Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe ya Mwaka 2024
This section states the short title of the by-law: the Mbogwe District Council Fees and Revenue By-law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the by-law: the Mbogwe District Council Fees and Revenue By-law, 2024. Sheria Ndogo hii inatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe. Sehemu hii inafafanua maneno muhimu yanayotumiwa katika Sheria Ndogo hii, kama ada, ushuru, Halmashauri, kibali, soko, kituo cha mabasi, Wakala, na mengine. Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake, na malipo lazima yafanywe kabla au wakati wa kupokea huduma. Anyone who is required to pay a fee or tax under this by-law must pay it on time.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe ya Mwaka 2024
Showing 38 of 38
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section states the short title of the by-law: the Mbogwe District Council Fees and Revenue By-law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: Sheria Ndogo hii inatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: Sehemu hii inafafanua maneno muhimu yanayotumiwa katika Sheria Ndogo hii, kama ada, ushuru, Halmashauri, kibali, soko, kituo cha mabasi, Wakala, na mengine.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahutaji vinginevyo: “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria au mizigo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa baiskeli, mkokoteni au wanyama wanaotumika kusafirisha watu au mizigo; lengo “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “soko” maana yake ni eneo liliotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kwa ajili ya kutolea huduma na biashara za mazao na bidhaa mbalimbali; “hifadhi ya barabara” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Barabara; Sura ya 167 “kituo cha mabasi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “ushuru” maana yake ni maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali la Halmashauri; zinazofanywa katika eneo “ushuru wa huduma” maana yake ni ushuru unaotozwa au unaokusanywa na Halmashauri kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni, taasisi ya biashara au mfanyabiashara kwa huduma anazopata kutokana na umma inayomuwezesha kufanya biashara katika eneo la Halmashauri; kutumia miundombinu ya “Wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ada na ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii; “mwalo” maana yake ni miundombinu ya wachimbaji wadogo wa kukamatia dhahabu kwa kutumia madini ya zebaki ambao umejengwa kwa saruji, kuzungushiwa mfereji wenye na kuwekewa uzio madhubuti ili kuzuia uchafuzi wa nailoni 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) mazingira; Utozaji wa ada au ushuru “mtambo wa kuchenjulia mabaki ya mchanga kwa kemikali” au “vat leaching plant” maana yake ni mtambo unaotumika kuchejua mabaki ya mchanga yanayosadikika kuwa na dhahabu kwa kutumia kemikali aina ya sianidi baada ya mabaki hayo kuchenjuliwa na zebaki; “tani moja ya mazao mchanganyiko” maana yake ni ujazo wa gunia kumi za mazao mchanganyiko wenye uzito usiozidi kilo tisini kila moja au ujazo wa kuanzia gunia kumi za mazao ambazo kila gunia halizidi ujazo wa debe sita.
Part
sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake, na malipo lazima yafanywe kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali au leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama kwa viwango vilivyoilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo (1), uUshuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), aAda zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Anyone who is required to pay a fee or tax under this by-law must pay it on time.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kwa wakati. wa Muda kukusanya ada au ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hukusanywa kati ya saa 12:00 asubuhi na saa 12:00 jioni, lakini mwidhiniwa au wakala anaweza kukusanya baada ya muda huo ikiwa ana kibali maalumu cha Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1), Afisa 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) Ukusanyaji wa madeni Mwidhiniwa au Wakala, kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kupitia Mahakama, kukamata mali zinazohamishika za mdaiwa, na kuuza mali zilizokamatwa baada ya masharti fulani.
7.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. zilizokamatwa (5) Kabla ya Halmashauri kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa kwa 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. Uteuzi Wakala wa ya Mamlaka Afisa Mwidhiniwa - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri ina mamlaka ya kuteua wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake, na wakala aliyechaguliwa lazima akusanye na kuwasilisha makusanyo kulingana na masharti yaliyowekwa.
