linaendelea) Wajibu wa mlipa ushuru wa hudum Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii kutoka kwa wafanyabiashara wenye leseni za biashara ambao hawawasilishi hesabu za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania. - 5 Verify source ↗
(1) Kila mlipa ushuru wa huduma atakuwa na
AI-assisted research summary: Mlipa ushuru wa huduma lazima akidhi wajibu wa kulipa, kuwasilisha taarifa na hesabu sahihi, kutunza kumbukumbu, na kuonyesha nyaraka kwa ukaguzi.
5.-(1) Kila mlipa ushuru wa huduma atakuwa na wajibu wa- (a) kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kuwasilisha taarifa sahihi za mauzo ya kila mwezi endapo anawasilisha taarifa za hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania; (c) kuwasilisha hesabu sahihi na za kweli; (d) kuwasilisha nyaraka au taarifa inayotakiwa kuwasilishwa kwa Halmashauri katika muda ulioainishwa; (e) kutunza kumbukumbu za kitabu cha hesabu; na (f) kuonesha kumbukumbu yoyote au nyaraka kwa ajili ya ukaguzi. (2) Mlipa ushuru wa huduma atapaswa kulipa ushuru wa huduma ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi. (3) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (2), Halmashauri inaweza kukubaliana na mlipa ushuru wa huduma juu ya utaratibu wa kulipa ushuru atapaswa kuwasilisha Halmashauri hesabu za awali na kulipa ushuru wa huduma katika kila kipindi cha miezi mitatu katika mwaka wa fedha wa Serikali. (4) Mlipa ushuru (5) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (4), mlipa ushuru atapaswa kuwasilisha Halmashauri hesabu za mwisho ndani ya miezi mitatu tangu kumalizika kwa mwaka wa fedha wa Serikali. (6) Endapo mlipa ushuru hajawasilisha hesabu za mwisho kwa mwaka wa fedha husika na ametakiwa 3 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 513 (Linaendelea) kufanya hivyo kwa notisi ya siku thelathini, Mkurugenzi anaweza, kwa kadri atakavyoona inafaa, kuamua kiwango cha hesabu za mlipa ushuru husika kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (7) Ushuru uliothaminiwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, utalipwa ndani ya siku thelathini tangu tarehe ya tathmini. (8) Endapo mlipa ushuru hajawasilisha majumuisho ya hesabu zake kwa mwaka wa mapato, na endapo Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa ana maoni kuwa mlipa ushuru husika ana wajibu wa kulipa ushuru kwa mwaka huo, anaweza kwa kadri atakavyoona, kuamua kiwango cha hesabu za mlipa ushuru huyo: Mamlaka ya Mkurugenzi - 6 Verify source ↗
(1) Endapo mlipa ushuru wa huduma
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kutoa notisi na kuagiza mlipa ushuru wa huduma au watu wengine kuwasilisha taarifa, kumbukumbu, au hesabu za biashara kwa muda ulioainishwa.
