Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ya Mwaka 2024
This provision states the bylaw’s name: Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ya Mwaka 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision states the bylaw’s name: Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ya Mwaka 2024. This provision says the law applies in the area of the Mtwara-Mikindani Municipal Council. This section defines key terms used in the law, including fees, council, permit, slaughterhouse, construction minerals, auction, director, culture, tax, land tax, vehicle registration, signboards, and agent. Halmashauri must charge fees or levies for permits, licenses, and other services, and the charges must be paid before or when the service is received. Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria hiyo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ya Mwaka 2024
Showing 46 of 46
- 1 Verify source ↗
Sheria hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada
AI-assisted research summary: This provision states the bylaw’s name: Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ya Mwaka 2024.
1. Sheria hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ya Mwaka 2024. - 2 Verify source ↗
Sheria hii
AI-assisted research summary: This provision says the law applies in the area of the Mtwara-Mikindani Municipal Council.
2. Sheria hii itatumika katika eneo Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani. lote la - 3 Verify source ↗
Katika Sheria hii isipokuwa pale muktadha
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the law, including fees, council, permit, slaughterhouse, construction minerals, auction, director, culture, tax, land tax, vehicle registration, signboards, and agent.
3. Katika Sheria hii isipokuwa pale muktadha utahitaji vinginevyo: - “Ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheriahii; lengo “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi za wanyama hao; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, 1 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; "mnada” maana yake soko la wazi ambalo mali au vitu mbalimbali vinauzwa kwa ushindani wa bei kwa kauli na kwa kibali maalumu cha Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani au Afisa yeyote ya aliyeteuliwa kutekeleza Mkurugenzi; majukumu “utamaduni” maana yake ni sanaa za maonyesho, sanaa za wa asili, ususi, michezo, ufundi, muziki disko, muziki wa dansi, video, muziki wa taarabu, maonyesho ya sinema, mazingaombwe, tiba za jadi na matumizi ya viwanja vya michezo; “ushuru” maana yake ni maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “ushuru wa Ardhi” maana yake ni tozo inayotozwa kwa ya Ardhi na mabadiliko ya ajili ya mauziano Ardhi husika; “usajili wa vyombo vya usafiri” maana yake ni utaratibu utakaowekwa na Halmashauri wa kuorodhesha idadi ya vyombo vya usafiri vinavyofanya biashara ndani ya Mamlaka ya Halmashauri; “vibao vya matangazo” maana yake ni mbao, ukuta au mahala popote na chombo chochote ambacho kimeekwa kueleza Biashara; na “Wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria hii; Utozaji wa Ada na Ushuru - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge fees or levies for permits, licenses, and other services, and the charges must be paid before or when the service is received.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama la Kwanza la Sheria hii. ilivyoainishwa katika Jedwali (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni Ndogo ya 2 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni Ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria hii. Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria hiyo.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria hii. Muda wa kukusanya ada au ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa kwa saa za kawaida, na malipo yana ratiba maalum kwa makubaliano au kwa tarehe zilizotajwa; baadhi ya shughuli zinaweza kuendelea nje ya muda kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni Ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria kanuni hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (5) Bila kuathiri masharti ya kanuni Ndogo ya (1), Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalum kuruhusu shughuli za usafirishaji wa bidhaa yoyote kufanyika nje ya muda ulioainishwa katika Sheria hii. (6) Malipo ya ada ya huduma ya hoteli yatafanyika kuanzia tarehe 01 mpaka tarehe 07 ya kila mwezi 3 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) Utoaji wa stakabadhi za malipo Ukusanyaji wa madeni unaofuatia mwezi unaolipiwa ada ya huduma ya hotel. (7) Malipo ya leseni za vileo yatafanyika kuanzia tarehe 01 mpaka tarehe 15 ya mwezi Aprili na mwezi Oktoba kila mwaka. - 7 Verify source ↗
(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hulipwa kwa Halmashauri au Wakala, ambaye hutoa stakabadhi ya kielektroniki kama uthibitisho wa malipo.
