Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ya Mwaka 2024
This section states the short title of the by-laws.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the by-laws. This bylaw applies throughout the entire area of Biharamulo District Council. Sehemu hii inaweka maana ya maneno mbalimbali yanayotumika katika Sheria Ndogo hii. The Council charges fees or taxes for permits, licences, and services at rates set in the By-Law’s First Schedule, and payment is due before or when the service is received. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ya Mwaka 2024
Showing 46 of 46
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section states the short title of the by-laws.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the entire area of Biharamulo District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka maana ya maneno mbalimbali yanayotumika katika Sheria Ndogo hii.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha mtu, watu, au mizigo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) isipokuwa mkokoteni, au wanyama wanaotumika kusafirisha watu au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya kimaandishi inayotolewa na Halmashauri; “kibanda” maana yake ni jengo au chumba cha biashara; “kizimba” maana yake ni eneo ndani ya soko linalotumiwa na wafanyabiashara kuuzia bidhaa lenye ukubwa wa mita za mraba nne au zaidi; “kituo cha mabasi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “machinjio” maana yake ni sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa lengo la kuchinja mifugo; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maegesho” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha chombo cha usafiri kwa muda maalumu; “mazao yanayotokana na shughuli za uvuvi” inajumuisha samaki, dagaa, konokono, uduvi, magamba ya samaki na vitu vyote vyenye asili ya samaki; “meza” maana yake ni meza zinazotumiwa na wauzaji kwa ajili ya kupanga bidhaa mbalimbali; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) Ada au ushuru “soko” maana yake ni eneo lililotengwa na linalomilikiwa na Halmashauri kwa matumizi ya soko; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: The Council charges fees or taxes for permits, licences, and services at rates set in the By-Law’s First Schedule, and payment is due before or when the service is received.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kadiri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kulingana na viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa kukusanya - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni
AI-assisted research summary: Halmashauri au wakala huchukua ada au ushuru ndani ya muda uliowekwa, na Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalumu cha kukusanya au kusafirisha bidhaa nje ya muda huo.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) ada au ushuru Ukusanyaji wa madeni mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au wakala kadiri itakavyokuwa, kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au wakala kadiri itakavyokuwa na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (5) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalumu kuruhusu shughuli za usafirishaji wa bidhaa yoyote kufanyika nje ya muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya deni la ushuru kupitia mahakama, kukamata na kuuza mali za mdaiwa kwa masharti fulani, na lazima itoe taarifa ya siku 7 kabla ya kuuza mali.
7.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni imeshindwa kulipa ada au ushuru ndani ya muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri ujumla wa masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (1) na baada ya kupata idhini ya mahakama, Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya mahakama. (4) Endapo mali zilizokamatwa zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya mahakama. (5) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (3) na (4), kabla ya kuuzwa kwa mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. Uteuzi wa wakala - 8 Verify source ↗
(1) Kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru, na wakala huyo lazima akusanye na apokee ushuru, atumie mfumo wa kielektroniki, na awasilishe makusanyo yote.
8.-(1) Kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua wakala atakayekusanya ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniw - 9 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika
AI-assisted research summary: An authorized officer may enter certain premises or vehicles during daytime for fee, tax, licensing, or permit work, but must give at least 24 hours’ notice and follow the bylaw and other applicable entry rules.
9.-(1) Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) a kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Katika kutekeleza majukumu yaliyorejewa katika kanuni ndogo ya (1), Afisa Mwidhiniwa atapaswa- (a) kutoa taarifa kwa umma au mhusika kuhusiana na kusudio la kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kinachohusika angalau masaa ishirini na nne kabla; na (b) kuzingatia masharti ya Sheria ndogo hii au sheria nyingine yeyote kuhusiana na mamlaka ya kuingia eneo la umma. Makosa - 10 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anatenda kosa akishindwa kulipa ada au ushuru, akizuia au kudanganya mamlaka, au akitengeneza nyaraka za uongo kwa nia ya kupata manufaa yanayotokana na ukusanyaji wa ada au ushuru.
10. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kikundi cha watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru kadiri itakavyokuwa; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) (g) atatengeneza, wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; au ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri. Adhabu Kufifilisha kosa Kufutwa kwa Sheria T.S Na. 162 ya 2014 - 11 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa chini
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence under this subsidiary legislation must pay a fine, face imprisonment, or both.
11. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote kwa pamoja.. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: The Director may compound an offence by charging an offender up to TZS 200,000 if the offender admits the offence, is willing to complete the prescribed form in the Second Schedule, and pays any fee or tax owed.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. - 13 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya (Ada
AI-assisted research summary: This provision repeals the Biharamulo District Council By-law on fees and levies from 2014.
13. Sheria Ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ya Mwaka 2014. 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) ________________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1) SEHEMU YA KWANZA
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA MIFUGO
AI-assisted research summary: This section appears to list fees for meat inspection services.
1. ADA NA USHURU WA MIFUGO A. Ada ya Ukaguzi wa Nyama Aina ya Huduma Kiwango cha ada kwa siku (Shilingi) Namba - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision appears to list charges for one goat, including amounts of 1,500/= and 1,000/=.
2. Mbuzi mmoja 1,500/= 1,000/= 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists one sheep, one pig, and two amounts of 1,000/=.
4. Kondoo mmoja Nguruwe mmoja 1,000/= 1,000/= Namba - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The provision lists daily market fees for selling livestock: cattle, goats, and sheep have different ushuru amounts.
3. Ng’ombe Mbuzi Kondoo B. Ushuru wa Kuuza Mifugo Mnadani Aina ya Mfugo Kiwango cha ushuru kwa siku (Shilingi) 4,000/= 2,000/= 2,000/= C. Ushuru wa maeneo maalumu yaliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya malisho Namba Aina ya Mfugo Ng’ombe - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii ni jedwali la viwango vya ushuru kwa hekta moja kwa mwaka kwa aina tofauti za mifugo.
3. Mbuzi au Kondoo au Nguruwe 5,000/= kwa Hekta moja Punda au Farasi au Ngamia 3,000/= kwa Hekta moja Kiwango cha ushuru kwa mwaka (Shilingi) 5,000/= kwa Hekta moja - 2 Verify source ↗
ADA YA KIBALI CHA UJENZI
AI-assisted research summary: This section is a heading for building permit fees.
2. ADA YA KIBALI CHA UJENZI Namba Aina ya Kibali Kiwango cha Ada kwa Mita za Mraba (Shilingi) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada ada.
3. Kibali cha ujenzi kwa ajili ya nyumba ya makazi Kibali cha ujenzi kwa ajili ya nyumba ya makazi na biashara Kibali cha ujenzi kwa ajili ya biashara au kituo cha mafuta kiwanda 300/= 400/= 500/= - 3 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA STENDI AU MAEGESHO NA HUDUMA ZA
AI-assisted research summary: This section is a heading about fees for parking at the main bus station and transport services.
3. ADA NA USHURU WA STENDI AU MAEGESHO NA HUDUMA ZA USAFIRISHAJI A. Ushuru wa Kuegesha Magari Kituo Kikuu cha Mabasi Namba Aina ya Chombo cha Usafiri - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Daily tax is set at Sh 3,000 for a large bus and Sh 2,000 for a small bus.
2. Basi kubwa Basi dogo 9 Kiwango cha ushuru kwa siku (Shilingi) 3,000/= 2,000/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists tax amounts for different vehicle types, including taxis, non-commercial other vehicles, and registered business motorcycles.
5. Teksi Magari mengineyo yasiyo ya biashara Pikipiki iliyosajiliwa kwa biashara 1,000/= 500/= 500/= B. Ushuru wa magari maeneo yaliyoainishwa kwa ajili ya maegesho Namba Aina ya Chombo cha Usafiri - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists vehicle tax categories for small goods vehicles and lorries by load capacity, and also mentions taxi registration tax.
