Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani ya Mwaka 2024
This section states the by-law’s name: the Mtwara-Mikindani Municipal Council Urban Construction By-law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the by-law’s name: the Mtwara-Mikindani Municipal Council Urban Construction By-law, 2024. This provision says the law applies throughout the area of the Mtwara-Mikindani Municipal Council. This section defines key terms used in the law, including the authorized officer, the council, building, permit, special areas, and the director. Anyone wanting to build any type of building in special areas must apply for and get a building permit from the Council and pay the required fees before starting work. Mwenye kibali cha ujenzi lazima aanze ujenzi ndani ya siku 90; kuanza ujenzi bila kibali halali ni kosa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani ya Mwaka 2024
Showing 17 of 17
- 1 Verify source ↗
Sheria hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ujenzi
AI-assisted research summary: This section states the by-law’s name: the Mtwara-Mikindani Municipal Council Urban Construction By-law, 2024.
1. Sheria hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri
AI-assisted research summary: This provision says the law applies throughout the area of the Mtwara-Mikindani Municipal Council.
2. Sheria hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria hii isipokuwa pale Muktadha utahitaji
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the law, including the authorized officer, the council, building, permit, special areas, and the director.
3. Katika Sheria hii isipokuwa pale Muktadha utahitaji vinginevyo: - “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani; “jengo” maana yake ni nyumba ya kuishi, biashara, ofisi inayotumika kwa shughuli nyinginezo zinazofanana na hizo iwe imekamilika kujengwa au la, iliyojengwa kwa mawe, matofali, matofali ya cementi na ambayo imeezekwa kwa bati, vigae au asbestos. 1 Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “maeneo maalum” maana yake ni pamoja na maeneo ya wazi, maegesho, oevu na hifadhi ya barabara na masoko; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; Maombi ya Kibali cha ujenzi - 4 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayetaka kujenga jengo la aina
AI-assisted research summary: Anyone wanting to build any type of building in special areas must apply for and get a building permit from the Council and pay the required fees before starting work.
4.-(1) Mtu yeyote anayetaka kujenga jengo la aina yoyote katika maeneo maalum atatakiwa kuomba na kupata kibali cha ujenzi, kulipia ada kabla ya kuanza ujenzi husika kutoka Halmashauri. (2) Kibali kitatolewa baada ya mwombaji kutimiza masharti yafuatayo: - (a) awe amewasilisha michoro ya ramani ya jengo; (b) awe amelipa ada ya ukaguzi wa ramani; (c) awe ana kiwanja au eneo linalotambulika ambalo anatakiwa kujenga jengo hilo; (d) awe amelipa ada ya ardhi kwa viwanja vilivyopimwa; na (e) awe amelipa ada ya utambuzi wa shilingi elfu hamsini kwa viwanja visivyopimwa. (3) Ramani zitakazowasilishwa Halmashauri zitatakiwa kuwa na vipimo vitavyokubaliwa na Afisa Mwidhiniwa. (4) Kibali kitatolewa baada ya mwombaji kutimiza masharti yaliyotajwa katika Sheria hii na baada ya ramani kukaguliwa na kupitishwa na Afisa Ardhi, Mhandisi Ujenzi, Afisa Afya na Afisa Mipango Miji. Muda wa Ujenzi - 5 Verify source ↗
(1) Mwombaji anatakiwa kuanza ujenzi ndani ya
AI-assisted research summary: Mwenye kibali cha ujenzi lazima aanze ujenzi ndani ya siku 90; kuanza ujenzi bila kibali halali ni kosa.
5.-(1) Mwombaji anatakiwa kuanza ujenzi ndani ya siku tisini baada kupewa kibali. (2) Mtu yeyote atakaeanza shughuli ya ujenzi bila kuwa na kibali halali cha ujenzi atakuwa ametenda kosa kwa mujibu wa Sheria hii. 2 Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) Ada za vibali - 6 Verify source ↗
(1) Kampuni au Mtaalam binafsi au Taasisi yoyote
AI-assisted research summary: Certain registered planning/surveying/valuation actors must pay application fees and share specified percentages of project or plot-sale revenue with the municipality and local government, and surveyed private land must have roads opened before plots are sold.
