Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024
This section gives the short title of the by-law: the Arusha City Council Road Reserve and Parking Fee By-law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law: the Arusha City Council Road Reserve and Parking Fee By-law, 2024. This section says the bylaw applies throughout Arusha City Council area and defines key terms used in it. A person must not park a vehicle outside the designated area. The Council must mark, establish, and designate parking areas, and it may paint lines on local road reserve areas to show where vehicles should be parked. Halmashauri ina mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho kwa mtu, taasisi au kampuni kwa maegesho ya chombo cha usafiri. Wahusika wa chombo cha usafiri lazima walipie ushuru wa maegesho, isipokuwa teksi na magari binafsi ya kukodi; Halmashauri pia hutatoza ushuru kwa baadhi ya maegesho ya maeneo ya umma na hifadhi ya barabara.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024
Showing 27 of 27
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law: the Arusha City Council Road Reserve and Parking Fee By-law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This section says the bylaw applies throughout Arusha City Council area and defines key terms used in it.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmshauri ya Jiji la Arusha. Tafsiri 3 Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirishia bidhaa, abiria au mizigo; lengo “basi kubwa” maana yake ni chombo cha usafiri cha kusafirisha abiria kuanzia 50 au zaidi kwa mkupuo mmoja; “basi la kati” maana yake ni chombo cha usafiri cha kusafirishia abiria kuanzia kuanzia 19 hadi 49; “basi dogo” maana yake ni chombo cha usafiri cha kusafirishia abiria kuanzia 5 hadi 18; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Jiji la Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) Arusha; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “gari binafsi” maana yake ni gari lolote la mtu au kampuni binafsi ambalo halifanyi biashara; “kituo cha mabasi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “kituo cha teksi” maana yake ni kituo kilichosajiliwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha teksi; “magari ya mizigo” maana yake ni gari lolote lenye uzito wa lililosajiliwa kufanya shughuli za biashara kwenye mamlaka ya Halmashauri; tani moja au zaidi “maegesho” maana yake ni maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya kuegesha magari au kulaza magari na inajumuisha stendi za mabasi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mmiliki” maana yake ni mmiliki, kondakta au dereva anayetumia chombo cha usafiri; “teksi” maana yake ni gari yoyote iliyosajiliwa kwa ajili ya biashara ya kusafirisha abiria au watu yenye uwezo wa kubeba abiria wasiozidi wanne; “ushuru” maana yake ni kiwango cha fedha kilichopangwa na Halmashauri kinachopaswa kulipwa na mmiliki wa gari linapoingia au kuegeshwa kituoni; na “Wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, shirika, taasisi au kampuni ambayo imeteuliwa na Halmashauri kufanya kazi yoyote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri. Maegesho - 4 Verify source ↗
(1) Mtu hataegesha chombo cha usafiri nje ya
AI-assisted research summary: A person must not park a vehicle outside the designated area. The Council must mark, establish, and designate parking areas, and it may paint lines on local road reserve areas to show where vehicles should be parked.
4.-(1) Mtu hataegesha chombo cha usafiri nje ya eneo lililotengwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. taasisi (2) Halmashauri, kwa kushirikiana na nyingine, itaweka alama za barabarani za kuonesha sehemu iliyotengwa kwa ajili ya kuegesha vyombo vya usafiri. Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) (3) Halmashauri itaanzisha na kuainisha maeneo maalumu yatakayotumika kwa ajili ya kuegesha vyombo vya usafiri. (4) Halmashauri inaweza kuchora mistari kwenye hifadhi ya barabara za mitaa ili kuonesha sehemu ambazo vyombo vya usafiri vinatakiwa kuegeshwa. Mamlaka ya kutoza ushuru - 5 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kutoza
AI-assisted research summary: Halmashauri ina mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho kwa mtu, taasisi au kampuni kwa maegesho ya chombo cha usafiri.
5. Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho kwa mtu, taasisi au kampuni kwa ajili ya maegesho ya chombo cha usafiri. Ushuru Vituo vya mabasi - 6 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayehusika na chombo cha
AI-assisted research summary: Wahusika wa chombo cha usafiri lazima walipie ushuru wa maegesho, isipokuwa teksi na magari binafsi ya kukodi; Halmashauri pia hutatoza ushuru kwa baadhi ya maegesho ya maeneo ya umma na hifadhi ya barabara.
6.-(1) Mtu yeyote anayehusika na chombo cha usafiri, isipokuwa teksi na magari binafsi ya kukodi, atawajibika kulipa ushuru wa maegesho wa eneo husika la maegesho. (2) Halmashauri itatoza ushuru katika eneo lote la Halmashauri kwa mtu yeyote aliyeegesha chombo cha usafiri binafsi au biashara katika eneo la umma. (3) Halmashauri itatoza ushuru magari yote yatakayoegeshwa kwenye eneo la hifadhi ya barabara. (4) Ushuru wa maegesho utatozwa kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itaanzisha vituo vya mabasi
AI-assisted research summary: Halmashauri must establish dedicated bus stations. Other people or entities may run their own bus station only with a special permit from Halmashauri. Vehicle owners or drivers carrying passengers must enter the Halmashauri stand and pay the fee, unless they have the specified permit.
7.-(1) Halmashauri itaanzisha vituo vya mabasi mahsusi kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria na mizigo. (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1), kampuni, taasisi au mtu binafsi anaweza kuanzisha na kusimamia kituo cha mabasi anayomiliki kwa nia ya kupakia na kushusha abiria na mizigo kwa kibali maalumu kutoka kwa Halmashauri. (3) Mmiliki au dereva wa chombo cha usafiri kinachosafirisha abiria ndani na nje ya Halmashauri atapaswa kuingiza chombo hicho stendi ya Halmashauri na kulipa ushuru isipokuwa kwa mmiliki au dereva wa chombo cha usafiri aliyepata kibali chini ya kanuni ndogo ya 15(2) ambaye atalipia ushuru wa stendi kwa Afisa Mwidhiniwa. (4) Kituo cha mabasi cha Halmashauri kinaweza Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) Ushuru wa vituo vya mabasi Kuanzishwa kwa maeneo ya kuegesha pikipiki kutumika kwa ajili ya kuegesha na kulaza vyombo vya usafiri. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ushuru wa stendi kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itozeshe ushuru wa stendi kwa vyombo vya usafiri vinavyoingia na kutoka ndani ya stendi kwa saa 24, na baada ya malipo dereva apewe stakabadhi ya kielektroniki.
8.-(1) Halmashauri itatoza ushuru wa stendi kwa vyombo vya usafiri vinavyoingia na kutoka ndani ya stendi kwa saa ishirini na nne. (2) Baada ya kulipa ushuru wa stendi, dereva wa chombo cha usafiri atapewa stakabadhi ya kielektroniki inayolingana na malipo yaliyofanyika. - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatenga maeneo maalumu kwa
AI-assisted research summary: The council must set aside designated motorcycle parking areas, motorcycle riders must park there, and the council may charge a fee for each motorcycle parked there as provided in the by-law.
9.-(1) Halmashauri itatenga maeneo maalumu kwa ajili ya kuegesha pikipiki kadri itakavyoona inafaa. (2) Dereva wa pikipiki atawajibika kuegesha pikipiki yake katika eneo lililotengwa kwa ajili hiyo. (3) Halmashauri itatoza ushuru kwa kila pikipiki itakayoegeshwa katika eneo la maegesho ya pikipiki kama ulivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Kuzingatia utaratibu wa maegesho - 10 Verify source ↗
Kila dereva wa pikipiki atatakiwa kuzingatia
AI-assisted research summary: Kila dereva wa pikipiki lazima azingatie utaratibu uliowekwa na Halmashauri katika maeneo yaliyotengwa kwa maegesho ya pikipiki.
10. Kila dereva wa pikipiki atatakiwa kuzingatia utaratibu uliowekwa na Halmashauri katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya maegesho ya pikipiki. Kuanzishwa kwa vituo vya magari ya mizigo - 11 Verify source ↗
(1) Halmashauri itaanzisha vituo maalumu kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ianzishe vituo maalumu vya kupakia, kushusha, na kuegesha magari ya mizigo, na inaweza kutoa kibali maalumu kwa mtu binafsi kuanzisha na kusimamia kituo hicho kwa matumizi ya magari ya mizigo tu.
