Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024
This provision gives the by-law’s short title: the Mafinga Town Council Fees and Taxes By-Law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the by-law’s short title: the Mafinga Town Council Fees and Taxes By-Law, 2024. This section says the by-law applies throughout the entire area under Mafinga Town Council’s authority. This section defines several terms used in the by-law, including fees, permits, officers, the Council, markets, stands, and other local-administration terms. Halmashauri inaweza kutoza ada na ushuru kwa vibali, leseni, na huduma mbalimbali zilizoainishwa katika Jedwali. Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kulingana na viwango vilivyoainishwa humo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024
Showing 65 of 65
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This provision gives the by-law’s short title: the Mafinga Town Council Fees and Taxes By-Law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This section says the by-law applies throughout the entire area under Mafinga Town Council’s authority.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la mamlaka ya Halmashauri ya Mji Mafinga. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines several terms used in the by-law, including fees, permits, officers, the Council, markets, stands, and other local-administration terms.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa leseni Halmashauri kwa ajili ya vibali au mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “bidhaa” maana yake ni vitu mbalimbali vinavyoweza kuuzwa na kununuliwa katika duka, soko au eneo la mnada; lengo “burudani” maana yake ni sherehe, michezo, muziki na au inayohusisha shughuli yeyote kusanyiko la watu, isipokuwa kusanyiko la msiba: ile ya kijamii “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria na mizigo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa baiskeli, mkokoteni au wanyama wanaotumika 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) kusafirisha watu au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Mji Mafinga; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “kodi ya pango” maana yake ni kiasi cha fedha ambacho kitatozwa na Halmashauri ikiwa ni malipo ya pango la kukodi chumba cha ofisi, kibanda, meza au kizimba katika maeneo ya Halmashauri kwa kipindi maalum; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi ikiwa ni pamoja na maeneo ya taasisi ya umma au watu binafsi yaliyopo katika eneo la Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnunuzi wa mazao” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, kampuni, kiwanda au shirika linalonunua mazao kwa ajili ya biashara au matumizi mengineyo katika eneo la Halmashauri; “muuzaji” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, linalouza au kampuni, kiwanda au kusafirisha mazao kutoka kata moja kwenda kata nyingine au nje ya eneo la Halmashauri yenye uzito wa zaidi ya tani moja; shirika “soko” maana yake ni eneo lililotengwa na linalomilikiwa na Halmashauri kwa ajili ya kuuza na kununua bidhaa; “stendi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) Utozaji wa ada na ushuru “ushuru” maana yake ni kiasi cha fedha kinachotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu aliyeteuliwa na Halmashauri kutekeleza majukumu chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri.
Part
sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza ada na ushuru kwa vibali, leseni, na huduma mbalimbali zilizoainishwa katika Jedwali.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali au leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama la Kwanza. ilivyoainishwa katika Jedwali (2) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri. (3) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu mwenye wajibu wa kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kulingana na viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu mwenye wajibu wa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atapaswa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa ukusanyaji wa ada au ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Ada au ushuru utakusanywa kuanzia saa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru unakusanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni, isipokuwa kwa ukusanyaji wa baada ya muda kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi.
6.-(1) Ada au ushuru utakusanywa kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda ulioainishwa. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano kati ya Halmashauri na mlipaji. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) Ukusanyaji wa madeni - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ada au
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutumia mahakama na kukamata mali ili kukusanya ada, ushuru au tozo ambazo hazijalipwa kwa wakati.
