SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YA MWAKA 2024
This provision gives the by-law’s title: the Muheza District Council Fees and Charges By-Law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YA MWAKA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the by-law’s title: the Muheza District Council Fees and Charges By-Law, 2024. This provision says the by-law applies throughout the entire area of Muheza District Council. This section defines key terms used in the by-law, including fees, permits, officers, the council, markets, bus stands, levies, and agents. The council may charge fees and levies for listed licenses, services, and permits, and those charges must be paid before or when the service is received. Anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YA MWAKA 2024
Showing 35 of 35
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This provision gives the by-law’s title: the Muheza District Council Fees and Charges By-Law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the entire area of Muheza District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmshauri ya Wilaya ya Muheza. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, permits, officers, the council, markets, bus stands, levies, and agents.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmshauri ya Wilaya ya Muheza; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “mhudumu” maana yake ni mtu anayehudumia wateja katika baa, hoteli, mgahawa, mama lishe au baba lishe; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “soko” maana yake ni eneo au soko lililotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kama soko; 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) “stendi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo hii itajumuisha pia kituo cha kupaki malori na vituo vingine vidogo vya kupakia na kushusha abiria vya Halmashauri; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; na “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ada na ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: The council may charge fees and levies for listed licenses, services, and permits, and those charges must be paid before or when the service is received.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na vibali, Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Utozaji wa ada na ushuru Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu
AI-assisted research summary: Anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa kukusanya ada na ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa ndani ya muda uliotajwa, na Halmashauri au wakala anaweza kukusanya baada ya muda huo akiwa na kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au wakala kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. Utoaji wa stakabadhi za - 7 Verify source ↗
(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa
AI-assisted research summary: Fees or taxes due under this by-law must be paid to the Council or an agent, who must issue an electronic receipt.
7.-(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, utalipwa kwa Halmashauri au kwa Wakala 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) malipo Ukusanyaji wa madeni ambaye atatoa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (2) Kila mlipa ada au ushuru atakuwa na wajibu wa kudai na kuhakiki stakabadhi ya malipo kulingana na kiasi cha fedha alicholipa. (3) Haitakuwa utetezi chini ya Sheria Ndogo hii kwa mtu kudai kuwa amelipa ada au ushuru lakini hakupewa stakabadhi ya kielektroniki. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri may collect unpaid fees or taxes through court, seize or hold debtors’ movable property, and sell seized property after court approval, with seven days’ notice before sale.
8.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za wadaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Halmashauri baada ya kupata idhini ya Mahakama itakuwa na mamlaka ya kuuza mali za mdaiwa kwa njia ya mnada baada ya siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa. (4) Halmashauri baada ya kupata kibali cha Mahakama itakuwa na uwezo wa kuuza mali zilizokamatwa ambazo kabla hazijaharibika. kuharibika zinaweza haraka kwa (5) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni hii, Halmashauri kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, itatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa kwa uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. Uteuzi wakala wa - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake, na wakala huyo lazima akusanye na kuwasilisha makusanyo kwa masharti yaliyowekwa.
9.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Ulipaji wa gharama za kuhifadhi mzigo au chombo kilichokamatwa - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza kiasi cha asilimia tano
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge 5% per day on the value of the vehicle carrying seized cargo that was transported without paying the required fee or tax, and if payment is still not made within seven days it must sell the cargo or vehicle by auction.
10.-(1) Halmashauri itatoza kiasi cha asilimia tano (5%) ya thamani ya chombo kilichobeba mzigo kwa kila siku kwa mzigo ulioshikiliwa baada ya kukamatwa ukisafirishwa bila ya kulipa ada au ushuru. (2) Chombo au mzigo husika usipokuwa umelipiwa kwa muda wa siku saba, Halmashauri itauza mzigo au chombo hicho kwa njia ya mnada ili kufidia gharama zake. ya Mamlaka afisa mwidhiniwa - 11 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yoyote ya Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: An authorized officer may enter a place, building, or vehicle between 6:00 a.m. and 6:00 p.m. to collect fees or taxes, make assessments, or do anything related to fees, taxes, licenses, or permits under the bylaw.
11. Bila kuathiri masharti yoyote ya Sheria Ndogo hii, afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii Makosa - 12 Verify source ↗
Mtu atakuwa anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: A person commits an offence if they evade or refuse local fees or taxes, obstruct officials, give false information, fail to keep required records, make false documents, or transport goods without paying the required levy.
