Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanya ya Mwaka 2024
This section states the short title of the bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanya ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the bylaw. This provision says the by-law applies throughout the entire area of the Shinyanga Municipal Council. This provision defines key terms used in the by-law, including protected area, council, director, forest, and environmental protection terms. Halmashauri must inspect specified places, set aside an area for waste disposal and closely supervise cleanliness, and issue health guidelines, rules and procedures for the public to follow. A person planning to do farming in the Council area must follow the farming procedures set by the Council. An authorized officer may enter any farm between 6:00 a.m. and 6:00 p.m. to inspect compliance with this by-law.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanya ya Mwaka 2024
Showing 34 of 34
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section states the short title of the bylaw.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanya ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the entire area of the Shinyanga Municipal Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga. Tafasiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This provision defines key terms used in the by-law, including protected area, council, director, forest, and environmental protection terms.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktradha utahitaji vinginevyo- “afisa mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “eneo la hifadhi” maana yake ni maeneo ya milima, maeneo ya vyanzo vya maji, hifadhi ya misitu, miteremko ambayo yatatangazwa na Halmashauri kuwa ni maeneo ya hifadhi; na maeneo mengine lengo “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga; “hifadhi ya mazingira” maana yake ni utunzaji endelevu wa ardhi; mimea, hewa,viumbe hai na visivyo hai na vyanzo vya maji unaozingatia masharti na maelekezo yatakayotolewa na Afisa Mwidhiniwa chini ya Sheria Ndogo hii au sheria nyingine 1 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) yoyote; “kiwanda” maana yake ni jengo au majengo au eneo ambapo vitu vinatengenezwa; “kuvuna misitu” maana yake ni pamoja na kufyeka, kukata au kung’oa misitu au visiki; “maeneo ya malisho” maana yake ni maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya malisho ya mifugo, pamoja na sehemu zote ambazo zimetengwa na Halmashauri kwa ajili ya malisho; Sura ya 191 “maji” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Sura ya 323 “mazao ya misitu” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa Usimamizi wa Mazingira; Sura ya 191 “mazingira” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika katika Sheria ya Misitu; Sura ya 323 Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa Shinyanga au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi chini ya Sheria Ndogo hii; “misitu” maana yake ni eneo la ardhi ambalo limefunikwa angalau kwa asilimia 10 ya miti, uoto wa asili au iliyopandwa, au asilimia 50 au zaidi ya vichaka na miti inayoota upya ambayo itajumuisha aina yote ya misitu ya hifadhi ambayo itatangazwa chini ya Sheria ya Misitu na mazao yote ya misitu ikijumuisha majani na nyasi ndani ya eneo la Halmashauri; Sura ya 191 “taka” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Sura 191 “taka ngumu” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Usimamizi wa Mazingira; Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “uchafu wa mazingira” maana yake ni kama ilivyotafsiwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; na “udongo” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira. 2 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) Wajibu wa Halmashauri Taratibu za kilimo Sura ya 113 Katazo - 4 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu ufuatao
AI-assisted research summary: Halmashauri must inspect specified places, set aside an area for waste disposal and closely supervise cleanliness, and issue health guidelines, rules and procedures for the public to follow.
4. Halmashauri itakuwa na wajibu ufuatao: (a) kuingia na kukagua nyumba, kiwanja, barabara, njia, uchochoro, mfereji au ardhi na kuchukua hatua kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) kutenga eneo kwa ajili ya kutupa taka ngumu au laini na kusimamia kwa karibu usafi katika eneo lake; na (c) kutoa miongozo, kanuni na taratibu za kiafya kwa ajili ya wananchi wote kuzifuata. - 5 Verify source ↗
(1) Mtu anayekusudia kuendesha shughuli za
AI-assisted research summary: A person planning to do farming in the Council area must follow the farming procedures set by the Council. An authorized officer may enter any farm between 6:00 a.m. and 6:00 p.m. to inspect compliance with this by-law.
5.-(1) Mtu anayekusudia kuendesha shughuli za kilimo katika Halmashauri atatakiwa kuzingatia taratibu za kilimo kama zitakavyotolewa na Halmashauri kwa kuzingatia Sheria za Ardhi na sheria nyingine. (2) Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika shamba lolote kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa dhumuni la kukagua utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. - 6 Verify source ↗
(1) Mtu hataruhusiwa kulima katika miteremko,
AI-assisted research summary: Mtu haruhusiwi kulima au kutumia ardhi kwa njia zinazolinda mazingira ya maji na misitu, na kuchoma moto kusafisha shamba kunahitaji kibali maalumu cha Halmashauri.
