KANUNI ZA KUDUMU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA ZA MWAKA 2024
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango lazima ikutane mara moja kila mwezi na isimamie ukusanyaji wa mapato na matumizi ya mali ya Halmashauri; pia hairuhusiwi kufanya majukumu ya kamati nyingine za kudumu.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- KANUNI ZA KUDUMU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA ZA MWAKA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango lazima ikutane mara moja kila mwezi na isimamie ukusanyaji wa mapato na matumizi ya mali ya Halmashauri; pia hairuhusiwi kufanya majukumu ya kamati nyingine za kudumu. Kamati ina kazi ya kusimamia fedha, bajeti, manunuzi, mikataba, madeni, ajira, na pia masuala ya elimu, afya, maji, mazingira na maendeleo ya jamii.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of KANUNI ZA KUDUMU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA ZA MWAKA 2024
Showing 2 of 2
- 7 Verify source ↗
Taarifa za mikutano
AI-assisted research summary: Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango lazima ikutane mara moja kila mwezi na isimamie ukusanyaji wa mapato na matumizi ya mali ya Halmashauri; pia hairuhusiwi kufanya majukumu ya kamati nyingine za kudumu.
7. Kuishauri Halmashauri kutengeneza malengo yanayozingatia matakwa ya Wilaya na kuchukua hatua ambazo zitaonekana zinafaa ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. Kuishauri Halmashauri kufanya maamuzi juu ya sera muhimu. Kuishauri Halmashauri kufanya maamuzi juu ya utoaji wa huduma kulingana na rasilimali walizo nazo. Kuiwezesha Halmashauri kutengeneza taratibu zitakazoongoza utendaji wa Kamati, Kamati Ndogo, na ule wa watumishi ili watimize wajibu wao. Kufanya mapitio yatakayowezesha Halmashauri kuamua juu ya kuongeza, kupunguza, kubinafsisha au kuwashirikisha wadau katika utoaji wa huduma. Kuhakikisha kuwa miundo na taratibu za utendaji wa Halmashauri zinazingatia ufanisi, uthabiti na tija katika kufikia malengo ya Halmashauri. Kuiwezesha Halmashauri kujenga mahusiano imara kati yake na Serikali kuu, Serikali zingine za Mitaa na Umma kwa ujumla. A: Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango: Majukumu ya jumla: Kamati hii inawashirikisha Wenyeviti wa Kamati zote za Kudumu na inapaswa kukutana kila Mwezi mara moja. Aidha, madaraka ya Kamati hii ni kama ya Kamati zingine za Kudumu na hivyo hairuhusiwi kiSheria kufanya kazi/majukumu ya Kamati zingine za Kudumu. Kwa ujumla, majukumu yake ni pamoja na kusimamia na kudhibiti ukusanyaji wa mapato na matumizi ya mali ya Halmashauri kwa kupitia vikao vyake. Majukumu Maalum ya Kamati: (i) (ii) (iii) (iv) Kuweka mikakati na kupendekeza uongezaji wa mapato. Kuwasilisha mapendekezo ya Bajeti na mpango wa Maendeleo kwenye Halmashauri ili kuidhinishwa na Halmashauri. kusimamia utunzaji wa hesabu za fedha ikiwa ni pamoja na uhakiki wa mali za Halmashauri, ukusanyaji wa mapato, kufuta madeni, na kuomba vibali Maalum kwa matumizi yanayohitaji kibali cha Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa. Kufikiria na, pale inapowezekana, kupendekeza kwenye Halmashauri masuala yanayohusu Sheria Ndogo na utendaji katika ngazi za chini za Halmashauri. 48 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) (v) (vi) (vii) (viii) (ix) (x) (xi) (xii) (xiii) (xiv) (xv) (xvi) (xvii) (xviii) (xix) (xx) (xxi) (xxii) Kupokea na kuzingatia mapendekezo ya kubadili matumizi ya mafungu ya fedha yaliyopo katika makisio yaliyoidhinishwa na kuyapeleka kwa Halmashauri. Kuratibu mapendekezo kutoka kwenye Kamati zingine kuhusu matumizi ya kawaida na miradi na kuyawasilisha kwenye Halmashauri. Kufikiria na kupendekeza kwenye Halmashauri mikopo yote ya Halmashauri. Kutoa mapendekezo ya vitega uchumi kwa madhumuni ya kuongeza mapato kwa mujibu wa Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa, Sura ya - 290 Verify source ↗
Section 290
AI-assisted research summary: Kamati ina kazi ya kusimamia fedha, bajeti, manunuzi, mikataba, madeni, ajira, na pia masuala ya elimu, afya, maji, mazingira na maendeleo ya jamii.