11.-(1) Halmashauri itaanzisha vituo maalumu kwa ajili ya kupakia na kushusha mizigo na kuegesha magari ya mizigo. (2) Vituo vya magari ya mizigo vitaanzishwa na isipokuwa kwamba kusimamiwa na Halmashauri, Halmashauri inaweza kutoa kibali maalumu kwa mtu binafsi kuanzisha na kusimamia kituo na kitatumika kwa ajili ya magari ya mizigo tu. Usajili wa magari ya mizigo - 12 Verify source ↗
Kila mmiliki wa gari la mizigo linalofanya
AI-assisted research summary: Mmiliki wa gari la mizigo linalofanya shughuli ndani ya Halmashauri lazima ahakikishe gari lake limesajiliwa na Halmashauri.
12. Kila mmiliki wa gari la mizigo linalofanya shughuli zake ndani ya Halmashauri atahakikisha gari lake linasajiliwa na Halmashauri. Wajibu wa kuingiza gari - 13 Verify source ↗
Kila mmiliki wa gari la mizigo atakuwa na
AI-assisted research summary: Every owner of a freight vehicle must ensure the vehicle enters the station or is parked in a designated place.
13. Kila mmiliki wa gari la mizigo atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa gari lake linaingia kituo cha Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) la mizigo kituoni Ushuru wa magari ya mizigo Kituo na maegesho maalumu Kufutwa kwa kibali cha Kituo na maegesho maalum magari ya mizigo au linaegeshwa sehemu maalumu iliyotengwa kwa ajili hiyo. - 14 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ushuru wa maegesho
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge a parking fee for each cargo vehicle parked in the cargo vehicle parking area.
14.-(1) Halmashauri itatoza ushuru wa maegesho kwa kila gari la mizigo litakaloegeshwa kwenye maegesho ya magari ya mizigo. (2) Ushuru wa maegesho ya magari ya mizigo utatozwa kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. - 15 Verify source ↗
(1) Mtu au taasisi inaweza kuomba kituo au
AI-assisted research summary: Mtu au taasisi inaweza kuomba kituo au maegesho maalumu kwa kujaza fomu husika, na Halmashauri lazima itoe kibali kwa maombi yaliyoidhinishwa.
15.-(1) Mtu au taasisi inaweza kuomba kituo au maegesho maalumu ya chombo cha usafiri kwa kujaza fomu ya maombi ya kituo au maegesho maalumu kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. (2) Halmashauri itatoa kibali cha kituo au maegesho maalumu kwa mtu au taasisi iliyokubaliwa maombi kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii. (3) Kibali cha kituo au maegesho maalumu kitakachotolewa chini ya kanuni ndogo ya (2) kitaainisha masharti ya matumizi ya kituo au maegesho maalumu na muda wa kibali. - 16 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kufuta kibali cha
AI-assisted research summary: Halmashauri may cancel a station or special parking permit for listed reasons, must give 30 days’ written notice, and must refund fees for the unused period when cancellation is for certain reasons.
16.-(1) Halmashauri inaweza kufuta kibali cha kituo au maegesho maalumu endapo litajitokeza suala lolote kati ya yafuatayo: (a) kuwepo kwa haja ya kutumia eneo husika kwa ajili ya ukarabati, uendelezaji, uboreshaji, upanuzi inayohusu au usimamizi wa barabara; shughuli yoyote (b) kibali kimetolewa kwa mtu au taasisi kutumia eneo husika kwa ajili ya usimikaji wa miundombinu muhimu kwa huduma za jamii; (c) kuna ukiukwaji wa masharti ya kibali; au (d) kuendelea kuwepo kwa kituo au maegesho maalumu kunaonekana kutokuwa na tija au kuwa kinyume na maslahi ya umma. (2) Endapo Halmashauri inakusudia kufuta kibali Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) cha kituo au maegesho maalumu, maandishi ya siku thelathini kwa mtu aliyepewa kibali. itatoa notisi ya (3) Endapo kibali kitafutwa kwa sababu yoyote iliyoainishwa katika aya (a), (b) au (d) ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri itakuwa na wajibu wa kurejesha ushuru uliolipwa kwa muda uliosalia wa kibali. Wajibu wa kulipa ushuru na kudai risiti - 17 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa chombo cha usafiri
AI-assisted research summary: Kila mmiliki wa chombo cha usafiri lazima alipe ushuru kama ulivyoelekezwa hapa, malipo ya ushuru wa maegesho yafanyike kwa mfumo, na mlipaji wa ushuru lazima aombe risiti.