8.-(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua Wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala atakayeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 9 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti negine ya Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa saa za mchana kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia mambo ya ada, ushuru, leseni au kibali chini ya Sheria Ndogo hii.
9. Bila kuathiri masharti negine ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Makosa - 10 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: A person commits an offence if they avoid or refuse to pay fees or taxes, obstruct officials, use forged documents, give false information, or transport unpaid goods.
10. Mtu anatenda kosa endapo- (a) anashindwa, anadharau, anakwepa au anakataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) anamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) anamzuia Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) anatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) anatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa leseni ya ushuru na zinazohitaji kibali au Halmashauri; au (f) anatumia chombo chochote kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. - 11 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence under the bylaw must pay a fine, go to prison, or face both penalties.
11. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa lolote kinyume cha Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kutoza shilingi laki mbili kwa mtu aliyekiuka Sheria Ndogo hii, ikiwa mkosaji anakiri kosa, anakubali kujaza fomu maalumu, na kulipa ada au ushuru unaodaiwa.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Adhabu Kufifilisha kosa Kufutwa kwa Sheria Ndogo TS. Na. 603 Mwaka 2015 - 13 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya
AI-assisted research summary: This section repeals the Mbogwe District Council Fees and Levies By-law, 2015.
13. Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Mwaka 2015 inafutwa. 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) ____________ JEDWALI LA KWANZA _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA USHURU WA MAZAO MCHANGANYIKO Na
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists local fees: a 3% crop purchase permit fee, annual vehicle registration fees, and a yearly fee for some other crops.
5. Aina ya zao Viazi Kabichi Karoti Matunda Vitunguu maji Nyanya Mchele Mahindi/alizeti/mtama/mpunga Pamba/tumbaku zao jingine lolote litakalolimwa na kuuzwa katika mamlaka ya Halmashauri Kibali cha kununua mazao Kiwango 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. Tshs 100,000/= kwa Mwaka SEHEMU YA PILI ADA YA USAJILI WA VYOMBO VYA USAFIRI Chombo cha Usafiri Pikipiki Bajaji Taksi/Pick up/mabasi madogo chini ya abiria 25 Mabasi makubwa au lori Mitambo ya ujenzi (trekta, katapila, n.k) Ada ya Usajiri kwa Mwaka 17,000/= 22,000/= 30,000/= 80,000/= 50,000/= SEHEMU YA TATU USHURU WA MAEGESHO KWA MAENEO YALIYOTENGWA KWA AJILI YA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI AU BIASHARA. Na.
Part
SEHEMU YA TATU
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Kipengele hiki kinaweka ada/ushuru wa kila siku kwa aina mbalimbali za vyombo vya usafiri katika eneo la halmashauri.
7. Chombo cha Usafiri Pikipiki Bajaji Taksi Lori chini ya tani 7/pick up/basi dogo Lori zaidi ya tani 7/basi kubwa Ushuru wa kituo cha mabasi Mabasi makubwa zaidi ya abiria 25 Mabasi madogo chini ya abiria 25 Magari mengine yasiyo ya biashara 7 Kiasi kwa siku 300/= 500/= 500/= 3,000/= 4000/= 2000/= 1000/= 500/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) ADA NA USHURU WA KULAZA VYOMBO VYA USAFIRI MAENEO YALIYOTENGWA NA Na. Aina ya chombo cha usafiri Kiasi kwa Siku HALMASHAURI SEHEMU YA NNE
Part
SEHEMU YA NNE
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The text lists fees for different vehicle types, including trucks, buses, taxis, and private non-business vehicles.
6. Gari (lori kubwa la mizigo) Fuso, kenta au magari mengoine ya mizigo Basi kubwa Teksi Magari binafsi yasiyo ya biashara 5,000/= 3,000/= 3,000/= 1,000/= 1,000/= SEHEMU YA TANO ADA YA VIBALI VYA SHEREHE, MATANGAZO, BURUDANI NA SHUGHULI ZA UTAMADUNI. Na.