6.-(1) Kampuni au Mtaalam binafsi au Taasisi yoyote iliyosajiliwa kisheria kufanya kazi za Mipangomiji, Upimaji na Uthamini itakayoomba zabuni ya kupatiwa kazi za ardhi zilizotangazwa itapaswa kulipa ada ya maombi ya Shilingi laki mbili. (2) Ada ya Maombi ya kupitisha Michoro mbalimbali ya Mipangomiji iliyoandaliwa na Mtu binafsi kupitia Wataalamu wa Mipangomiji waliosajiliwa au Kampuni au Taasisi za Serikali zilizosajiliwa kufanya kazi hiyo itakuwa ni Shilingi laki mbili kwa kila mchoro. (3) Kampuni au Taasisi au Mtu binafsi aliyesajiliwa atakayepewa kufanya kazi ya kurasimisha makazi au kupanga na kupima viwanja katika eneo lolote ndani ya Manispaa ya Mtwara Mikindani atalipa asilimia kumi ya fedha zote za Mradi kwa Manispaa na asilimia tano kwa Serikali ya Mtaa husika. (4) Taasisi au Kampuni zitakazoomba kufanyiwa kazi za Wizara ya Ardhi na Wataalam kutoka Manispaa zitapaswa kuongeza asilimia ishirini ya gharama zote zitakazolipwa kwa ajili ya huduma hiyo, na asilimia ishirini italipwa kama Ada ya huduma za kitaalam na ushauri wa kitaalam kwa Manispaa (5) Mtu binafsi au Kampuni au Taasisi yoyote inaweza kupima na kuingia ubia na Manispaa katika mauzo ya viwanja, na mgawanyo wa mauzo ya viwanja utakuwa kama ifuatavyo- (a) kampuni au mtu binafsi atabaki na asilimia themanini ya gharama za mauzo ya kila kiwanja; (b) Manispaa itapata asilimia ishirini ya gharama ya mauzo ya kila kiwanja vilevile; (c) Ada ya maombi ya kumilikishwa kiwanja ni sehemu ya mapato ya Halmashauri; na (d) Maeneo yote huduma ambayo yapo katika mpango mfano soko, maeneo ya wazi, makaburi, 3 Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) vituo vya mabasi yatabaki kuwa milki ya Halmashauri. (6) Hata hivyo, inasisitizwa kuwa Kampuni au mtu eneo atalazimika kufungua barabara katika binafsi lililopimwa viwanja kabla ya kuanza kuuza viwanja hivyo. Wajibu wa Afisa Mwidhini wa Upimaji, uandaaji mchoro na ubadilisha ji wa matumizi ya ardhi Kukataliw a kibali
Part
sehemu ya mapato ya Halmashauri; na
- 7 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Construction officers must enter unpermitted construction sites to inspect legality, and the Director may order suspension, demolition, or a fine if the work is unlawful.
7.-(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na wajibu wa kuingia katika eneo lolote ambalo ujenzi unafanyika bila kuwa na kibali cha kuingia mahali hapo kwa madhumuni ya kukagua uhalali wa shughuli za ujenzi. (2) Endapo Afisa Mwidhiniwa atabaini kuwa hakuna kibali cha ujenzi cha shughuli husika au ujenzi unafanyika kinyume cha masharti ya kibali au kinyume na ramani iliyoidhinishwa na Halmashauri, atachukua hatua kwa kuamuru kusimamishwa kwa ujenzi na kutoa taarifa kwa Mkurugenzi. (3) Mkurugenzi baada ya kujiridhisha kuhusu ukiukwaji wa Sheria uliofanywa katika kanuni Ndogo ya (2) ya kanuni hii atachukua hatua ambapo atatoa ilani ya siku ishirini na moja kuamuru kuvunjwa kwa jengo au majengo au kumtaka mhusika wa ujenzi huo kulipa faini. - 8 Verify source ↗
Kutakuwa na ada zitakazolipwa na mtu yeyote
AI-assisted research summary: A person who wants their land surveyed, a town planning map prepared, or the land use changed must pay the fees set out in the Act’s First Schedule.
