Sheria Ndogoya Uendeshaji wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024
This section gives the short title of the by-laws: Mafinga Town Council Markets and Stalls Operations By-laws, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogoya Uendeshaji wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-laws: Mafinga Town Council Markets and Stalls Operations By-laws, 2024. This provision says the by-law applies throughout the area of Mafinga Town Council. This section defines key terms used in the by-law, including council officers, market actors, market types, permits, rent tax, and goods-related terms. Halmashauri ina mamlaka na majukumu ya kusimamia masoko na magulio, ikiwa ni pamoja na kuyaanzisha, kuyaendeleza, kusimamia usafi na usalama, kugawa maeneo/vyumba/meza/vizimba, kutenga maeneo ya magulio, na kusajili wafanyabiashara wote. Halmashauri must appoint a market manager to oversee market development, and the manager must carry out specified market administration duties. The council may also hire an agent to run the market.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogoya Uendeshaji wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024
Showing 35 of 35
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-laws: Mafinga Town Council Markets and Stalls Operations By-laws, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the area of Mafinga Town Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Mji Mafinga. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including council officers, market actors, market types, permits, rent tax, and goods-related terms.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “afisa mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “dalali” maana yake ni mtu yeyote anayeuza bidhaa za sokoni kwa njia ya mnada kwa niaba ya mwenye bidhaa kwa mujibu wa sheria na taratibu za soko; “gulio” maana yake ni soko la wazi linalofanyika kwa cha wakati maalumu kwa kibali maalumu Halmashauri; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Mji Mafinga; “kibali” maana yake ni idhini ya maandishi inayotolewa na Halmashauri kwa mujibu Sheria Ndogo hii; “kodi ya pango” maana yake ni kodi inayolipwa na mpangaji kwa Halmashauri kila mwezi au kila siku kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; 1 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) “makasha” maana yake ni vifaa maalumu vya kubebea, kufungashia au kuhifadhia bidhaa au mazao na inajumuisha matenga, viroba, magunia, karatasi ngumu, maboksi, masanduku ya mbao na mengine vyenye asili hiyo; “meza au kizimba” maana yake ni kitu au kifaa kinachotumika kuweka bidhaa kwa ajili ya kuuza sokoni au gulioni; “mfanyabiashara” maana yake ni mtu yeyote anayeuza bidhaa sokoni au gulioni kwa jumla au rejareja; “meneja wa soko” maana yake ni mtu yeyote aliyeteuliwa au aliyeajiriwa na Halmashauri kusimamia shughuli zote katika soko; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri afisa yeyote ya ya Mji Mafinga pamoja na atakayeteuliwa Mkurugenzi; majukumu kutekeleza "mnada” maana yake ni soko la wazi ambalo mali au vitu mbalimbali vinauzwa kwa ushindani wa bei kwa kauli na kwa kibali maalumu cha Halmashauri; “mnunuzi” maana yake ni mtu yoyote anayenunua bidhaa au mazao sokoni au katika eneo la mamlaka ya Halmashauri; “mpangaji” maana yake ni mtu anayetumia kwa namna yoyote ile kibanda, chumba, meza au kizimba kinachomilikiwa au kilichojengwa kwenye ardhi ya Halmashauri; “muuzaji” maana yake ni mtu yoyote anayeuza bidhaa au mazao katika soko au eneo lililoidhinishwa na Halmashauri; “soko” maana yake ni eneo maalumu la biashara lililotengwa na Halmashauri kwa matumizi ya kuuzia au kununulia bidhaa na inajumuisha gulio; “wakala” maana yake ni mtu aliyeteuliwa na Halmashauri kutekeleza majukumu chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri; 2 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) “wadau wa soko” maana yake ni wafanyabiashara binafsi, vikundi vilivyoandikishwa katika kamati ya wadau wa soko au gulio na kuwasilishwa kwa mkuu wa soko, au vyama vya ushirika vinavyofanya shughuli za biashara katika soko; “ushuru” maana yake ni kiasi cha fedha kinachotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “vikundi” maana yake ni vikundi vya ushirika vya wafanyabiashara au umoja wa vikundi vya wafanyabiashara vilivyosajiliwa au kuandikishwa na kuwasilishwa katika kamati ya soko au gulio na kwa mkuu wa soko na kutambuliwa na Halmashauri; na “mazao” maana yake ni mavuno ya shambani au maliasili yanayoingizwa kwenye soko au ndani ya eneo la mamlaka ya Halmashauri. - 4 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na mamlaka na kutekeleza
AI-assisted research summary: Halmashauri ina mamlaka na majukumu ya kusimamia masoko na magulio, ikiwa ni pamoja na kuyaanzisha, kuyaendeleza, kusimamia usafi na usalama, kugawa maeneo/vyumba/meza/vizimba, kutenga maeneo ya magulio, na kusajili wafanyabiashara wote.
