Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ya Mwaka 2024
This provision gives the short title of the by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the short title of the by-law. This bylaw applies throughout the whole area of Namtumbo District Council. This section defines terms used in the bylaw, including fees, permits, market places, parking areas, service levy, and the collection agent. Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa vibali, leseni, na huduma zake; malipo yanapaswa kufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma. Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ya Mwaka 2024
Showing 65 of 65
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This provision gives the short title of the by-law.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the whole area of Namtumbo District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines terms used in the bylaw, including fees, permits, market places, parking areas, service levy, and the collection agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya lengo Namtumbo; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “kituo cha mabasi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa na Halmashauri kwa madhumuni ya kupakia na kuteremsha abiria na mizigo ya abiria; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi ikiwa ni pamoja na maeneo ya 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) taasisi ya umma au watu binafsi yaliyopo katika eneo la Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maegesho” maana yake ni sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha chombo cha usafiri kwa muda; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; "mnada” maana yake soko la wazi ambalo mali au vitu mbalimbali vinauzwa kwa ushindani wa bei kwa kauli na kwa kibali maalumu cha Halmashauri; au “mnunuzi wa mazao” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, kampuni, kiwanda shirika linalonunua mazao kwa ajili ya biashara au matumizi mengineyo katika eneo la Halmashauri; “muuzaji wa mazao” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, kampuni, kiwanda au shirika anayeuza au anayesafirisha mazao kutoka kata moja kwenda kata nyingine au nje ya eneo la Halmashauri mwenye mazao yenye uzito wa zaidi ya tani moja; “soko” maana yake ni ni eneo au soko liliotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kama soko; “ushuru” maana yake ni maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali la Halmashauri; zinazofanywa katika eneo “ushuru wa huduma” maana yake ni ushuru unaotozwa au unaokusanywa na Halmashauri kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni, taasisi ya biashara au mfanyabiashara kwa huduma anazopata kutokana na umma inayomuwezesha kufanya biashara katika eneo la kutumia miundombinu ya 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) Halmashauri; “ushuru wa madini ya ujenzi” maana yake ni ushuru utakaotozwa kwa kibali cha uchimbaji wa kokoto, mawe, changarawe, mchanga, marumaru, kifusi, udongo mfinyanzi, au chochote kinachochimbwa na kupatikana katika Mamlaka ya Halmashauri kwa shughuli za ujenzi ikijumuisha tozo kwa mtu yeyote atakayesafirisha madini ya ujenzi kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine; “utamaduni” maana yake ni sanaa za maonyesho, sanaa za ufundi, muziki wa asili, ususi, michezo, video, muziki wa muziki wa taarabu,maonyesho sinema, jadi na matumizi ya mazingaombwe,tiba za viwanja vya michezo; dansi, ya Utozaji wa ada au ushuru “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii.
Part
sehemu moja kwenda sehemu nyingine;
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa vibali, leseni, na huduma zake; malipo yanapaswa kufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali au leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kadiri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi. Wajibu wa kulipa ada au - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) ushuru Muda wa kukusanya ada au ushuru Ushuru wa huduma kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hukusanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni, isipokuwa kwa kibali maalumu cha Mkurugenzi; malipo yanaweza kufanywa kila siku, kila mwezi, au kwa makubaliano, na risiti ya kielektroniki hutolewa.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa viwango tofauti kulingana na uwasilishaji wa hesabu za mauzo, na mfanyabiashara mwenye leseni lazima alipe na awasilishe taarifa za hesabu za mwaka.
7.-(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango cha asilimia sifuri nukta tatu (0.3%) ya mauzo baada ya kutoa Kodi ya Ongezeko la Thamani na ushuru wa bidhaa kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara anayewasilisha hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza kutoka kwa wafanyabiashara wenye leseni za biashara ambao hawawasilishi hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (3) Mfanyabiashara mwenye leseni ya biashara anawajibu wa kulipa ushuru wa huduma na kuwasilisha kwa Mkurugenzi taarifa za hesabu za mwaka kwa ajili ya kukokotoa kiwango. 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) (4) Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma kwa walipa ushuru wa huduma wanaowasilisha taarifa za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kuzingatia taarifa zinazowasilishwa na walipa ushuru wa huduma katika kipindi maalumu cha hesabu. (5) Kila mlipa ushuru wa huduma atatakiwa kulipa ushuru wa huduma ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuchukua hatua za kisheria kukusanya ushuru usiolipwa, ikiwemo kukamata mali, kuuza kwa mnada baada ya siku 30 na idhini ya Mahakama, au kuuza mapema ikiwa mali zinaweza kuharibika; kabla ya kuuza lazima itoe taarifa ya siku 7.
