Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024
This provision states the bylaw’s short title.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision states the bylaw’s short title. This provision says the by-law applies throughout the whole area under the Shinyanga Municipal Council. This section defines key terms used in the by-law, including the authorized officer, the council, permit, grazing areas, livestock keeper, livestock, director, and agent. Halmashauri must carry out specified livestock and land-use tasks, including planning land use, setting aside grazing areas, building dips, providing livestock education, counting and marking livestock, issuing livestock cards, vaccinating animals, and controlling stray livestock and animals. Mkulima/mfugaji lazima atimize masharti kadhaa ya usimamizi wa mifugo, ikiwemo uogeshaji wa mifugo, malisho, chanjo, alama, vibali, na kufuata maelekezo ya Halmashauri.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024
Showing 21 of 21
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This provision states the bylaw’s short title.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024. - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the whole area under the Shinyanga Municipal Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote lililopo chini ya Mamlaka ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including the authorized officer, the council, permit, grazing areas, livestock keeper, livestock, director, and agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Manispaa ya lengo Shinyanga; “kibali” maana yake ni idhini ya maandishi inayotolewa na Halmashauri kwa ajili ya kufanya shughuli iliyokusudiwa chini ya Sheria Ndogo hii; “maeneo ya malisho” ni pamoja na sehemu zote ambazo Halmashauri itatenga kuwa eneo la malisho; “mfugaji” maana yake ni mtu yeyote anayejishughulisha na ufugaji wa mifugo katika eneo la Halmashauri; “mfugo” maana yake ni ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku, na wanyama wengine wafugwao; 1 Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga au Afisa yeyote ya atakayeteuliwa Mkurugenzi; majukumu kutekeleza “Wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi, iliyoteuliwa kwa ajili ya shirika au kampuni kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. Wajibu wa Halmashauri - 4 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu wa kufanya
AI-assisted research summary: Halmashauri must carry out specified livestock and land-use tasks, including planning land use, setting aside grazing areas, building dips, providing livestock education, counting and marking livestock, issuing livestock cards, vaccinating animals, and controlling stray livestock and animals.
4. Halmashauri itakuwa na wajibu wa kufanya mambo yafuatayo: (a) kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi; (b) kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya shughuli ya ufugaji kwa mujibu wa Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi; (c) kujenga majosho ya mifugo kwa kushirikiana na wananchi; (d) kutoa elimu ya ufugaji bora kwa jamii ili kuongeza tija; (e) kufanya sensa ya mifugo, kuweka alama na kutoa kadi za mifugo; (f) kutoa chanjo kwa kushirikiana na wafugaji ili kudhibiti magonjwa ya mifugo yasiyoambukiza na yanayoambukiza binadamu; na (g) kudhibiti uzururaji holela wa mifugo na wanyama katika Halmashauri kwa mujibu wa Sheria. - 5 Verify source ↗
Kila mfugaji chini ya Sheria Ndogo hii
AI-assisted research summary: Mkulima/mfugaji lazima atimize masharti kadhaa ya usimamizi wa mifugo, ikiwemo uogeshaji wa mifugo, malisho, chanjo, alama, vibali, na kufuata maelekezo ya Halmashauri.
