Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024
This section gives the short title of the by-law and says it should be read together with the main 2013 by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law and says it should be read together with the main 2013 by-law. The schedule is revised to set municipal fees and charges for rentals, health checks, inspections, permits, vehicle registration, valuation, and land survey services. This section lists local charges and tax rates for several goods, animals, transport vehicles, slaughter and meat inspection services, market crops, forest products, and loading/unloading activities. This section is about parking tax charged on vehicles entering markets, fairs, and auctions, with different fee amounts listed by vehicle type. This section sets daily municipal tax rates for different vehicle types.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024
Showing 8 of 8
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law and says it should be read together with the main 2013 by-law.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2013 ambayo hapa imerejewa kama “Sheria Ndogo Kuu”. Marekebisho ya Jedwali - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo kuu inarekebishwa kwa kufuta na
AI-assisted research summary: The schedule is revised to set municipal fees and charges for rentals, health checks, inspections, permits, vehicle registration, valuation, and land survey services.
2. Sheria Ndogo kuu inarekebishwa kwa kufuta na kuandika upya Jedwali la Kwanza kama ifuatavyo: _____________ JEDWALI LA KWANZA _________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA Ada ya kukodisha Mali za Halmashauri Namba Aina ya Mali 1 2 Ukumbi wa Halmashauri Kumbi za Idara Kiwango cha Ada (Shilingi) 200,000/= kwa tukio (a) ukumbi mkubwa 100,000/= kwa tukio 1 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 267 (Linaendelea) 3 4 5 6 7 8 (b) ukumbi mdogo Mashine ya tofali Nyumba ya biashara Nyumba ya kuishi (ambayo siyo ya watumishi) Uwanja wa mikutano Soko la Chanika na Chogo i. Kibanda kidogo ii. Kibanda cha kati iii. Kibanda Kikubwa 70,000/= kwa tukio 50,000/= kwa Saa kulingana na mkataba kulingana na mkataba 50,000/= kwa siku i)300/= kwa siku ii)500/= kwa siku iii)1000/= kwa siku Kiti: (a) cha plastiki i. ii. Kidogo Kikubwa (b) cha mbao i. ii. Kidogo Kikubwa (c) cha kusheni i. ii. Kidogo Kikubwa 500/= kwa siku 800/= kwa siku 300/= kwa siku 500/= kwa siku 1,000/=kwa siku 2,000/=kwa siku 9 Turubai: i. Dogo ii. Kubwa 70,000/= kwa siku mbili 100,000/= kwa siku mbili SEHEMU YA PILI Ada ya Kupima Afya ya Wahudumu na Wanafunzi Namba Aina ya Huduma Kinyozi 1 Mhudumu wa baa 2 Mhudumu wa famasi, Zahanati, Kituo vya Afya 3 na Hospitali binafsi Mhudumu wa nyumba ya kulala wageni Msusi Muuzaji wa vyakula vilivyopikwa au kukaangwa Ajira mpya Wanafunzi: i. Sekondari ii. Vyuo 4 5 6 7 8 Kiwango cha Ada (Shilingi) 10,000/= kwa Mwaka 10,000/= kwa Mwaka 10,000/= kwa Mwaka 10,000/= kwa Mwaka 10,000/= kwa Mwaka 10,000/= kwa Mwaka 10,000/= 10,000/= 15,000/= SEHEMU YA TATU Ada ya Ukaguzi Namba Aina ya Ukaguzi Baa 1 Hoteli 2 Kiwango cha Ada (Shilingi) 30,000/= kwa Mwaka 30,000/= kwa Mwaka 2 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 267 (Linaendelea) 3 4 5 6 Mgahawa Nyumba ya kulala wageni Ukaguzi wa dharura Kiwanda cha mbao na au chuma 30,000/= kwa Mwaka 30,000/= kwa Mwaka 30,000/= kwa Mwaka 30,000/= kwa Mwaka SEHEMU YA NNE Ada ya Uandaaji wa vitabu na nyaraka za ushindani Namba Aina ya Kitabu 1 Kitabu cha Zabuni Kiwango cha Ada kwa Shilingi 20,000/= kwa kitabu au nyaraka SEHEMU YA TANO Ada ya Usajili wa teksi Namba Aina ya Usajili Usajili wa teksi 1 Kiwango cha Ada kwa Shilingi 40,000/= SEHEMU YA SITA Ada ya Uzio, Uthamini wa Majengo Unaofanywa na Mthamini wa Halmashauri, Uuzaji wa Ramani za nyumba zinazoandaliwa na Halmshauri, Upimaji wa Ardhi Namba 1 2 Aina ya huduma Uthamini wa jengo Ada ya Uzio unaozungushwa kwa ajili ya ujenzi: Kiwango cha Ada (Shilingi) Asilimia 10 ya thamani ya jengo (a) kiwanja kidogo (mita za 30,000/= mraba kuanzia 01 hadi 900) (b) kiwanja cha