7.-(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa Sheria hii, utalipwa kwa Halmashauri au kwa Wakala ambaye atatoa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (2) Utakuwa ni wajibu wa kila mlipa ada au ushuru kudai na kuhakiki stakabadhi ya malipo kulingana na kiasi cha fedha alicholipa. (3) Utakuwa sio utetezi kwa mujibu wa Sheria hii, mtu kudai kuwa amelipa ada au ushuru lakini hakupewa stakabadhi ya kielektroniki. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ada/ushuru na, chini ya masharti fulani, kukamata, kushikilia, na kuuza mali za mdaiwa; kabla ya kuuza lazima itoe taarifa ya siku 7.
8.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni Ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini (30) kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. zilizokamatwa (5) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni Ndogo ya (3) na (4), Halmashauri kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya 4 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote ile itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri may appoint an agent to collect fees or levies on its behalf. An appointed agent must collect, receive, remit, use electronic collection, and provide a one-month collection bond under the contract.
9.-(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua Wakala kwa mujibu wa Sheria hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni Ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria hii; (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. (c) kuweka dhamana ya kusanyo la mwezi mmoja kama itakavyokubalika katika mkataba kabla ya kuanza makusanyo ambapo dhamana hiyo itarejeshwa mwisho wa mkataba. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 10 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa muda uliotajwa ili kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia mambo yanayohusu ada, ushuru, leseni au kibali chini ya Sheria hii.
10. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria hii. Mabadiliko ya Viwango vya ada na ushuru - 11 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na uwezo wa kubadilisha
AI-assisted research summary: Halmashauri ina uwezo wa kubadilisha viwango vya ada na ushuru inaponaa ni afaa, baada ya kushirikisha wananchi hususan walioathirika.
11. Halmashauri itakuwa na uwezo wa kubadilisha viwango vya ada na ushuru pale itakapoona inafaa kwa kushirikisha Wananchi hususan wale watakaoathirika 5 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) katika utekelezaji wa marekebisho ya Sheria hii. Wajibu wa kuzingatia Masharti ya Sheria Ndogo nyingine Makosa - 12 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti ya Kanuni ya 5, mlipa ada
AI-assisted research summary: Mlipa ada na ushuru lazima azingatie masharti ya sheria ndogo nyingine zinazosimamia chanzo cha mapato, pamoja na masharti kuhusu machinjio, usafi, mazingira, na kutotupa taka ovyo.
12. Bila kuathiri masharti ya Kanuni ya 5, mlipa ada na ushuru atawajibika kuzingatia masharti ya Sheria Ndogo nyingine zinazosimamia chanzo cha mapato ikiwa ni pamoja na wajibu wa kutumia machinjio, kutunza mazingira na usafi, kutotupa taka ovyo, au kutokiuka masharti mengine yaliyowekwa na Sheria Ndogo za Halmashauri. - 13 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone who fails to pay fees or levies, blocks officials, gives false information, keeps false documents, or helps collect fees in unauthorized ways commits an offence under this section.
13. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria hii; (g) atatengeneza, ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; au (h) atatumia chombo usafiri kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada; chochote cha 6 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) (2) Itakuwa ni kosa kwa wakala: - (a) kukusanya ada na ushuru bila kibali cha maandishi au mkataba kutoka Halmashauri; (b) kujaribu au kukusanya ada na ushuru kwa kiwango tofauti na kilichotajwa katika Sheria hii; (c) kushindwa kuwasilisha au kuwasilisha pungufu ya kiwango cha ada na ushuru alichokubaliwa katika mkataba; (d) kukusanya ada na ushuru kwa mbinu tofauti na alizoelekezwa na Halmashauri. Adhabu Kufifilisha kosa - 14 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti
AI-assisted research summary: Mtu akipatikana na hatia kwa kukiuka masharti ya aya yoyote katika Sheria hii anaweza kutozwa faini, kifungo, au vyote pamoja.
14. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya Aya yoyote katika Sheria hii atatakiwa kulipa faini ya kiasi kisichopungua Shilingi laki mbili na kisichozidi Shilingi Milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. - 15 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtenda kosa Shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa kwa hiari, anajaza fomu maalum, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
15. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria hii kiasi cha Shilingi laki mbili (200,000) endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa kwa T SNa. 161 la 2018 - 16 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya (Ada
AI-assisted research summary: This section repeals the 2018 Mtwara Mikindani Municipal Council fees and charges bylaw.
16. Sheria Ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ya mwaka 2018. 7 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) _____________ JEDWALI LA KWANZA ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1) SEHEMU YA I: USHURU WA MAEGESHO Na. 1 2 3 Na 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 Chombo cha usafiri Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Gari Bajaji Pikipiki 1,000.00 kwaa siku
Part
SEHEMU YA I: USHURU WA MAEGESHO
- 200 Verify source ↗
00 kwa siku
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha viwango vya ushuru wa kituo cha mabasi kwa baadhi ya magari na ada kwa siku au kwa safari.
200.00 kwa siku SEHEMU YA II: USHURU WA KITUO CHA MABASI Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Chombo cha usafiri Mabasi makubwa ya abiria mikoani Mabasi madogo ya abiria Daladala nje ya mkoa/wilaya Daladala ndani ya wilaya Daladala ndani ya manispaa Magari binafsi Teksi Bajaji Pikipiki Ada ya kutunza gari lililo kamatwa au kuzuiliwa Kuingiza lori mjini 10,000.00 kwa safari 5,000.00 kwa safari 5,000.00 kwa safari 1,500.00 kwa safari
Part
SEHEMU YA II: USHURU WA KITUO CHA MABASI
- 300 Verify source ↗
00 kwa safari
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha viwango vya ushuru kwa lori mjini kulingana na uzito wa tani na pia inaonyesha baadhi ya viwango vya shilingi kwa safari au kwa siku.
300.00 kwa safari 10,000.00 kwa siku 20,000.00 kwa safari SEHEMU YA III:USHURU WA KUINGIZA LORI MJINI Na. Chombo cha usafiri 1 2 3 4 Tani 2 hadi 4 Tani 5 hadi 9 Tani 10 hadi 19 Tani 20 hadi hadi 30 na zaidi Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5,000.00 kwa safari 10,000.00 kwa safari 20,000.00 kwa safari 30,000.00 kwa safari SEHEMU YA IV: USHURU WA SOKO Na.
Part
SEHEMU YA IV:
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists monthly shilingi charges for different market stall/shop categories.
4. Huduma inayotolewa Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Vibanda/maduka makubwa Vibanda/maduka madogo Kizimba cha matunda au mboga Meza 50,000/= kwa mwezi 25,000/= kwa mwezi 10,000/= kwa mwezi 10,000/= kwa mwezi 8 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha aina za vizimba na ada zao za kila mwezi.
12. kizimba vya kuku Kizimba cha bucha Kizimba kuzunguka soko Stoo/vyumba ndani ya soko Kizimba cha tumbaku Kizimba chenye magunia Kizimba cha nafaka Kizimba cha chai na chakula 10,000/= kwa mwezi 10,000/= kwa mwezi 10,000/= kwa mwezi 30,000/= kwa mwezi 10,000/= kwa mwezi 30,000/= kwa mwezi 30,000/= kwa mwezi 10,000/= kwa mwezi SEHEMU YA V: USHURU WA MAZAO YA KILIMO Na. Aina ya Mazao Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA V: USHURU WA MAZAO YA KILIMO
- 21 Verify source ↗
Section 21
AI-assisted research summary: The provision lists municipal charges for various agricultural products and retail trade.