6.-(1) Mtu hataruhusiwa kulima katika miteremko, karibu na vyanzo vya maji, kandokando ya mito au lolote mabwawa na maziwa litakaloharibu hifadhi ya mazingira. au kufanya jambo (2) Mtu hataruhusiwa kutumia ardhi kinyume na matumizi ya kilimo kama yalivyopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri. (3) Mtu hataruhusiwa kusafisha shamba kwa ajili ya kilimo kwa njia ya kuchoma moto isipokuwa kwa kibali maalumu kutoka Halmashauri. (4) Kibali kitakachotolewa chini ya kanuni ndogo ya (3) kitakuwa kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (6) Mtu hataruhusiwa kumiliki eneo la chanzo cha maji na hifadhi ya mazingira. (7) Ni marufuku kwa mtu yeyote kutupa mabaki ya vifungashio vya viuatilifu au kusafisha vipulizi au 3 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) kumwaga mabaki ya viuatilifu katika chanzo cha maji au mto. Uhifadhi wa uoto wa asili - 7 Verify source ↗
Ni wajibu wa wakazi wa eneo ambalo uoto wa
AI-assisted research summary: Residents in areas where natural vegetation or the local environment has been damaged must plant trees to avoid further environmental damage and restore vegetation.
7. Ni wajibu wa wakazi wa eneo ambalo uoto wa asili au mazingira ya eneo husika yameharibiwa, kuhakikisha kuwa wanapanda miti ili kutoendelea kuharibu mazingira na kurejesha uoto katika hali yake ya asili. Uchimbaji mchanga na kokoto Wajibu wa kulinda vyanzo vya maji - 8 Verify source ↗
(1) Mtu hataruhusiwa kuchimba mchanga au
AI-assisted research summary: Mtu haruhusiwi kuchimba mchanga, kifusi au kuchoma tofali katika maeneo yasiyoruhusiwa na Halmashauri, na pia haruhusiwi kujenga au kufanya shughuli za kiuchumi katika eneo la hifadhi.
8.-(1) Mtu hataruhusiwa kuchimba mchanga au kifusi au kuchoma tofali katika maeneo yasiyoruhusiwa na Halmashauri kama vile katika maeneo ya makazi ya watu, maeneo yaliyohifadhiwa, kando kando ya mito au ndani ya mto, bwawa au ziwa isipokuwa kwa ruhusa maalumu ya Halmashauri. (2) Mtu hataruhusiwa kujenga nyumba au jengo lolote au kufanya shughuli zozote za kiuchumi katika eneo la hifadhi. - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri ina wajibu wa kusimamia na
AI-assisted research summary: Halmashauri must protect water sources, take legal action against specified wrongdoing, and Halmashauri and the local community must plant suitable trees at water sources following the Forestry Officer’s directions.
9.-(1) Halmashauri ina wajibu wa kusimamia na kulinda vyanzo vya maji. (2) Halmashauri itachukua hatua za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeharibu chanzo cha maji au kushindwa kushiriki katika shughuli za kuhifadhi vyanzo vya maji na mazingira bila sababu ya msingi. (3) Ni wajibu wa Halmashauri kusimamia shughuli inazuia kilimo cha za kilimo na kuhakikisha kuwa kuhamahama na kuhimiza kilimo cha mzunguko. (4) Halmashauri na jamii husika ina wajibu wa kupanda miti isiyonyonya maji katika vyanzo vya maji kwa kuzingatia maelekezo ya Afisa Misitu. (5) Mtu hataruhusiwa kulima, kukata miti au kuchunga mifugo katika umbali wa mita sitini kutoka chanzo cha maji au kufanya jambo lolote linaloharibu kwa namna yoyote chanzo cha maji na hifadhi ya mazingira. Uchafuzi wa - 10 Verify source ↗
(1) Mtu hataruhusiwa kuelekeza mabomba ya
AI-assisted research summary: A person must not discharge wastewater into water sources used by people, animals, or other living things, and must not put poisonous items into such water.
10.-(1) Mtu hataruhusiwa kuelekeza mabomba ya 4 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) vyanzo vya maji Kuchoma au kusababisha moto Kibali cha kuchoma moto Uvunaji wa miti maji machafu kwenye mito, mabwawa, ziwa, visima, mifereji, chemchemi au sehemu yoyote ambayo ni chanzo cha maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu na wanyama au viumbe hai wengine. (2) Mtu hataruhusiwa kuweka kitu chochote chenye sumu ndani ya maji ambayo yanatumiwa na binadamu au kiumbe hai chochote. - 11 Verify source ↗
(1) Mtu hataruhusiwa kuchoma au kusababisha
AI-assisted research summary: A person may not burn or cause fire in forests in the council area, and every resident must extinguish a fire seen burning there if it appears dangerous or threatens forests.