wastani (mita za mraba kuanzia 901 hadi 1500) (c) kiwanja kikubwa (Mita za mraba kuanzia 1501 na kuendelea) Uuzaji na usajili wa ramani: (a) gorofa mbili na zaidi (b) gorofa moja (c) nyumba ya kawaida Upimaji wa Ardhi Ada ya kuonyeshwa kiwanja mara ya pili baada ya upimaji 3 4 5 40,000/= 50,000/= 100,000/= 70,000/= 50,000/= 800/= kwa mita moja ya mraba 15,000/= Namba Aina ya Kibali 1 Kibali cha ujenzi: SEHEMU YA SABA Ada ya Vibali mbalimbali Kiwango cha Ada (Shilingi) (a) Nyumba ya makazi 30,000/= 3 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 267 (Linaendelea) (b) Nyumba ya biashara (c) Taasisi za dini (d) Taasisi binafsi, Shule za awali, 50,000/= 50,000/= 150,000/= Msingi na Sekondari (d) gorofa mbili na zaidi (e) gorofa moja 2 Kibali cha kuchimba au kukata barabara 400,000/= 200,000/= 150,000/= kwa mita moja SEHEMU YA NANE Ushuru wa kutumia Mnada wa Nderama kuuza mifugo Namba Aina ya mfugo
Part
SEHEMU YA NANE
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists local charges and tax rates for several goods, animals, transport vehicles, slaughter and meat inspection services, market crops, forest products, and loading/unloading activities.
2. Ng’ombe Mbuzi au Kondoo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) kwa siku 1,000/= 500/= Namba Aina ya Madini ya Ujenzi SEHEMU YA TISA Ushuru wa Madini ya Ujenzi Uzito wa Gari cha Ushuru 1 Mawe 2 Kokoto 3 Mchanga 4 Kifusi Kiwango (Shilingi) 3,500/= 12,500/= 25,000/= 3,500/= 12,500/= Tani 1 hadi 3 kwa tripu Tani 4 hadi 11 kwa tripu Tani 12 na kuendelea kwa tripu Tani 1 hadi 3 kwa tripu Tani 4 hadi 11 kwa tripu Tani 12 na kuendelea kwa tripu Tani 1 hadi 3 kwa tripu Tani 4 hadi 11 kwa tripu Tani 12 na kuendelea kwa tripu Tani 1 hadi 3 kwa tripu 3,500/= 12,500/= Tani 4 hadi 11 kwa tripu Tani 12 na kuendelea kwa tripu 3,500/= 12,500/= 25,000/= 25,000/= 25,000/= SEHEMU YA KUMI Ushuru wa Machijio na Ukaguzi wa Nyama Namba Aina ya Huduma 1 Kuchinja mnyama machinjioni: Kiwango Shilingi cha ushuru kwa 4 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 267 (Linaendelea) (i) Ng’ombe (ii) Mbuzi (iii) Kondoo (iv) Nguruwe (v) Kuku (vi) Bata Ukaguzi wa nyama: (i) Ng’ombe (ii) Mbuzi (iii) Kondoo (iv) Nguruwe (v) kuku (vi) Bata Kuchinja mnyama katika Mnada wa Nderema: (i)Ng’ombe (ii) Mbuzi (iii)Kondoo 2 3 3,000/= 1,500/= 1,500/= 2,000/= 400/= 400/= 2,000/= 1,500/= 1,500/= 4,000/= 200/= kila kuku 500/= kila bata 3000/= 1,500/= 1,500/= SEHEMU YA KUMI NA MOJA Ushuru wa Kituo cha Mabasi ya Abiria Namb a i ii iii iv Aina ya chombo cha usafiri Gari lenye uwezo wa kubeba watu kuanzia 4 hadi 9 Gari lenye uwezo wa kubeba watu kuanzia 10 hadi 25 Gari lenye uwezo wa kubeba watu kuanzia 26 hadi 35 Gari lenye uwezo wa kubeba watu kuanzia 36 hadi 65 Kiwango cha Ushuru (Shilingi) kwa siku 1,000/= 2,000/= 3,000/= 4,000/= SEHEMU YA KUMI NA MBILI Ushuru wa Mazao ya Nafaka, Mbogamboga, Matunda na ubuyu Namba Aina ya Zao 1 Nafaka 2 3 4 Mboga mboga Matunda Ubuyu na mengineyo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Asilimia 3 ya bei ya getini 60,000/= kwa tani moja 70,000/= kwa tani moja 60,000/= kwa tani moja 5 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 267 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA TATU Ushuru wa Mazao ya Misitu Namba Aina ya Zao 1 2 3 4 5 Mbao katika chanzo Magogo katika chanzo Mirunda katika chanzo kuni katika chanzo Mkaa katika chanzo 6 7 Mbao za rejareja zenye: futi 4 hadi 8 i. ii. Futi 9 hadi 12 Vigogo vya rejareja vyenye: i. Futi 2 hadi 5 ii. Futi 6 hadi 10 Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Asilimia 5 cha gharama ya leseni Asilimia 5 ya gharama ya leseni Asilimia 5 ya gharama yaleseni Asilimia 5 ya gharama ya leseni 2,000/= kwa ujazo wa gunia la kilo mia moja na 1,000/= kwa ujazo wa nusu gunia 1,000/= 2,000/= 2,000/= 4,000/= SEHEMU YA KUMI NA NNE Ushuru wa Kushusha na kupakia Mizigo ndani ya eneo la Halmashauri kwa saa 24 Namb a
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section is about parking tax charged on vehicles entering markets, fairs, and auctions, with different fee amounts listed by vehicle type.