4. Halmashauri itakuwa na mamlaka na kutekeleza majukumu yafuatayo: (a) kuanzisha, kusimamia na kuendesha masoko kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) kuendeleza masoko; (c) kusimamia usafi na usalama wa masoko na magulio; (d) kusimamia ufikishaji wa huduma za kijamii katika soko na gulio; (e) kugawa na kupangisha soko kwa vyumba, meza au vizimba; (f) kutenga maeneo kwa ajili ya magulio; na (g) kusajili wafanyabiashara wote katika masoko yote ya Halmashauri. 3 Mamlaka na majukumu ya Halmashaur i juu masoko, magulio na minada Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) Meneja wa soko - 5 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na meneja wa soko atakayeteuliwa
AI-assisted research summary: Halmashauri must appoint a market manager to oversee market development, and the manager must carry out specified market administration duties. The council may also hire an agent to run the market.
5.-(1) Kutakuwa na meneja wa soko atakayeteuliwa na Halmashauri kwa ajili ya kusimamia shughuli za uendelezaji wa masoko. (2) Bila kujali aya ya (1), meneja wa soko atakua na majukumu yafuatayo: (a) kusimamia ukusanyaji wa ushuru na ada mbalimbali; (b) kusimamia usajili wa wadau wa soko kwa kushirikiana na kamati ya wadau wa soko; (c) kuimarisha huduma za ulinzi, maji na umeme katika masoko; (d) kusimamia usafi na uondoshaji wa taka katika soko; (e) kuhakikisha kuwa bidhaa haziuzwi kwenye eneo ambalo haliruhusiwi kwa shughuli hiyo; (f) kuzuia ujenzi holela katika soko; na (g) kutekeleza majukumu mengine yatakayoagizwa na Halmashauri. yoyote (3) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kuajiri wakala ambaye atawajibika kusimamia uendeshaji wa soko kwa niaba yake. (4) Wakala atakayeteuliwa chini ya aya ndogo ya (2) atasimamia shughuli za uendeshaji wa soko kwa kuzingatia masharti yaliyoainishwa katika aya ndogo ya (2) na masharti ya mkataba wa uwakala kati yake na Halmashauri. Kamati ya wadau wa soko - 6 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kamati ya wadau wa soko
AI-assisted research summary: This provision creates a market stakeholders committee, requires each market cooperative group to have one representative, and sets rules for the committee’s procedures, meetings, secretary, and term.
6.-(1) Kutakuwa na kamati ya wadau wa soko ambayo itaundwa na wadau wa soko kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Kila kikundi cha ushirika katika soko kitakuwa na mwakilishi mmoja katika kamati ya wadau wa soko. (3) Kamati ya wadau wa soko itatakiwa kuweka 4 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) utaratibu maalumu wa kuwapata viongozi wake, kuwaondoa madarakani na uendeshaji wa shughuli zake na kuuwasilisha kwa Halmashauri. (4) Vikao vya kamati ya wadau wa soko vitafanyika mara moja kila mwezi. (5) Meneja wa soko atakuwa katibu katika vikao vyote vya kamati ya wadau wa soko. (6) Muda wa wajumbe wa kamati ya soko kuwa madarakani ni miaka mitatu. Majukumu ya kamati - 7 Verify source ↗
Kamati ya wadau wa soko itakuwa na majukumu
AI-assisted research summary: Kamati ya wadau wa soko lazima ihakiki biashara, iboreshe ustawi wa wadau, idumishe nidhamu, ikusanye ushuru na ada, isimamie usafi, na ihakikishe ulinzi na usalama sokoni.