5. Kila mfugaji chini ya Sheria Ndogo hii atahakikisha kuwa: (a) anaogesha mifugo yake katika majosho ili kudhibiti magonjwa ya wanyama kama atakavyoelekezwa na Halmashauri; (b) anachangia gharama za ukarabati wa majosho kama sehemu ya mchango wake, pale itakapobidi kufanya hivyo, na kwa gharama itakayopendekezwa na Halmashauri; 2 Wajibu wa mfugaji Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) (c) anafuga na kulisha mifugo yake katika maeneo yaliyoteuliwa na Halmashauri; (d) anachangia gharama za uboreshaji wa maeneo ya malisho yaliyoainishwa na Halmashauri; (e) anapeleka mifugo yake katika vituo vya chanjo kama itakavyoamriwa na Halmashauri na atalipia chanjo hiyo kama atatakiwa kufanya hivyo viwango mujibu vitakavyoainishwa na Mamlaka husika; kwa wa (f) mifugo yake alama maalumu zinazotolewa kwa mujibu wa Sheria na miongozo bila kuharibu zao la ngozi; inawekwa (g) anafuga idadi ya mifugo kama itakavyoamriwa na Halmashauri; (h) hatakaribisha wafugaji wengine bila kibali cha Halmashauri; (i) anaipaa mifugo yake malisho au chakula na maji ya kutosha kwa kuzingatia kanuni bora za ufugaji; (j) anapitisha mifugo yake katika njia maalumu zilizopangwa na kuainishwa na Halmashauri; (k) ana kibali cha kusafirisha mifugo na mazao yake; (l) kabla ya kuingiza mifugo katika Halmashauri anaomba kibali cha maandishi cha kukubaliwa kuingiza mifugo hiyo ndani ya Halmashauri; (m) anafuga kwa kuzingatia mipango ya matumizi bora ya ardhi; (n) ana kadi ya mifugo itakayoonesha idadi na aina ya mifugo aliyonayo; (o) anahudhuria mafunzo ya ufugaji kama atakavyo hitajika na Halmashauri; (p) anauza mifugo yake katika masoko na minada iliyoidhinishwa au eneo lingine kwa taarifa maalum; na (q) anapakia mifugo yake katika maeneo ya Serikali 3 Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) au ya mtu binafsi yaliyoidhinishwa na Halmashauri gharama zitakazoainishwa kwa kipindi husika. kulipia kwa Kibali cha ufugaji Masharti kwa mfugaji
Part
sehemu ya mchango wake, pale
- 6 Verify source ↗
(1) Mtu anayetaka kufuga mifugo atalazimika
AI-assisted research summary: A person who wants to keep livestock must get a livestock-keeping permit from the council.
6.-(1) Mtu anayetaka kufuga mifugo atalazimika kupata kibali cha kufuga kutoka kwa Halmashauri kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1), mtu yeyote atakayekiuka taratibu za ufugaji kulingana na Sheria Ndogo hii kibali chake kitafutwa na atalazimika kuhamisha mifugo yake yote. - 7 Verify source ↗
Mfugaji hataruhusiwa
AI-assisted research summary: Livestock keepers are prohibited from grazing, feeding, watering, moving, selling, buying, or passing livestock in several unapproved places, and some activities require Council permission.
7. Mfugaji hataruhusiwa- (a) kuchunga, kulisha au kunywesha maji mifugo katika maeneo ambayo hayajatengwa kwa shughuli hiyo; (b) kuwatumia watoto hasa wenye umri wa kwenda shule kuchunga au kuhudumia mifugo; (c) kusafirisha mifugo kwa kuiswaga barabarani; (d) kusafirisha au kuhamisha mifugo kutoka eneo kutoka lingine kibali bila hadi moja Halmashauri; (e) kuingiza mifugo katika eneo la Halmashauri bila kibali kinachotolewa na Afisa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri; (f) kuuza au kununua mifugo katika maeneo ambayo si mnada, masoko au magulio ya mifugo yaliyoidhinishwa bila kibali maalumu cha Halmashauri; (g) kulisha mifugo kwenye maeneo ya kilimo au wakulima kuruhusu mifugo kwenye maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya kilimo; (h) kupitisha mifugo katika maeneo ambayo hayajaidhinishwa na Halmashauri kupitisha mifugo; 4 Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) (i) kufuga mifugo mingi katika eneo dogo ndani ya Halmashauri; au (j) kununua, kuuza au kufanya biashara ya kubadilishana aina yoyote ya mfugo katika eneo la Halmashauri bila kibali maalumu isipokuwa kwenye masoko, minada au magulio yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo na Halmashauri. - 8 Verify source ↗
(1) Mtu anayetaka kusafirisha mifugo na mazao
AI-assisted research summary: Mtu anayetaka kusafirisha mifugo, mazao, au chakula cha mifugo kuingia au kutoka eneo la Halmashauri lazima apate kibali maalumu.