4. Gari dogo la mizigo au lori lenye uwezo wa kubeba mzigo chini ya tani 7 Ushuru wa lori tani 7 Ushuru wa lori lenye uwezo wa kubeba mzigo tani 8 hadi 10 Ushuru wa lori lenye uwezo wa kubeba mzigo tani 10 na kuendelea Namba Aina ya Chombo cha Usafiri C. Ushuru wa usajili wa Teksi - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Teksi za usajili zinaonekana kuwa na ushuru wa kila siku na kiasi cha kila mwaka kilichoorodheshwa.
1. Ushuru wa usajili wa Teksi Kiwango cha ushuru kwa siku (Shilingi) 2000/= 3000/= 5000/= 10,000/= Kiwango cha ushuru kwa siku (Shilingi) 60,000/= kwa mwaka - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaorodhesha ada na ushuru mbalimbali wa ardhi, ikiwemo kubadili matumizi ya ardhi, uthibitisho wa umiliki, uthamini, na mauzo ya ardhi.
6. Aina ya Maombi Kubadili matumizi ya ardhi - makazi kuwa biashara Kubadili matumizi ya ardhi - biashara kuwa kiwanda Uhakiki wa umiliki wa ardhi Uthamini Ada ya maombi ya viwanja Ushuru wa mauziano ya ardhi baina ya mtu na mtu, au baina ya Serikali ya kijiji na mtu binafsi. Kiwango cha ada (Shilingi) 20,000/= 25,000/= 20,000/= 3% hadi 5% ya thamani ya mali inayothaminiwa 20,000/= 5% ya mauzo kwa Halmashauri ya Wilaya - 5 Verify source ↗
USHURU WA MAZAO YA CHAKULA NA BIASHARA
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ushuru kwa mazao ya chakula na biashara, ikiwa ni pamoja na bidhaa zinazozidi tani moja.
5. USHURU WA MAZAO YA CHAKULA NA BIASHARA A. Mazao ya chakula Namba Aina ya Zao kwa gunia Kiwango cha Ushuru yanayozidi tani moja (Shilingi) - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The fragment mentions “Mahindi 1,500/=” and refers to a local fees-and-taxes by-law.
1. Mahindi 1,500/= 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: This section lists commodity fees and says certain cash crops are charged 3% of the purchase price.
16. Maharage Muhogo au udaga au makopa Karanga zilizobanguliwa Karanga zenye maganda Mpunga Mchele kilo 100. Mchele la kilo 50 Alizeti Mtama au ulezi au uwele Njugumawe au kunde au njegere Pumba za mahindi au mpunga Mashudu Matunda Parachichi Mkungu wa ndizi B. Mazao ya Biashara 2,000/= 1,500/= 3,000/= 1,500/= 1,500/ 2,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 2,000/= 500/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 500/= Mazao yote ya biashara kama Kahawa, Pamba na Tumbaku yatatozwa 3% ya bei ya kununulia C. Mazao ya Misitu Namba Aina ya zao - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The provision lists a timber-sawing tax for natural trees and planted trees, measured per board.
1. Ushuru kupasua mbao (a) Miti ya asili (kila ubao) (b) Miti ya kupandwa (kila ubao) - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section lists charges and permit fees for specified goods and tree-cutting permits.
11. 12 13 14 15 Gunia la mkaa ndani ya Wilaya kila gunia Gunia la mkaa nje ya Wilaya kila gunia Ushuru wa nguzo au mirunda zenye sentimita 20 kipenyo Ushuru wa gogo lenye sentimita 20 Asali kila lita Nta kila Kilogramu Kuni mita moja ya mraba Kitanda Kochi seti Fremu za milango na madirisha Topu za milango Kabati Fito za kujengea mzigo Mabanzi ya miti ya kupanda 11 Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 800/= 300/= 2,000/= 3,000/= 600/= 1,000/= 200/= 200/= 1,500/= 3,000/= 5,000/= 2,000/= 3,000/= 3,000/= 500/= 100/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) 16 17 18 19 20 21 Mabanzi ya miti ya asili Kiti au stuli Meza Dawati Mipini ya aina mbalimbali Ada ya kibali cha kukata mti 200/= 500/= 1,200/= 1,500/= 200 kila mpini 500 kwa kila mti - 6 Verify source ↗
ADA YA KUKODISHA MALI ZA HALMASHAURI
AI-assisted research summary: Ada ya kukodisha ukumbi wa Halmashauri, viti, na mitambo huwekwa kwa mujibu wa mkataba na huonyeshwa kwa shilingi.