7. Kamati ya wadau wa soko itakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kuhakiki biashara zinazoendeshwa katika soko; (b) kuboresha ustawi wa wadau wa soko; (c) kuhakikisha uwepo wa nidhamu katika shughuli za soko; (d) kuhakikisha wadau wote wa soko na gulio wanalipa ushuru na ada kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (e) kukuza na kuendeleza mfumo wa biashara; (f) kuhakikisha kila eneo la mdau na soko kwa ujumla linakuwa safi muda wote; (g) kutekeleza kazi nyingine watakazoelekezwa na Meneja wa soko kulingana na Sheria ndogo hii; na (h) kuhakikisha ulinzi na usalama unakuwepo sokoni. Kamati ndogo - 8 Verify source ↗
(1) Kamati ya wadau wa soko itaunda kamati
AI-assisted research summary: The market stakeholders committee must create subcommittees of four members, and it may also create any other subcommittee it considers appropriate.
8.-(1) Kamati ya wadau wa soko itaunda kamati ndogo zenye wajumbe wanne kutoka miongoni mwa wajumbe wa kamati ya wadau wa soko ambazo ni- (a) kamati ndogo ya miundombinu na usafi; (b) kamati ndogo ya utawala na biashara; na 5 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) (c) kamati ndogo ya ulinzi na usalama. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), kamati ya wadau wa soko inaweza kuunda kamati ndogo yoyote kwa kadri itakavyoona inafaa. - 9 Verify source ↗
Mtu anayetaka kufanya biashara katika eneo la
AI-assisted research summary: A person who wants to do business in the market area must register with the market manager.
9. Mtu anayetaka kufanya biashara katika eneo la soko atajisajili kwa meneja wa soko na meneja akishirikiana na kamati ya wadau wa soko kwa lengo la kumtambua na kumworodhesha katika rejesta ya wadau wa soko. - 10 Verify source ↗
Mfanyabiashara katika eneo la soko atakuwa na
AI-assisted research summary: Mfanyabiashara katika eneo la soko lazima ajisajili, azingatie usafi na utunzaji wa miundombinu, afanye biashara maeneo yanayoruhusiwa, alipe ushuru na ada kwa wakati, na asifuate au kuvunja masharti ya soko yaliyotolewa.
10. Mfanyabiashara katika eneo la soko atakuwa na wajibu wa- (a) kujisajili katika rejesta ya wadau wa soko; (b) kulinda na kuhifadhi miundombinu ya soko; (c) kufanya biashara katika maeneo Usajili wa wadau Wajibu wa mfanyabish ara yanayoruhusiwa; (d) kufanya usafi katika eneo lake la biashara; (e) kulipa ushuru na ada kwa wakati; (f) kutobandika au kutobandua tangazo bila idhini ya meneja wa soko; (g) kutotumia lugha ya matusi, kuudhi au kashfa katika eneo la soko; (h) kushiriki usafi wa jumla wa soko; (i) kutoweka bendera ya chama chochote cha siasa ndani ya eneo la soko; (j) kutofanya shughuli za kisiasa katika eneo la soko; (k) kutotupa taka ovyo au kutiririsha maji machafu; (l) kutowasha moto maeneo yasiyohusika ndani ya soko; na (m) kuheshimu masharti ya upangaji aliyopewa na Halmashauri na maelekezo atakayopewa na Halmashauri, meneja wa soko na kamati ya wadau wa soko. Muda wa - 11 Verify source ↗
(1) Soko litakuwa wazi siku zote kuanzia saa
AI-assisted research summary: Soko lazima liwe wazi kila siku kuanzia saa 6 asubuhi hadi saa 12 jioni. Meneja wa soko anaweza kulifunga kwa matengenezo au dharura, lakini kwa matengenezo ni baada ya notisi ya siku 7 kwa wadau, isipokuwa kuna sababu nyingine za dharura.