6.-(1) Endapo mlipa ushuru wa huduma anayepaswa kuwasilisha taarifa ya mauzo chini ya Sheria Ndogo hii atashindwa kuwasilisha taarifa sahihi za mauzo kwa wakati, Mkurugenzi anaweza kutoa notisi ya kumtaka mlipa ushuru wa huduma kuwasilisha taarifa hiyo ndani ya siku thelathini kuanzia tarehe ya kutolewa kwa notisi. (2) Mkurugenzi anaweza kumtaka kwa maandishi mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu mfanyabiashara anayepaswa kulipa ushuru wa huduma kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kuwasilisha kwake taarifa ambazo zitatumika kama taarifa sahihi. (3) Mkurugenzi kwa maandishi Afisa Mwidhiniwa kuingia kwenye jengo au eneo la mlipa ushuru wa huduma kwa nia ya kufanya uchunguzi na tathmini ya kumbukumbu za biashara, vitabu vya hesabu na taarifa kwa ajili ya kupata au kujua kiwango sahihi cha ushuru anachopaswa kulipa. kumwagiza anaweza (4) Mkurugenzi anaweza kumteua kamishna wa kodi ya forodha au kodi ya mapato kwa ajili ya kutathmini na kukusanya ushuru wa huduma na kuwasilisha kwa Halmashauri kwa lengo la kupata ushuru wa huduma pamoja na madeni yake. 4 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 513 (Linaendelea) (6) Mkurugenzi, kwa taarifa ya maandishi, anaweza kumtaka mlipa ushuru yeyote kuwasilisha hesabu zenye taarifa kamili za shughuli za kibiashara zikionesha thamani ya kiasi na thamani ya kifedha ya bidhaa au huduma au kuuzwa zilizozalishwa, kutolewa, kusambazwa kibiashara na taarifa ya fedha katika kipindi maalumu kisichozidi siku thelathini tangu tarehe ya taarifa hiyo. (8) Mkurugenzi anaweza kwa taarifa ya maandishi ya siku saba, kumtaka mlipa ushuru kuwasilisha kumbukumbu za kibiashara na vitabu vya hesabu kwa nia ya kupata taarifa kwa ajili ya kufanyiwa tathmini au kukusanya ushuru wa huduma. Uteuzi wa Wakala - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kuteua Wakala wa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru kwa niaba yake.
7.-(1) Halmashauri inaweza kuteua Wakala wa kukusanya ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 8 Verify source ↗
Afisa Mwidhiniwa anaweza
AI-assisted research summary: An authorized officer may accept and assess a taxpayer’s accounts if they are inaccurate, or reject final accounts if there are reasonable grounds to believe they are inaccurate.
8. Afisa Mwidhiniwa anaweza- (a) kupokea na kukubali hesabu za mlipa ushuru na kuzifanyia tathmini kuhusu kiwango cha hesabu cha mlipa ushuru endapo hesabu hizo zitakuwa si sahihi; au (b) kukataa hesabu za mwisho iwapo atakuwa na sababu za msingi za kuamini kuwa hesabu hizo si sahihi. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa Ukokotoaji wa ushuru wa - 9 Verify source ↗
Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma wa
AI-assisted research summary: The council must calculate the service levy, taking account of the taxpayer’s submitted sales information for the relevant accounting period.
9. Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma wa 5 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 513 (Linaendelea) huduma Makosa mlipa ushuru anayewasilisha taarifa za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kuzingatia taarifa zinazowasilishwa na mlipa ushuru wa huduma katika kipindi maalumu cha hesabu. - 10 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: This section makes it an offence for any person to submit false sales or levy information, miss required payment or filing deadlines, encourage non-payment, obstruct council enforcement, or give false information about levy payment.
10. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) atashindwa kuwasilisha Halmashauri taarifa sahihi za mauzo katika muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) atawasilisha Halmashauri taarifa zisizo sahihi; (c) atashindwa kulipa ushuru wa huduma katika muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii; (d) atamshawishi mlipa ushuru wa huduma kukataa au kukwepa kulipa ushuru; (e) atamzuia Afisa Mwidhiniwa au Wakala wa Halmashauri kutekeleza masharti ya Sheria Ndogo hii; au (f) atatoa taarifa isiyo sahihi kuhusu ulipaji wa ushuru. Adhabu Kufifilisha kosa - 11 Verify source ↗
Mtu atakayepatikana na hatia kwa tenda kosa
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence under this by-law must pay a fine, face imprisonment, or both.
11. Mtu atakayepatikana na hatia kwa tenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mkosaji faini isiyozidi shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari, yuko tayari kujaza fomu maalumu, na kulipa ushuru unaodaiwa.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume na Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ushuru anaodaiwa. Kufutwa kwa Sheria Ndogo T.S Na. 11 la 2004 - 13 Verify source ↗
Sheria Ndogo za (Ushuru wa Huduma) za
AI-assisted research summary: Sheria Ndogo za Ushuru wa Huduma za Halmashauri ya Manispaa ya Arusha za mwaka 2004 zinafutwa.