7.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ada au ushuru kwa njia ya mahakama endapo mtu mwenye wajibu wa kulipa atashindwa kulipa ada au ushuru ndani ya muda uliobainishwa. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Endapo mdaiwa atashindwa kulipa deni la ada au tozo ndani ya siku thelathini tangu kukamatwa kwa mali kwa mujibu wa aya ndogo ya (2), Halmashauri, baada ya kupata idhini ya mahakama, inaweza kuziuza mali hizo kwa njia ya mnada. (4) Endapo mali zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri, baada ya kupata idhini ya mahakama, inaweza kuuza mali hizo kabla hazijaharibika. zilizokamatwa (5) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (3) na (4), kabla ya Halmashauri kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa notisi ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa kwa uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kuwa wakala wa kukusanya ushuru; wakala huyo lazima akusanye na kupokea ushuru, awasilishe makusanyo, na ahakikishe malipo yanafanyika kielektroniki pamoja na kutoa risiti kwa kila muamala.
8.-(1) Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kuwa wakala wa kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria 4 Uteuzi wa wakala Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) Ndogo hii; (b) kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. (3) Wakala atahakikisha malipo ya ushuru yanafanyika kwa njia ya kielektroniki na risiti zinatolewa kwa kila muamala. - 9 Verify source ↗
Mtu anayekusudia kuchinja mnyama kwa ajili ya
AI-assisted research summary: A person planning to slaughter an animal for business must do so only at slaughterhouses specified by the Council.
9. Mtu anayekusudia kuchinja mnyama kwa ajili ya biashara, atachinja mnyama wake katika machinjio yatakayobainishwa na Halmashauri. - 10 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri ndani ya muda uliotajwa, kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali chini ya Sheria Ndogo hii.
10. Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Maeneo ya machinjio Mamlaka ya afisa mwidhiniwa Makosa - 11 Verify source ↗
Wakala ambaye
AI-assisted research summary: This section says a wakala or any person commits an offence if they collect, evade, refuse, underpay, obstruct, falsify, or misstate fees/taxes in the ways listed.
11.-Wakala ambaye- (a) atakusanya ushuru bila kibali cha maandishi cha Halmashauri; (b) atakusanya ushuru kwa kiwango tofauti na kilichoainishwa katika Sheria Ndogo hii; kuwasilisha (c) atashindwa au atawasilisha kiwango pungufu cha ushuru uliokusanywa; (d) atakusanya ushuru kwa mbinu zilizoelekezwa na Halmashauri, tofauti na anatenda kosa. (2) Mtu ambaye- (a) atashindwa, atadharau, atakwepa au atakataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kikundi cha watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) (c) atamzuia Mkurugenzi, afisa mwidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri; au (f) atatumia chombo chochote kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. Adhabu Ufifilishaji makosa - 12 Verify source ↗
Mtu atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii
AI-assisted research summary: A person who violates the bylaw commits an offence and, if convicted, may be fined between 200,000 and 1,000,000 shillings, imprisoned for 12 to 24 months, or both.
12. Mtu atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii anatenda kosa na akitiwa hatiani, atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. - 13 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtaka mtu aliyetenda
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtaka mtu aliyefanya kosa chini ya Sheria Ndogo hii kulipa hadi shilingi laki mbili, ikiwa anakiri kosa kwa maandishi kwenye fomu maalumu na analipa ada au ushuru anaodaiwa.
13. Mkurugenzi anaweza kumtaka mtu aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kulipa kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa maandishi katika fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa kwa TS Na. 34 la mwaka 2017
Part
Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru
- 14 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya
AI-assisted research summary: This section repeals the Mafinga Town Council Fees and Charges bylaw of 2017.
14. Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2017 inafutwa. _______________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA USHURU WA VITUO VYA KUOSHEA MAGARI 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) Namba Aina ya Chanzo Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: A car wash station is charged 1,000 shillings per day.
1. Kila kituo cha kuoshea Magari 1,000/= kwa siku Namba. Aina ya Mifugo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) SEHEMU YA PILI USHURU WA MACHINJIO
Part
SEHEMU YA PILI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The section lists meat inspection charges for different livestock categories.