11.-(1) Soko litakuwa wazi siku zote kuanzia saa 6 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) biashara kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. soko, kwa kushauriana na (2) Meneja wa Mkurugenzi, anaweza kufunga soko kwa ajili ya matengenezo au sababu nyingine yoyote ya dharura pale itakapoonekana inafaa. (3) Isipokuwa kwa sababu nyingine za dharura, meneja wa soko hatakuwa na mamlaka ya kufunga soko kwa sababu za matengenezo isipokuwa tu baada ya kutoa notisi ya siku saba kwa wadau wa soko kuhusu kusudio la kufunga soko kwa ajili ya matengenezo. Ushuru wa soko mnada au gulio - 12 Verify source ↗
Halmashauri itatoza ushuru wa soko kutoka kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza ushuru wa soko kwa kila mfanyabiashara aliyesajiliwa anayefanya biashara katika eneo la soko lililotajwa kwenye Jedwali la Kwanza.
12. Halmashauri itatoza ushuru wa soko kutoka kwa kila mfanyabiashara aliyesajiliwa kufanya biashara katika eneo la soko kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Kodi ya pango Usimamizi wa magari - 13 Verify source ↗
(1) Mfanyabishara katika soko atalipa kodi ya
AI-assisted research summary: Wafanyabiashara wa soko lazima walipe kodi ya pango kwa kizimba au kibanda; walio bila mkataba hulipa kwa viwango vya Jedwali la Kwanza. Halmashauri inaweza, kwa makubaliano maalumu, kuruhusu ujenzi au ukarabati fulani katika eneo la soko.
13.-(1) Mfanyabishara katika soko atalipa kodi ya pango kwa kizimba au kibanda kwa mujibu wa mkataba wa upangishwaji. (2) Wafanyabiashara katika soko ambao hawana mkataba watalipa kodi ya pango kwa kizimba au kibanda kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (3) Halmashauri inaweza, kwa makubaliano maalumu, kumruhusu mtu yeyote kujenga banda la biashara katika eneo la soko au kufanya ukarabati au marekebisho ya chumba, kibanda, meza au kizimba. - 14 Verify source ↗
(1) Magari yote yanayotumika kufikisha mazao
AI-assisted research summary: Vehicles bringing produce or goods to the market must unload only in designated areas.
14.-(1) Magari yote yanayotumika kufikisha mazao au bidhaa sokoni yatashusha bidhaa katika maeneo yaliyoainishwa kwa ajili hiyo. (2) Meneja wa soko anaweza kuamua na kusimamia idadi ya magari yatakayoruhusiwa kushusha bidhaa au mazao sokoni. (3) Meneja wa soko, kwa kadiri atakavyoona inafaa, anaweza kuondoa gari au kuzuia gari kuingia katika sehemu iliyotengwa. 7 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) Kibali cha minada na magulio Usafi wa soko - 15 Verify source ↗
(1) Mtu anayekusudia kuendesha minada ya
AI-assisted research summary: Anyone who wants to run market auctions for produce, clothes, or other goods must apply to the council for a special permit using the form in the Second Schedule. The council may grant a special permit for holding magulio in areas it designates for that purpose.
15. (1) Mtu anayekusudia kuendesha minada ya mazao, nguo na bidhaa nyingine katika masoko ataomba kwa Halmashauri kibali maalumu kwa kujaza fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili. (2) Halmashauri inaweza kutoa kibali maalumu cha kufanyika kwa magulio katika maeneo yatakayoteuliwa na Halmashauri kwa madhumuni hayo. - 16 Verify source ↗
(1) Mfanyabiashara anayefanya biashara katika
AI-assisted research summary: A market trader must keep their market area clean at all times and follow health rules. The market manager, together with the market stakeholders committee, must oversee overall market cleanliness every last Saturday of the month.
16.-(1) Mfanyabiashara anayefanya biashara katika eneo la soko atawajibika kuweka eneo lake katika hali ya usafi wakati wote pamoja na kuzingatia kanuni za afya. (2) Meneja wa soko kwa kushirikiana na kamati ya wadau wa soko atasimamia usafi wa jumla wa soko kila siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi. Mifugo kutoingizw a sokoni - 17 Verify source ↗
Mtu yeyote hataingiza mifugo sehemu yoyote
AI-assisted research summary: Anyone must not bring livestock into markets, fairs, or auctions except at a special place designated by the council for livestock trade.
