Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe ya Mwaka 2024
This provision gives the bylaw’s title.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the bylaw’s title. This bylaw applies throughout the area of the Songwe District Council authority. Kifungu hiki kinaweka maana ya maneno mbalimbali yanayotumika katika Sheria Ndogo hii. The Council charges fees or taxes for permits, licenses, and services, and payment must be made before or when the service is received. A person required to pay a fee or tax under this by-law must pay it at the rates set out in the by-law.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe ya Mwaka 2024
Showing 45 of 45
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This provision gives the bylaw’s title.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the area of the Songwe District Council authority.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaweka maana ya maneno mbalimbali yanayotumika katika Sheria Ndogo hii.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mtendaji wa Kijiji” itajumuisha mtaalamu yeyote ndani ya Kijiji anayefanya kazi za Afisa Mtendaji wa Kijiji katika Kijiji husika; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria na mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine isipokuwa baiskeli, mkokoteni au wanyama wanaotumika kusafirisha watu 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Songwe; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “kituo cha mabasi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa na Halmashauri kwa madhumuni ya kupakia na kuteremsha abiria na mizigo ya abiria; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi ikiwa ni pamoja na maeneo ya taasisi ya umma au watu binafsi yaliyopo katika eneo la Halmashauri yaliyoidhinishwa kwa ajili ya shughuli hiyo; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maegesho” maana yake ni sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha chombo cha usafiri kwa muda; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnunuzi wa mazao” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, kampuni, kiwanda au shirika linalonunua mazao kwa ajili ya biashara au matumizi mengine katika eneo la Halmashauri; “muuzaji” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, kampuni, au anayesafirisha mazao kutoka kata moja kwenda kata nyingine au nje ya eneo la Halmashauri mwenye mazao yenye uzito wa zaidi ya tani moja; anayeuza kiwanda shirika au “mwalo” maana yake ni makarasha yasiyozidi mawili pamoja na miundominu yake ya ukamatishaji; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) eneo la Halmashauri; “ushuru wa madini ya ujenzi” maana yake ni ushuru utakaotozwa kwa kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi, na tozo kwa mtu yeyote atakayesafirisha madini ya ujenzi kutoka sehemu moja kwenda nyingine; inajumuisha “ushuru wa mwalo” maana yake ni ushuru wa makarasha la yasiyozidi mawili yaliyo katika eneo mmoja ukamatishaji; “utamaduni” maana yake ni sanaa za maonyesho, sanaa za ufundi, muziki wa asili, ususi, michezo, muziki wa dansi, video, muziki wa taarabu, maonyesho ya sinema, mazingaombwe, tiba za jadi na matumizi ya viwanja vya michezo; “vibanda” maana yake ni vibanda vya biashara vilivyojengwa katika viwanja vinavyomilikiwa na Halmashauri au watu binafsi; na “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii.
Part
sehemu moja kwenda nyingine isipokuwa baiskeli,
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: The Council charges fees or taxes for permits, licenses, and services, and payment must be made before or when the service is received.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali au leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. 3 Utozaji wa Ada au Ushuru Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) Wajibu wa kulipa ada au ushuru Muda wa kukusany a ada au ushuru Ushuru wa mazao - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: A person required to pay a fee or tax under this by-law must pay it at the rates set out in the by-law.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni
AI-assisted research summary: Fees or taxes may be collected only from 6:00 a.m. to 6:00 p.m., unless the Director gives special permission for collection outside those hours.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru nje ya muda ulioainishwa. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na mlipa ada au ushuru atapewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 7 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na ushuru wa mazao utakaotozwa na
AI-assisted research summary: The council levies produce tax at the rates in the First Schedule, but it may not charge it on people farming for subsistence and family with produce up to one ton.