8.-(1) Mtu anayetaka kusafirisha mifugo na mazao au chakula ch mifugo kutoka au kuingia katika eneo la Halmashauri atatakiwa kupata kibali maalumu kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. (2) Halmashauri itatoa kibali cha kusafirisha mifugo na mazao au chakula cha mifugo kwa kuweka utaratibu ikiwa ni pamoja na: (a) mfugaji kutoa uthibitisho wa umiliki wa mfugo au uthibitisho kutoka kwa Afisa Mwidhiniwa; na (b) kukagua kibali cha kusafirisha mfugo na mazao au chakula cha mifugo. (3) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kukamata na kutoza faini kwa ajili ya mfugo au mifugo na mazao au chakula cha mifugo kinachosafirishwa kinyume na Sheria Ndogo hii. - 9 Verify source ↗
Mfugaji atatakiwa kuzingatia masharti ya kufuga
AI-assisted research summary: A livestock keeper must follow the livestock-keeping conditions set by this by-law and other national laws.
9. Mfugaji atatakiwa kuzingatia masharti ya kufuga kama yalivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii na sheria nyingine za nchi. - 10 Verify source ↗
Mtu anayetaka kuchinja mfugo wake atatakiwa
AI-assisted research summary: A person who wants to slaughter livestock must take it to an abattoir, unless the place has no abattoir and a special permit is obtained from an authorized officer.
10. Mtu anayetaka kuchinja mfugo wake atatakiwa kupeleka mfugo huo machinjioni au ikiwa ni mahali pasipo machinjio kwa kibali maalumu cha Afisa Mwidhiniwa. - 11 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: Mmiliki wa mifugo inayozurura ovyo katika eneo la Halmashauri anaweza kutozwa faini na gharama za kuhifadhi; Halmashauri pia inaweza kuuza mnada mfugo usiouchukuliwa ndani ya siku 7 na lazima itangaze kabla ya kuuza.
11.-(1) mifugo itakayoonekana inazurura ovyo katika eneo la Halmashauri na mmiliki atatakiwa kulipia faini kwa kiasi kama Halmashauri itakamata 5 Kibali cha kusafirisha mifugo na mazao au chakula chake Taratibu za ufugaji Kuchinja mfugo Kudhibiti mifugo inayozurura ovyo Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) kilivyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii kama gharama za kuhifadhi mifugo hiyo. (2) Endapo mfugo uliokamatwa hautachukuliwa na mmiliki ndani ya kipindi cha siku saba tangu kukamatwa, Halmashauri itakuwa na haki ya kuuza mnada mfugo huo baada ya kupata fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmliki wa mfugo huo baada ya kutoa faini inayodaiwa, gharama za kuhifadhi mfugo, gharama ya Mahakama na gharama ya mnada. idhini ya Mahakama, na (3) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (2), Halmashauri kabla ya kuuza mfugo huo kwa mnada itamjulisha mmiliki na umma kuhusu kusudio hilo. (4) Endapo kutatokea kufa kwa mifugo au mfugo kutokana na sababu yoyote, Halmashauri haitawajibika na ulipaji wa gharama zozote isipokuwa kama vifo hivyo vitakuwa vimesababishwa kwa uzembe wa watumishi wa Halmashauri. - 12 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kukataa mifugo au bidhaa kuingia au kuuzwa eneo la Halmashauri ikiwa zinaweza kuhatarisha afya au usalama, na anaweza kuingia nyumba au jengo kwa ajili ya utekelezaji wa Sheria Ndogo kati ya saa kumi na mbili asubuhi na saa kumi na mbili jioni.
12. (1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kukataa aina yoyote ya mifugo au bidhaa kuingia au kuuzwa ndani ya eneo la Halmashauri, iwapo mifugo hiyo au bidhaa hizo zinaweza kuhatarisha afya au usalama wa mifugo mingine au watumiaji. (2) Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika nyumba au jengo lolote kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni kwa lengo la utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. - 13 Verify source ↗
(1) Mfanyabiashara kabla ya kuanza biashara ya
AI-assisted research summary: Mfanyabiashara wa mifugo lazima awe na leseni na vibali husika kabla ya kuanza biashara, na awasilishe vibali kwa Halmashauri kwa uhakiki.
