SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU WA MADINI YA UJENZI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU YA MWAKA 2024
This section gives the short title of the by-law for construction mineral fees and levies for Kasulu District Council, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU WA MADINI YA UJENZI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU YA MWAKA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law for construction mineral fees and levies for Kasulu District Council, 2024. This by-law applies throughout the whole area of the Kasulu District Council authority. This section defines key terms used in the by-law, including fees, authorized officers, the council, permits, construction minerals, unauthorized areas, the director, levies, and agents. An applicant for a building-minerals quarry permit must submit the application to the Director, attach specified documents, and the Director must inspect the site within 7 days and then approve or رفض the application, giving reasons if rejected. Mtu aliyepewa kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi lazima alipe ada ya kibali ya Shilingi laki tatu na azingatie masharti ya sheria ndogo na ya kibali hicho.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU WA MADINI YA UJENZI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU YA MWAKA 2024
Showing 18 of 18
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law for construction mineral fees and levies for Kasulu District Council, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu ya mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the whole area of the Kasulu District Council authority.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, authorized officers, the council, permits, construction minerals, unauthorized areas, the director, levies, and agents.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi lengo inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni moramu, udongo, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maeneo yasiyoidhinishwa” maana yake ni maeneo ya mito, madaraja, barabara, maeneo ya wazi, mashamba ya watu, maeneo ya hifadhi pamoja na maeneo mengine yanayofanana na hayo; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Tangazo la Serikali Na.722 (Linaendelea.) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “ushuru” maana yake ni kwa Halmashauri mbalimbali Halmashauri; na zinazotolewa tozo shughuli inayotozwa na huduma la eneo au katika Maombi ya kibali “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi, kampuni au asasi iliyoteuliwa na Halmashauri kukusanya ushuru au ada kwa niaba ya Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Mtu anayekusudia kuanzisha machimbo ya
AI-assisted research summary: An applicant for a building-minerals quarry permit must submit the application to the Director, attach specified documents, and the Director must inspect the site within 7 days and then approve or رفض the application, giving reasons if rejected.
4.-(1) Mtu anayekusudia kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri atatakiwa kuwasilisha kwa Mkurugenzi maombi ya kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Maombi ya kibali yatatakiwa kuambatishwa na taarifa zifuatazo: (a) leseni ya uchimbaji wa madini ya ujenzi iliyotolewa na Mamlaka husika; ya madini (b) aina yanayokusudiwa kuchimbwa; (c) umiliki pamoja na ukubwa wa eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi; (d) mpango wa utunzaji wa mazingira katika eneo la machimbo; na (e) muhtasari wa kijiji ambacho uchimbaji wa madini ya ujenzi utafanyika ukionesha kukubaliana na uchimbaji huo. (3) Mkurugenzi, ndani ya muda wa siku saba tangu kupokea maombi, atatakiwa kukagua eneo ambalo uchimbaji wa madini ya ujenzi unakusudiwa kufanyika ili kujiridhisha iwapo eneo hilo linafaa kwa shughuli za uchimbaji. (4) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (1) Mkurugenzi baada ya kukamilika kwa ukaguzi wa eneo linaloombewa kibali atatakiwa kukubali au kukataa maombi na endapo atakataa atatoa sababu za kukataa kwa maombi hayo. 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Tangazo la Serikali Na.722 (Linaendelea.) Wajibu wa mpewa kibali - 5 Verify source ↗
Mtu aliyepewa kibali cha uchimbaji wa madini
AI-assisted research summary: Mtu aliyepewa kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi lazima alipe ada ya kibali ya Shilingi laki tatu na azingatie masharti ya sheria ndogo na ya kibali hicho.
5. Mtu aliyepewa kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi atatakiwa: Muda wa uchimbaji na masharti ya usafirishaji Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa Ushuru wa madini ya ujenzi (a) kulipa ada ya kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi ya kiasi cha Shilingi laki tatu; (b) kuzingatia masharti ya Sheria Ndogo hii na masharti ya kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi; na (c) kulipa ada au ushuru utakaotozwa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 6 Verify source ↗
(1) Shughuli za uchimbaji, uuzaji na ununuzi
AI-assisted research summary: Construction mineral mining, buying, and selling in the council area must occur daily from 6:00 a.m. to 6:00 p.m.; the Director may issue a special permit for activity outside that time, and transport vehicles must be covered during transport.