21. Ushuru wa nyanya Ushuru wa maharage Ushuru wa mchele Ushuru wa kunde Ushuru wa mbaazi Ushuru wa njugu Ushuru wa viazi Ushuru wa vitunguu Ushuru wa karanga Ushuru wa mahindi Ushuru wa ndizi Ushuru wa mihogo Ushuru wa kabichi Ushuru wa nanasi Ushuru wa nazi Ushuru wa pilipili Ushuru wa machungwa Ushuru wa maembe Ushuru wa biashara rejareja 500 kwa Tenga/Boksi 1,000 kwa Kilo 100 1,000 kwa Kilo 100 1,000 kwa Kilo 100 1,000 kwa Kilo 100 1,000 kwa Kilo 100 1,000 kwa Kilo 100 1,000 kwa Kilo 100 1,000 kwa Kilo 100 1,000 kwa Kilo 100 500 kwa Mkungu 1,000 kwa Tenga 1,000 kwa tenga 1,000 kwa tenga 1,000 kwa kiroba 1,000 kwa kiroba 5,000 kwa tani 5,000 kwa tani 500 kwa siku Ushuru wa biashara nyingine yeyote 1,000 kwa Siku 9 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) 22 Kibali cha kusafirisha mazao nje ya manispaa - 200 Verify source ↗
00 kwa kilo
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka ada za mwaka kwa aina mbalimbali za biashara na huduma za afya/usafi, zikiwa katika shilingi.
200.00 kwa kilo Na Aina ya biashara Ada kwa mwaka (Shilingi) SEHEMU YA VI: ADA YA UKAGUZI WA AFYA 1 Baa na maduka ya vinywaji 2 Migahawa na mama lishe 3 Nyumba za wageni na hosteli 4 Kumbi za starehe au mikutano 5 Majengo mengine ya biashara 6 7 8 9 Eneo la kugelea Eneo la kuoga Eneo la chakula Karakana 10 Hoteli 5,000.00 2,500.00 10,000.00 10,000.00 10,000.00 10,000.00 10,000.00 10,000.00 10,000.00 20,000.00 SEHEMU YA VII: ADA YA KIBALI CHA USAFI WA MAZINGIRA Huduma inayotolewa Eneo la kuogelea Eneo la kuoga Eneo la chakula Eneo la kulala wageni Karakana Hoteli Majengo mengineya biashara Kumbi za starehe au mikutano Na.
Part
SEHEMU YA VII:
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists fees and slaughter taxes in Tanzanian shillings for several business categories and livestock-related items.
7. 8 9 10 Mama lishe 11 Baa na maduka ya vinywaji Kiwango cha Ada (Shilingi) 20,000.00 20,000.00 30,000.00 20,000.00 20,000.00 50,000.00 20,000 .00 30,000.00 2,500.00 10,000.00 SEHEMU YA VIII: USHURU WA MACHINJIO Aina ya Mifugo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Ng’ombe Mbuzi Kondoo Kibali cha kuchinja nje ya machinjio Ngozi 5,000.00 kila mmoja 2,000.00 kila mmoja 2,000.00 kila mmoja 10,000 kwa kila mmoja 2,000.00 kwa Ngozi moja Na.
Part
SEHEMU YA VIII:
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision lists local fee amounts for several items, including damu, pembe, kinyesi, a permit to transport skins, and ritual slaughter.
4. 5 10 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) 6 7 8 9 10 Damu Pembe Kinyesi Kibali cha kusafirisha ngozi Uchinjaji wa ibada 25,000.00 kwa mwezi 5,000.00 kwa kiroba 50,000.00 kwa tani - 500 Verify source ↗
00 kwa kila ngozi mmoja
AI-assisted research summary: The text mentions an amount of 500.00 per hide/skin and the word “Bure.”
500.00 kwa kila ngozi mmoja Bure SEHEMU YA IX:USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA Na.
Part
SEHEMU YA IX:USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This text lists tax amounts for livestock: cattle, goats, and sheep.
3. Aina ya Mifugo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Ng’ombe Mbuzi Kondoo 2,000.00 kila mmoja 1,000.00 kila mmoja 1,000.00 kila mmoja SEHEMU YA X: USHURU WA MAZAO YA UVUVI Na. Huduma inayotolewa
Part
SEHEMU YA X: USHURU WA MAZAO YA UVUVI
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: The section lists several fish-related goods and states a 5% duty based on sales.