290. kupokea na kujadili taarifa za wakaguzi wa fedha na mali ya Halmashauri na kupendekeza hatua za kuchukuliwa kutokana na maelekezo na maoni ya wakaguzi kwa mujibu wa Sheria za Serikali za Mitaa, Sura ya 290. Kusimamia na kudhibiti matumizi ya fedha za Halmashauri, kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na Waziri na taratibu nyingine zitakazowekwa na Halmashauri; Kupitia marekebisho yote yaliyopendekezwa hususan kuhusu taratibu za fedha, ikiwa ni pamoja na mapitio ya mara kwa mara yanayohusu thamani ya fedha ambapo Kanuni mbalimbali za manunuzi ya mali na vifaa hutumika; Kufikiria na kupendekeza mabadiliko ya viwango vya kodi, ada na ushuru mbalimbali, vinavyotolewa na Halmashauri; Kufikiria mapendekezo ya Bajeti na Mipango ya Maendeleo ya kila Kamati ya Kudumu na kuiwasilisha kwenye Halmashauri ili kupata idhini; Kushughulikia tofauti ya mapato na matumizi katika bajeti yote na kupendekeza hatua stahiki ya kuchukua kuondoa mapungufu katika mapato au ziada matumizi; Kufikiria mapendekezo yote yanayohusu matumizi makubwa ya fedha kabla hayajawasilishwa kwenye Halmashauri ili kupata idhini; Kupokea mahesabu ya mwaka ya Halmashauri na kuhakikisha taarifa ya mahesabu ya mwaka inawasilishwa kwa wakati kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali; Kupitia na kuidhinisha mpango wa manunuzi wa Halmashauri kwa kuzingatia mpango wa Bajeti uliopitishwa na Halmashauri; Kupitia taarifa ya kila robo mwaka kuhusu Manunuzi iliyowasilishwa na Afisa Masuuli; Kusimamia utekelezaji wa mikataba ya Halmashauri kwa kukagua miradi inayotekelezwa na vifaa vilivyopokelewa; Kumwelekeza Mkurugenzi kufanya manunuzi au ukaguzi wa huduma au vifaa vilivyonunuliwa ili kupata thamani halisi, itafanyika hivyo endapo itadhihirika kwamba, maelezo yaliyotolewa kuhusu manunuzi ya vifaa au huduma hayaridhishi; Kuidhinisha majina ya wajumbe wa Bodi ya zabuni na wa Bodi zingine kwa mujibu wa Sheria husika; Kushughulikia orodha ya wadaiwa wote kwenye Kamati na kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukua; itakayokayowasilishwa 49 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) (xxiii) (xxiv) (xxv) (xxvi) (xxvii) (xxviii) (xxix) (xxx) (xxxi) (xxxii) (xxxiii) (xxxiv) (xxxv) (xxxvi) Kupendekeza njia na taratibu za kuondosha vifaa chakavu. Uondoshaji wa vifaa unaweza kufanyika kwa njia ya kuuza au kuviharibu; Kujadili na kupitia taarifa za fedha za kila mwezi na kila robo mwaka; Kupendekeza kwa Halmashauri hatua za kuchukua kuhusu kufuta madeni ya Halmashauri; Kushughulikia Sera kuhusu kukopa na uwekezaji, Kujadili na kupendekeza mabadiliko ya viwango vya kodi, ada na ushuru mbalimbali vinavyotozwa na Halmashauri, Kubuni na kupendekeza mpango wa kuanzisha na kuendeleza uhusiano na Halmashauri nyingine. Kurekebisha na kusimamia makusanyo na matumizi ya mapato ya vijiji na miji midogo kwa mujibu wa Sheria, Sura ya 287. Kuteua wakaguzi wa fedha au mali za Serikali za Vijiji kwa mujibu wa Sheria, Sura ya 290. Kujadili na kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa kuhusu mambo yote ya yanayohusu masuala ya ajira na kinidhamu ya wafanyakazi na watumishi. Kujadili na kutoa mapendekezo kuhusu masuala yanayohusu nyumba za Halmashauri. Kupokea na kutoa uamuzi juu ya mapendekezo ya watumishi wanaokwenda masomoni. Kujadili na kupendekeza masuala yote yanayohusu maslahi ya jumla ya watumishi, ikiwa ni pamoja na mikopo, nyumba, usafiri, matibabu, rambirambi na motisha nyinginezo. Kupitisha mapendekezo ya kuthibitisha watumishi kazini baada ya kumaliza kipindi cha majaribio kulingana na miundo