11.-(1) Mtu hataruhusiwa kuchoma au kusababisha moto katika misitu katika eneo la Halmashauri. (2) Itakuwa ni wajibu kwa kila mkazi kuzima moto ambao utaonekana kuwaka katika eneo la Halmashauri wenye kuleta viashiria vya hatari au kuharibu misitu. - 12 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote aliyepata kibali cha kuchoma
AI-assisted research summary: A person with a burning permit must give neighbors two days’ notice before burning and must put in place barriers to stop fire spreading.
12.-(1) Mtu yeyote aliyepata kibali cha kuchoma moto kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza atalazimika kutoa taarifa ya siku mbili kabla ya kuchoma moto kwa majirani katika eneo analotaka kuchoma na ataweka njia za kuzuia moto kusambaa katika maeneo mengine. (2) Muda unaoruhusiwa kwa mtu kuchoma moto chini ya Sheria Ndogo hii ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa nne kamili asubuhi. - 13 Verify source ↗
(1) Mtu anayetaka kuvuna mti au miti kwa ajili
AI-assisted research summary: A person who wants to harvest trees for any use must get a permit from the Halmashauri, and nobody may harvest trees in a forest reserved for special living resources of national value.
13.-(1) Mtu anayetaka kuvuna mti au miti kwa ajili ya matumizi ya aina yoyote ni atapaswa kupata kibali cha Halmashauri kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Pili. (2) Ni marufuku kwa mtu yeyote kuvuna mti au miti katika msitu ambao umehifadhiwa kwa ajili ya viumbe hai maalumu ambao ni rasilimali kwa Taifa. (3) Watu wanaovuna miti kwa ajili ya kuchoma mkaa wanatakiwa kuwa na eneo maalumu lililoidhinishwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchoma mkaa na kufuata taratibu zilizowekwa na Halmashauri. Wajibu wa - 14 Verify source ↗
Kila mkazi wa Halmashauri atawajibika
AI-assisted research summary: Kila mkazi wa Halmashauri anatakiwa kupanda na kutunza miti katika eneo na makazi yake, na pia katika mashamba anayomiliki.
14. Kila mkazi wa Halmashauri atawajibika- 5 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) kupanda miti (a) kupanda na kutunza miti katika eneo na makazi yake; na (b) kupanda na kutunza miti katika shamba au mashamba anayomiliki. Wajibu wa Kata Wajibu wa Mtaa - 15 Verify source ↗
Kata itawajibika kutenga eneo la hifadhi ya
AI-assisted research summary: Kata must set aside a reserved area of the natural forest for future use.
15. Kata itawajibika kutenga eneo la hifadhi ya Msitu wa asili kwa ajili ya matumizi ya baadaye. - 16 Verify source ↗
Kila Mtaa utahakikisha
AI-assisted research summary: Kila Mtaa lazima usimamie na kutunza upandaji wa miti, na baadhi ya wakazi na taasisi zina wajibu wa kupanda na kutunza miti katika maeneo yao.
16. Kila Mtaa utahakikisha - (a) unatunza miti yote inayopandwa katika eneo la Mtaa; (b) unasimamia kila kaya kupanda miti na kuwa na miti isiyopungua kumi katika eneo la nyumba yake; (c) unasimamia kila shule au taasisi nyingine ndani ya Mtaa inapanda miti ya kukinga upepo kuzunguka majengo yake; (d) unatunza na kuhifadhi miti na nyasi kwenye milima, makorongo na vyanzo vya maji ili kuzuia mmomonyoko wa udongo; (e) kila anayeandaa shamba kwa ajili ya kilimo hatumii moto bila kibali na anapanda miti kwenye mipaka ya shamba lake; (f) unahamasisha wakazi wa mtaa husika kuwa na msitu wa hifadhi ya miti ya kupandwa au ya asili kwa madhumuni ya kuhifadhi ardhi na mazingira; na (g) kila mtu mwenye nyumba au kiwanja anawajibika kupanda miti kando ya barabara inayopita mbele ya nyumba au kiwanja chake na kuitunza. Utupaji wa taka ngumu na laini - 17 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anatakiwa kutupa taka katika
AI-assisted research summary: Watu lazima watupe taka katika eneo maalumu lililotengwa na Halmashauri, na hawaruhusiwi kutupa taka ngumu au laini; pia kuna katazo linalohusisha kujisaidia katika kingo za mabwawa au kwenye vyanzo vya maji ndani ya Halmashauri.