17.-(1) Kila mmiliki wa chombo cha usafiri atawajibika kulipa ushuru kama inavyoelekezwa katika Sheria Ndogo hii. (2) Malipo ya ushuru wa maegesho yatafanyika kwa njia ya mfumo. (3) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), mmiliki atakayelipa ushuru chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kudai risiti. Mamlaka ya Halmashauri kwenye vyombo vya usafiri - 18 Verify source ↗
(1) Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: The Council may control parking areas by stopping vehicle removal, immobilizing or towing vehicles, removing movable items after 7 days’ notice, and auctioning long-held items with a court order. No one may take property held by the Council unless they have paid the Council’s removal and storage costs.
18.-(1) Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, katika kusimamia maeneo ya maegesho, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya- (a) kuzuia kuondolewa kwa chombo cha usafiri kktoka katika eneo la maegesho; (b) kukifunga chombo cha usafiri katika eneo la maegesho kwa kutumia kifaa maalum; (c) kukinyanyua au kukivuta chombo cha usafiri la maegesho kwa eneo kutoka katika madhumuni ya kukihifadhi; (d) kuondoa kitu chochote kinachohamishika kilichopo katika eneo la maegesho baada ya kutoa notisi ya siku saba kwa mmiliki wa kitu hicho; na (e) kuuza kwa njia ya mnada, baada ya kupata amri ya Mahakama, kitu chochote ambacho kipo chini ya hifadhi ya Halmashauri kutokana na utekelezaji wa Sheria Ndogo hii kwa muda usiopungua miezi sita. (2) Mtu yeyote hataruhusiwa kuchukua kitu chochote kilicho chini ya hifadhi ya Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii isipokuwa tu kama mtu huyo Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) amelipa atakuwa na Halmashauri katika kukiondoa na kukihifadhi kitu hicho kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1). zilizoingiwa gharama zote Zuio la kuegesha Kuegesha kwa dharura - 19 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kuzuia kuegesha gari au
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuweka alama za “Hakuna kuegesha hapa” au “No Parking” na kuzuia maegesho katika eneo fulani.
19.-Halmashauri inaweza kuzuia kuegesha gari au chombo chochote cha usafiri katika eneo fulani kwa kuweka alama au kibao kilichoandikwa “Hakuna kuegesha hapa” au “No Parking” kwa sababu zifuatazo: (a) kuongeza usalama kwa kurahisisha mzunguko wa magari; (b) kuwepo kwa ujenzi au ubomoaji katika eneo husika; au (c) sababu nyingine yoyote ambayo Halmashauri itaona inafaa. - 20 Verify source ↗
(1) Halmashauri au Wakala anaweza kusamehe
AI-assisted research summary: Halmashauri au Wakala inaweza kusamehe ushuru wa maegesho ya dharura, lakini mtu anayepaki kwa dharura lazima aweke au aonyeshe viashiria vya maegesho ya dharura.
20.-(1) Halmashauri au Wakala anaweza kusamehe malipo ya ushuru kwa mtu yeyote atakayeegesha chombo cha usafiri kwa dharura. (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1) mtu yeyote atakayeegesha chombo cha usafiri kwa dharura atatakiwa kuweka au kuonesha viashiria vya kuegesha chombo cha usafiri wakati wa dharura. Vitendo visivyoruhusi wa - 21 Verify source ↗
Vitendo vifuatavyo havitaruhusiwa kwa
AI-assisted research summary: Mmiliki wa chombo cha usafiri haruhusiwi kufanya au kuosha gari kwenye stendi, kuosha mahali pasipoidhinishwa na Halmashauri, kuliacha kituoni zaidi ya saa mbili, au kuegesha katika maeneo yasiyoruhusiwa.