8.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. Ukusanyaji wa madeni thelathini kupita (3) Baada ya siku tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. zilizokamatwa (5) Bila kuathiri masharti yaliyoainishwa katika kanuni ndogo za (3) na (4), Mkurugenzi wa Halmashauri kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) Uteuzi wa Wakala Mamlaka ya afisa mwidhiniwa uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru; wakala aliyechaguliwa lazima akusanye, apokee, na awasilishe makusanyo ya ushuru kwa masharti yaliyotajwa.
9.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 10 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa mwidhiniwa anaweza kuingia eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa mchana ili kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali.
10. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hizi, afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya suala lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. Kamati ya mapato - 11 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na Kamati yakufuatilia mapato
AI-assisted research summary: A revenue monitoring committee must be formed by the Director, and it must coordinate revenue-collection work, advise the Council on increasing revenue and finding new sources, assess collections yearly, and report monthly to Management.
11.-(1) Kutakuwa na Kamati yakufuatilia mapato ya Halmashauri itakayoundwa na Mkurugenzi ambayo itakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kuratibu utendaji kazi wa kikosi kazi cha kukusanya mapato; (b) kuishauri Halmashauri kuhusu namna ya kuongeza mapato na kubuni vyanzo vipya vya mapato; (c) kufanya tathimini ya makusanyo katika kila chanzo kwa mwaka ili kuweka maoteo ya mwaka unaofuata. (2) Kamati ya mapato itawajibika kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa Menejimenti kila mwezi kuonesha 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) Kikosi kazi cha kudhibiti mapato Makosa namna ilivyofanya kazi katika kipindi husika. - 12 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na
AI-assisted research summary: A task force must be formed to monitor and control revenue diversion and is accountable to the Revenue Committee.
12.-(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na kudhibiti utoroshaji wa mapato ambacho kitaundwa na sekta Mkurugenzi kikihusisha wataalamu kutoka mbalimbali za Halmashauri. (2) Kikosi kazi kitakachoundwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kitawajibika kwa Kamati ya Mapato. - 13 Verify source ↗
Mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mtu yeyote haruhusiwi kukwepa au kukataa kulipa ada/ushuru, kushawishi wengine wakwepe, kuzuia maafisa kutekeleza majukumu yao, kutumia nyaraka za kughushi, au kutoa taarifa za uongo kuhusu huduma zinazotozwa au zinazoitaji kibali/leseni.
13. Mtu yeyote- (a) atakayeshindwa, dharau, kwepa au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atakayemshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atakayemzuia Mkurugenzi afisa mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; au (d) atakayetumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) atakayetoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri; na chombo kile kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada, (f) atakayetumia chochote anatenda kosa. Adhabu - 14 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekiuka au kwenda kinyume
AI-assisted research summary: Anyone who violates any provision of this by-law commits an offence and, if convicted, may be fined, imprisoned, or both.
14. Mtu yeyote atakayekiuka au kwenda kinyume na kifungu chochote cha Sheria Ndogo hii anatenda kosa na akitiwa hatiani atawajibika kulipa faini ya isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) Kufifilisha kosa - 15 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuimaliza kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa, yuko tayari kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Pili, na atalipa ada au ushuru anaodaiwa.
15. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. ___________________ _________________ JEDWALI LA KWANZA ____________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1))
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Ada ya kukodi mali za Halmashauri
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonyesha mada ya ada ya kukodi mali za Halmashauri.
1. Ada ya kukodi mali za Halmashauri. Na - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Hii inaorodhesha huduma za kukodi ukumbi wa halmashauri, viti, meza, na lori.