Part
SEHEMU YA TANO
- 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: This section lists council service fees and charges for various permits, entertainment activities, sports events, slaughterhouse/meat inspection services, and renting council property.
16. Aina ya huduma Kibali cha ngoma za jadi Mnada wa bidhaa Mshereheshaji (MC) Mapambo Wapishi katika sherehe Kibali cha kuchezesha maonesho,disko,bendi na sanaa za maonesho Kibali cha kuchezesha michezo ya kubahatisha Kibali cha matangazo ya biashara Mechi za mpira uwanja wa Halmashauri Michezo ya pool/fete Michezo ya korokoro Kibali cha mechi za mpira Mazingaombwe Ada ya usajili wa vikundi vya Sanaa Ada ya usajili na vibali vya kumbi za burudani Usajili na vibali vya vyama au vilabu vya michezo 8 Kiasi cha malipo 20,000/=kwa siku 10,000/=kwa siku 10,000/=kwa siku 20,000/=kwa siku 20,000/=kwa siku Kijijini 20,000/=kwa siku Mjini 50,000/=kwa siku 300,000/= kwa kibali kwa mwaka 10,000/= kwa tangazo 10% ya mapato ya kila mechi 10,000/= kwa mwezi 20,000/= kwa mwezi 10,000/=kwa kila mechi 5,000/= kwa siku mija 25% ya usajili wa gharama za usajili BASATA 25% ya usajili wa gharama za usajili BASATA 25% ya usajili wa gharama za usajili BASATA Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) 1,500/= Kiasi kwa kila mmoja 4,000/= 3,000/= SEHEMU YA SITA ADA YA HUDUMA ZA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA Aina ya mfugo Ng’ombe Ada ya ukaguzi kwa ng’ombe aliyechinjwa Ada ya uchinjaji/machinjio kwa kila kondoo/mbuzi atakayechinjwa Ada ya ukaguzi ka kila kondoo/mbuzi atakayechinjwa Mifugo mingine Ada ya ukaguzi kwamifugo mingine Ushuru wa bucha la ng’ombe, kondoo, nguruwe na samaki Ushuru wa ngozi ya ng’ombe Ushuruwa kulaza ng’ombe machinjioni Ushuru wa kulaza mbuzi/kondoo machinjioni Ada ya ukaguzi wa gari ya kubebea nyama 2000/= 2,000/= 500/= 50,000/=kwa Mwaka 1,500/= 300/= 1,000/=kwa siku kwa kila mmoja 500/=kwa siku kwa kila mmoja SEHEMU YA SABA ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI Huduma Ada ya pango la vibanda/vizimba vya biashara Kukodi ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya vikao, mikutano na sherehe Kukodi viti vya Halmashauri Mitambo (trekta, Total station, vifaa vya GPS na n,k) Kukodi vipaza sauti na matarumbeta Kutumia uwanja wa michezo kwa shughuli za biashara Kusoma nyaraka za wazi za Halmashauri Kutumia maktaba ya Halmashari Mali nyingine ya Halmashauri Kiwango Tozo itatajwa kwenye mkataba Tozo itatajwa kwenye mkataba Tozo itatajwa kwenye mkataba Tozo itatajwa kwenye mkataba Tozo itatajwa kwenye mkataba Tozo itatajwa kwenye mkataba Tozo itatajwa kwenye mkataba Tozo itatajwa kwenye mkataba Tozo itatajwa kwenye mkataba Namba
Part
SEHEMU YA SABA
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Section 9 is a heading for the provision titled “Sehemu ya Nane Ada ya Ukaguzi wa Afya Namba.”
9. SEHEMU YA NANE ADA YA UKAGUZI WA AFYA Namba
Part
SEHEMU YA NANE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ada ya TZS 3,000 inalipwa kila baada ya miezi mitatu kwa huduma za nyumba za starehe kama baa, vilabu vya pombe za kienyeji, na nyumba ya kulala.