3. Ng’ombe 2,500 kila mmoja Mbuzi/ kondoo, Nguruwe 1,500 kila mmoja Kuku na aina nyingine ya ndege 300 kila mmoja Namba. Aina ya Mifugo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) SEHEMU YA TATU USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA
Part
SEHEMU YA TATU
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision lists livestock auction and transport fees, including charges for selling, transporting, and resting different animals.
4. Ng’ombe Mbuzi/kondoo, Nguruwe 2,500 kila mmoja 1,500 kila mmoja Kuku na aina nyingine ya ndege 200 kila mmoja SEHEMU YA NNE USHURU WA MINADA YA MIFUGO Aina ya Mnyama Kiwango cha ushurukwa siku (Shilingi) Ng’ombe, Ngamia, Farasi, punda 1,000 kwa kila aliyeuzwa Mbuzi/ kondoo/nguruwe 500 kwa kila aliyeuzwa Vifaranga 100 wa siku moja (DOC) 500 kwa kila boksi Kuku na aina nyingine ya ndege 300 kwa kila aliyeuzwa SEHEMU YA TANO USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO Namba. Aina ya Mnyama Kiwango cha ushuru kwa siku (Shilingi) 1 Kusafirisha mifugo nje ya eneo la Halmashauri 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) (a) (b) (c) Ng’ombe Mbuzi/ kondoo, nguruwe Kuku, aina nyingine ya ndege 2,500 kila mmoja 1,500 kila mmoja 500 kila mmoja 2 Ushuru wa kulaza mifugo inayosafirishwa eneo la Halmashauri (a) (b) Ng’ombe Mbuzi, kondoo na nguruwe 1,000 kila mmoja 500 kila mmoja SEHEMU YA SITA USHURU WA NGOZI Namba. Bidhaa
Part
SEHEMU YA SITA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision lists fee and tax rates for several goods and activities, including hides, agricultural produce, forest products, and business licences.
2. 3 Ngozi ya ng’ombe Ngozi ya mbuzi/ kondoo Kibali cha usafirishaji wa ngozi kwa gari Kiwango cha ushuru kwa siku (Shilingi) 500 kwa ngozi 200 kwa ngozi 10,000 kwa ngozi za ng’ombe 5,000 kwa ngozi za mbuzi Namba SEHEMU YA SABA USHURU WA MAZAO YA KILIMO Aina ya Mazao Kiwango cha ushuru (Shilingi) 1 2 Mazao ya chakula Mazao ya biashara 3% ya bei ya soko 3% ya bei ya soko Namba Aina ya zao Kiwango cha ushuru SEHEMU YA NANE USHURU WA MAZAO YA MISITU 1 2 3 4 5 Mbao Mkaa Nguzo Gogo Mirunda 3% ya bei ya soko 3% ya bei ya soko 3% ya bei ya soko 3% ya bei ya soko 3% ya bei ya soko 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) 6 7 8 9 Fito Kuni Veneer Pallets 3% ya bei ya soko 3% ya bei ya soko 3% ya bei ya soko 3% ya bei ya soko 10 Asali na mazao yake 3% ya bei ya soko 11 Mabanzi 12 Utomvu 3% ya bei ya soko 3% ya bei ya soko Namba. Aina ya Leseni Kiwango cha Ada (Shilingi) SEHEMU YA TISA ADA YA LESENI ZA BIASHARA
Part
SEHEMU YA TISA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text lists license-fee items, including a 20% license fee rate for some listed licenses.
2. Leseni ya maduka ya dawa na vituo vya afya binafsi isipokuwa maduka na vituo vinavyomilikiwa na mashirika ya dini Leseni ya mazao ya misitu 20% ya ada ya leseni 20% ya ada ya leseni Namba. Aina ya Shughuli Kiwango cha Ada (Shilingi) SEHEMU YA KUMI ADA YA KIBALI CHA UJENZI
Part
SEHEMU YA KUMI
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada za vibali na ushuru mbalimbali, ikiwemo mnara wa simu, baadhi ya matumizi ya majengo kwa kila mita ya mraba, kuhuisha/ukarabati wa kibali, na ada za madini ya ujenzi.