6.-(1) Shughuli za uchimbaji, uuzaji na ununuzi wa madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri zitafanyika kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili jioni kila siku. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalum kuruhusu shughuli za uchimbaji, uuzaji na ununuzi wa madini ya ujenzi kufanyika nje ya muda ulioainishwa. (3) Kila mmiliki wa gari linalosafirisha madini ya ujenzi hilo kuhakikisha limefunikwa wakati wote wa usafirishaji wa madini ya ujenzi. atatakiwa kuwa gari - 7 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia kwenye maeneo ya uchimbaji wa madini ya ujenzi ili kufanya ukaguzi na kutoa ushauri, kati ya saa kumi na mbili asubuhi na saa kumi na mbili jioni.
7. Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo lolote yanapochimbwa madini ya ujenzi kuanzia Saa kumi na mbili Asubuhi hadi Saa kumi na mbili Jioni kwa nia ya kufanya ukaguzi na kutoa ushauri wa uendeshaji wa shughuli za uchimbaji. - 8 Verify source ↗
(1) Kila mnunuzi au msafirishaji wa madini ya
AI-assisted research summary: Kila mnunuzi au msafirishaji wa madini ya ujenzi lazima alipe ushuru wa madini ya ujenzi na ada ya ukaguzi kwa viwango vya Jedwali la Pili.
8.-(1) Kila mnunuzi au msafirishaji wa madini ya ujenzi atatakiwa kulipia ushuru wa madini ya ujenzi na ada ya ukaguzi kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Pili. (2) Ushuru wa madini ya ujenzi utatozwa katika eneo la machimbo, barabara zinazoelekea au kutoka maeneo ya machimbo au eneo lolote lililo chini ya mamlaka ya Halmashauri. (3) Mnunuzi yeyote atakayeshindwa kulipa ushuru anaotakiwa kulipa atatakiwa kupakua madini ya 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Tangazo la Serikali Na.722 (Linaendelea.) ujenzi kutoka katika chombo au kutochukua madini hayo mpaka hapo atakapolipa ushuru anaodaiwa. Vituo vya ukaguzi Utoaji wa Stakabadhi za malipo Kufutwa au kusimamishwa kwa kibali
Part
Jedwali la Pili.
- 9 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na vituo vya ukaguzi wa malipo
AI-assisted research summary: Madereva wa magari yanayobeba madini ya ujenzi lazima wasimame kwenye kituo cha ukaguzi na waoneshe stakabadhi ya kielektroniki; gari lililokamatwa eneo la machimbo halitaruhusiwa kutoka hadi lipiwe faini na ushuru unaodaiwa.
9.-(1) Kutakuwa na vituo vya ukaguzi wa malipo ya ushuru wa madini ya ujenzi katika njia zinazoingia au kutoka katika maeneo ya machimbo. (2) Kila dereva wa chombo cha usafiri kilichobeba madini ya ujenzi atatakiwa kusimama katika kituo cha ukaguzi na kuonesha stakabadhi ya kielektroniki ili kuthibitisha kulipwa kwa ushuru wa madini ya ujenzi yaliyo katika chombo cha usafiri. (3) Chombo cha usafiri kitakachokamatwa kwenye eneo la machimbo na dereva au mmiliki wake akakimbia au kutoroka, chombo hicho hakitaruhusiwa kutoka mpaka kitakapolipiwa faini na ushuru unaodaiwa. - 10 Verify source ↗
(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu
AI-assisted research summary: Wakulipwa ada au ushuru kwa Halmashauri au wakala, na stakabadhi ya kielektroniki itolewe kama ushahidi wa malipo; mlipa ada au ushuru lazima aiombe na kuikagua stakabadhi hiyo.