6. ADA YA KUKODISHA MALI ZA HALMASHAURI Namba Aina ya Mali Kukodi ukumbi wa Halmashauri Kukodi viti Kukodi mitambo Kiwango cha ada (Shilingi) kwa mujibu wa mkataba kwa mujibu wa mkataba kwa mujibu wa mkataba - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists charges for some items, including vehicle use rates and house rent fees under contract, with the council named for the house rent fee item.
9. Kukodi vifaa vya kieletroniki kwa mujibu wa mkataba Lori la kawaida Lori aina ya Tipa 1000 kwa kilometa (bila mafuta) 1000 kwa kilometa (bila mafuta) Ada ya pango la nyumba za kwa mujibu wa mkataba Halmashauri - 7 Verify source ↗
USHURU KWA MAZAO YATOKANAYO NA SHUGHULI ZA UVUVI
AI-assisted research summary: This section lists charges for fishery products and related transport, storage, and collection activities.
7. USHURU KWA MAZAO YATOKANAYO NA SHUGHULI ZA UVUVI Ushuru wa Mizigo ya Samaki Ujazo Kiwango cha ushuru (Shilingi) Tenga la Samaki lenye kilo 100 Tenga la Samaki lenye kilo 50 Gunia la Dagaa lenye kilo 100 Gunia la Dagaa lenye kilo 50 Mabondo ya samaki kwa kilo Lori lenye mzigo wa samaki au dagaa Gunia la konokono Gunia la uduvi 2,000/= 1,000/= 2,000/= 1,000/= 1,000/= 30,000/= 1,000/= 1,000/= Leseni ya ukusanyaji wa mazao ya samaki 6,000/= kwenye mabwawa 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists fees for construction minerals permits and a construction minerals charge.
3. Madini ya ujenzi Kiwango cha ushuru (Shilingi) Kibali cha kuchimba madini ya ujenzi 20,000/= kwa miezi sita Kibali cha kufyatua matofali 20,000/= kwa miezi sita Ushuru wa madini ya ujenzi 3,000/= kwa tripu Namba Aina ya Ukaguzi Kiwango cha Ada kwa miezi sita (Shilingi) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists inspection and health-check fees for different kinds of businesses and workers.
9. 10 11 12 13 14 Nyumba za starehe, baa, vilabu vya pombe za kienyeji na nyumba za kulala wageni Ukaguzi wa wahudumu wa vyakula Maduka ya vyakula Kiwanda cha kuoka mkate au maandazi Nyumba za kutengeneza na kuuzia vyakula na nyama choma Ukaguzi wa maombi ya kufungua biashara Ukaguzi wa viwanda vikubwa Ukaguzi wa maombi ya kufungua biashara baada ya ukaguzi ili kufunguliwa upya Ukaguzi wa viwanda vya kati Ukaguzi wa viwanda vidogo Ukaguzi wa bucha Ukaguzi wa machinjio Ukaguzi wa saluni 5,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 10,000/= kila ombi 150,000/= kwa mwaka 25,000/= kwa kila ombi 100,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa mwaka 5,000/= kwa mwaka 5,000/= kwa mwaka 2,000/= kwa mwaka Kupima Afya Wahudumu Wa Baa au Hoteli au Migahawa 3,000/=kwa kila baada ya miezi mitatu - 10 Verify source ↗
ADA YA SHUGHULI ZA BURUDANI NA TIBA MBADALA
AI-assisted research summary: Section title: entertainment activities and alternative medicine.