11. 12 13 14 15 Kibali cha kuweka mnara wa simu kwa kila mnara Nyumba ya makazi Jengo la biashara Kituo cha mafuta Shule (binafsi) Jengo la kutolea huduma za afya (binafsi) Ghorofa makazi Ghorofa biashara Ghala na bohari Kiwanda Majengo mengine Makazi na biashara Uzio wa mipaka jengo la makazi Uzio wa mipaka jengo la biashara Nyumba za ibada 1,000,000 kwa mnara 300 mita ya mraba 500/= @ mita ya mraba 600/= @ mita ya mraba 300/= @ mita ya mraba 300/= @ mita ya mraba 500/= @ mita ya mraba 1000/= @ mita ya mraba 500/= @ mita ya mraba 600/= @ mita ya mraba 300/= @ mita ya mraba 400/= @ mita ya mraba 200/=@ mita ya mraba 300/=@ mita ya mraba 200/=@ mita ya mraba 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) 16 17 18 19 20 15 Viwanda vidogo Parks, Garden, Play ground Car wash Fremu za biashara Kuhuisha kibali Ukarabati 300/=@ mita ya mraba 300/=@ mita ya mraba 300/=@ mita ya mraba 1,000/=@ mita ya mraba 50% ya ada ya kibali cha ujenzi wa jengo husika 50% ya ada ya kibali cha ujenzi wa jengo husika SEHEMU YA KUMI NA MOJA ADA NA USHURU WA MADINI YA UJENZI Namba 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Aina ya madini Mawe Kokoto Tofali Mchanga Kifusi Udongo Mfinyanzi (Clay, Kaolin clay) Chokaa Marumaru Ada ya kibali cha kuchimba madini ya ujenzi Ada ya ukaguzi wa mazingira kwenye migodi ya madini ya Ujenzi Kiwango cha ada na ushuru (Shilingi) 1000/= kwa kila tani moja ya uzito wa gari au chombo cha usafi. 2000/= kwa kila tani moja ya uzito wa gari au chombo cha usafi. 1500/= kwa kila tani moja ya uzito wa gari au chombo cha usafi. 1000/= kwa kila tani moja ya uzito wa gari au chombo cha usafi. 1000/= kwa kila tani moja ya uzito wa gari au chombo cha usafi. 10,000/= kwa kila tani moja ya uzito wa gari au chombo cha usafi. 10,000/= kwa kila tani moja ya uzito wa gari au chombo cha usafi. 10,000/= kwa kila tani moja ya uzito wa gari au chombo cha usafi. 200@ mita ya mraba 500,000 kwa mwaka SEHEMU YA KUMI NA MBILI ADA ZA USAJILI WA TEKSI, PIKIPIKI, BAJAJI NA GHARAMA ZA KUVUTA NA KUHIFADHI CHOMBO CHA USAFIRI (i) Ada za usajili wa teksi, pikipiki, bajaji Namba. Aina ya Chombo
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Taxi annual registration fee: 32,000 shillings.
1. Teksi Ada ya usajili kwa mwaka (Shilingi) 32,000/= 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section shows charges for towing and storing different types of vehicles.
9. 10 Pikipiki Bajaji Pick-up Hiace Guta Lorry Double coster Canter Fuso 10,000/= 15,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 30,000/= 30,000/= 25,000/= 30,000/= (ii). Gharama za kuvuta na kuhifadhi chombo cha usafiri Namba. Aina ya Chombo Gharama za kuvuta Gharama za kuhifadhi kwa siku - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This section lists municipal fees for vehicle types, land-related services, tender applications, and health checks for service workers.