1. Huduma Nyumba za starehe (baa, vilabu vya pombe za kienyeji, na nyumba ya kulala Ada 3,000/=kila baada ya miezi mitatu 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists fees for health inspections and livestock-related taxes/fees, with different amounts for different categories.
3. wageni) Nyumba ya kutengeneza na kuuzoia vyakula au nyama choma Ukaguzi wa viwanda vikubwa Ukaguzi wa viwanda vya kati Ukaguzi wa viwanda vidogo Kusajiliwa na kupima afya kwa wahudumu wa kulala nyumba za wageni, vinyozi, katika saluni za kike/kiume, hoteli, migahawa, wauzaji wa bucha, zahanati, mama/baba lishe, wauza matuda, baa, glosari, pombe za kienyeji, wafanyakazi sehemu za kuokea mikate na wahudumu katika mashine za nafaka Kupima afya wanaojiunga vyuo, jeshi Kupima afya kwa wanaotaka kuajiriwa 3,000/=kila baada ya miezi mitatu 150,000/=kwa mwaka 100,000/=kwa mwaka 50,000/=kwa mwaka 2,000/= kwa kila muhudumu kila baada ya miezi mitatu 1,000/= 5,000/= SEHEMU YA TISA USHURU WA MINADA YA MIFUGO Ushuru wa mifugo Ng’ombe/punda (bila kibali) Mbuzi/kondoo/nguruwe (bila kibali) Kuku/bata/kanga Kuku/bata/kanga Mifugo mingine Kiasi 4000/=kwa kila mmoja 1500/=kwa kila mmoja 2000/=tenga la kuku kuanzia 10 hadi 50 5,000/=kuanzia 51 na kuendelea 2,000/= kwa kila mmoja SEHEMU YA KUMI ADA YA KUOGESHA MIFUGO Aina ya mifugo Ng’ombe/punda Mbuzi/kondoo Mifugo ya kufuga sio kwa chakula Kiasi 400/=kwa kila mmoja 200/=kwa kila mmoja 300/=kwa kila mmoja SEHEMU YA KUMI NA MOJA USHURU WA BIDHAA NYINGINE ISIYO MIFUGO INAYOUZWA MINADA YA MIFUGO. Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This provision lists daily market/tax charges for several seller categories.
5. Ushuru Wauzaji wa nguo/mitumba Mama lishe Wauzaji wa vinywaji Biashara ndogondogo Pombe za asili Kiasi kwa siku 1,000/= 1,000/= 2,000/= 300/= 500/= 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA MBILI USHURU WA MAGULIO, MASOKO NA MINADA ISIYO YA MIFUGO Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision lists types of activities/products: a chicken-selling stall in the market, and sales of bran and peanut shells.
2. Aina ya shughuli/bidhaa Banda la kuuzia kuku sokoni, gulioni na mnadani Uuzaji wa pumba na maganda ya karanga - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Inaonekana kuorodhesha ushuru/ada kwa samaki, dagaa na baadhi ya vyombo vya usafirishaji.
5. Ushuru wa samaki wakavu Ushuru wa samaki wabichi Ushuru wa dagaa Kiasi 500/= kwa siku 500/=kwa tripu mkokoteni wa punda 5,000/= kwa tripu trekta/fuso 10,000/=kwa tripu malori makubwa 1,000/= kwa tenga 1,000/=kwa tenga 1,000/=kwa tenga SEHEMU YA KUMI NA TATU USHURU WA MAGARI YANAYOINGIA KATIKA MAGULIO, MASOKO NA MINADA Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha kiasi cha kila siku kwa magari tofauti katika gulio au soko.