21. Vitendo vifuatavyo havitaruhusiwa kwa mmiliki wa chombo cha usafiri: (a) kutengeneza au kuosha chombo cha usafiri ndani ya stendi; (b) kuosha chombo cha usafiri katika maeneo yasiyoruhusiwa na Halmashauri; (c) kuruhusu gari kuendelea kuwepo kituoni kwa zaidi ya masaa mawili; (d) kuegesha au kulaza chombo cha usafiri kwenye maeneo ya barabara ambayo hayaruhusiwi; (e) kuegesha chombo cha usafiri katika njia au katika eneo lolote lililotengwa maalumu kwa ajili ya waenda kwa miguu na barabara za huduma; au (f) kuegesha gari kubwa la mizigo katika eneo tofauti Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) na maeneo yaliyoidhinishwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Msamaha wa ushuru wa maegesho - 22 Verify source ↗
(1) Vyombo
AI-assisted research summary: Baadhi ya vyombo vya usafiri havitozwi ushuru wa maegesho, na Halmashauri inaweza kwa kibali maalumu kuruhusu mtu yeyote kutumia maegesho bila kulipa ushuru huo.
22.-(1) Vyombo vya usafiri vifuatavyo havitatakiwa kulipa ushuru wa maegesho: (a) chombo cha usafiri kinachomilikiwa na Serikali chenye namba za usajili rasmi zinazotumiwa na vyombo vya usafiri vya Serikali; (b) chombo cha usafiri kinachomilikiwa na taasisi yenye hadhi ya kidiplomasia chenye namba rasmi za usajili zinazotumiwa na vyombo vya usafiri vinavyomilikiwa na taasisi za kidiplomasia; (c) chombo cha usafiri kinachoegeshwa katika maegesho yaliyo jirani na nyumba za ibada wakati wa ibada; (d) chombo cha usafiri kinachoegeshwa katika maegesho yaliyo karibu na eneo linalotumika kwa muda huo kwa shughuli za kitaifa; (e) chombo cha usafiri kinachotumiwa na mtu mwenye ulemavu kwa madhumuni yasiyo ya kibiashara; na (f) chombo cha usafiri kwa ajili ya usafirishaji wa wagonjwa. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza, kwa kibali maalumu, kumruhusu mtu yeyote kutumia maegesho bila kulipa ushuru wa maegesho. - 23 Verify source ↗
(1) Ushuru wa maegesho utatozwa kila siku
AI-assisted research summary: Parking charges are levied daily, including when a vehicle is parked for more than five minutes in a parking area.
23.-(1) Ushuru wa maegesho utatozwa kila siku kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Ushuru wa maegesho utatozwa kwenye chombo cha usafiri endapo kitaegeshwa kwa zaidi ya dakika tano katika eneo la maegesho. (3) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1) na (2), ushuru wa maegesho utatozwa kwa saa, siku, wiki, mwezi au mwaka. Muda wa utozaji wa ushuru wa maegesho Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) Uteuzi wa Wakala - 24 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kuteua Wakala ili
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua Wakala wa kukusanya ushuru wa maegesho kwa niaba yake, na Wakala lazima akusanye, asimamie rekodi, na awasilishe makusanyo kulingana na masharti yaliyowekwa.
24.-(1) Halmashauri inaweza kuteua Wakala ili kukusanya ushuru wa maegesho kwa niaba yake chini ya Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni hii atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru wa maegesho kwa kutumia mfumo wa kielektroniki kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; ya kielektroniki (b) kusimamia eneo la maegesho na kuchukua, kwa njia nyingine itakayoidhinishwa na Halmashauri, kumbukumbu zote za vyombo vya usafiri vinavyoegeshwa katika eneo la maegesho na kuziwasilisha kwa Halmashauri; na njia au (c) kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri Makosa - 25 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa ikiwa
AI-assisted research summary: Mtu anatenda kosa akifanya mojawapo ya vitendo vilivyoorodheshwa kuhusu ushuru, stendi, maegesho, mabasi, au miundombinu ya maegesho.