husika ya utumishi. Kupendekeza Sheria Ndogo zinazohusu Kamati hii. B: Kamati ya Elimu, Afya na Maji: Majukumu ya Jumla Kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii, elimu na huduma za maji. Kamati hii pia itashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wanannchi vijijini kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi, kuzindua, kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo. Majukumu Maalum ya Kamati: (i) (ii) (iii) Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati Kuandaa mipago ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa shule za awali na msingi na elimu ya watu wazima kwa mujibu wa Sheria ya Elimu Sura ya 353 Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa vituo,viwanja, majengo na mazingira ya burudani, starehe, mapumziko na michezo. 50 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) (iv) (v) (vi) Kuamua juu ya mambo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali zenye Sura nzuri. Kuandaa na kuratibu njia bora juu ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kwa ajili ya kumbukumbu hizo zitahifadhiwa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 287. Kupendekeza njia bora juu ya uhifadhi wa sanaa mbalimbali za ufundi na za maonyesho kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 287, Kupendekeza matumizi mazuri ya lugha ya taifa. (vii) (viii) Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji (ix) (x) (xi) (xii) katika Taifa. Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa. Kusimamia uanzishaji wa uendelezaji wa vikundi vya jamii na vya hiari vya wananchi katika Halmashauri kwa mujibu wa sera wa maendelo ya jamii. Kusimamia na kuhakiki maeneo ya misitu, mapori, na mbuga zilizotengwa kama hifadhi ya mamlaka ya Serikali za Mitaa. Kupendekeza na kufanya tathmini ya uendelezaji wa mabonde, mito na mabwawa. (xiii) Kubuni na kupendekeza namna ya kidhibiti moto. (xiv) Kubuni na kupendekeza mikakati ya utumiaji wa nishati mbadala, kuzuia ukataji miti ovyo, na kuhimiza upandaji miti kwa wingi. (xv) Kuhakikisha kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara. (xvi) Kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara vijijini na wilayani kwa ujumla. (xvii) Kupendekeza Sheria Ndogo zinazohusu Kamati hii. C: Kamati ya Kudhibiti Ukimwi Majukumu ya Kamati: (a) (b) (c) (d) (e) (f) (g) tofauti katika maeneo husika ili kuongeza Kushirikisha wadau uchangiaji wa mawazo au nyenzo, usimamizi, uratibu na utekelezaji wa kazi za Tume za kudhibiti UKIMWI; Kusimamia uundaji wa Kamati zote za kudhibiti UKIMWI; Kupendekeza na kuchambua hali ya UKIMWI/Mipango na utekelezaji wake na kufikisha katika ngazi husuka kwa hatua zaidi; Kutathmini hali ya UKIMWI katika eneo lake kuhusu; idadi ya waathirika: wagonjwa, yatima, wajane, kasi ya maambukizo (i) (ii) (iii) mazingira Maalum yanayochangia maambukizo; (iv) uelewa wa wananchi juu ya janga hili. Serikali haitatoa fedha kwa Halmashauri isiyokuwa na mipango madhubuti ya kudhibiti UKIMWI. Kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila mtoto aliyefikia umri wa kwenda shule anafanya hivyo, Kuweka mikakati ya makusudi juu ya njia bora za kuchangia baadhi ya huduma za Elimu na Afya. 51 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) (h) (i) Kubuni na kupendekeza njia bora za kuzuia na kudhibiti magonjwa ya milipuko. Kupendekeza Sheria Ndogo za Kamati hii. 52 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) D: Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira: Majukumu ya jumla Kamati hii itashughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo, mifugo, viwanda, madini, Biashara n.k. Aidha itashughulikia pia miundombinu na suala zima la mendeleo ya Ardhi na hifadhi ya mazingira. Majukumu Maalum ya Kamati (i) (ii) (iii) (iv) (v) (vi) Kupendekeza kwa Halmashauri mipango ya kupanua biashara na jinsi ya kukusanya mapato yatokanayo na upanuzi huo. Kupendekeza mipango ya matumizi ya ardhi katika eneo Halmashauri Kusimamia matumizi ya Sheria ya nguvu kazi. Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa kilimo katika Halmashauri Kusimamia na kuhakiki miradi ya ujenzi wa masoko, minada,majosho na vituo vya mifugo. Kushughulikia uanzishaji na uendelezaji wa vyama vya ushirika kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika. la E: Kamati ya Maadili ya Madiwani Majukumu ya Kamati (a) Kamati hii itatekeleza kazi zake kwa kuzingatia Kanuni za Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) (Maadili ya Madiwani) za Mwaka 2000 Tangazo la Serikali Na. 280 la 2000 (b) Bila kuathiri majukumu yaliyoainishwa aya (a) hapo juu Kamati itakuwa na uwezo wa kusikiliza malalamiko na kuyatolea uamuzi, Malalamiko yataletwa na diwani ambaye hakuridhika na FAHARASA – HALMASHAURI ZA WILAYA Kanuni Na. Kifungu cha Sheria katika mikutano A Ajenda za Kamati Akidi Halmashauri Akidi kwenye mikutano ya Kamati Athari za nafasi wazi kwenye Kamati ya B C Sura ya 287 kif.64 Sura ya 287 kif.84(2) na (3) Sura ya 287 kif.84(1);84(3) 49 8 55 54 69 53 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) D Diwani au Afisa kutokuwa na maslahi katika mikataba Diwani shughuli mbalimbali za ujenzi. Dua ya kuiombea Halmashauri E. kutembelea maeneo, F Fujo zinazosababishwa na umma Fujo Wajumbe zinazosababishwa na Sura ya 287 kif.71 77 90 18 17 Kanuni Na. Kifungu cha Sheria G H Haki ya kujibu Hoja kuhusu matumizi Hoja na marekebisho ya hoja Hoja za Mwenyekiti Hoja zinazohusu watumishi wa Halmashauri Hoja zinazoweza kutolewa bila taarifa I J K Kamati Ndogo Kamati za Kudumu Kamati za pamoja Kanuni za Kudumu kutumika katika mikutano ya Kamati Kanuni za Kudumu kutolewa kwa Wajumbe Kauli zenye kashfa Kiapo na kukubali wadhifa Kuidhinishwa kwa Taarifa ya Kamati Kufikiriwa upya maamuzi Kufutwa kwa Kanuni zilizopo 21 32 19 15 37 20 45 40 43 56 87 27 70 34 59 91 62 54 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) Sura ya 287 kif. 79 Sura ya 287 kif. 36(5); TS Na. 263/95 Sura ya 287 kif. 67(1) 61 44 11 82 33 12 Kujiuzulu ujumbe wa Kamati na kujazwa kwa nafasi iliyoachwa wazi. Kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Kamati Kukasimu madaraka Kamati Kumbukumbu ya mahudhurio. kwenye Mwenyekiti Kumwondoa madarakani Kupokelewa kwa taarifa za Kamati Kuruhusu watu na vyombo vya Habari kwenye mikutano ya Halmashauri 55 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) Kushiriki kwa Umma Kusitisha utumiaji wa Kanuni za Kudumu. Kutafsiri Kanuni za Kudumu Kuthibitisha muhtasari Kutokuwepo kwa Wajumbe Kutunza siri za Majadiliano ya Kamati na Kamati Ndogo Kanuni Na. 38 85 88 14 73 60 Kifungu cha Sheria Sura ya 287 kif.114(1)(b) Sura ya 287 kif.41(2) na (3) Sura ya 287 kif.86 na 67(2) L kwenye mikutano M Maamuzi ya mikutano ya Halmashauri Mahudhurio katika mikutano ya Kamati Mahudhurio ya Umma na vyombo vya habari ya Kamati/Kamati Ndogo Majukumu ya Diwani Marekebisho na mabadiliko ya Kanuni za Kudumu Maswali Maswali ya papo kwa papo Mihtasari ya za Kata na vijiji. Mihtasari ya Halmashauri kupelekwa kwa Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa. Muhtasari wa Kamati Mikutano ya kawaida ya Halmashauri Mikutano ya Kamati Mtoa hoja kualikwa