10. Basi dogo la abiria chini ya 20 Basi kubwa la abiria kati ya 20- 28 Basi kubwa la abiria zaid ya 28 Teksi Gari dogo binafsi Lori na trela zaidi ya tani 3 Lori na trela tani 3 na zaidi Magari ya mizigo Magari mengine Pikipiki na bajaji 300,000/= 300,000/= 300,000/= 80,000/= 80,000/= 300,000/= 300,000/= 80,000/= 300,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 20,000/= SEHEMU YA KUMI NA TATU ADA YA HUDUMA ZA KUMILIKI ARDHI Namba 1 2 3 4 5 6 7 8 Aina ya huduma Kiwango cha ada (Shilingi) Kupitisha mchoro mpya Kufanya marekebisho ya mchoro au kubadilisha matumizi Fomu ya maombi ya viwanja Kupata barua ya toleo (drawing map) Kuonyeshwa kiwanja kwa mara nyingine 300,000/= kwa mchoro 200,000/= kwa mchoro 20,000.00 @ kiwanja 20,000.00@ kiwanja 20,000.00@ kiwanja Kufufua mipaka ya kiwanja 30,000.00/=@ kiwanja Utafiti binafsi wa taarifa za kiwanja (official search) Kufanya uthamini kwa ajili ya kuhamisha umiliki 40,000/=@ kiwanja 80,000/=@ kiwanja cha Makazi 100,000@ kiwanja Makazi na biashara 500,000/=Viwanda/Taasisi 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) Namba Maelezo SEHEMU YA KUMI NA NNE ADA YA MAOMBI YA ZABUNI Kiwango cha Ada (Shilingi) 1 Ada ya Maombi (a) (b) (c) (d) Kwa ngazi za msingi (vijiji na kata) 20,000/= @zabuni Makao makuu ya Halmashauri zabuni ndogo 50,000/=@ zabuni Zabuni ya kati Zabuni kubwa 100,000@ zabuni 150,000/=@ zabuni 2 Zabuni za vioski, vizimba, ofisi, mgahawa 10,000/=@ zabuni Namba Mhusika Kiwango cha Ada (Shilihgi) SEHEMU YA KUMI NA TANO ADA YA KUWAPIMA WAHUDUMU 1 Ada ya kuwapima afya wahudumu 10,000/=@ mhudumu kwa miezi sita SEHEMU YA KUMI NA SITA USHURU WA NYUMBA ZA KULALA WAGENI Namba Aina ya Ushuru Kiwango (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni atatozwa ushuru wa 10% ya mauzo ya vyumba vya kulala.
1. Ushuru wa Nyumba za kulala wageni Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni atatozwa asilimia 10% ya mauzo ya vyumba vya kulala. SEHEMU YA KUMI NA SABA ADA ZA UKODISHAJI WA MALI ZA HALMASHAURI Kiwango cha Ada (Shilingi) 200,000 kwa tukio kwa siku Kumbi za Halmashauri Namba Maelezo 1 2 3 Mashamba ya Halmashauri 50,000/- kwa msimu wa kilimo wa zao husika. Kifaa cha kupimia ardhi ”RTK” 100,000/- kwa siku 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA NANE Namba ADA ZA UCHANGIAJI WA HUDUMA ZA USAFI Mchangiaji Kiwango cha Ada kwa Mwaka (Shilingi) Kiwango cha Ada Na Ushuru kwa Mwezi (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists amounts of 150,000/= and 15,000/= for financial institutions, organizations, and companies, including microfinance, SACCOSS, insurance offices, and large money agents.
1. Taasisi za fedha/ mashirika/ kampuni 150,000/= 15,000/= (Microfinance, SACCOSS, Ofisi za Bima, mawakala wakubwa wa fedha,) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text mentions educational/religious institutions, including churches and mosques, and lists two amounts: 100,000/= and 10,000/=.
3. Taasisi za elimu/dini (kanisa /mskiti /day 100,000/= 10,000/= care) - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Karakana za pikipiki/bajaji/baiskeli are listed with three amounts: 24,000/=, 5,000/=, and 2,000/=.