10.-(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, utalipwa kwa Halmashauri au wakala ambaye atatoa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (2) Ni wajibu wa kila mlipa ada au ushuru kudai na kuhakiki stakabadhi ya malipo kulingana na kiasi cha fedha alicholipa. (3) Utakuwa sio utetezi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, mtu kudai kuwa amelipa ada au ushuru lakini hakupewa stakabadhi ya kielektroniki. inaweza - 11 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kufuta au kusimamisha kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi ikiwa kuna ukiukwaji wa masharti, lakini lazima itoe notisi ya siku saba na ieleze sababu. Mmiliki wa kibali kilichofutwa au kusimamishwa lazima aache kuchimba.
11.-(1) Halmashauri au kusimamisha kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi endapo itajiridhisha kuwa kuna ukiukwaji wa masharti ya Sheria Ndogo hii au masharti ya kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi. kufuta (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri kabla ya kufuta au kusimamisha kibali itatakiwa kutoa notisi ya siku saba ya kusudio la kufuta au kusimamisha kibali kwa mtu yeyote aliyepewa kibali cha uchimbaji. (3) Notisi itakayotolewa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (2) itaainisha sababu za kufuta au kusimamisha kibali husika. (4) Endapo kibali kitafutwa au kusimamishwa, 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Tangazo la Serikali Na.722 (Linaendelea.) mtu yeyote aliyopewa kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi atasimama kuchimba madini hayo. Uteuzi wa wakala - 12 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya
AI-assisted research summary: The Council may appoint an agent to collect fees or levies on its behalf, and the appointed agent must collect and remit those amounts as set out in the by-law and agency contract.
12.-(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu ufuatao: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroni na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashuri. Halmashauri kutowajibika kwa hasara - 13 Verify source ↗
Halmashauri haitawajibika kwa hasara
AI-assisted research summary: Halmashauri haitawajibika kwa hasara zinazowapata mnunuzi au msafirishaji wa madini ya ujenzi wakati wa kukusanya ushuru, isipokuwa hasara hiyo itasababishwa na watumishi wa Halmashauri au wakala.
13. Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote atakayopata mnunuzi au msafirishaji wa madini ya ujenzi wakati wa kukusanya ushuru isipokuwa kama hasara hiyo itasababishwa na watumishi wa Halmashauri au wakala. Makosa - 14 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa chini ya Sheri Ndogo hii
AI-assisted research summary: Mtu anaweza kutenda kosa ikiwa anaanzisha, kuchimba, kusafirisha, kukwepa ushuru, au kukaidi maagizo yaliyotajwa chini ya Sheri Ndogo hii.
14. Mtu anatenda kosa chini ya Sheri Ndogo hii ikiwa: (a) ataanzisha machimbo ya madini ya ujenzi bila kuwa na kibali kilichotolewa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atasafirisha madini ya ujenzi bila kulipa ushuru; (c) atachimba madini ya ujenzi kabla au baada ya muda ulioruhusiwa kuchimba; (d) atasafirisha madini ya ujenzi katika gari ambalo halijafunikwa; (e) atamshawishi mtu au kundi la watu kutolipa ushuru; (f) atakataa kutii agizo lolote atakalopewa na afisa mwidhiniwa wakati wa utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; (g) atakataa kulipa ushuru au kumzuia afisa mwidhiniwa au wakala kutekeleza wajibu wake; (h) atakwepa kulipa ushuru kwa kupita njia tofauti 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Tangazo la Serikali Na.722 (Linaendelea.) na kituo cha ukaguzi; Adhabu Kufifilisha kosa (i) atachimba madini katika maeneo yasiyoidhinishwa; au (j) atachimba shimo kubwa kwa ajili ya madini na kuliacha bila kupanda miti au mimea mara baada ya madini hayo kumalizika. - 15 Verify source ↗
Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence against these Regulations must pay a fine, face imprisonment, or both.
15. Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa kinyume na Kanuni hizi atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtenda kosa shilingi laki mbili ikiwa anakiri kosa, anakubali kujaza fomu maalum, na kulipa ada au ushuru anaodaiwa.
16. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Tangazo la Serikali Na.722 (Linaendelea.) ______ JEDWALI LA KWANZA ______ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) KIBALI CHA UCHIMBAJI WA MADINI YA UJENZI hiki kimetolewa kwa Bw/Bi:……………………………………………….……wa Kibali S.L.P………………, Kasulu. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu ameridhia Ndugu mtajwa hapo la …………………………Kijiji cha……………………….kata ya …………………………… baada ya kufanya ukaguzi katika eneo husika ili kutathimini athari za Mazingira. juu, aendeshe shughuli za kuchimba madini ya ujenzi katika eneo Kutokana na uzingatiaji wa athari za Mazingira mchimbaji anaruhusiwa kuchimba madini ya ujenzi katika eneo hilo kwa muda wa miezi kumi na mbili tu. Mwombaji analazimika kuomba tena kibali baada ya muda huo kuisha na ukaguzi utafanyika tena. TAMKO LA MWOMBAJI: MIMI…………………………………………………………nipo tayari kufuata masharti ya kibali hiki cha Uchimbaji wa Madini ya Ujenzi ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu kwa lengo la kutunza na kuhifadhi mazingira. Nathibitisha kwa hiari yangu nimeelewa vema masharti ya kibali hiki. Jina: ……………………………………… Saini …………………..Tarehe ………………… KWA MATUMIZI YA OFISI; Mwombaji amelipia Shilingi …………….tarehe……….mwezi………….Mwaka………….. (Ambatanisha stakabadhi ya malipo na fomu hii) Jina la Afisa aliyetoa kibali……………………… Saini …………… Tarehe ………………. Muhuri:……………………………………………. 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Tangazo la Serikali Na.722 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 8(1)) USHURU WA MADINI YA UJENZI NA ADA YA UKAGUZI NA UMILIKI WA ENEO LA KUCHIMBA MADINI YA UJENZI A. B. Namba. USHURU WA MADINI YA UJENZI Uzito wa gari
Part
JEDWALI LA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision sets a per-trip tax rate based on tonnage bands.
4. Tani 1 – 2 Tani 3 – 5 Tani 6 -- 7 Kwa kila tani itakayoongezeka Kiwango cha ushuru (Shilingi) 3,000/= kwa kila safari 5,000/= kwa kila safari 7,000/= kwa kila safari 1,000/= kwa kila safari. C. ADA YA UKAGUZI NA UMILIKI WA ENEO LA KUCHIMBA MADINI YA UJENZI Namba Aina ya chanzo Kiwango cha ada (Shilingi) - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada ya ukaguzi wa eneo la kuchimba madini ya ujenzi na ada ya kibali cha kuchimba madini kwa mwaka.
2. Ada ya ukaguzi wa eneo linalokusudiwa kuchimba madini ya ujenzi. Ada ya kibali cha kuchimba madini kwa mwaka. 100,000/= 300,000/= 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Tangazo la Serikali Na.722 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA TATU ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 16) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA nakiri KWA HIARI YANGU Mimi;………………………………………………………. MWENYEWE mbele ya;………………………………………..…….ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, kwamba mnamo tarehe;…… ya Mwezi;….…. Mwaka; …….… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya ….. ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya Kasulu ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kasulu, niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU: Leo tarehe;…....... ya Mwezi;………… Mwaka;………….. Jina;…………………………………..……………………. Saini;…………………………..…………………………… MBELE YANGU: Jina;…………………………….………..…………………… Wadhifa;…………………………………………………..… Saini;………………………………………………………… Tarehe;…………………………………………………………. 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Tangazo la Serikali Na.722 (Linaendelea.) Muhuri wa Halmashauri umewekwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa kuzingatia Azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Halmashauri uliofanyika tarehe 11/11/2022 mbele ya:- JOSEPH KASHUSHURA RWIZA, Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri ya wilaya, Kasulu ELIYA CHARLES KAGOMA, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, Kasulu L.S NAKUBALI, Dodoma, 31 Januari, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA (Mb.), Waziri wa Nchi-OR-TAMISEMI, 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU WA MADINI YA UJENZI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU YA MWAKA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in