13.-(1) Mfanyabiashara kabla ya kuanza biashara ya mifugo na mazao ya mifugo atatakiwa kuwa na leseni na vibali kutoka Mamlaka husika vinavyohusu kuuza na kununua mifugo na mazao ya mifugo na atatakiwa kuwasilisha vibali vyake Halmashauri kwa ajili ya uhakiki. (2) Mfanyabiashara wa mifugo inayopelekwa au kutoka mnadani au machinjioni atatakiwa kuwa na kibali maalumu kutoka Halmashauri. 6 Ukaguzi wa mifugo na bidhaa za mifugo Taratibu za biashara ya mifugo na mazao yake Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) Makosa (3) Mfanyabiashara atakayesafirisha mifugo kutoka nje ya Halmashauri atatakiwa kuwa na kibali kutoka Halmashauiri ambayo mifugo hiyo inatoka. (4) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (2) na (3), mfanyabiashara wa mifugo atatakiwa kusafirisha mifugo katika vyombo vya usafiri vinavyokubalika kwa mujibu wa sheria. (5) Mifugo yote itauzwa au kununuliwa katika minada na masoko yanayotambulika kwa mujibu wa sheria. (6) Minada yote ya mifugo au magulio ya mifugo yatafanyika kwa kibali maalumu cha Halmashauri na kwenye maeneo yaliyoruhusiwa. - 14 Verify source ↗
Mfugaji anatenda kosa iwapo
AI-assisted research summary: Mfugaji anatenda kosa akifanya mojawapo ya vitendo vilivyoorodheshwa, kama vile kutokuchanja au kuogesha mfugo kwa kuzuia magonjwa, kutumia maeneo yasiyoruhusiwa, kukosa kibali cha ufugaji, au kumzuia Afisa Mwidhiniwa.
14. Mfugaji anatenda kosa iwapo: (a) atashindwa au kukataa kuogesha au kuchanja mfugo au mifugo yake ili kuzuia magonjwa; (b) atalisha mfugo au mifugo kwenye maeneo yasiyoruhusiwa; (c) ataruhusu mfugo au mifugo yake kuzurura ovyo; (d) atamshawishi mtu au kundi la watu kuingiza mifugo ndani ya Halmashauri bila kuzingatia sheria, kanuni na taratibu; (e) hatakuwa na kibali cha ufugaji; (f) atashindwa au atazembea kutoa taarifa juu ya uwepo wa dalili za ugonjwa au kifo cha ghafla cha mfugo katika banda lake; (g) atashindwa kutoa ushirikiano wa uwekaji wa alama kwa mfugo au mifugo yake; (h) atamruhusu mtu yeyote ambaye hana utaalamu wa vyakula vya mifugo kujihusisha na utengenezaji wa vyakula vya mifugo; au (i) atamzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake. Adhabu - 15 Verify source ↗
Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa
AI-assisted research summary: A person found guilty of an offence under this bylaw must pay a fine, face imprisonment up to 12 months, or both.
15. Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa 7 Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua Shilingi elfu hamsini na kisichozidi Shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili jela au vyote. Kufifilisha kosa - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza faini mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza faini mtu aliyefanya kosa chini ya sheria ndogo hii, hadi shilingi 50,000, ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na yuko tayari kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Nne.