11. Samaki kwa mnada Samaki kwenye kizimba Kizimba Banda (mama lishe) kun’goa nanga mabanda ya wakaanga samaki madalali wa samaki wapaa samaki kusafirisha simbi kusafirisha vizibo kuingiza mazao ya uvuvi toka nje ya nchi Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5 % ya mauzo - 500 Verify source ↗
00 kwa siku
AI-assisted research summary: The text lists four monetary amounts: 500.00 per day, 5,000.00 per trip, and 1,000.00 per day twice.
500.00 kwa siku 5,000.00 kwa safari 1,000.00 kwa siku 1,000.00 kwa siku - 200 Verify source ↗
00 kwa kilo moja
AI-assisted research summary: Hii inaonyesha ushuru wa shughuli za sanaa, utamaduni na michezo, na kiasi cha 200.00 kwa kilo moja.
200.00 kwa kilo moja SEHEMU YA XI: USHURU WA SHUGHULI ZA SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO Na.
Part
SEHEMU YA XI:
- 1 Verify source ↗
Maombi ya kibali cha sherehe za unyago, ngoma
AI-assisted research summary: Ada ya ushuru ya Shilingi 50,000 imewekwa kwa sherehe na harusi zinazohusiana na maombi ya kibali cha sherehe za unyago/ngoma.
1. Maombi ya kibali cha sherehe za unyago, ngoma Huduma inayotolewa Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 50,000.00 kwa sherehe na harusi - 2 Verify source ↗
Matangazo ya kuuza bidhaa zinazopungua bei
AI-assisted research summary: This section refers to advertisements for goods sold at a reduced price, and mentions 40,000.00 per promotion.
2. Matangazo ya kuuza bidhaa zinazopungua bei 40,000.00kwa tangazo (promotion) - 3 Verify source ↗
Maombi ya kibali cha kufanya Tiba za Jadi
AI-assisted research summary: Sehemu hii inahusu maombi ya kibali cha kufanya Tiba za Jadi.
3. Maombi ya kibali cha kufanya Tiba za Jadi - 5 Verify source ↗
Matangazo madogo/mabango madogo
AI-assisted research summary: Kichwa cha sehemu hii kinataja matangazo madogo/mabango madogo na kupiga muziki katika ukumbi mkubwa.
5. Matangazo madogo/mabango madogo Kupiga muziki ukumbi mkubwa - 9 Verify source ↗
Mnada
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada mbalimbali za mnada, sherehe, ligi, matangazo, kibali, na matumizi ya viwanja/uwanja kwa viwango tofauti vya fedha.
9. Mnada 10 Ada za washereheshaji (MC) 11 Ada za wamiliki wa vyombo vya muziki 11 20,000.00 kwa tukio 200,000.00 kwa tamasha 20,000.00 kwa tangazo 100,000.00 kwa siku 50,000.00 kwa siku 10,000.00 kwa kibali 50,000.00 kwa mnada 20,000.00 kwa sherehe 10,000.00 kwa sherehe Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) 12 Uendeshaji wa ligi 13 Ada ya matumizi ya uwanja wa sherehe (mchana) 14 Ada ya matumizi ya uwanja wa sherehe (usiku) 15 Ada ya matumizi ya uwaja wa michezo 50,000.00 kwa ligi 200,000.00 kwa siku 400,000.00 kwa siku 2,500.00kwa mwezi SEHEMU YA XII: USHURU WA MAZAO YA MISITU Na.
Part
SEHEMU YA XII:
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This looks like a table heading for crop type and tax rate in shillings.
6. Aina ya Zao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) - 300 Verify source ↗
00 kwa mzigo
AI-assisted research summary: Ada ya taka ngumu ni Sh 300 kwa mzigo, na inatajwa kama ada ya mwezi.