12. Mtu atakuwa anatenda kosa endapo- (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri; au (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; (g) atatengeneza, atatayarisha, ataidhinisha 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; au (h) atatumia chombo chochote kile kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. Adhabu Kufifilisha kosa - 13 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti
AI-assisted research summary: Mtu akitiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya Sheria Ndogo hii anaweza kutozwa faini, kifungo, au vyote pamoja.
13. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti yoyote ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu vyote. - 14 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa kwa hiari, yuko tayari kujaza fomu maalum, na kulipa ada au ushuru unaodaiwa.
14. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume na Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA KWANZA ____________ (Limetengezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA Ada ya ukaguzi wa ramani na vibali vya ujenzi Namba
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Kichwa hiki kinaonyesha aina ya ada ya ukaguzi wa ramani kwa viwanja vilivyopimwa au ambavyo havijapimwa.
1. Aina ya Ada kwa Viwanja Vilivyopimwa au ambavyo havijapimwa Ada ya ukaguzi wa ramani - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Watu au majengo yasiyo na vibali wanaorodheshwa na kiwango cha faini/ada kwa kila aina.
3. Faini kwa wasio na vibali Kiasi cha Ada (Shilingi) (a) 30,000/= kwa nyumba za makazi ya kawaida (viwanja vidogo na vya kati) (b) 50,000/= viwanja vikubwa na majengo ya biashara (c) 120,000 viwanja na majengo ya taasisi binasfi na magharofa na minara ya simu 200,000/= kwa jengo la ghorofa 500,000/= kwa majengo ya taasisi binafsi na viwanda 120,000/= majengo ya biashara 70,000/= majengo ya makazi 500,000/= minara ya simu 500,000/= vituo vya mafuta 300,000/= karakana 300,000/= hadi 1,000,000/= SEHEMU YA PILI Ada ya nyumba za kulala wageni Namba
Part
SEHEMU YA PILI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Watoa huduma lazima waorodheshe wageni kwenye kitabu na watoe taarifa sahihi; kifungu pia kinaonyesha ada ya 10% ya gharama za malazi na faini ya udanganyifu ya 300,000 hadi 1,000,000 shilingi.
2. Aina ya Ada Wageni waliolala (watoa huduma lazima wawaorodheshe wageni kwenye kitabu na watoe taarifa sahihi) Faini kwa udanganyifu Kiasi cha Ada (Shilingi) 10% ya gharama za malazi 300,000/= hadi 1,000,000//= Namba - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision lists fees and charges for livestock market and slaughter-related services.
1. a. b. c. d. e. SEHEMU YA TATU Ada ya machinjio na ukaguzi wa nyama mnadani na machinjioni Aina ya Ada na Ushuru Kiasi cha Ada (Shilingi) Ada na Ushuru wa mifugo mnadani Ng’ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe Ada ya kibanda /eneo katika mnada wa mifugo 3,500/= kwa ng’ombe mmoja 1,500/= kwa mbuzi mmoja 1,500/= kwa kondoo mmoja 3,500/= kwa nguruwe mmoja 20,000/= hadi 40,000/- kwa mwezi au kama itakavyoamuliwa na Halmashauri mara kwa mara 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) SEHEMU YA NNE Ada ya vizimba au vyumba sokoni Namba Aina ya Kizimba Kiwango cha ada kwa siku (Shilingi)
Part
SEHEMU YA NNE
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonekana kuweka orodha ya ada/ushuru wa soko kwa bidhaa na maeneo mbalimbali, pamoja na kiwango cha 40,000/= hadi 100,000/= kinachotegemea ukubwa au uamuzi wa mara kwa mara.
11. Matunda na mboga Magunia Vizimba vya kuuzia kuku Nafaka Chai na chakula Bucha Vizimba vinavyozunguka soko Tumbaku na chumvi Vyoo vya watu binafsi Maeneo ya wazi sokoni Vyumba/stoo ndani ya soko 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 300/= 40,000/= hadi 100,000/- kutegemeana na ukubwa au kama itakavyoamuliwa mara kwa mara SEHEMU YA TANO Ushuru wa stendi, kuegesha magari yanayoingia sokoni, mnadani na gulioni Namba Aina ya Gari
Part
SEHEMU YA TANO
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists daily vehicle parking/standing fees by vehicle type.