16. Mkurugenzi anaweza kumtoza faini mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii, kiasi kisichozidi shilingi elfu hamsini iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoambatanishwa kwenye Jedwali la Nne la Sheria Ndogo hii. ______________ JEDWALI LA KWANZA _______________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 6 (1)) KIBALI CHA KUFUGA MFUGO Jina la Mfugaji: ………………………………………………… Anuani: ………………………………………………………… Kata: …………………………………… Mtaa ………………… Namba Nyumba:…………………………………… Namba Kitalu:…………… Ameruhusiwa kufuga Mifugo ifuatayo katika eneo la…………... Na Aina ya Mfugo Koo Idadi ya Mifugo Jike Dume Jumla Ng’ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe Ngamia Punda Paka Farasi Sungura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Mbwa 11 12 Wanyama Kuku au Bata 8 Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) wengine Kibali hiki kimetolewa kwa Ndugu……………………………………kwa muda wa miezi kumi na mbili kwa Mfugo au mifugo kuanzia tarehe……………...hadi tarehe…………... Kimetolewa na: Jina la Afisa Mwidhiniwa…………………………………..Saini……....................… Wadhifa:………………………………………………………......................……….. Tarehe:………………….............................................................................................. Muhuri:…………………………………………….................................................... _____________ JEDWALI LA PILI ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 8) KIBALI CHA KUSAFIRISHA MIFUGO NA MAZAO AU VYAKULA VYA MIFUGO Kibali Na: …................................................................. Jina: ….......................................................................... Anuani: ….....................................................................
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
Ameruhusiwa kusafirisha Mifugo
AI-assisted research summary: This provision permits transport of the listed livestock, with the route and destination left blank in the text.
1. Ameruhusiwa kusafirisha Mifugo ifuatayo kutoka ………………kupitia njia za……………………..hadi…………..….. Namba - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: This section lists types of livestock and states a livestock count of 9.
12. Aina ya Mfugo Ng’ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe Ngamia Punda Paka Farasi Sungura Mbwa Kuku au Bata Mifugo wengine Idadi ya Mifugo 9 Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) - 2 Verify source ↗
Ameruhusiwa kusafirisha Chakula cha mifugo aina ya
AI-assisted research summary: Hati hii inaonyesha kibali cha kusafirisha chakula cha mifugo na ina nafasi za kuandika uzito, mahali pa kutoka na kwenda, njia ya usafirishaji, namba ya usajili wa gari, pamoja na taarifa za chanjo au matibabu.
2. Ameruhusiwa kusafirisha Chakula cha mifugo aina ya …......................................................... Uzito: .…............................................... Kutoka: …............................................................ kwenda: …....................................................... Kupitia: .…....................................................................................................................................... Njia ya usafirishaji: ….............................................. Namba ya usajili wa Gari: …..................... Kibali hiki kimetolewa tarehe: ….../......... 20 ...... na kitatumika hadi tarehe: …...../....... 20 .….. TAARIFA YA CHANJO AU MATIBABU: ...……........................................................................…………………………………………… …. ...……........................................................................…………………………………………… …. Hali ya wanyama wakati wa usafirishaji: …............................................................................................... …................................................................................................................................................... ....... Kibali hiki kimetolewa hapa: Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tarehe: ........../.............. 20......... Jina la Afisa Mwidhiniwa: ............................................................................. Saini: …........................................................................ Wadhifa: ..…............................................................... Mhuri wa Ofisi………………………….. _______________ JEDWALI LA TATU ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 11) VIWANGO VYA MALIPO YA KUHIFADHI MIFUGO ILIYOKAMATWA NA HALMASHAURI KWA KILA MFUGO Na
Part
JEDWALI LA TATU
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This text appears to be a heading or table entry about livestock categories and quantities in a Shinyanga municipal livestock-control by-law.
2. Jina la Mfugo Ng`ombe Mbuzi au Kondoo Kiasi 2500 1500 10 Siku 1 1 Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya kukiri kosa na kuonyesha utayari wa kulipa faini badala ya kushtakiwa mahakamani.
5. Nguruwe Punda au Farasi au Ngamia Mbwa au Paka 1500 2500 1000 1 1 1 _________ JEDWALI LA NNE ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 16) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, kwamba mnamo tarehe …… ya Mwezi ………. Mwaka ……….…… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Niko tayari kulipa kiasi cha faini ya shilingi ........................................... badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. MBELE YANGU: Jina:……………………………………..………………….....… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa………………………………………………...………… Tarehe………………………………………………………….... Saini………………………........ 11 Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 266 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano uliofanyika Tarehe 23-24/3/2023 na kushuhudiwa Lakari hiyo ikigongwa mbele ya; MWL ALEXIUS REVOCATUS KAGUNZE Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga MH. ELIAS RAMADHANI MASUMBUKO Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga NAKUBALI L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 30 Januari, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in