8. Kutakuwa na ada zitakazolipwa na mtu yeyote atakaye hitaji kupimiwa ardhi yake, kuandaliwa mchoro wa mipango miji pamoja na kubadili matumizi ya ardhi kama ilivyoainishwa katika Jedwali la kwanza la Sheria hii. - 9 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kukataa kupitisha kibali
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukataa kupitisha kibali ikiwa ujenzi unakiuka sheria au masharti ya ujenzi, au ikiwa mwombaji si mmiliki halali wa eneo husika.
9. Halmashauri inaweza kukataa kupitisha kibali endapo:- (a) ujenzi unaokusudiwa kufanywa unavunja sheria, kanuni na taratibu za ujenzi. (b) ramani zilizowasilishwa hazikidhi masharti ya ujenzi. 4 Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) (c) itabainika kuwa mwombaji sio mmiliki halali wa kiwanja au eneo ambalo linakusudiwa kujengwa. (2) Bila kuathiri masharti ya Sheria hii ujenzi wa majengo ya Serikali hautahitajika kulipia ada ya kibali. Muonekan o wa Mji - 10 Verify source ↗
Katika kufanya mji uwe na muonekano wenye
AI-assisted research summary: Idara ya Mipango Miji inaweza kuweka utaratibu wa rangi tofauti kwa mitaa tofauti ili kusaidia kuifanya mji uonekane wa kuvutia.
10. Katika kufanya mji uwe na muonekano wenye kuvutia Idara ya Mipango Miji inaweza kuweka utaratibu wa kupaka rangi moja katika mtaa fulani na rangi nyingine katika mtaa mwingine kwa kadri itakavyoonekana inafaa. Makosa na adhabu Kufifilisha Kosa - 11 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa na akipatikana
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayepatikana na hatia anatakiwa kuadhibiwa kwa faini, kifungo, au vyote kwa pamoja.
11. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua Shilingi laki mbili na isiyozidi Shilingi Milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi ana uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtenda kosa Shilingi laki mbili, ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na yuko tayari kujaza fomu maalum ya Jedwali la Pili.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria hii kiasi cha Shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria hii. _______________ JEDWALI LA KWANZA _________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4 na 8) ADA ZA KUPIMA, KUANDAA MCHORO, KUBADILI MATUMIZI YA ARDHI NA VIBALI VYA UJENZI (a) NAMBA
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision states a land/plot surveying fee measured per metre, payable in shillings.
1. KIWANJA Ada ya upimaji Ardhi au kiwanja kwa mita ya KIASI CHA ADA (SHILINGI) - 150
AI-assisted research summary: Hii inaonyesha ada zinazohusiana na upimaji wa ardhi na kuandaliwa kwa mchoro wa mipango miji kulingana na ukubwa wa ardhi.
150.00 ADA YA UPIMAJI ARDHI 5 Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) mraba (b) ADA YA KUANDALIWA MCHORO WA MIPANGO MIJI KULINGANA NA UKUBWA WA ARDHI NAMBA 1 2 3 4 MITA YA MRABA - 0 Verify source ↗
2,000
AI-assisted research summary: This provision lists fees for different land-use conversion and building-related services.