5. Aina ya gari Gari dogo la abiria Gari kubwa la abiria Gari la mizigo lisilozidi tani 3 Gari la mizigo linalozidi tani 3 Magari mengineyo Kiasi kwa siku ya gulio au soko 1,000/= 1,000/= 1,000/= 2,000/= 3,000/= SEHEMU YA KUMI NA NNE USHURU WA MADINI YA UJENZI Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists fee amounts by vehicle weight and per additional ton, then begins a new section on inspection and ownership of construction-mineral mining.
3. Uzito wa gari Tani 1-2 Tani 3-7 Kwa kila tani itakayoongezeka Kiasi kwa kila safari 3,000/= 5,000/= 1,000/= SEHEMU YA KUMI NA TANO ADA YA UKAGUZI NA UMILIKI WA KUCHIMBA MADINI YA UJENZI Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada za ukaguzi wa eneo la madini, ada za mabango ya matangazo, na ada za vibali mbalimbali vya ujenzi.
2. Ada ya Ukaguzi Ada ya ukaguzi wa eneo jipya linalokusudiwa kuchimbwa madini ujenzi Ada ya umiliki wa eneo la kuchimbwa madini ujenzi Kiwango 30,000/= 50,000/= 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA SITA ADA YA MATANGAZO YA MABANGO. Aina ya matangazo Mabango ya biashara yasiyong’aa (kwa kila futi moja ya mraba) Mabango ya biashara yanayong’aa (kwa kila futi moja ya mraba) Mabango ya biashara yasiyong’aa (yanayodumu kwa siku saba) Mabango ya biashara yanayong’aa (yanayodumu hadi siku saba) Mabango ya biashara yasiyong’aa (yanayodumu hadi siku thelathini) Mabango ya biashara yanayong’aa (yanayodumu hadi siku thelathini) Kiasi cha Ada 15,000/= kwa mwaka 25,000/=kwa mwaka 3,000/=kwa kila futi moja 4,500/=kwa kila futi moja 5,000/=kwa kila futi moja 7,500/=kwa kila futi moja SEHEMU YA KUMI NA SABA ADA YA VIBALI VYA UJENZI Ujenzi/upimaji wa;- Ghorofa Nyumba ya biashara Nyumba ya makazi Kituo cha mafuta Majengo ya taasisi binafsi Maghala na bohari Nyumba ya biashara na makazi Kibali cha ujenzi wa Mnara wa simu Upimaji wa mashamba kwa ajili ya kutengeneza hati miliki Kwa kila kibali 300,000/= 100/000/= 50,000/= 300,000/= 500,000/= 200,000/= 120,000/= 1,500,000/=kwa mnara 250,000/=kwa ekari 1-5 300,000/= zaidi ya ekari 5 Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Section heading for the chapter on building alterations, surveying, and cleaning of plots.
9. SEHEMU YA KUMI NA NANE ADA YA MABADILIKO (ALTERATION) YA JENGO LILILOPO, UPIMAJI NA USAFISHAJI WA VIWANJA Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada mbalimbali za kukagua viwanja na ada kwa kila kibali kwa aina tofauti za majengo.
8. Aina ya jengo Nyumba ya kuishi Nyumba ya biashara Ghorofa Kiwanda, bohari, ghala Ada ya kukagua kiwanja kidogo (High density) Ada ya kukagua kiwanja cha kati (medium density) Ada ya kukagua kiwanja kikubwa (low density) Ada ya kukagua kiwanja kikubwa zaidi (super Kiasi cha Ada kwa kila kibali 100,000/= 150,000/= 400,000/= 200,000/= 10,000/= 20,000/= 30,000/= 40,000/= 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) low density) SEHEMU YA KUMI NA TISA USHURU WA MAZAO YA MISITU YA HALMASHAURI Na. Aina ya zao
Part
SEHEMU YA KUMI NA TISA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango vya malipo/ushuru kwa mauzo ya mkaa bila kibali na baadhi ya bidhaa za miti.