17.-(1) Mtu yeyote anatakiwa kutupa taka katika eneo maalumu lililotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kutupa taka ngumu au laini. (2) Mtu hataruhusiwa kutupa taka ngumu au laini, 6 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) Uendeshaji wa viwanda, vituo vya mafuta, huduma za ujenzi Makosa yanayohusu mazingira kujisaidia katika kingo za mabwawa au kwenye vyanzo vya maji vilivyoko katika Halmashauri. - 18 Verify source ↗
(1) Mtu anayeendesha shughuli za karakana,
AI-assisted research summary: Watu wanaoendesha shughuli fulani zenye uchafu au wanaotaka kuendesha kiwanda, kituo cha mafuta, au kituo cha huduma za ujenzi lazima wazingatie masharti ya Sheria Ndogo na tahadhari za athari za mazingira.
18.-(1) Mtu anayeendesha shughuli za karakana, mashine ya kusaga, kuranda mbao, kukamua maji ya matunda, kuchomelea vyuma au kuendesha shughuli yoyote inayozalisha uchafu ambao unaleta athari kwa binadamu na viumbe hai wengine katika maeneo ya makazi ya watu atatakiwa kuzingatia masharti ya Sheria Ndogo hii. (2) Endapo mtu yeyote anataka kuendesha shughuli za kiwanda, kituo cha mafuta au kituo cha huduma mbalimbali za ujenzi atatakiwa kuzingatia tahadhari za athari za mazingira. - 19 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: A person commits an offence if they do any of the listed acts involving livestock, fishing, farming, land conservation, water sources, waste, or polluted water.
19. Mtu anatenda kosa endapo: (a) ataingiza mfugo katika eneo la Halmashauri bila kibali; (b) atasafirisha mfugo bila kuwa na kibali; (c) atalisha mfugo katika maeneo yasiyoruhusiwa; (d) atavua samaki kwa kutumia sumu au nyavu zenye matundu madogo; (e) atakiuka masharti ya kilimo; (f) atakiuka masharti ya kuhifadhi ardhi; (g) ataharibu chanzo cha maji au kushindwa kushiriki katika shughuli za kuhifadhi vyanzo vya maji; (h) atabainika kuwa ameweka sumu ya aina yoyote kwa namna yoyote ambayo inaathiri maisha ya binadamu na viumbe hai wengine; (i) atatupa ovyo taka ngumu au laini katika maeneo yoyote yasiyoruhusiwa; au (j) atatiririsha maji machafu yanayoleta madhara kwa binadamu na viumbe hai wengine. Makosa yanayohusu - 20 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: A person commits an offence if they carry out any of the listed acts in forests or protected areas, often without a permit or without a valid reason.
20. Mtu anatenda kosa endapo: (a) atachoma au kusababisha moto katika misitu 7 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) kuvuna, kuuza, kusafirisha na kuhifadhi mazao ya misitu bila kibali; (b) atashindwa kushiriki katika kuzima moto bila sababu ya msingi; (c) atavuna mazao ya misitu katika misitu iliyohifadhiwa na isiyohifadhiwa bila kibali; (d) atachoma mkaa na kukata kuni bila kibali; (e) atafyeka nyasi, kung’oa vichaka na kung’oa visiki kwenye misitu bila kibali; kwenye (f) atachunga mifugo lolote lililopandwa miti, eneo lililohifadhiwa kama bustani ya miti, misitu ya asili au iliyopandwa kwa ajili ya hifadhi; eneo (g) atakata miti au kuchunga mifugo kwenye eneo lenye miti iliyopandwa kwa ajili ya kuzuia mmomonyoko wa udongo au kukinga upepo; (h) atabandua magome ya miti kwa ajili ya kutengeneza vilindo, mzinga na vitu vingine bila kuwa na kibali; au (i) atalima au kukata miti katika vyanzo vya maji, milima, kando ya njia, makorongo na sehemu nyingine zozote zinazohifadhiwa ili kupunguza mmomonyoko wa udongo. Adhabu Kufifilisha kosa - 21 Verify source ↗
Mtu atakayepatikana na hatia kwa kosa
AI-assisted research summary: Mtu anayepatikana na hatia kwa kosa chini ya Sheria Ndogo hii anaweza kutozwa faini ya shilingi 50,000 hadi 300,000, au kifungo cha hadi miezi 12 jela, au vyote.
21. Mtu atakayepatikana na hatia kwa kosa lililotendwa kinyume na Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi elfu hamsini na isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili jela au vyote. - 22 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kutoza hadi shilingi 50,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa na yuko tayari kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Tatu.
22. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi elfu hamsini endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii. 8 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) ________________ JEDWALI LA KWANZA _________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 6(4) na 12) KIBALI CHA KUCHOMA MOTO
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Jina la Mwombaji…….……………………………
AI-assisted research summary: This section is labeled “Jina la Mwombaji” (Applicant Name).
1. Jina la Mwombaji…….…………………………….............................. - 2 Verify source ↗
Simu Na………………anapoishi (kijiji au mtaa) ………………………………
AI-assisted research summary: Section heading for “Simu Na” with blanks for residence/location details.
2. Simu Na………………anapoishi (kijiji au mtaa) ……………………………… katika Kata ya ………………Wilaya ………………………. - 3 Verify source ↗
Lilipo eneo analotaka kuchoma moto
AI-assisted research summary: Fomu hii inaomba taarifa za eneo la kuchoma moto na sababu ya kuchoma moto.
3. Lilipo eneo analotaka kuchoma moto ya………………. Sababu ya kuchoma moto………………………………………………………. (kijiji au mtaa) ………………………Kata Aina - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: 4. idadi………………………Ukubwa (DBH)………………………………………. kuchoma moto ………………………………na analotaka eneo ya
4. idadi………………………Ukubwa (DBH)………………………………………. kuchoma moto ………………………………na analotaka eneo ya - 5 Verify source ↗
Malipo ya kibali (Shilingi)………………Namba ya stakabadhi……………………
AI-assisted research summary: This line refers to permit payment in shillings and a receipt number.
5. Malipo ya kibali (Shilingi)………………Namba ya stakabadhi……………………. - 6 Verify source ↗
Jina la Afisa aliyefanya ukaguzi………………………………………
AI-assisted research summary: Heading for the name of the officer who conducted the inspection.
6. Jina la Afisa aliyefanya ukaguzi……………………………………… - 7 Verify source ↗
Wadhifa………………………………. Saini……………………
AI-assisted research summary: This section is a permit form for harvesting a tree or trees, with fields for the applicant’s name, phone number, residence, ward, and district.
7. Wadhifa………………………………. Saini……………………. 8 Tarehe……………………… ____________ JEDWALI LA PILI ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 13) KIBALI CHA KUVUNA MTI AU MITI 1 Jina la Mwombaji………. ………………………………………......... 2 Simu Na……..................…anayeishi (kijiji au mtaa)…………....... katika Kata ya …………Wilaya …………………………
Part
JEDWALI LA PILI
- 3 Verify source ↗
Eneo mti au miti ilipo (kijiji au mtaa) …………………………Kata ya………………………
AI-assisted research summary: This section records the village or street, ward, and reason for harvesting trees or forest products.
3. Eneo mti au miti ilipo (kijiji au mtaa) …………………………Kata ya……………………… Sababu ya kuvuna……………………..........………………………………… 9 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) Aina - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: 4. idadi……………………………………Ukubwa (DBH)……………….. ya mti au miti ………………………………………………………na
4. idadi……………………………………Ukubwa (DBH)……………….. ya mti au miti ………………………………………………………na - 5 Verify source ↗
Malipo ya ushuru (Shilingi)…………………Namba ya stakabadhi……………………
AI-assisted research summary: Section heading for tax payment in shillings and receipt number.
5. Malipo ya ushuru (Shilingi)…………………Namba ya stakabadhi…………………….. - 6 Verify source ↗
Jina la Afisa aliyefanya ukaguzi………………………………………………
AI-assisted research summary: Section title: name of the officer who conducted the inspection.
6. Jina la Afisa aliyefanya ukaguzi……………………………………………… - 7 Verify source ↗
Wadhifa……………………………. Saini…………………………………
AI-assisted research summary: This is a form for a person to voluntarily admit an offence and, before the Municipal Council Director, agree to pay an amount of shillings.
7. Wadhifa……………………………. Saini…………………………………. 8 Tarehe……………………… ________________ JEDWALI LA TATU ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 22) FOMU YA KUKIRI NA KUFILILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, niko tayari kulipa kiasi cha shilingi ................ NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Leo tarehe…………. Saini……………………… Jina……………………………….. MBELE YANGU: Jina: ……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………. 10 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Misitu na Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 265 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano uliofanyika Tarehe 23-24/3/2023 na kushuhudiwa Lakari hiyo ikigongwa mbele ya; MWL ALEXIUS REVOCATUS KAGUNZE Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga MH. ELIAS RAMADHANI MASUMBUKO Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga NAKUBALI L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 30 Januari, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanya ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in