8. Karakana za pikipiki/bajaji/baiskeli 24,000/= 5,000/= 2,000/= - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The text mentions bakeries and two amounts: 300,000/= and 30,000/=.
9. Viwanda vya kuoka mikate 300,000/= 30,000/= - 11 Verify source ↗
Baba lishe/mama lishe/vibanda vya chipsi
AI-assisted research summary: The provision lists Baba lishe, mama lishe, and vibanda vya chipsi together with the amounts 36,000/= and 3,000/=.
11. Baba lishe/mama lishe/vibanda vya chipsi 36,000/= 3,000/= - 13 Verify source ↗
Wauza mbao
AI-assisted research summary: Section 13 mentions “Wauza mbao” and lists four monetary amounts: 30,000/=, 60,000/=, 4,000/=, and 6,000/=.
13. Wauza mbao 30,000/= 60,000/= 4,000/= 6,000/= - 14 Verify source ↗
Mashine ndogo za kusaga na kukoboa
AI-assisted research summary: This section lists amounts for small grinding and milling machines: 36,000/= and 3,000/=.
14. Mashine ndogo za kusaga na kukoboa 36,000/= 3,000/= - 18 Verify source ↗
Viwanda vidogo vya kukamua mafuta
AI-assisted research summary: This section lists amounts for small oil-pressing industries, including 50,000/= and 5,000/=.
18. Viwanda vidogo vya kukamua mafuta 50,000/= 5,000/= 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) - 19 Verify source ↗
Bucha za samaki/nyama
AI-assisted research summary: The provision lists two amounts for “Bucha za samaki/nyama”: 36,000/= and 3,000/=.
19. Bucha za samaki/nyama 36,000/= 3,000/= - 22 Verify source ↗
Baa
AI-assisted research summary: Section 22 lists several monetary amounts: 300,000/=, 30,000/=, 60,000/=, 6,000/=, 100,000/=, and 10,000/=.
22. Baa 300,000/= 30,000/= 60,000/= 6,000/= 100,000/= 10,000/= - 23 Verify source ↗
Mini super market
AI-assisted research summary: Section 23 is titled “Mini super market” and lists two amounts: 120,000/= and 15,000/=.
23. Mini super market. 120,000/= 15,000/= - 24 Verify source ↗
Vilabu vya pombe za kienyeji kwa
AI-assisted research summary: The text mentions local liquor clubs and two amounts, 36,000/= and 3,000/= for one room, but it is too fragmentary to identify the full rule.
24. Vilabu vya pombe za kienyeji kwa 36,000/= 3,000/= chumba kimoja. - 25 Verify source ↗
Nyumba za kuishi kwa kaya
AI-assisted research summary: Sehemu hii inataja nyumba za kuishi kwa kaya na kiasi cha 12,000/= pamoja na 1,000/=.
25. Nyumba za kuishi kwa kaya 12,000/= 1,000/= - 28 Verify source ↗
Nyumba za kulala wageni
AI-assisted research summary: Section 28 lists “Nyumba za kulala wageni” and shows amounts of 60,000/= and 6,000/=.
28. Nyumba za kulala wageni 60,000/= 6,000/= - 29 Verify source ↗
Vituo vya afya na zahanati binafsi
AI-assisted research summary: The provision mentions private health centers and private dispensaries, followed by two monetary amounts.
29. Vituo vya afya na zahanati binafsi 100,000/= 10,000/= - 31 Verify source ↗
Section 31
AI-assisted research summary: The provision lists amounts for a small building materials shop.
31. Duka la vifaa vya ujenzi (dogo) 50,000/= 5,000/= - 32 Verify source ↗
Duka la Vifaa vya ujenzi (kubwa)
AI-assisted research summary: Section 32 names “Duka la Vifaa vya ujenzi (kubwa)” and lists two amounts: 100,000/= and 10,000/=.