0 – 2,000 2,000 – 4,047 4,047 -20,235 20,235- na kuendelea KIASI CHA ADA (SHILINGI) 100,000.00 200,000.00 300,000.00 500,000.00 (c) ADA KWA AJILI YA HUDUMA ZA KUBADILI MATUMIZI YA ARDHI NAMBA MATUMIZI YA AWALI 1 Makazi pekee MATUMIZI MAPYA KIASI CHA ADA (SHILINGI) (a) Makazi ya familia 1 (b) Makazi ya familia 2 hadi 4 (c) Makazi ya familia 5 hadi 6 (d) Makazi ya familia 7 hadi 10 (e) Makazi zaidi ya familia 10 (f) Makazi na biashara ya maduka (g) Makazi na ofisi (h) Huduma (i) Viwanda vidogo (j) Makazi, biashara na ofisi (k) Ofisi (l) Biashara (m) Mgahawa (n) Nyumba ya kulala wageni (o) Hoteli (p)Hosteli (q) Maduka makubwa (supermarket) (r) Kituo chamafuta (s) Kumbi (t) Baa au duka la dawa 70,000.00 140,000.00 210,000.00 280,000.00 350,000.00 210,000.00 280,000.00 200,000.00 600,000.00 280,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 800,000.00 800,000.00 800,000.00 70,000.00 140,000.00 280,000.00 350,000.00 210,000.00 2 Makazi na biashara (a) Makazi ya familia 1 (b) Makazi ya familia 2 hadi 4 (c) Makazi ya familia 5 hadi 6 (d) Makazi ya familia 7 hadi 10 (e) Makazi zaidi ya familia 10 6 Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) (f) Makazi na biashara ya hosteli (g) Makazi, biashara na ofisi (h) Huduma (i) Viwanda vidogo (j) Ofisi (k) Mgahawa (l) Nyumba ya kulala wageni (m) Hoteli (n) Hosteli (o) Maduka makubwa (Supermarket) (p) Kituo cha mafuta (q) Kumbi (r) Baa au duka la pombe (s) Makazi, biashara na hosteli (t) Makazi, biashara na ofisi (a) Makazi ya familia 1 (b) Makazi ya familia 2 hadi 4 (c) Makazi ya familia 5 hadi 6 (d) Makazi ya familia 7 hadi 10 (e) Makazi zaidi ya familia 10 (f) Makazi ya biashara na maduka (g) Makazi na ofisi (h) Viwanda vidogo (i) Huduma (j) Makazi, biashara na ofisi (k) Ofisi (l) Biashara (m) Mgahawa (n) Nyumba ya kulala wageni (o) Hoteli (p) Hosteli (q) Maduka makubwa (Supermarket) (r) Kituo cha mafuta (s) Kumbi (t) Baa au duka la pombe (a) Makazi ya familia 1 (b) Makazi ya familia 2 hadi 4 (c) Makazi ya familia 5 hadi 6 (d) Makazi ya familia 7 hadi 10 7 210,000.00 280,000.00 200,000.00 600,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 500,000.00 800,000.00 800,000.00 800,000.00 300,000.00 400,000.00 70,000.00 140,000.00 280,000.00 350,000.00 210,000.00 210,000.00 280,000.00 600,000.00 200,000.00 500,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 800,000.00 800,000.00 800,000.00 70,000.00 140,000.00 280,000.00 350,000.00 3 Huduma 4 Ofisi Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) (e) Makazi zaidi ya familia 10 (f) Makazi na maduka (g) Makazi na ofisi (h) Viwanda vidogo (i) Huduma (j) Makazi na ofisi (k) Ofisi (l) Mgahawa (m) Nyumba ya kulala wageni (n) Hoteli (o) Hosteli (p) Maduka makubwa (Supermarket) (q) Kituo cha mafuta (r) Kumbi (s) Baa au duka la pombe (a) Makazi ya zaidi familia 1 (b) Makazi na biashara ya maduka (c) Makazi na ofisi (d) Viwanda vidogo (e) Makazi, biashara na ofisi (f) Ofisi (l) Mgahawa (m) Nyumba ya kulala wageni (n) Hoteli (o) Hosteli (p) Maduka makubwa (Supermarket) (q) Kituo cha mafuta (r) Kumbi (s) Baa au duka la pombe Makazi pekee 210,000.00 210,000.00 280,000.00 600,000.00 200,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 800,000.00 800,000.00 800,000.00 70,000.00 210,000.00 210,000.00 600,000.00 280,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 400,000.00 800,000.00 800,000.00 800,000.00 70,000.00 5 Viwanda