7. Basi kubwa la abiria 50 na kuendelea Basi lenye ukubwa wa kati (linalobeba abiria 49 na wasizidi 30) Basi dogo (haisi) Teksi Mkokoteni Magari binafsi yasiyo ya biashara Gari dogo la mizigo (chini ya tani 7) Gari kubwa zaidi ya tani 7 Kiwangoc Ushuru (Shilingi) 2,500/= kwa siku 2,000/= kwa siku 1,500/=kwa siku 500/= kwa siku 300/= kwa siku 200/= kwa siku 2,000/= kwa siku 2,500/= kwa siku SEHEMU YA SITA Ushuru wa kulaza Magari Namba
Part
SEHEMU YA SITA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Inaweka viwango vya ushuru wa kila siku kwa aina tofauti za magari na mitambo.
3. Aina ya Gari Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 2,500/= kwa siku magari madogo ya watu binafsi magari makubwa ya watu binafsi 4,000/= kwa siku mashine na mitambo ya ujenzi wa barabara 5,000/= kwa siku SEHEMU YA SABA Ada kwa watoa huduma za tiba asilia na wauzaji dawa za jadi Namba
Part
SEHEMU YA SABA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha kiasi cha ushuru kwa taasisi/wauzaji wa dawa za kienyeji na inaanza sehemu ya nane kuhusu ada za mbao za matangazo na matangazo ya biashara.
3. Taasisi Wauzaji wa dawa za kienyeji Kiasi cha Ushuru (Shilingi) 30,000/= kwa mwaka/ 2,500 kwa mwezi 30,000/= kwa mwaka 300/= kwa siku 9,000 kwa mwezi 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) SEHEMU YA NANE Ada ya mbao za matangazo na matangazo ya biashara Namba Aina ya Huduma Kiasi cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA NANE
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The section lists fees and taxes for business advertisements, forest products, and begins a bodaboda tax table.
8. 3,000/= Mita 1 ya eneo la mraba la kila bango la viwanda/mashirika binafsi Biashara za kati (vituo vya mafuta, nyumba za wageni, hoteli) Biashara ndogo zenye mabango na zisizo na mabango Yanayong’aa usiku ukiondoa yaliyoainishwa katika sehemu ya 1 Aina ya matangazo ya maandishi yatatozwa katika maeneo yote ya biashara Matangazo yabiashara kwa kutumia vipaza sauti / muziki 15,000/= kwa siku 5,000/= 50,000/= hadi 100,000/= 2,000/= 10,000/= hadi 30,000/= SEHEMU YA TISA Ushuru wa mazao ya misitu Aina ya Huduma Kiasi cha Ushuru (Shilingi) Mkaa Mbao Urefu chini ya ft 10 [ft 0-9] Urefu zaidi ya futi 9 [ft 10 na kuendelea] Kuni Nguzo Fito Asali Nta Kibali cha kukata/kuvuna mti 1,000 kwa gunia 300/= kwa kwa kila mbao 500/= kwa kila mbao 500/= kwa ujazo wa mita 1 ya ujazo 100/= kwa nguzo moja 100/= kwa ujazo wa mita 1 ya ujazo 100/= kwa lita 500/= kwa kilo 1,000/= kwa mti mmoja SEHEMU YA KUMI Ushuru wa Bodaboda Namba Aina ya Huduma Kiasi cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Bodaboda are charged 300 per day for a full-day cycle.
1. Ushuru wa bodaboda kwa mzunguko wa siku nzima 300 kwa siku SEHEMU YA KUMI NA MOJA Ada ya kukodisha ukumbi wa Halmashauri Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha ada za ukodishaji wa ukumbi, viti, magari na mitambo ya halmashauri kwa matumizi tofauti.
4. Aina ya Huduma Ukodishaji ukumbi kwaajili ya semina za mashirika na miradi Matumizi ya ukumbi kwaajili ya asasi za kiraia Matumizi binafsi Kukodisha viti Kiasi cha Ushuru 70,000/= hadi 100,000/= kwa siku 70,000/= kwa siku 70,000/= kwa siku 200/= kwa kiti SEHEMU YA KUMI NA MBILI Ada ya kukodisha magari na mitambo ya Halmashauri/ushuru wa bima Namba Ukodishaji Magari na Mitambo 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.)
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutamka viwango vya ushuru wa bima mara kwa mara.