32. Duka la Vifaa vya ujenzi (kubwa) 100,000/= 10,000/= - 34 Verify source ↗
Section 34
AI-assisted research summary: Section 34 lists pharmacies and four monetary figures: 60,000/=, 50,000/=, 5,000/=, and 5,000/=
34. Maduka ya dawa [pharmacy] 60,000/= 50,000/= 5,000/= 5,000/= - 35 Verify source ↗
Maduka ya dawa muhimu
AI-assisted research summary: The text names “Maduka ya dawa muhimu” and lists two amounts: 24,000/= and 2,000/=.
35. Maduka ya dawa muhimu 24,000/= 2,000/= - 38 Verify source ↗
Maduka ya kuuza magodoro na samani
AI-assisted research summary: This section names mattress and furniture shops and states an amount of 50,000/=.
38. Maduka ya kuuza magodoro na samani 50,000/= - 40 Verify source ↗
Vibanda vya kuuza filamu/CD
AI-assisted research summary: Section 40 lists amounts for "Vibanda vya kuuza filamu/CD".
40. Vibanda vya kuuza filamu/CD 36,000/= 36,000/= 1,000/= 2,000/= 5,000/= 3,000/= 3,000/= - 41 Verify source ↗
Studio za picha/video
AI-assisted research summary: This provision lists charges for photo/video studios, including amounts of 36,000/= and 3,000/=.
41. Studio za picha/video 36,000/= 3,000/= 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) - 42 Verify source ↗
Maduka ya jumla ya vinywaji moto na
AI-assisted research summary: The text mentions wholesale shops for hot and cold drinks and an amount of 50,000/=, but the rule is incomplete in the provided provision.
42. Maduka ya jumla ya vinywaji moto na 50,000/= baridi - 43 Verify source ↗
Fundi cherehani
AI-assisted research summary: Section 43 is titled “Fundi cherehani” and lists three amounts: 20,000/=, 5,000/=, and 2,000/=.
43. Fundi cherehani 20,000/= 5,000/= 2,000/= - 44 Verify source ↗
Plastiki/chuma chakavu
AI-assisted research summary: Section 44 lists “Plastiki/chuma chakavu” and shows two monetary figures: 120,000/= and 10,000/=.
44. Plastiki/chuma chakavu 120,000/= 10,000/= - 45 Verify source ↗
Betting (bonanza/guru guru/pool table)
AI-assisted research summary: This section lists betting-related amounts for bonanza/guru guru/pool table.
45. Betting (bonanza/guru guru/pool table) 36,000/= 3,000/= - 46 Verify source ↗
Casino/ Night club
AI-assisted research summary: The provision lists amounts for casino and night club.
46. Casino/ Night club 300,000/= 30,000/= - 56 Verify source ↗
Duka la vipuri/ vilainishi
AI-assisted research summary: This section lists several monetary amounts for a shop of spare parts/lubricants.
56. Duka la vipuri/ vilainishi 50,000/= 36,000/= 24,000/= 24,000/= 36,000/= 40,000/= 24,000/= 50,000/= 36,000/= 36,000/= 5,000/= 3,000/= 2,000/= 2,000/= 3,000/= 4,000/= 2,000/= 5,000/= 3,000/= 3,000/= - 57 Verify source ↗
Matunda mboga mboga (nje ya soko)
AI-assisted research summary: This provision lists “Matunda mboga mboga (nje ya soko)” and two amounts: 12,000/= and 1,000/=.
57. Matunda mboga mboga (nje ya soko) 12,000/= 1,000/= - 58 Verify source ↗
Duka la pembejeo/mifugo
AI-assisted research summary: Section 58 lists “Duka la pembejeo/mifugo” and two amounts: 36,000/= and 3,000/=.