4. Huduma Kukodi ukumbi wa Halmashauri Kukodi viti Kukodi meza Lori - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Section 6 lists several charges: 100,000/= per day for mziki/vipaza sauti mgahawa, 300/= per seat per day, 500/= per table per day, 50,000/= per trip, and additional amounts of 80,000/= per day and 100,000/= per month.
6. Mziki/Vipaza sauti Mgahawa Kiwango 100,000/= kwa siku. 300/= kwa kila kiti kwa siku. 500/= kwa kila meza kwa siku. 50,000/= kwa tripu. Mafuta ni juu ya mkodishaji. 80,000/= kwa siku 100,000/= kwa Mwezi - 2 Verify source ↗
Ada ya ushuru wa mazao ya kilimo, biashara na chakula
AI-assisted research summary: This section is a heading about tax on agricultural, commercial, and food crops, and it lists crops such as sugarcane, cotton, coffee, beans, rice, maize, sunflower, groundnuts, and onions.
2. Ada ya ushuru wa mazao ya kilimo, biashara na chakula Miwa Pamba Kahawa Maharage Mpunga Mahindi Alizeti Karanga Vitunguu Na. Aina ya mazao. - 14 Verify source ↗
Nyanya
AI-assisted research summary: Nyanya carry a 3% charge based on the purchase price.
14. Nyanya Kiwango 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) - 23 Verify source ↗
Mazao mengineyo ya Biashara
AI-assisted research summary: Section 23 lists "Mazao mengineyo ya Biashara" and includes percentage amounts of 3% of the purchase price, with one 2% entry.
23. Mazao mengineyo ya Biashara 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 2% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia - 3 Verify source ↗
Ada ya Huduma za ukaguzi wa nyama
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha kifungu kinachohusu ada ya huduma za ukaguzi wa nyama na aina ya mfugo.
3. Ada ya Huduma za ukaguzi wa nyama Na. Aina ya mfugo - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This provision lists several per-person amounts: 2,500/=, 1,000/=, 1,000/=, 1,000/=, and 200/=.
5. Kuku Kiwango 2,500/= kila mmoja 1,000/= kila mmoja 1,000/= kila mmoja 1,000/= kila mmoja 200/= kila mmoja Na. - 4 Verify source ↗
Ada ya Huduma za Machinjio
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaweka ada ya huduma za machinjio kwa kila aina ya mfugo.
4. Ada ya Huduma za Machinjio Aina ya mfugo Ng`ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe Kuku Kiwango 2,500/= kila mmoja 1,000/= kila mmoja 1,000/= kila mmoja 1,000/= kila mmoja 200/= kila mmoja - 5 Verify source ↗
Ada ya Ukaguzi wa afya
AI-assisted research summary: Health checks for workers in guest houses, hotels, restaurants, and butcher shops cost 5,000 per person every six months.
5. Ada ya Ukaguzi wa afya. Aina ya shughuri Kupimwa afya kwa wahudumu wa nyumba za kulala wageni, hoteli, migahawa, wauzaji wa bucha ya nyama. Kiwango 5,000/= kwa kila mmoja kila baada ya miezi sita. - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Wahudumu wa baa, glocery na vilabu vya pombe za kienyeji wanahusishwa na kupimwa afya kwa Sh 5,000 kila mtu kila baada ya miezi sita.
2. Kupimwa afya kwa wahudumu wa Baa, Glocery na vilabu vya pombe za kienyeji. 5,000/= kwa kila mmoja kila baada ya miezi sita. - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Section 6 lists daily tax rates for different vehicle categories.
6. Chombo cha usafiri Gari la mizigo zaidi ya tani 7. Gari la mizigo chini ya tani 7 Magari mengine yasiyo na biashara Mabasi makubwa Mabasi madogo Tax Kiwango. 5,000/= kwa siku 3,000/= kwa siku 1000/= kwa siku 2,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 500/= kwa siku 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Pikipiki, bajaji na magari yaliyopaki maeneo yasiyoruhusiwa yanatajwa kuwa na malipo ya 500/= kwa siku na 5,000/= kwa kila gari moja.
7. Pikipiki na Bajaji Magari yanayoegeshwa maeneo ambayo hayaja ruhusiwa 500/= kwa siku 5,000/= kwa kila gari moja - 7 Verify source ↗
Ushuru wa stendi
AI-assisted research summary: Section 7 sets stall/entry fees for different vehicle types and a daily storage fee for impounded or detained vehicles.