13. Sheria Ndogo za (Ushuru wa Huduma) za Halmashauri ya Manispaa ya Arusha za Mwaka 2004 zinafutwa. 6 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 513 (Linaendelea) ______________ JEDWALI LA KWANZA _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(2)) USHURU WA HUDUMA KWA WAFANYABIASHARA WENYE LESENI ZA BIASHARA AMBAO HAWAWASILISHI HESABU ZA MAUZO MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA Na. Aina ya Biashara Baa kubwa Baa ya kati Baa ndogo Eneo la kuoshea magari Duka la rejareja mjini Duka la rejareja nje ya mji Hardware ndogo Wakala wa Fedha mtandao na LUKU Duka la spea za magari au pikipiki
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 14 Verify source ↗
Karakana ya kuranda mbao katikati ya mji
AI-assisted research summary: Section heading for a wood-planing workshop in the town centre.
14. Karakana ya kuranda mbao katikati ya mji - 18 Verify source ↗
Karakana ya shughuli za kuchomelea (welding au
AI-assisted research summary: Section heading for a workshop dealing with welding or aluminium activities.
18. Karakana ya shughuli za kuchomelea (welding au aluminium) - 19 Verify source ↗
Kampuni au ofisi ya wanasheria au wakili
AI-assisted research summary: Heading for a section about a company, a law office, or a lawyer.
19. Kampuni au ofisi ya wanasheria au wakili - 33 Verify source ↗
Duka la vifaa vya umeme
AI-assisted research summary: This section lists annual tax amounts for an electrical equipment shop.
33. Duka la vifaa vya umeme 7 Kiwango cha Ushuru kwa Mwaka (Shilingi) 600,000/= 240,000/= 120,000/= 120,000/= 120,000/= 60,000/= 120,000/= 100,000/= 240,000/= 120,000/= 60,000/= 600,000/= 600,000/= 240,000/= 120,000/= 180,000/= 600,000/= 300,000/= 150,000/= 140,000/= 300,000/= 15,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 513 (Linaendelea) - 39 Verify source ↗
Ofisi ya Wakala wa tiketi za magari na ndege
AI-assisted research summary: Section heading: Office of the motor vehicle and aircraft ticket agent.
39. Ofisi ya Wakala wa tiketi za magari na ndege - 44 Verify source ↗
Ofisi ya fundi umeme au bomba au vifaa vya
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha kifungu kuhusu ofisi ya fundi umeme, bomba, au vifaa vya majumbani.
44. Ofisi ya fundi umeme au bomba au vifaa vya majumbani - 54 Verify source ↗
Duka la vifaa vya asili (vinyago, urembo na
AI-assisted research summary: Section 54 is titled “Duka la vifaa vya asili (vinyago, urembo na vingine)”.
54. Duka la vifaa vya asili (vinyago, urembo na vingine) - 56 Verify source ↗
Kibanda cha kupiga na kusafisha picha
AI-assisted research summary: This section is titled “Kibanda cha kupiga na kusafisha picha” (photo taking and cleaning shop).
56. Kibanda cha kupiga na kusafisha picha - 63 Verify source ↗
Duka la mbogamboga
AI-assisted research summary: Duka la mbogamboga linatajwa kuwa na kiasi cha 20,000/=
63. Duka la mbogamboga 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= ______________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi …......…. Mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka, 2024. 8 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 513 (Linaendelea) Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………….ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU: Jina: ……………………………………..…………… Saini………………………….………………………….. Wadhifa: ………………………………………………… Tarehe……………………………………………………. 9 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 513 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya ya Jiji la Arusha imegongwa kwenye sheria ndogo hii kufuatia Azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri Jiji la Arusha uliofanyika tarehe 03 Mwezi Novemba, 2023 na imegogwa mbele ya ; INJ. JUMA HAMSINI Mkurugenzi wa Jiji la Arusha MAXIMILIAN J. IRANQHE Meya wa Jiji la Arusha NAKUBALI, L.S Dodoma MOHAMED OMARY MCHENGERWA 20 Februari, 2024 Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Tawala za mikoa na serikali za mitaa) 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in