300.00 kwa mzigo Na. SEHEMU YA XIII: Eneo ADA YA UZOAJI TAKA NGUMU Ada kwa mwezi (Shilingi)
Part
SEHEMU YA XIII:
- 8 Verify source ↗
Mama lishe au Baba lishe, Nyama choma au chipsi
AI-assisted research summary: This section lists business types: mama lishe/baba lishe, nyama choma or chipsi, local liquor clubs, bars, groceries, independent businesses, and woodworking machinery industries.
8. Mama lishe au Baba lishe, Nyama choma au chipsi Vilabu vya pombe za kienyeji, baa, grocery, inayojitegemea Viwanda vya uselemala na mashine za mbao - 17 Verify source ↗
Hoteli
AI-assisted research summary: Section hii inaonyesha kipengele cha ada ya hoteli na jedwali la ada/ushuru unaohusiana na mfuko wa elimu kwa maeneo yaliyoorodheshwa.
17. Hoteli 18 Stoo za mkaa 19 Mafundi kushona nguo 20 Mafundi vyuma(wahunzi) 21 Kumbi za starehe, sinema 22 Majengo ya kuoshea magari au pikipiki 23 Zahanati au kituo cha afya au hospitali 24 Majengo mengine yasiyotajwa 12 2,000.00 5,000.00 5,000.00 10,000.00 5,000.00 10,000.00 4,000.00 2000.00 10,000.00 5,000.00 4,000.00 3,000.00 10,000.00 7,000.00 10,000.00 5,000.00 10,000.00 5,000.00 3,000.00 5,000.00 5,000.00 5,000.00 20,000.00 20,000.00 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) SEHEMU YA XIV: ADA YA MFUKO WA ELIMU Na. Eneo linalolipiwa Ada
Part
SEHEMU YA XIV:
- 31 Verify source ↗
Section 31
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha viwango vya ada/ushuru kwa makundi mbalimbali ya mashirika na biashara, pamoja na ushuru unaoonekana kwa kilo kwa korosho.
31. 32 Mashirika ya umma Makampuni makubwa ya biashara Makampuni ya simu Hoteli za kitalii Makampuni ya ununuzi wa korosho Makampuni ya uuzaji mafuta Makampuni ya uuzaji magari Vituo vya redio na televisheni Taasisi za kidini Wafanyabiashara leseni Mashamba ya chumvi Vyama vya akiba na mikopo Maduka ya Spea Nyumba za Kulala wageni Zahanati binafsi Maabara Gereji Mabaa Vituo vya Wauza Mbao Wenye Mabasi Wenye Malori Maduka ya kuuza dawa Mashine ya kukoboa na kusaga Nyumba za Sinema na Video Hoteli ya Migahawa Maduka madogo Mafundi Seremala Wafanya Biashara Wadogo Mafundi washonaji Wafanyakazi Kila Mwananchi mwenye uwezo wa kufanya kazi. Mauzo ya korosho Kiwango cha Ada (Shilingi) 200,000.00 200,000.00 400,000.00 200,000.00 400,000.00 300,000.00 200,000.00 200,000.00 50,000.00 100,000.00 100,000.00 100,000.00 100,000.00 100,000.00 100,000.00 100,000.00 100,000.00 40,000.00 50,000.00 30,000.00 40,000.00 20,000.00 20,000.00 20,000.00 20,000.00 10,000.00 5,000.00 5,000.00 5,000.00 5,000.00 1,000.00 20/= kwa kilo SEHEMU YA XV: USHURU WA MINADA YA MIFUGO Na. Aina ya Mnyama Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 13 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA XV:
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists amounts of 3,000.00 and 2,000.00 per item sold, then begins a new section on road-cutting permits.
3. Ng’ombe Mbuzi Kondoo au Nguruwe 3,000.00 kwa kila aliyeuzwa 2,000.00 kwa kila aliyeuzwa 2,000.00 kwa kila aliyeuzwa SEHEMU YA XVI: KIBALI CHA KUKATA BARABARA Na.
Part
SEHEMU YA XVI:
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha viwango vya ada kwa aina kadhaa za shughuli za barabara, na inaanza pia sehemu ya ushuru wa sekta ya uvuvi.