7. Ushuru wa stendi Chombo cha usafiri Mabasi makubwa ya abiria sitini na kuendelea Mabasi madogo ya abiria chini ya abiria sitini Magari mengine yasiyo ya biashara Tax Pikipiki na Bajaji Ada ya kutunza gari lilokamatwa au kuzuiliwa Mtu asiye na tiketi ya safari au ya kuingia, kutoka eneo la ndani ya stendi Kiwango 2,000/= 1,000/= 500/= 500/= 500/= 10,000/= kwa kila siku 200/= - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Kifungu kinaorodhesha ada za ukaguzi wa eneo la kuchimba madini ya ujenzi na ada ya umiliki wa eneo hilo, zikiwa zimegawanywa kwa aina ya madini na uzito wa gari.
7. Ada ya ukaguzi wa eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi Ada ya umiliki wa eneo la kuchimbwa madini ya ujenzi Madini ya dhahabu, alimasi, makaa ya mawe, vito, ulanga, chuma, jipsam, na madini mengineyo Uzito wa gari Chini ya tani 7 Tani 7 hadi 10 Zaidi ya tani 10 Chini ya tani 7 Tani 7 hadi 10 Zaidi ya tani 10 Chini ya tani 7 Tani 7 hadi 10 Zaidi ya tani 10 Chini ya tani 7 Tani 7 hadi 10 Zaidi ya tani 10 - Kiasi cha ushuru 2,000/= kwa tripu moja 4,000/= kwa tripu moja 5,000/= kwa tripu moja 2,000/= kwa tripu moja 4,000/= kwa tripu moja 5,000/= kwa tripu moja 2,000/= kwa tripu moja 4,000/= kwa tripu moja 5,000/= kwa tripu moja 2,000/= kwa tripu moja 4,000/= kwa tripu moja 5,000/= kwa tripu moja 30,000/= - 100,000/= kwa mwaka 500,000/= kwa mwaka - 9 Verify source ↗
Ada ya uzoaji taka
AI-assisted research summary: This section is about the waste collection fee rate/scale.
9. Ada ya uzoaji taka Na. Eneo Kiwango 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists monthly amounts for several categories such as bars, hotels, institutions, restaurants, shops, residential houses, and guest houses.
2. Baa, hoteli, Taasisi, Mgahawa Duka Nyumba ya kuishi Nyumba ya kulala wageni 3,000/= kwa mwezi 2,000/= kwa mwezi 500/= kwa mwezi 2,000/= kwa mwezi - 10 Verify source ↗
Ushuru wa matangazo
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka ushuru wa matangazo kwa baadhi ya matangazo ya mabango, ikijumuisha viwango tofauti vya TZS 2,000 kwa matangazo ya siku moja na TZS 15,000 au TZS 25,000 kwa mwaka kulingana na aina ya bango.
10. Ushuru wa matangazo Maelezo Maombi ya kufanya matangazo Matangazo kwenye mabango yanayo ng`aa na yasiyozidi sqft2 Matangazo kwenye mabango yanayo ng`aa yanayozidi sqft2 Kiwango cha ushuru 2,000/= kwa matangazo ya siku moja 15,000/= kwa mwaka 25,000/= kwa mwaka - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Matangazo kwenye mabango yasiyo ng`aa yanatozwa 8,000/= kwa mwaka hadi sqft 2, na 10,000/= kwa mwaka yanapozidi sqft 2.
3. Matangazo kwenye mabango yasiyo ng`aa 8,000/= kwa mwaka yasiyozidi sqft2 Matangazo kwenye mabango yasiyo ng`aa yanayozidi sqft2 10,000/= kwa mwaka - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text mentions loudspeaker advertising, vehicle promotions, and open-area promotions, and refers to a charge of 20,000/= per day for vehicles.
4. Matangazo kwa kutumia vipaza sauti na 20,000/= kwa siku magari, promosheni maeneo ya wazi, - 11 Verify source ↗
Ushuru wa shughuli za utamaduni na sanaa
AI-assisted research summary: Section 11 is titled “Tax on cultural and artistic activities.”