58. Duka la pembejeo/mifugo 36,000/= 3,000/= - 59 Verify source ↗
Mabanda ya mkaa/ kuni
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ‘Mabanda ya mkaa/kuni’ na viwango viwili vya fedha: 24,000/= na 2,000/=.
59. Mabanda ya mkaa/ kuni 24,000/= 2,000/= - 63 Verify source ↗
Kumbi za sherehe
AI-assisted research summary: This provision lists amounts for “Kumbi za sherehe” in a fee table.
63. Kumbi za sherehe 300,000/= 30,000/= 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) - 64 Verify source ↗
Huduma ndogo za kifedha
AI-assisted research summary: The section is titled “Huduma ndogo za kifedha” and includes the amounts 36,000/= and 3,000/= in the text provided.
64. Huduma ndogo za kifedha 36,000/= 3,000/= - 70 Verify source ↗
Wauza miwa (Jumla)
AI-assisted research summary: This provision lists several monetary amounts for “Wauza miwa (Jumla)”.
70. Wauza miwa (Jumla) 36,000/= 36,000/= 50,000/= 12,000/= 60,000/= 3,000/= 3,000/= 1,000/= 5,000/= 1,000/= 5,000/= - 71 Verify source ↗
Wauza miwa (reja reja)
AI-assisted research summary: Section 71 lists “Wauza miwa (reja reja)” and shows amounts of 24,000/= and 2,000/=.
71. Wauza miwa (reja reja) 24,000/= 2,000/= - 72 Verify source ↗
Ushuru wa dampo kwa tripu 1
AI-assisted research summary: Section 72 lists dump-charge amounts for one trip.
72. Ushuru wa dampo kwa tripu 1 60,000/= 5,000/= - 73 Verify source ↗
Mtoa huduma za dawa za asili
AI-assisted research summary: Section 73 refers to traditional medicine service providers and shows an amount of 36,000/=.
73. Mtoa huduma za dawa za asili 36,000/= - 74 Verify source ↗
Fundi TV/ Redio/ Simu/Kompyuta
AI-assisted research summary: This provision lists 36,000/= for “Fundi TV/ Redio/ Simu/Kompyuta”.
74. Fundi TV/ Redio/ Simu/Kompyuta 36,000/= - 75 Verify source ↗
Ofisi za kufua nguo (Dry cleaner/dobi)
AI-assisted research summary: This provision lists “Ofisi za kufua nguo (Dry cleaner/dobi)” with an amount of 36,000/=.
75. Ofisi za kufua nguo (Dry cleaner/dobi) 36,000/= - 77 Verify source ↗
Fundi viatu
AI-assisted research summary: Section 77 lists “Fundi viatu” followed by several monetary figures.
77. Fundi viatu 36,000/= 12,000/= 3,000/= 3,000/= 3,000/= 3,000/= 1,000/= - 78 Verify source ↗
Ofisi za uchoraji wa ramani za majengo
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha kichwa cha ofisi za uchoraji wa ramani za majengo na pia fomu ya kukiri kosa na kulipa ushuru na faini badala ya kushtakiwa mahakamani.
78. Ofisi za uchoraji wa ramani za majengo 100,000/= 10,000/= ___________ JEDWALI LA PILI ______________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 13) FOMU YA KUFIFILISHA MAKOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Mji Mafinga, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024. Na kwamba niko tayari kulipa kiasi cha Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa mahakamani. 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) Nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa mimi mwenyewe kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu. Leo tarehe…………. ya mwezi…………..… mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU : Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 17 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga Tangazo La Serikali Na. 211 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Mji Mafinga imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Mafinga uliofanyika Tarehe 14 mwezi 02 Mwaka 2023 na kushuhudiwa Lakari hiyo ikigongwa mbele ya ;- AYOUB JUMA KAMBI Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Mafinga REGNANT Z. KIVINGE Mwenyekiti Halmashauri ya Mji Mafinga NAKUBALI / L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 31 Januari, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 18
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Mafinga ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in