10. ADA YA SHUGHULI ZA BURUDANI NA TIBA MBADALA Namba - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision sets a fee of 20,000 shillings per event for disco activities on weekdays, holidays, and weekends.
1. Aina ya Shughuli Disko za siku za kawaida au sikukuu na mwisho wa juma Kiwango cha Ada (Shilingi) 20,000/= kwa tukio - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Waganga wa jadi wanatajwa pamoja na kiasi cha 50,000/= kwa mwaka.
2. Waganga wa jadi 50,000/= kwa mwaka 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists fees for different kinds of entertainment, advertising, and event activities.
9. 10 Michezo ya sanaa za maonyesho au ngoma au maigizo au sarakasi au michezo ya nguvu au nyimbo 5,000/= kwa tukio Shughuli za sanaa za ufundi au picha au upakaji 10,000/= kwa tukio rangi au vinyago Mchezo wa pool table 10,000/= kwa mwezi Kuendesha promosheni au matangazo katika bar au 20,000/= kwa siku hoteli au maeneo ya wazi. Kuonyesha mpira Utundikaji wa matangazo ya vitambaa 5,000/= kwa mwezi 2,000/= kwa mwezi Utundikaji wa matangazo ya karatasi 10,000/= kwa mwezi Sherehe za harusi au kipaimara na ubatizo katika kumbi za starehe 10,000/= - 11 Verify source ↗
USHURU WA MADINI
AI-assisted research summary: Section 11 sets mining charges: 50,000 shillings per year for Makarasha and Mwalo, 1,000 shillings per bag for Mchanga, and a land ownership fee of 10% of production.
11. USHURU WA MADINI Namba Aina ya huduma Makarasha Mwalo Mchanga Kiwango cha ushuru (Shilingi) 50,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa mwaka 1,000/= kila mfuko Ada ya umiliki wa ardhi itakuwa 10% ya uzalishaji, na kama ardhi ni ya kijiji italipwa 10% kwa mgawanyo wa 5% ya kijiji na 5% ya Halmashauri ya Wilaya. - 12 Verify source ↗
USHURU WA VIBANDA NA VIZIMBA AU MEZA KATIKA MASOKO
AI-assisted research summary: This section lists market-related fees for stalls, cabins, and tables, with the amounts to be set according to contract.
12. USHURU WA VIBANDA NA VIZIMBA AU MEZA KATIKA MASOKO NA MAGULIO Namba Aina ya huduma Kuzunguka masoko ya Halmashauri Kiwango cha Ushuru (Shilingi) kwa mujibu wa mkataba Kuzunguka vituo vya mabasi kwa mujibu wa mkataba Ushuru wa vibanda vya mitumba kwa mujibu wa mkataba Pango la meza katika masoko ya Halmashauri kwa mujibu wa mkataba Pango la vibanda vya Halmashauri kwa mujibu wa mkataba 14 - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This text identifies a bylaw on fees and taxes for Biharamulo District Council.
5. Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) - 13 Verify source ↗
USHURU AU ADA ZA HUDUMA NYINGINE
AI-assisted research summary: Kichwa cha sehemu hii kinahusu ushuru au ada za huduma nyingine, kisha kinaanza orodha ya aina za huduma.
13. USHURU AU ADA ZA HUDUMA NYINGINE Namba Aina ya huduma - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Section 5 lists fees/tariffs for several activities and services, including auction sales, public toilets, archaeological research, fertilizer transport, and advertising permits.
5. Ushuru wa kitu kinachonadiwa mnada Choo cha umma Kuendesha utafiti mambo ya kale na tafiti nyingine zinazofanana na hizo Gari la kusomba mbolea Kibali cha kutangaza katika sherehe Kiwango cha Ushuru au Ada (Shilingi) 5% ya bei ya mnada 300/= kila anapoingia 50,000/= kwa Raia wa Tanzania na Dolla 70 kwa Raia wa kigeni. 1,000/= kwa kila Tani 30,000/= kwa mwaka - 14 Verify source ↗
VIWANGO VYA ADA YA TAKA KWA MWEZI
AI-assisted research summary: Businesses and activities listed here must pay monthly waste fees, with different amounts depending on location and type of activity.