11. Ushuru wa shughuli za utamaduni na sanaa Na Maelezo - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The provision states a fee of 10,000/= for each show or event related to an arts permit application.
1. Maombi ya kibali cha kufanya sanaa za Kiwango 10,000/= kwa kila onyesho/tukio. maonyesho ya utamadun/kumbi za video. - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The provision states fees for a permit to play dance and music: 10,000/= per day or 100,000/= per year.
2. Maombi ya kibali cha kupigisha dansi na muziki. 10,000/= kwa siku. 100,000/= kwa mwaka. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The provision sets a yearly fee of 30,000 for an application for a permit to carry out traditional medicine.
3. Maombi ya kibali cha kufanya tiba za jadi. 30,000/= kwa mwaka - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha bidhaa na ada/bei zake kwa vitengo tofauti.
8. Aina ya zao Mkaa Mbao Kuni Nguzo Gogo Fito Asali Nta Kiasi 500/= kwa gunia 500/= kila ubao 500/= kila mita moja ya ujazo 500/= kila nguzo 3,000 /= kila mita ya ujazo 1,000/= kila mita ya ujazo 100/= kila lita moja 100/= kila lita moja - 13 Verify source ↗
Ada ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi
AI-assisted research summary: This section lists a land-use change fee of 11.
13. Ada ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi Na. Maelezo Kiasi 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision lists fees for four activities, including changing a residence to business use, changing business to industrial use, subdividing plots or land, and verifying ownership.
4. Makazi kuwa biashara Biashara kuwa viwanda Kugawanya viwanja au shamba Kuhakiki miliki 20,000/= 20,000/= 25,000/= 25,000/= Na - 14 Verify source ↗
Ushuru wa minada ya Mifugo na usafirishaji wake
AI-assisted research summary: Hii inataja ushuru wa minada ya mifugo na usafirishaji wake, ikiwa na viwango vya TSh 4,000 na TSh 1,000 kwa kila mfugo aliyeuzwa.
14. Ushuru wa minada ya Mifugo na usafirishaji wake Aina ya Mifugo Ng`ombe Mbuzi, Kondoo, Nguruwe. Kiasi 4,000/= kwa kila mfugo alieuzwa 1,000/= kwa kila mfugo alieuzwa - 15 Verify source ↗
Ada ya unyonyaji maji machafu
AI-assisted research summary: The provision lists wastewater emptying fees: TZS 80,000 per trip for business areas and TZS 60,000 per trip for residential areas.
15. Ada ya unyonyaji maji machafu Eneo Eneo la biashara Eneo la makazi Kiasi 80,000/= kwa tripu moja 60,000/= kwa tripu moja - 16 Verify source ↗
Ushuru wa Huduma kwa Wafanyabiashara wasiofunga Hesabu za Biashara
AI-assisted research summary: This section is titled as a service levy for traders who do not keep business accounts, and refers to the business license fee level.
16. Ushuru wa Huduma kwa Wafanyabiashara wasiofunga Hesabu za Biashara Na. Kiwango cha Ada ya Leseni ya Biashara - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii inaonyesha kiasi cha Shilingi 51,000 hadi Shilingi 100,000.
2. Shilingi 51,000 hadi Shilingi 100,000 - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This provision states an amount range of Shilingi 101,000 to Shilingi 150,000.
3. Shilingi 101,000 hadi Shilingi 150,000 - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This provision states a monetary range of Shilingi 151,000 to Shilingi 200,000.
4. Shilingi 151,000 hadi Shilingi 200,000 - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Hii inaonyesha kiasi cha Shilingi 201,000 hadi Shilingi 250,000.
5. Shilingi 201,000 hadi Shilingi 250,000 - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This provision gives an amount range: Shilingi 251,000 to Shilingi 300,000.
6. Shilingi 251,000 hadi Shilingi 300,000 - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This provision states an amount range of Shilingi 301,000 to Shilingi 350,000.
7. Shilingi 301,000 hadi Shilingi 350,000 - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This provision states an amount range of Shilingi 351,000 to Shilingi 400,000.
8. Shilingi 351,000 hadi Shilingi 400,000 - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision states an amount range of Shilingi 401,000 to Shilingi 450,000.