kwenye Mkutano wa Kamati. Mkutano wa Bajeti Mkutano wa Mwaka Mkutano Maalum wa Halmashauri Mkutano Maalum wa Kamati Mwaliko wa wasiokuwa Wajumbe Mwenyekiti kuwa Mjumbe wa Kamati zote 28 50 53 71 86 22 23 30 31 58 3 46 51 5 6 4 48 29 41 72 N Nafasi wazi 56 Sura ya 287 kif.66 Sura ya 287 vif.86; 67(2) Sura ya 287 kif. 70(1) Taz.pia Sura ya 290 kif.47 Sura ya 287 kif.83(2) Sura ya 287 kif.63(1) Sura ya 287 kif.63(3) Sura ya 287 kif.74(1) Sura ya 287 kif.42(1) (a) 172 (1);41 (4); Tangazo la Serikali Na.139/82 aya ya 23 na 40 na Sheria Na.4/79 kif.40(1)(b);40 (1) (b) na SheriaNa 4/79 kif.40(i) (b) (i); na Sheria Na.4/79 kif.40; Tangazo la Serikali 280/2000 Na. kif.35;41(3)41(3) na kif.71(8). Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) P Aina za Posho Posho iwapo Mkutano umeahirishwa Q R Rejesta ya mikataba S T Taarifa za Kamati Taarifa kutoka kwenye kata Taarifa za mikutano Tafsiri Taratibu za kutunga Sheria Ndogo Taratibu za Majadiliano Taratibu za Uagizaji ya wa U Uahirishaji wa vikao Uandikishaji wa Anwani Uanzishaji wa Bodi za Huduma Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wa Mwenyekiti wa Halmashauri Uhalali majadiliano Halmashauri Uhifadhi wa lakiri ya Halmashauri Uhuru wa kutoa mawazo wakati wa majadiliano Ukaguzi wa nyaraka Uongozi wa mikutano ya Halmashauri Upigaji kura kwenye mikutano ya Kamati Usimamiaji wa mikataba Utaratibu wa shughuli za mikutano Uteuzi wa Wajumbe kwenye Taasisi za nje Utiaji mhuri kwenye Nyaraka Uvunjaji wa mkataba Uwezo wa Halmashauri kujigeuza kuwa Kamati ya Halmashauri nzima. Uwezo wa Kamati Uzuiaji wa Rushwa 83 84 68 24 25 7 2 74 16 63 39 80 76 9 35 78 26 75 10 57 66 13 81 79 67 36 42 65 Sura ya 287 kif.85 Sura ya 287 kif. 155 TS. Na.21/2004 Sura ya 290 kif. 68 Sura ya 287 kif. 88 Sura ya 287 kif. 36(2) Sura ya 287 kif.65 V W Waalikwa wasiokuwa Wajumbe Kanuni Na. Kifungu cha Sheria 52 57 Sura ya 287 kif.75(4) Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) kushiriki na kuhudhuria mikutano ya Kamati. X Y Z Ziara za Wajumbe katika 89 _____________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 70(a)) JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KIAPO CHA DIWANI Mimi ……………………………….............................. naapa/natamka kwa dhati kwamba nitaitumikia Halmashauri ya………………….......... kwa wadhifa wangu wa Udiwani na kwamba nitahifadhi, nitalinda na kutetea, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheria za Tanzania, Maadili ya Madiwani na Kanuni za Kudumu za Halmashauri kama zilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria na kwamba nitaitumikia Halmashauri ya ………………………………………… kwa uaminifu kwa uwezo na moyo wangu wote. (Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie) Kiapo/Tamko hili limetolewa hapa:………………………………… Na…………………………………………………………………… Leo tarehe…………………… Mwezi wa…………………..20…… MBELE YA:…………………………………… Jina:……………………………………………… Cheo:……………………………………………. Saini:…………………………………………… Anuani…………………………………………. ……………………... HAKIMU/WAKILI 58 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA TATU ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 70(b)) JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI (Kwa mujibu wa Vifungu vya 9 na 11 vya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma) Mimi…………………………………………………… Anuani:……………………baada ya kuchaguliwa/kuteuliwa na kuapishwa katika wadhifa wa…….……...tarehe……………………….mwaka 20......