2. Gunia la mkaa Mauzo ya mkaa usiokua na kibali Kiwango Tsh. 1,000/= kwa gunia Tsh. 15,000/= kwa gunia Ushuru wa nguzo za miti ya kupanda Mauzo ya nguzo zisizokua na kibali Magogo Fito mita moja ya ujazo Mabanzi Kuni Mbao za miti ya kupandwa Samani - 13 Verify source ↗
Nta
AI-assisted research summary: This section lists various fees and charges, including several amounts in Tanzanian shillings and one 5% rate tied to purchase price per kilogram.
13. Nta Tsh.500/= kwa kila nguzo Tsh. 3,000/= kwa kila nguzo Tshs 15,000/= kwa kila gogo Tshs. 5,000/= kwa kila mita moja ya ujazo Tsh. 500/= kwa kila banzi Tsh. 6,500/= kwa kila mita za ujazo Tsh. 500/= kwa kila ubao mmoja Tsh.2,000/= kwa kila kimoja Tsh.5,000/= kwa kila mti Tsh.3,000/= kwa kila debe 5% ya bei ya kununulia kwa kilo SEHEMU YA ISHIRINI ADA NA USHURU WA SHUGHULI ZA MADINI YANAYOSADIKIKA KUWA NA DHAHABU Na. Aina ya shughuli
Part
SEHEMU YA ISHIRINI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada/ushuru unaohusiana na usafirishaji nje ya Wilaya na vitu kama plant, mifuko ya mawe, carboni, mwalo, na karasha.
2. Kusafirisha senga/marudio nje ya Wilaya Ada ya umiliki wa plant, CIP,CIL, na Elution plant Ushuru wa mifuko ya mawe Usafirishaji wa Carboni nje ya Wilaya Ushuru wa mwalo Ushuru wa karasha Usafirishaji wa mifuko ya Mawe nje ya Wilaya - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha viwango vya fedha kwa bidhaa au shughuli mbalimbali.
7. Kiasi 100,000/= kwa kila senga/marudio 1,500,000/= 1,000/=kwa kila mfuko mmoja 2,000,000/=kwa msafirishaji 10,000/=kwa mwezi kwa kila mwalo 10,000/=kwa mwezi kwa kila karasha 1500/=kwa kila mfuko SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA MGODI/RUSH ZA UCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU Na.
Part
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Inaonyesha idadi ya mifuko ya mawe inayotolewa kwa kila duara kulingana na kundi la idadi lililotajwa.
6. Idadi ya mifuko kwa kila duara 11-49 50-99 100-114 115-148 149-183 Idadi ya mifuko ambayo haikutajwa Idadi ya mifuko 1 mfuko wa mawe 2 mifuko ya mawe 3 mifuko ya mawe 4 mifuko ya mawe 5 mifuko ya mawe Itatolewa kulingana na idadi kwa kufuata mtiririko wa hapo juu 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) Na. Aina ya kikundi - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section lists registration and monthly sanitation service fees, including a CBO registration fee and various waste-collection charges.