1. 2 3 4 5 6 Aina ya chombo cha usafiri Kiwango cha Ushuru kwa Shilingi Semi Treiller Fusso Fusso Tandamu Canter Carry au gari ndogo ya abiria au mizigo Guta au magurudumu matatu Pikipiki ya 20,000/= 10,000 /= 15,000/= 5,000/= 1000/= 500/= SEHEMU KUMI NA TANO USHURU WA KUEGESHA MAGARI YANAYOINGIA KATIKA MAGULIO, MASOKO NA MINADA. Namb a
Part
SEHEMU KUMI NA TANO
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section sets daily municipal tax rates for different vehicle types.
7. Aina ya Chombo cha Usafiri Kiwango cha ushuru (Shilingi) kwa Siku Gari au basi kubwa Magari madogo (hiace) Teksi Pikipiki Bajaji au guta Gari binafsi lisilo la biashara Gari ya mzigo aina ya Fusso 2,000/= 2,000/= 2,000/= 500/= 1,500/= 2,000/= 10,000 /= 6 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 267 (Linaendelea) - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: This section lists daily market, fair, and auction fees for different types of trade and also starts a new section on vehicle entry charges.
13. Gari la mizigo aina ya Semi Treiller Gari ya mzigo aina ya Canter Gari ya mzigo Tandamu aina ya 20,000/= 5,000/= 15,000/= SEHEMU KUMI NA SITA Ushuru katika masoko, magulio na minada Aina ya Biashara Nguo za mitumba au Dukani viatu vya mitumba Mama au Baba lishe Vileo na Soda au Maji Mananasi, Nazi, Madafu na Miwa na vingine vinavyofanana na hivyo Michezo mbalimbali katika soko bidhaa za urembo vyombo vya ndani Minada ya hadhara Biashara hazijaorodheshwa Fedha Mtandao Kibanda cha kuuza simu na line Kuuza dawa za kienyeji nyingine ambazo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) kwa Siku 500/= 500/= 500/= 1,000/= 500/= 1,000/= 500/= 1,000/= 10,000/= 500/= 1,000/= 1,000/= 500/= SEHEMU YA KUMI NA SABA Ushuru wa Kuingiza Magari yenye Bidhaa za Viwandani na Nafaka ndani ya eneo la Halamashauri Namb a
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ushuru wa kila siku kwa aina mbalimbali za vyombo vya usafiri.
6. Aina ya Chombo cha Usafiri Kiwango cha Ushuru (Shilingi) kwa Siku Semi -Treiller Fusso Fusso Tandamu Canter Carry au Town Hiace Guta au Pikipiki ya mizigo yenye magurudumu matatu 20,000/= 10,000 /= 15,000/= 5,000 1000/= 500/= SEHEMU YA KUMI NA NANE Ushuru wa Minara iliyoko katika maeneo ya Wananchi na Upangaji wa maeneo ya Umma na Vibanda vya Fedha Mtandao Namba Aina ya Huduma Kiwango (Shilingi) cha Ushuru 7 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 267 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonyesha viwango vya ada/ushuru kwa mnara wa mawasiliano na kibanda cha fedha mtandao katika eneo la wazi au la umma.
3. Mnara wa mawasiliano kwenye eneo mwananchi Maeneo ya wazi na ya Umma la 5% ya thamani ya mkataba 400/= kwa mita moja ya mraba kwa mwezi Kibanda cha Fedha Mtandao katika eneo la wazi Kulingana na mkataba 8 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo La Serikali Na. 267 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano uliofanyika Tarehe 23-24/3/2023 na kushuhudiwa Lakari hiyo ikigongwa mbele ya; MWL ALEXIUS REVOCATUS KAGUNZE Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga MH. ELIAS RAMADHANI MASUMBUKO Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga /NAKUBALI L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 30 Januari, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in