17. Mtu yeyote hataingiza mifugo sehemu yoyote ndani ya soko, magulio au minada, isipokuwa sehemu maalumu iliyoteuliwa na Halmashauri kwa ajili ya biashara ya mifugo. Ufungaji wa bidhaa ziletwazo sokoni au gulioni Makosa - 18 Verify source ↗
(1) Bidhaa zote ziletwazo sokoni au gulioni
AI-assisted research summary: Goods brought to the market or auction must be packed in special transport crates, and if leaves are used for wrapping during transport, the owner or transporter must keep the leaves with the goods and dispose of them at the market council dump at their own cost.
18.-(1) Bidhaa zote ziletwazo sokoni au gulioni zitawekwa katika makasha maalumu ya kusafirishia bidhaa. (2) Endapo bidhaa imefungwa kwa kutumia majani wakati wa kusafirisha, majani hayo yatabaki ndani ya chombo kilichotumika kusafirisha bidhaa hiyo na mwenye bidhaa au msafirishaji atawajibika kuhakikisha majani hayo yanasafirishwa na kutupwa katika dampo la Halmashauri soko kwa gharama zake. - 19 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa iwapo mtu huyo
AI-assisted research summary: Mtu anatenda kosa akifanya mojawapo ya vitendo vilivyoorodheshwa katika soko, gulio, au mnada bila kibali au kwa kinyume cha masharti yaliyotajwa.
19. Mtu anatenda kosa iwapo mtu huyo- (a) anabandika au kubandua tangazo lolote katika eneo la soko bila idhini ya meneja wa soko au afisa mwidhiniwa; (b) anauza pombe ndani ya soko, gulio au mnada bila leseni ya vileo iliyotolewa na Halmashauri; 8 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) (c) anafanya shughuli yoyote inayohusisha matumizi ya moto isipokuwa kwa idhini ya maandishi ya Halmashauri; (d) anatembeza bidhaa ndani ya soko bila kibali cha Halmashauri; (e) anaweka bendera ya chama chochote cha siasa ndani ya eneo la soko au gulio; (f) anafanya shughuli za siasa ndani ya soko au gulio; (g) anaharibu miundombinu ya soko au gulio; (h) anafanya ujenzi au ukarabati bila kibali; (i) anatumia lugha ya matusi, kufanya vurugu au ugomvi ndani ya soko; (j) anafanya shughuli yeyote kwenye eneo ambalo haliruhusiwi au halijatengwa kwa ajili ya shughuli hiyo; (k) anatupa taka au kutiririsha maji machafu katika eneo lisiloruhusiwa; (l) anawasha moto maeneo yasiyoruhusiwa; (m) anatumia kama stoo au matumizi mengine kinyume na masharti ya katika mkataba au leseni; (n) anaendelea na biashara baada ya muda wa biashara ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii. Adhabu - 20 Verify source ↗
Mtu anayetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii
AI-assisted research summary: Mtu akipatikana na hatia kwa kosa chini ya Sheria Ndogo hii anaweza kupewa faini, kifungo, au vyote viwili.
20. Mtu anayetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii akitiwa hatiani atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. Ufifilishaji makosa - 21 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtaka mtu aliyetenda
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtaka mtu aliyevunja Sheria Ndogo hii alipe hadi shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa kwa maandishi katika fomu maalumu na yuko tayari kutimiza wajibu wake.
21. Mkurugenzi anaweza kumtaka mtu aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kulipa kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa maandishi katika fomu maalumu iliyoainishwa katika 9 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) Jedwali la Tatu la na kuwa tayari kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. _____________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 12 na 13) USHURU NA KODI YA PANGO KATIKA MASOKO MINADA NA MAGULIO (i) Ushuru wa Soko Namba
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Hii kifungu kinaorodhesha aina za bidhaa: mahindi, maharage, mpunga, dagaa, samaki, vitunguu, alizeti, kabeji, machungwa, miwa, nanasi, ndizi na parachichi.
12. Aina ya bidhaa Mahindi Maharage Mpunga Dagaa Samaki Vitunguu Alizeti Kabeji, Machungwa, Miwa, Nanasi, Ndizi, Parachichi - 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: The text lists items associated with a fee or tax for auctions and markets, including potatoes, peppers, peanuts, cowpeas, husks, tomatoes, rice, flour, and other unspecified goods.