2. Viwango vitakavyotamkwa na Halmashauri mara kwa mara Ushuru wa bima - 2 Verify source ↗
5% ya makusanyo
AI-assisted research summary: The text mentions 2.5% ya makusanyo and a heading for health inspection fees.
2.5% ya makusanyo SEHEMU YA KUMI NA TATU Ada ya ukaguzi wa afya Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This provision lists health-related fees and charges for specified business and service categories, and sets a penalty amount for each offence.
10. Aina ya Huduma Nyumba za starehe, baa na vilabu vya pombe za kienyeji Nyumba za kulala wageni Maduka ya bidhaa Nyumba za kutengeneza na kuuzia vyakula na nyama choma Ukaguzi wa maombi ya kufungua biashara Ukaguzi wa viwanda vikubwa Ukaguzi wa viwanda vya kati na karakana Ukaguzi wa viwanda vidogo Masuala ambayo hayajatajwa na yanahitaji ukaguzi Fomu ya Afya Kiasi cha Ushuru (Shilingi) 20,000/= kila mwaka 20,000/= kila Mwaka 20,000/= kila Mwaka 20,000/= kila Mwaka 10,000/= kila Mwaka 100,000/= kila Mwaka 50,000/= kila Mwaka 20,000/= kila Mwaka 10,000/= kila Mwaka 2,000/= kwa kila mtoa huduma kwa mwaka SEHEMU YA KUMI NA NNE Tozo za Afya BIASHARA NA HUDUMA Kaya Mashine za kusaga nafaka Nyumba za kulala wageni Hotel Vituo vya mafuta (taka za kawaida) Viwanda (taka za kawaida) Godauni na stoo kubwa Bank/posta Zahanati, Maabara, Ada ya usafi kwa mwezi (Shilingi) 2,000 kwa kila Mwezi 10,000 kwa mwezi (2500 kwa wiki) 5,000 kwa mwezi 15,000 kwa mwezi 5,000 Ada ya ukaguzi kwa mwaka (Shilingi) Kadi ya afya kwa mwaka (Shilingi) AINA YA TOZO/ADA Ada ya kukagua ramani ya jengo (Shilingi) Ada ya fomu ya kupima afya kwa mtu Shilingi) Ada ya utupaji taka kwa tani (Shilingi) Adhabu kwa kila kosa moja (Shilingi) 20,000 10,000 20,000 10,000 20,000 30,000 20,000 30,000 15,000 20,000 30,000 10,000 20,000 30,000 5,000 5,000 20,000 10,000 30,000 10,000 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) 3,000 10,000 10,000 10,000 20,000 10,000 200/= kwa siku 10,000 kwa mwezi 10,000 kwa mwezi 5,000 10,000 10,000 5,000 20,000 30,000 Kituo cha Afya, Duka la dawa na Tiba asili (taka za kawaida) Mama/Baba lishe Mgahawa Karakana (gari/pikipik i) (taka za kawaida) Maduka ya rejareja Maduka ya jumla Vizimba/me za za soko 5,000 5,000 5,000 100 kwa siku ilipwe mara moja kwa wiki Baa/Grocery 5,000 10,000 Kumbi za starehe Ofisi Taasisi za watu binafsi Maeneo mengine ya biashara Ujenzi Kupima afya Kutumia dampo/dimb wi la maji taka la Halmashauri Huduma ya kusombewa taka ngumu tripu moja Usimamizi wa utekelezaji wa sheria Kibali cha kubeba Maji Taka 10,000 20,000 10,000 20,000 10,000 30,000 10,000 30,000 10,000 10,000 30,000 1500 20,000 100,000 20,000/= 50,000 - 250,000 10 Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section lists local fees for vehicle registration and permits for cultural and entertainment activities, with different amounts for each service.
8. Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) SEHEMU YA KUMI NA TANO Ada ya usajili wa teksi na bodaboda na daladala zinazozunguka Muheza Aina ya Huduma Usajili wa teksi Usajili wa daladala Usajili wa bodaboda Kiasi cha Ushuru (Shilingi) 20,000/= 20,000/= 5,000/= SEHEMU YA KUMI NA SITA Ada ya kibali cha shughuli za utamaduni Aina ya Huduma Kiasi cha Ada (Shilingi) Disko siku za sikukuu na au siku yoyote ya juma Tiba za jadi Michezo na sanaa za maonyesho, ngoma, sarakasi, michezo ya kuigiza Shughuli za sanaa za ufundi au uchoraji picha za rangi na vinyago Vikundi vya sanaa za maonyesho na sanaa za ufundi Kucheza mchezo wa pool table Kuendesha promosheni katika baa au hoteli Sehemu za makumbusho au za kihistoria kwa mtu mmoja 5,000/= kwa siku 10,000/= kwa mwaka 2,000/= kwa siku 1,000/= kwa onesho 10,000/= kwa mwaka 10,000/= kwa mwaka 15,000/= kwa siku (a) 1,000/= mtu mzima raia (b) 25,000/= mtu mzima asiye raia (c) 15,000/= mwanafunzi kutoka nje ya nchi (d) Bure- mwanafunzi wa ndani ya nchi (a) Raia – 50,000/= (b) Asiye raia – 200,000/=
Part
Sehemu za makumbusho au za kihistoria kwa
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Fragmentary text mentioning registration of social groups.
9. Kuendesha utafiti wa masuala ya kale SEHEMU YA KUMI NA SABA Usajili wa vikundi vya kijamii Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists business inspection fee amounts in shillings for two registration categories.
2. Aina ya Huduma Kiasi cha Ada (Shilingi) Wanaosajiliwa chini ya maendeleo ya jamii Wanaosajiliwa chini ya idara nyingine za Halmashauri 20,000/= 30,000/= SEHEMU YA KUMI NA NANE Ada ya ukaguzi wa Biashara Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: License fees must be paid to the Halmashauri before the Health Officer issues a new or old license.
1. Aina ya Huduma Malipo yote ya leseni yatalipwa kwa Halmashauri kabla Afisa Afya hajatoa leseni mpya au ya zamani - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: A health officer’s inspection is associated with fee amounts for licenses, including TSh 10,000 for a new license and TSh 10,000 for old licenses, with another listed amount of TSh 2,500 in the table.
2. Afisa Afya atakapofanya ukaguzi Kiasi cha Ada (Shilingi) 10,000/= italipwa kwa leseni mpya 10,000/= kwa leseni za zamani 2,500/= 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) SEHEMU YA KUMI NA TISA Ada ya uzoaji maji machafu [Cesspit Emptying Charges] Namba Aina ya Huduma Kiasi cha Ada (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA TISA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Ada za kutoa maji machafu zinawekwa kwa matumizi ya biashara, viwanda, majengo ya taasisi, na nyumba za makazi; malipo hufanyika kabla ya huduma kutolewa na Halmashauri au wakala wake.
2. Uzoaji maji machafu [Cesspit emptying charges] kwa ajili ya biashara, viwanda au majengo ya taasisi. Uzoaji maji machafu [Cesspit emptying charges] kwa ajili ya nyumba za makazi malipo haya yatafanyika kabla ya kutoa huduma kwa Halmashauri au wakala wake. 150,000/= 80,000/= SEHEMU ISHIRINI Ada ya Fomu ya vipimo vya Afya Namba
Part
SEHEMU ISHIRINI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Wafanyakazi katika maeneo ya vyakula au mazingira hatarishi lazima walipe shilingi 2,000 kwa Halmashauri kabla ya kupewa hati ya afya.
1. Aina ya Huduma Kila mtu anayefanya kazi kwenye maeneo yanayoshughulika na vyakula au mazingira hatarishi atalazimika kulipa shilingi elfu mbili (2000) kwa Halmashauri kwa ajili ya vipimo kabla ya kupatiwa hati inayothibitisha afya yake. 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA ........................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MIMI Mimi MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza kwamba tarehe ..........ya mwezi .................. Mwaka................ nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya kanuni ya ……..ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, Niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru na faini ninayodaiwa. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo Tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka …… Jina: ..................................................... Saini: .................................................... MBELE YA: Jina……............................................... Wadhifa: .................................................. Saini: .................................................. Tarehe: ............................................... 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na.721 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa kufuatia azimio lililopitishwa kwenye mkuatno wa Halmashauri uliofanyika mnamo jiyo ilibandikwa mbele ya:- tarehe 29/7/2022 na Lakiri DR. JUMAA MOHAMED MHINA, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya wilaya, Muheza ERASTO JEROME MHINA, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, Muheza L.S NAKUBALI, Dodoma, 25 Machi, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA (Mb.), Waziri wa Nchi-OR-TAMISEMI, 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YA MWAKA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in