25. Mtu anatenda kosa ikiwa- (a) anakataa au anakwepa kulipa ushuru; (b) anaosha gari au anafanya matengenezo ya gari ndani ya eneo la stendi; (c) anapakia abiria au mizigo katika sehemu isiyoruhusiwa; (d) anamzuia kwa njia yoyote ile Afisa Mwidhiniwa au wakala kukusanya ushuru; (e) anamshawishi mtu au kundi la watu kukataa kulipa ushuru; (f) analaza gari katika barabara za Halmashauri; (g) anaegesha gari katika eneo ambalo haliruhusiwi kwa ajili ya maegesho; (h) anaanzisha au anaendesha kituo cha mbasi au maegesho bila kibali cha Halmashauri; (i) anaharibu miundombinu ya maegesho; au (j) anaegesha gari vibaya katika eneo la maegesho. Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) Adhabu - 26 Verify source ↗
(1) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote
AI-assisted research summary: Mtu akitiwa hatiani chini ya Sheria Ndogo hii anaweza kutozwa faini, kifungo, au vyote. Akiwa amehukumiwa kwa kuharibu miundombinu ya maegesho, pia lazima airekebishe au alipe gharama za marekebisho.
26.-(1) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote. (2) Pamoja na adhabu katika kanuni ndogo ya (1), la kuharibu mtu atakayekutwa na hatia kwa kosa miundombinu ya maegesho atakuwa na wajibu wa kurekebisha miundombinu hiyo kwa madhumuni ya kuirejesha katika hali yake ya awali chini ya usimamizi wa Halmashauri au kulipa kwa Halmashauri gharama za marekebisho husika. Kufifilisha kosa - 27 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa na kumtoza mkosaji shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa, anajaza fomu maalum ya Jedwali la Nne, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
27. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Nne la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) ______________ JEDWALI LA KWANZA ____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 6(4)) SEHEMU A: USHURU WA MAEGESHO YA MAGARI BINAFSI NA YA BIASHARA Na. Aina ya Chombo cha Usafiri Muda wa kuegesha cha Kiwango ushuru (Shilingi) 500/= 1,500/= 1,000/= Gari binafsi la kutembelea Gari kubwa la mizigo tani 3.5- tani 7 Kuanzia dakika 5 hadi saa 1 Siku nzima Kuanzia dakika 5 hadi saa 1 Siku nzima 3,000/= Gari kubwa la mizigo kuaniza tani 7na kuendeea Kuanzia dakika 5 hadi saa 1 1,500/= Siku nzima 5,000/= Pickup au gari nyingine ndogo za mizigo Kuanzia dakika 5 hadi saa 1 500/= Siku nzima 2,000/= SEHEMU B: USHURU WA VITUO VYA MABASI (STENDI) Kiwango cha Ushuru (Shilingi) MUDA Aina ya Chombo cha Usafiri Basi kubwa 5,000/= 1,000/= 500/= 500/= Basi la kati (Costa) 2,000/= Basi dogo Gari binafsi inayoingia na kutoka stendi Pikipiki magurudumu matatu Teksi za zinazoingia 500/= Kila linapotoka Kila linapotoka Kila linapotoka Kila linapotoka Kila linapotoka Kila linapotoka 1 2 3 3 Na . 1 2 3 4 5 6 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) 7 8 9 10 10 13 14 stendi Mtu binafsi anapoingia stendi Baiskeli stendi Mkokoteni inapoingia 200/= 200/= 500/= Gari lolote linapolazwa stendi kuu Hiace zinazolala stendi za usafiri wa ndani ya Halmashauri Pikipiki ikilala stendi za usafiri wa ndani ya Halmashauri Bajaji au guta likilala stendi za usafiri wa ndani ya Jiji 5,000/= 2,000/= 1,000/= 1,000/= Kila linapotoka Kila linapotoka Kila unapotoka stendi Kwa usiku mmoja Kila usiku mmoja Kila usiku mmoja Kila usiku mmoja SEHEMU C: USHURU WA MAEGESHO YA PIKIPIKI ZA MAGURUDUMU MAWILI NA MATATU Na. AINA YA PIKIPIKI 1 2 Pikipiki za magurudumu mawili Pikipiki za magurudumu matatu Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 300/= 500/= MUDA Kwa siku Kwa siku SEHEMU D ADA YA KIBALI CHA KUANZISHA KITUO CHA MABASI AU MAEGESHO MAALUMU Na.