9. Shilingi 401,000 hadi Shilingi 450,000 - 10 Verify source ↗
Shilingi 451,000 hadi Shilingi 500,000
AI-assisted research summary: This section refers to the amount range Shilingi 451,000 to Shilingi 500,000.
10. Shilingi 451,000 hadi Shilingi 500,000 - 11 Verify source ↗
Shilingi 501,000 hadi Shilingi 550,000
AI-assisted research summary: This provision states an amount range of Shilingi 501,000 to Shilingi 550,000.
11. Shilingi 501,000 hadi Shilingi 550,000 - 12 Verify source ↗
Shilingi 551,000 hadi Shilingi 600,000
AI-assisted research summary: This provision states an amount range of Shilingi 551,000 to Shilingi 600,000.
12. Shilingi 551,000 hadi Shilingi 600,000 - 13 Verify source ↗
Shilingi 601,000 hadi Shilingi 650,000
AI-assisted research summary: This provision states a monetary range of Shilingi 601,000 to Shilingi 650,000.
13. Shilingi 601,000 hadi Shilingi 650,000 - 14 Verify source ↗
Shilingi 651,000 hadi Shilingi 700,000
AI-assisted research summary: This provision states an amount range of Shilingi 651,000 to Shilingi 700,000.
14. Shilingi 651,000 hadi Shilingi 700,000 - 15 Verify source ↗
Shilingi 701,000 hadi Shilingi 750,000
AI-assisted research summary: This provision states a monetary range: Shilingi 701,000 to Shilingi 750,000.
15. Shilingi 701,000 hadi Shilingi 750,000 - 16 Verify source ↗
Shilingi 751,000 hadi Shilingi 800,000
AI-assisted research summary: This section states an amount range of Shilingi 751,000 to Shilingi 800,000.
16. Shilingi 751,000 hadi Shilingi 800,000 - 17 Verify source ↗
Shilingi 801,000 hadi Shilingi 850,000
AI-assisted research summary: This provision states an amount range from Shilingi 801,000 to Shilingi 850,000.
17. Shilingi 801,000 hadi Shilingi 850,000 - 18 Verify source ↗
Shilingi 851,000 hadi Shilingi 900,000
AI-assisted research summary: This provision states a monetary range of Shilingi 851,000 to Shilingi 900,000.
18. Shilingi 851,000 hadi Shilingi 900,000 - 19 Verify source ↗
Shilingi 901,000 hadi Shilingi 950,000
AI-assisted research summary: This provision states an amount range of Shilingi 901,000 to Shilingi 950,000.
19. Shilingi 901,000 hadi Shilingi 950,000 - 20 Verify source ↗
Shilingi 951,000 hadi Shilingi 1,000,000
AI-assisted research summary: Inaonyesha kiwango cha fedha cha Shilingi 951,000 hadi Shilingi 1,000,000.
20. Shilingi 951,000 hadi Shilingi 1,000,000 - 21 Verify source ↗
Zaidi ya Shilingi 1,000,000
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha viwango vya ushuru/ada vilivyoorodheshwa na fomu ya kukiri kosa na kulipa ushuru pamoja na faini badala ya kushtakiwa mahakamani.
21. Zaidi ya Shilingi 1,000,000 12 Kiasi Huduma kwa Mwaka cha Ushuru wa 10,000 15,000 20,000 25,000 30,000 35,000 40,000 45,000 50,000 55,000 60,000 65,000 70,000 75,000 80,000 85,000 90,000 95,000 100,000 150,000 200,000 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) ________________ ____________ JEDWALI LA PILI _________________ ______________________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 15) HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Namtumbo, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo, niko tayari kulipa kiasi cha Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADIRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………….ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Saini……………………… Jina……………………………….. MBELE YANGU: Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Tangazo La Serikali Na. 268 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya Namtumbo ulioitishwa na kufanyika Tarehe 10 Mwezi Juni Mwaka 2022 na kushuhudiwa Lakari hiyo ikigongwa mbele ya;- CHIRIKU HAMISI CHILUMBA Mkurugenzi Mtandaji Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo JUMA ALFAN PANDU Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo L.S NAKUBALI Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 31 Januari, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in