4. 5 Aina ya Shughuli lami changarawe Vumbi Kukatisha barabara kupitisha miundombinu ya maji na umeme Barabara nyingine ambayo haikutajwa Kiwango cha Ada (Shilingi) 500,000.00 150,000.00 65,000.00 50,000.00 85,000.00 SEHEMU YA XVII: USHURU SEKTA YA UVUVI Na. Huduma inayotolewa Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA XVII:
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha aina kadhaa za leseni na usajili unaohusiana na uvuvi na mazao ya bahari, pamoja na kiasi cha fedha kilichoonyeshwa kwa baadhi ya vipengele.
6. Leseni ya uvuvi Leseni ya vyombo vya uvuvi Usajili wa vyombo vya uvuvi Kusafirisha mazao bahari nje ya manispaa Leseni ya kampuni inayokusanya mazao ya uvuvi Leseni ya wafanyabiashara wa mazao ya bahari 15,000.00 15,000.00 25,000.00 - 150 Verify source ↗
00 kwa kilo
AI-assisted research summary: This section shows a tax schedule in shillings, including amounts of 150.00 kwa kilo, 25,000.00, and 20,000.00.
150.00 kwa kilo 25,000.00 20,000.00 SEHEMU YA XVIII: USHURU WA KULAZA VYOMBO VYA USAFIRI Na. Chombo cha Usafiri Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA XVIII:
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada za huduma za afya kwa aina za magari na uzito wa tani.
3. Magari makubwa Magari madogo Bajaji na pikipiki 5,000.00 tani 10 kuendelea 3,000.00 pungufu tani 10 1,000.00 SEHEMU YA XIX: ADA YA HUDUMA ZA AFYA Na.
Part
SEHEMU YA XIX:
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This provision lists service fee amounts in shillings for registration, seeing a doctor, laboratory tests, and minor operations.
3. Huduma inayotolewa Usajili na kumwona daktari Vipimo vya maabara Oparesheni ndogo Kiwango cha Ada (Shilingi) 3,000 – 5,000.00 5,000.00 10,000.00 14 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists municipal fees/charges for several services and includes a form for voluntarily admitting a violation and agreeing to pay the owed fee or fine.
9. Oparesheni kubwa Dawa na vifaa kulazwa Vipimo maalum Uchunguzi wa afya Mfuko wa afya ya jamii 150,000.00 1,000 - 10,000.00 15,000.00 20,000.00 20,000.00 30,000.00 wasiozidi 6 kwa watu SEHEMU YA XX: USHURU MWINGINE Na. Huduma inayotolewa Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1 2 3 4 5 6 8 9 Machimbo ya madini ya ujenzi Sehemu za kufyatua tofali Uzio wa ujenzi Faini kwa uzio wa ujenzi Washauri kutoka nje Leseni za kumbi za sherehe Uthamini maeneo ya watu binafsi Upimaji maeneo ya watu binafsi 10,000.00 Tani 4 50,000.00 kwa mwezi 500,000.00 200,000.00 2 % ya mkataba 300,000.00 30% ya thamani ya eneo 30% ya thamani ya eneo ____________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 15) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ........................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MIMI MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani kwamba tarehe ..........ya Mwezi .................. Mwaka................ nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya Aya ya ……..ya Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani, Niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru na faini ninayodaiwa. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU 15 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) Leo Tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka …… Jina: ..................................................... Saini: .................................................... MBELE YA: Jina……............................................... Wadhifa: .................................................. Saini: .................................................. Tarehe: ............................................... 16 Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuruya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara – Mikindani Tangazo La Serikali Na. 217 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya manispaa ya Mtwara- Mikindani imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika Tarehe 07 mwezi Oktoba, Mwaka 2022 mbele ya ;- MWL. HASSAN. B. NYANGE Mkurugenzi wa Manispaa Mtwara- Mikindani MHE. SHADIDA ALLY NDILE Mstahiki Meya wa Manispaa Mtwara -Mikindani NAKUBALI L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 2 February, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 17
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in