Part
SEHEMU D
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section gives fee amounts for different station/parking types and contains forms for applying for a special station/parking permit and for confessing an offence.
3. Aina ya Kituo au Maegesho Kituo cha mabasi Magari makubwa Magari madogo Kiwango cha ada 300,000/= 100,000/= 50,000/= MUDA Kwa Mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka _________ JEDWALI LA PILI __________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 15(1)) MAOMBI YA KIBALI CHA KITUO AU MAEGESHO MAALUMU Fomu Na……........…. Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) Jina la Mwombaji:..………....…………………..………….…..... Anwani ya Mwombaji:………………………..…..………........... Namba ya simu ya Mwombaji:.................................................... Mahali anapoishi:........................................................................ Ukubwa wa eneo la Kituo au maegesho linaloombewa kibali (meta za mraba):…...….. Eneo analoomba kwa ajili ya Kituo au maegesho: Mtaa:.……barabara:.......Jengo:....... Maelezo mengine (ikiwa yapo)........................................................................ Ninakiri kusoma, kuyaelewa na kukubali masharti ya kibali cha Kituo au maegesho maalumu. Jina:…………………………………………………………..........………… Wadhifa:………………………………………………......………………… Saini:………………………………………………........……………………… Tarehe:.…………………………………………........………………………… __________ JEDWALI LA TATU _________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 15(2)) KIBALI CHA KITUO AU MAEGESHO MAALUM Kibali Na.................... Jina: ..................................................................................................... Anwani: .............................................................................................. Namba ya Kitambulisho cha Taifa: .........................SIMU......................... Namba ya Stakabadhi: .....................amelipa Sh...................................... Eneo lilipo: Mtaa:..……………barabara:……..Jengo:…………......… Ukubwa wa eneo la Kituo au Maegesho (mita za mraba):………....... Kiasi kilicholipwa kwa miezi Jumla ya sh......................................... Muda wa kibali ni mwaka mmoja kuanzia..................hadi................... Maelezo mengine yatakayohitajika (kama yapo):……………......…. Kimetolewa tarehe…………mwezi……………….mwaka……….........….. Kimetolewa na:- Jina:………………………………………………………..…………….. Wadhifa:………………………………………………….…………………. Saini.................................................. Muhuri wa Ofisi:.………….................... Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) __________ JEDWALI LA NNE ________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 27) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ........................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MIMI MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kwamba Tarehe ..........ya Mwezi .................. Mwaka................ nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya kanuni ya ……..ya Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri niko tayari kulipa kiasi cha shilingi………………………………………………………………………. badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo Tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka ………..… Jina: ....................................................... Saini: ....................................................... MBELE YA: Jina…….................................................. Wadhifa: .................................................. Saini: ....................................................... Tarehe: .................................................... 14 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara Na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Tangazo la Serikali Na. 515 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Jiji la Arusha imegongwa kwenye sheria ndogo hii kufuatia Azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri Jiji la Arusha uliofanyika tarehe 03 Mwezi Novemba, 2023 na imegogwa mbele ya; INJ. JUMA HAMSINI Mkurugenzi wa Jiji la Arusha MAXIMILIAN J. IRANQHE Meya wa Jiji la Arusha NAKUBALI, L.S Dodoma MOHAMED OMARYMCHENGERWA 20 Februari, 2024 Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Tawala za mikoa na serikali za mitaa) 15
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Barabara na Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Jiji la Arusha ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in