….Ninatamka rasmi na kwa moyo mnyofu kwamba hadi sasa nina rasilimali na madeni yafuatayo: (1) Fedha taslimu, Amana katika benki au taasisi ya fedha; taja namba ya akaunti, benki au taasisi ya fedha na kiasi: ………………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………....................... (2) Hawala za Hazina (Treasury Bills) na dhamana nyingine Maalum: - ………………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………....................... (3) Faida ya akiba, mafungu ya mgawanyo wa faida zinazotokana na hisa n.k. ………………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………...................... (4) Nyumba au majengo ya kupangisha, taja mahali yalipo na ukubwa au eneo: ………………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………....................... * Rasilimali zinazotakiwa ni pamoja na zifuatazo, ambazo ni zako binafsi, za mume/mke au watoto wadogo wasiooa au kuolewa wa kiongozi wa umma. (a) fedha taslimu na amana katika benki au taasisi nyingine ya fedha. (b) hawala za Hazina Treasury Bills) na nyinginezo za dhamana Maalum zinazotolewa au kudhaminiwa na Serikali au vyombo vya Serikali. (c) faida itokanayo na fedha iliyowekwa akiba benki, chama cha kukopeshana au taasisi nyingine ya fedha. (d) mgao wa fedha kutokana na fungu la rasilimali ya kampuni (stocks) au hisa za kiongozi wa umma katika kampuni au shirika lolote. (e) maslahi katika chombo cha biashara kisichokuwa na mkataba na Serikali, na kisichokuwa na au kisichotawala amana zinazouzwa bayana na vyombo vya umma. (f) mashamba ya kibiashara. (g) mali halisi zisizohamishika ambazo si rasilimali zisizotakiwa kutajwa; na (h) rasilimali zinazoleta faida, ambazo si rasilimali zisizotakiwa kutajwa na ambazo zinamilikiwa kwa mbali. (5) Mashamba ya kibiashara, mifugo, madini n.k. ………………………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………………… (6) Magari na aina nyingine za usafiri wa kibiashara; ………………………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………………… 59 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) umma ambayo anapenda nyinginezo au maslahi kiongozi wa shughuli nyingine za kibiashara au (7) Mashine za kusaga nafaka, viwanda na mitambo:……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………… (8) Rasilimali kutaja:………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………… (9) Madeni: ………………………………………………………………………...............………… ……………………………………....................................................................................................... Tamko hili linatolewa na kusainiwa mbele yangu …………………………………………………………. na (mtoa tamko)……………………………………… ninayemfahamu binafsi, au aliyetambulishwa kwangu na …………………………………………………………………… .....….………….. Mtoa tamko ambaye ninamfahamu leo tarehe …………………………….. Mwezi wa ………………………………………………………. saini……………………………………………………………... Wadhifa:……………………………………………………….. Anuani:………………………………………………………... …………………………………………………………………. (Tamko hili lazima litolewe mbele ya Kamishna wa Viapo) KWA: KAMISHINA WA MAADILI, SEKRETARIETI YA MAADILI, S.L.P 13341, DAR ES SALAAM. 60 Kanuni Za Kudumu Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.704 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga uliofanyika tarehe 15/11/2021 na kushuhudiwa lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- JOSEPH KASHUSHURA RWIZA, Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Mbinga DESDERIUS HAULE, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, Mbinga L.S NAKUBALI, Dodoma, 20 Juni, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA (Mb.), Waziri wa Nchi-OR-TAMISEMI, 61
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
KANUNI ZA KUDUMU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA ZA MWAKA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in