14. VIWANGO VYA ADA YA TAKA KWA MWEZI Namba Aina ya Huduma 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 Baa au hoteli au Grosari au pabu Bucha Nyumba za kuishi kwa kila kaya Watengenezaji wa juisi au bisi au barafu Mgahawa au Baba au Mama lishe Wachoma chipsi au kuku au nyama Zahanati za watu binafsi Vituo vya afya vya watu binafsi Hospitali za watu binafsi Maduka ya dawa muhimu na maduka ya dawa za kilimo Maduka ya dawa ‘Pharmacy” Vizimba au vioski au meza za biashara Mafundi seremala na watengeneza Ada ya Taka kwa Mwezi maeneo ya Biharamulo Mjini (Rukaragata, N’gambo, na Biharamulo Mjini), Lusahunga (Nyakanazi), Kabindi, Nyakahura na eneo jingine litakaloainishwa kwa Azimio la Halmashauri 5,000 2000 2,000 1,000 3,000 2000 4,000 5,000 15,000 3,000 5,000 1,000 5,000 Maeneo mengine katika kata na vijiji vyote nje ya mji 1000 1000 1,000 500 1,000 1000 2,000 3,000 5,000 2,000 2,000 500 2,000 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) 14 15 16 17 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 samani Wachomelea vyuma Karakana, kuranda mbao na kuuza mbao Shule binafsi na vyuo binafsi Maduka ya jumla Maduka ya rejareja Wauza mkaa Vilabu/wauza pombe za kienyeji Saluni Nyumba za kulala wageni Maduka ya vitabu au steshenari au internet café Maduka ya vifaa vya ujenzi Vituo vya mafuta Wafyatua tofali za kuuza Mashine za kusaga na kukoboa nafaka Ofisi na Taasisi Wauza mitumba katika vibanda Wauza mitumba kwenye soko Wauza nafaka Eneo la machimbo ya Madini Mafundi pikipki Mafundi baiskeli Waziba pancha mitaani Wafugaji kuku au ndege wengine kuanzia 10 Wafugaji wa Ng’ombe na Wanyama wengine zaidi ya 10 Gereji/ fundi magari Magari madogo yanayoshusha mizigo kwenye masoko tani 1hadi 7 Magari makubwa yanayoshusha mizigo kwenye masoko yenye uwezo wa kubeba tani 8 na kuendelea Magari madogo tani 1 hadi 7 yanayoshusha mizigo maeneo mengine nje ya eneo la soko magari Magari madogo tani 8 na kuendelea yanayoshusha mizigo maeneo mengine nje ya eneo la soko 5,000 5,000 5,000 2,000 2,000 3,000 1,000 2,000 5,000 2,000 3,000 5,000 3,000 3,000 5,000 2,000 1,000 2,000 2000 2000 1000 1,500 1,000 3,000 3,000 3,000 5,000 2,000 2,000 3,000 1,000 1,000 1,000 500 1000 3,000 1,000 1,000 2,000 1,000 2,000 3,000 500 500 500 2000 1000 500 500 500 1000 1,000 1,000 2,000 3,000 1,000 5,000 2,000 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) ________________ JEDWALI LA PILI ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi …………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo, kwamba mnamo tarehe ………… ya mwezi…………...…. mwaka ………...… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya ……………ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe …………………..ya mwezi …………… mwaka ………………… Jina: …………………………………………. Saini: ……………………………. MBELE YA: Jina: …………………………………… Wadhifa: ……………………………………. Saini: ……………………………….. Tarehe: ……………………………… 17 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Tangazo la serikali na. 264 (linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya Biharamulo kilichofanyika Tarehe 26 mwezi, Agasti, 2022 INNOCENT MBANDWA MUKANDALA Mkurugenzi Mtendaji (w) Halmashauri ya Wilaya Biharamulo LEO MATHEW LUSHAHU mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya Biharamulo NAKUBALI L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 30 Novemba, 2023 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 18
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in