vidogo 6 Biashara, Ofisi, Huduma, Viwanda vidogo, Makazi na biashara (d) NAMBA ADA KWA AJILI YA HUDUMA ZA KUONGEZA SAKAFU KIASI CHA ADA (SHILINGI) IDADI YA SAKAFU 1 2 3 Sakafu 1 hadi 5 Sakafu 6 hadi 10 Kila sakafu itakayoongezeka 8 300,000.00 500,000.00 200,000.00 Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) (e) ADA YA MAOMBI YA MAREKEBISHO YA MICHORO NA KUGAWANYA NAMBA IDADI YA VIWANJA 1 2 Kiwanja kimoja hadi viwanja kumi Kila kiwanja kitakachoongezeka baada ya viwanja kumi KIASI CHA ADA (SHILINGI) 300,000.00 30,000.00 (f) NAMBA 1 2 ADA YA MAOMBI YA KUANDAA MCHORO. IDADI YA VIWANJA Kiwanja kimoja hadi viwanja mia moja Kila kiwanja kitakachoongezeka baada ya viwanja mia moja KIASI CHA ADA (SHILINGI) 1,000,000.00 50,000.00 kwa kila kiwanja (g) ADA YA VIBALI VYA UJENZI NAMBA MAENEO YALIYOPIMWA KWA ENEO LINALOJENGWA AINA KIASI CHA ADA (SHILINGI) KWA MITAYA MRABA MAENEO YASIYOPIMWA AINA KIASI CHA ADA (SHILINGI) 1 2 3 4 5 6 7 8 Makazi Biashara Makazi na biashara Taasisi binafsi Taasisi za umma Majengo ya ibada Mnara wa mawasiliano Vibali vingine ambavyo havikutajwa - 700 Verify source ↗
00 Makazi na
AI-assisted research summary: This section lists construction-related fees for several property or permit categories.
700.00 Makazi na biashara 3,000.00 Taasisi binafsi Taasisi za umma 3,000.00 00 Majengo ya ibada 120,000.00 Mnara wa Isiyozidi 1,500.00 mawasiliano Vibali vingine ambavyo havikutajwa 50,000.00 150,000.00 120,000.00 600,000.00 600,000.00 00 2,200,000.00 Isiyozidi 200,000.00 (h) ADA YA UJENZI (UZIO NA GHOROFA) NA 1 2 3 AINA Uzio Uzio wa muda wa ujenzi Ghorofa KIASI (SH) - 500 Verify source ↗
00 kwa urefu wa mita moja
AI-assisted research summary: This text provides a form for admitting an offence under the Mtwara-Mikindani urban building bylaw and states readiness to pay the owed fee/tax and fine.
500.00 kwa urefu wa mita moja 500,000.00 kwa uzio wote 300,000.00 kwa kila sakafu 9 Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) ____________ JEDWALI LA PILI _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi……………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya………………………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Mtwara - Mikindani, kwamba mnamo tarehe…… ya mwezi….…. Mwaka…….… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya Aya ya …………. ya Sheria Ndogo ya (Ujenzi Mijini) ya Halmashauri ya Manispaa Mtwara - Mikindani ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Mtwara - Mikindani, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU: Leo tarehe;….............. ya Mwezi;....………… Mwaka;………….. Jina;…………………………………..……………………. Saini;…………………………..…………………………… MBELE YANGU : Jin;…………………………….………..…………………… Wadhifa;…………………………………………………..……. Saini;………………………………………………………… Tarehe;………………………………………………………. 10 Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani Tangazo La Serikali Na. 216 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya manispaa ya Mtwara- Mikindani imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika Tarehe 07 mwezi Oktoba, Mwaka 2022 mbele ya ;- MWL. HASSAN. B. NYANGE Mkurugenzi wa Manispaa Mtwara- Mikindani MHE. SHADIDA ALLY NDILE Mstahiki Meya wa Manispaa Mtwara -Mikindani NAKUBALI L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 2 February, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ujenzi Mjini ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in