19. 20 Viazi Hoho Karanga Njegere maganda Nyanya Mchele Unga Bidhaa nyingine ambayo haijatajwa (ii). Ushuru wa minada na magulio Namba - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Huu ni ratiba ya viwango vya ushuru kwa bidhaa na shughuli mbalimbali za masoko/magulio.
7. Aina ya Bidhaa Ng’ombe Kondoo Mbuzi Bidhaa zinazotengenezwa viwandani/ karakana Wauza mitumba Wauza bia na vinywaji baridi Wauza nafaka Kiwango cha na ushuru (Shilingi) 1,000 @ gunia la kilo 90 1,000 @ gunia la kilo 90 1,000 @ gunia la kilo 75 1,000 @ gunia la kilo 70 1,000 @ tenga kilo 50 1,000 @ gunia la kilo 70 500 @ gunia la kilo 40 5000 kwa tani moja, 500 kwa mkungu wa ndizi 1,000 kwa tenga la kilo 50 1,000 @ gunia la kilo 100 500 kwa tenga kilo 50 2,000 @ gunia la kilo 90 1,000 @ gunia la kilo 90 1,000 @ tenga la kilo 50 1,000 @ gunia la kilo 100 500 @ gunia la kilo 80 1,000 @ tenga/gunia Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5,000 @ ngombe 1,000 @ kondoo 1,000 @ mbuzi 500 @ siku 500 @ siku 1,000 @ siku 500 @ gunia 10 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) - 20 Verify source ↗
Section 20
AI-assisted research summary: Section 20 lists market fees and rent charges, including daily charges for several goods and a monthly rent charge for traders without lease agreements in Mafinga main market.
20. Ndege (kuku, bata) Pombe za asili Wauza madawa ya asili Wauza vipuri vya baiskeli,pikipiki,magari Wauza dagaa Wauza samaki Wauza chumvi, nyama na mboga za majani Wauza vyungu Wauza vyombo vya nyumbani Wauza viatu Wauza nguo mpya Mafundi baiskeli Bidhaa nyingine ambazo hazijatajwa Mifugo mingine ambayo haijatajwa Ng’ombe waliopelekwa na kuingizwa mnadani lakini hawajauzwa 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 500 @ siku 1000 @ Ng’ombe (iii). Kodi ya Pango ya eneo, vibanda au vizimba vya biashara kwa wafanyabiashara wasio na mikataba ya upangaji katika eneo la soko kuu Mafinga Namba. Aina ya Chanzo Kiwango cha Ada kwa mwezi (Shilingi) - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The text lists fee amounts for different market structures and business premises.
6. Vizimba Matundu ya kuku Mama/baba lishe 9,000 15,000 20,000 Vioski/mabanda ya mitumba/bucha 50,000 Maduka Stoo 100,000 200,000 (iv). Viwango vya kodi za pango la vyumba, vibanda vya biashara kwa mwezi maeneo mengine kwa wasio na mikataba Namba . Aina ya Chanzo Kiwango cha Ada (Shilingi) 11 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This provision lists market loading and unloading charges and shows amounts in Tanzanian shillings for different transport-vehicle categories.
5. Vizimba Mama /baba lishe Vioski/Mabanda ya Mitumba na Bucha Maduka Stoo 6,000 10,000 10,000 25,000 30,000 (v). Ushuru wa kupakia na kushusha mizigo katika masoko Namba. Aina ya chombo cha usafiri Kiwango cha ushuru (Shilingi) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The text appears to list vehicle categories and amounts, then starts a new item on tax in the timber/forest produce market.
7. Gari au bajaji 500 kgs Gari tani 1 pick up Gari tani 1.5 Gari tani 2 Gari tani 3 Gari tani 4 Gari tani 5 500 1,000 1,500 2,000 3,000 4,000 5,000 (vi) Ushuru katika soko la mbao/mazao ya misitu Namba - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Hii ni jedwali la viwango vya ushuru kwa aina mbalimbali za mazao ya misitu, kama mbao, mirunda, nguzo za simu na umeme, kuni, mkaa, mabanzi na mazao mengine ya misitu.