1. Usajili wa vikundi (CBOs) Kiwango 30,000/= SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI ADA YA USAJILI WA VIKUNDI SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU ADA YA HUDUMA YA USAFI WA MAZINGIRA Na. Aina 1 2 Kiasi cha Ada kwa Mwezi Tsh.4,000/= Tsh.2,000/= Tsh.5,000/= Wafanyabiashara wa sokoni Kuzoa taka Majumbani na maeneo ya mijini kila nyumba Kuzoa taka jengo la soko la dhahabu kwa kila sonara mwenye jiko Kuzoa taka Taasisi za Umma Kuzoa taka Taasisi binafisi Kuzoa taka Kituo cha mafuta Kuzoa taka Duka la dawa la jumla na rejareja Kuzoa taka Duka la dawa la rejareja Kuzoa taka Stationaries na duka la kuuza vitabu Kuzoa taka Duka la jumla na rejareja Kuzoa taka Mgahawa Kuzoa taka Grocery na kioski Kuzoa taka kwenye Bar Kuzoa taka Duka la kuuza samaki/nyama Kuzoa taka Kumbi za mikutano/sherehe/krabu za usiku Kuzoa taka Mashine za kukoboa nafaka/Ghala la kuhifadhia mazao Kuzoa taka Kiwanda/Kampuni Kuzoa taka /gereji/fendi seremala/kuchomelea Kuzoa taka Fundi cherahani Kuzoa taka Saluni ya Kike/Kiume Biashara yoyote mnadani; wauzaji wa nguo za mitumba/mpya, mama lishe,wauzaji wa mazao mchanganyiko,wauzaji wa vinywaji, mafundi cherehani Kuzoa taka Biashara yeyote ambayo haijatajwa hapo juu Tsh. 5,000/= kwa mwezi Tsh. 5,000/= Tsh. 5,000/= Tsh. 5,000/= Tsh. 5,000/= Tsh. 4,000/= Tsh. 4,000= Tsh. 4,000/= Tsh.4,000/= Tsh. 4,000/= Tsh.5,000/= Tsh. 5,000/= Tsh. 5,000/= Tsh. 5,000/= Tsh. 6,000/= Tsh. 5,000/ Tsh. 4,000/= Tsh. 4,000/= Tsh. 1,000/= kwa kila siku ya mnada 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 14 16 17 18 19 20 21 22 SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE ADA YA HUDUMA ZA AFYA Na. Aina ya huduma
Part
SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision states a fee of 30,000 for a service related to a person over five years old who has joined the improved health insurance fund (iCHF), stated as for six people per year.
1. Huduma kwa mtu aliyezidi umri wa miaka mitano aliyejiunga na mfuko wa bima ya afya iliyoboreshwa iCHF Kiasi 30,000/=kwa watu sita kwa mwaka 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text appears to set an annual fee of 50,000/= for traditional medicine practitioners, but the wording is fragmented.
3. Huduma ya afya ya papo kwa papo zahanati/kituo cha afya/Hospitali ya Wilaya Ada ya Waganga wa tiba asilia kulingana Kiasi zilizotolewa 50,000/= kwa mwaka na huduma SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO ADA NA USHURU MWINGINE Na.
Part
SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Public toilet service fee is 300 per service.
1. Aina ya huduma Choo cha umma cha kulipia Kiasi cha Ada na Ushuru 300/=kwa kila huduma - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists local fees and charges and includes a form for admitting an offence and paying the amount owed plus a fine instead of going to court.
7. Kibali cha kufyatua matofali Ushuru wa nyumba za kulala wageni Leseni za vileo Ada ya zabuni za huduma Ada ya zabuni za ujenzi Kuingia ndani ya stendi/ kituo cha mabasi kwa mtu asiyekua na tiketi 20,000/=kwa mwaka 10%ya bei ya chumba kwa siku 40,000/=kwa miezi 6 10,000/= kwa kila ombi 150,000/= kwa mkandarasi 10,000/=kwa local fundi 200/=kwa siku ___________ JEDWALI LA PILI ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12) HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Mbogwe, kwamba mnamo Tarehe …… ya Mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Mwaka, 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………........ ya Mwezi…………..…................... Mwaka ……………. Jina………………………………........................... Saini……….......……………… 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) MBELE YANGU : Jina:……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe………………………………………………………… 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Tangazo la Serikali Na. 516 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashuri ya Wilaya ya Mbogwe imegongwa kwenye Sheria ndogo hii kufuatia Azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe uliofanyika tarehe10 Mwezi Juni Mwaka 2020 na kushuhudiwa lakiri hiyo ikigongwa mbele ya; SAADA SELEMANI MWARUKA Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe VINCENT BENEDICTOR LUBAGA Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe NAKUBALI, L.S Dodoma. MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB) 25 Machi, 2024 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Raisi (Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa) 17
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in