8. Aina ya Zao la Misitu Mbao Mirunda Nguzo za simu Nguzo za umeme Kuni Mkaa Mabanzi Mazao mengine ya misitu Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 100/= kwa ubao mmoja 50/= kwa mrunda 500/= kwa nguzo 1,000/= kwa nguzo 3,000/=kwa tani moja 1,000/= kwa gunia la kilo 50 50/= kwa banzi 5,000/= kwa tani moja 12 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) ______________ JEDWALI LA PILI ________________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 15(1)(2)) KIBALI CHA KUTUMIA SOKO
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
Jina la Mwombaji ………………………………………………
AI-assisted research summary: Heading for the applicant’s name.
1. Jina la Mwombaji ……………………………………………….. - 4 Verify source ↗
Eneo ambalo kibali hicho kitatumika ……………………………
AI-assisted research summary: This section states the area where the permit applies.
4. Eneo ambalo kibali hicho kitatumika ……………………………... - 5 Verify source ↗
Muda wa kibali ni kuanzia tarehe……………hadi tarehe…………
AI-assisted research summary: Kibali kinaonyesha kipindi cha uhalali kuanzia tarehe ya mwanzo hadi tarehe ya mwisho iliyoandikwa.
5. Muda wa kibali ni kuanzia tarehe……………hadi tarehe………… - 6 Verify source ↗
Masharti ya kutumia kibali hicho……………………………………………
AI-assisted research summary: This section is titled as conditions for using the license, but the provided text does not include the actual conditions.
6. Masharti ya kutumia kibali hicho…………………………………………….. a) ……………………………………………… b) ……………………………………………… c) ……………………………………………… d) ……………………………………………… e) ……………………………………………… - 7 Verify source ↗
Nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa ni kweli tupu na niko tayari kuzingatia
AI-assisted research summary: Mwombaji anathibitisha kuwa taarifa alizotoa ni za kweli na kwamba yuko tayari kuzingatia masharti ya kibali akipewa kibali hicho.
7. Nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa ni kweli tupu na niko tayari kuzingatia masharti ya kibali endapo nitapewa kibali hicho. Jina la Mwombaji ………………………………… Saini ……………………………………………… Tarehe …………………………………………….. - 8 Verify source ↗
Kibali hiki hakihamishiki
AI-assisted research summary: Kibali hiki hakihamishiki na ni kwa matumizi ya ofisi tu.
8. Kibali hiki hakihamishiki KWA MATUMIZI YA OFISI TU Namba ya kibali……………. Tarehe………………………. Mahali ……………. Stakabadhi Na.………………………ya Tarehe…………………………. Jina la afisa muidhinishaji…………………………………. Saini……………………cheo…………………………. Muhuri ________________ JEDWALI LA TATU ________________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 21) FOMU YA KUFIFILISHA MAKOSA Mimi,………………………………………………………. nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya………………………………………..…….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Mafinga, kwamba mnamo tarehe;…… ya Mwezi;….…. 13 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) Mwaka;…….… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024. Nipo tayari kutimiza wajibu kwa mujibu wa Sheria Ndogo hiyo. Nathibitisha kwamba maelezo hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa mimi mwenyewe kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu. Leo tarehe…....... ya Mwezi………… Mwaka………….. Jina:…………………………………..……………………. Saini:…………………………..…………………………… MBELE YANGU: Jina:…………………………….………..…………………… Wadhifa:…………………………………………………..……. Saini:………………………………………………………… Tarehe:………………………………………………………. 14 Sheria Ndogo ya Uendeshaji wa Masoko Na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 207 (Linaendelea) Lakari ya Halmashauri ya Mji Mafinga imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Mafinga uliofanyika Tarehe 14 mwezi 02 Mwaka 2023 na kushuhudiwa Lakari hiyo ikigongwa mbele ya ;- NAKUBALI / L.S DODOMA 31 Januari, 2024 AYUBU J. KAMBI Mkurugenzi REGNANT Z. KIVINGE Mwenyekiti Halmashauri ya Mji Mafinga MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB) Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa Na Serikali za Mitaa) 15
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogoya Uendeshaji wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in