7.-(1) Kutakuwa na ushuru wa mazao utakaotozwa na Halmashauri kwa viwango ambavyo vimeainishwa kwenye Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Halmashauri haitatoza ushuru wa mazao kwa mtu yeyote ambaye analima kwa ajili ya kujikimu na familia yake mwenye mazao yasiyozidi tani moja. (3) Mtu yeyote atakayesafirisha mazao yasiyozidi tani moja atatakiwa kuwa na barua kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji wa sehemu aliyolima mazao yake ambayo itathibitisha kwamba mtu huyo amelima shamba katika kijiji husika. (4) Kwa madhumuni ya kuondoa shaka, katika kupata hesabu ya tani moja yatahesabiwa magunia kumi yenye ujazo usiozidi debe nane kama ndio sawa na tani moja. 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) Kibali cha kusafirish a mazao Kibali cha kununua mazao Ukusanya ji wa madeni
Part
Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii.
- 8 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kibali cha kusafirisha mazao
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoe kibali cha kusafirisha mazao kwa mnunuzi anayesafirisha mazao nje ya eneo lake la mamlaka, isipokuwa kwa wafanyabiashara wa mazao ya chakula cha mifugo.
8.-(1) Kutakuwa na kibali cha kusafirisha mazao kitakachotolewa na Halmashauri kwa mnunuzi wa mazao atakayesafirisha mazao yake nje ya eneo la Halmashauri kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. (2) Kibali hiki hakitawahusu wafanyabiashara wanaosafirisha mazao ya chakula cha mifugo kama vile pumba laini, mashudu na mazao mengine yanayoendana na hayo. (3) Kibali kilichotajwa katika kanuni hii kitapaswa kulipiwa kiasi cha shilingi elfu ishirini. - 9 Verify source ↗
Kutakuwa na kibali cha kununua mazao kwa
AI-assisted research summary: Wafanyabiashara wanaonunua mazao ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika vituo, masoko, magulio au minada wanahitaji kibali cha kununua mazao.
9. Kutakuwa na kibali cha kununua mazao kwa wafanyabiashara wote watakaokuwa wananunua mazao ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika vituo, masoko, magulio au minada kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii. - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya deni la ushuru kupitia Mahakama, kukamata mali zinazohamishika za mdaiwa, na kuuza mali zilizokamatwa kwa masharti fulani.
10.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zilizokamatwa zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. (5) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo za (3) na (4), kabla ya Halmashauri kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo imesababishwa kwa uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 11 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru chini ya Sheria Ndogo hii.
11.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya Afisa Mwidhini wa - 12 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa mchana ili kukusanya ada au ushuru au kufanya mambo yanayohusu ada, ushuru, leseni au kibali chini ya Sheria Ndogo hii.
12. Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. tathmini au kufanya jambo Kamati ya Mapato - 13 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kamati ya kufatilia mapato ya
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaunda kamati ya kufuatilia mapato ya Halmashauri, na kamati hiyo inapaswa kuratibu kikosi kazi cha ukusanyaji mapato, kutoa ushauri wa kuongeza mapato, kufanya tathmini ya makusanyo, na kutoa taarifa ya utendaji kila mwezi kwa Menejimenti ya Halmashauri.
13.-(1) Kutakuwa na kamati ya kufatilia mapato ya Halmashauri itakayoundwa na Mkurugenzi ambayo itakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kuratibu utendaji kazi wa kikosi kazi cha kukusanya mapato; (b) kuishauri Halmashauri kuhusu namna ya kuongeza mapato na kubuni vyanzo vipya vya mapato; na 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) Kikosi kazi cha kudhibiti mapato Makosa (c) kufanya tathmini ya makusanyo katika kila chanzo ili kuweka maoteo ya mwaka kwa mwaka unaofuata. (2) Kamati ya mapato itawajibika kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa Menejimenti ya Halmashauri kila mwezi kuonesha namna ilivyofanya kazi katika kipindi husika. - 14 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na
AI-assisted research summary: The Director must establish a task force to monitor and control revenue leakage, and the task force must report to the Revenue Committee.
14.-(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na kudhibiti utoroshaji wa mapato ambacho kitaundwa na Mkurugenzi kikijumuisha wataalamu kutoka sekta mbalimbali za Halmashauri. (2) Kikosi kazi kitakachoundwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kitawajibika kwa Kamati ya Mapato. - 15 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kutenda kosa akikwepa au kukataa kulipa ada/ushuru, kuzuia majukumu ya maafisa, kutumia nyaraka za kughushi, kutoa taarifa za uongo, au kusafirisha bidhaa ambazo hazijalipiwa ada au ushuru.
15. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) atashindwa, atadharau, atakwepa au atakataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri; na (f) atatumia chombo chochote kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. Adhabu - 16 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayepatikana na hatia kwa kutenda
AI-assisted research summary: A person found guilty of an offence under this bylaw must pay a fine, go to prison, or both.
16. Mtu yeyote atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja. - 17 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi laki mbili, lakini tu ikiwa mkosaji anakiri kosa, anatumia fomu maalumu ya Jedwali la Nne, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
17. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Nne la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. tayari kujaza - 18 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri
AI-assisted research summary: Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Mwaka 2019 inafutwa, na sehemu ya maandishi inaorodhesha ada za mabango ya biashara na ushuru mwingine.
18. Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Mwaka 2019 inafutwa. Kufifilish a kosa Kufutwa kwa Sheria Ndogo T.S Na. 807 la 2019 ____________ JEDWALI LA KWANZA ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA ADA NA USHURU WA MABANGO YA BIASHARA Namba Aina ya Bango 1 Bango lisilo la Mng’ao (Non-Illuminated Sign) 2 3 4 5 6 7 Bango Mng’ao (Illuminated Sign) Mabango ya Biashara yaliandikwa na kuchora kwenye kuta za Majengo (Wall Sign) Mabango ya Kietroniki (Electronic Sign) Bango kwenye Gari (Vehicular advertisement) Bango kwenye gari kwa mmiliki wa gari anayetangaza biashara yake mwenyewe (Vehicular Advertisement branding own products) Bango kwenye eneo la Biashara (Point of sale display): 8 Kiwango (Shilingi) 7,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 4,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) 8 9 (a) (b) (i) (ii) Bango lisilo la Mng’ao (Non illuminated) Bango Mng’ao (Illuminated) Mabango ya kukuza Biashara kwa mabango 100 ya awali kwa kila bango (Every poster promotion for first 100 posters). Mabango ya kukuza Biashara kwa mabango 100 ya kundi lingine kwa kila bango (For every other bunch of 100 posters or part thereof). 7,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 50,000/= 50,000/= Matangazo ya muda mfupi kwa siku (Short term advertisement or promotion per day). 50,000/= SEHEMU YA PILI USHURU WA KUEGESHA MAGARI YANAYOINGIA KATIKA MAGULIO, MASOKO NA MINADA Namba Aina ya Chombo cha Usafiri Gari/basi kubwa
Part
SEHEMU YA PILI
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section refers to a small goods vehicle, described as a lorry or pick-up.
5. Gari dogo la mizigo (lori au pick up) - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Private non-commercial vehicles under 7 tons.
6. Magari binafsi yasiyo ya biashara chini ya tani 7 - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The text lists shilling amounts charged per day for mineral fees/charges.
8. Kiwango chaUshuru (Shilingi) 3000/= kwa siku 1000/= kwa siku 1000/= kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku 200/=kwa siku 2000/= kwa siku 500/= kwa siku 3000/= kwa siku SEHEMU YA TATU ADA NA USHURU WA MADINI Namba Huduma
Part
SEHEMU YA TATU
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text lists several mining-related fees and charges, including annual fees for vatleaching operations and mineral-processing plants, plus a per-ton charge for construction minerals.
2. Ada ya Leseni ya Uchenjuaji (Vatleaching) Ushuru wa uendeshaji wa uchenjuaji (Vatleaching) Ushuru wa Madini ya Ujenzi kama vile mchanga, kokoto, mawe, kifusi, tofali, mawe na udongo wa madini na madini mengineyo. Ada ya uendeshaji viwanda vya kuchakata madini (makarasha) Ada/Ushuru (Shilingi) 500,000/= kwa Mwaka 1,000,000/= kwa Mwaka 5,00/= kwa tani 360,000/= kwa mwaka kwa mwalo - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section appears to set out slaughterhouse meat inspection fees by type of livestock.
4. SEHEMU YA NNE USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA MACHINJIONI Namba Aina ya Mifugo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA NNE
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The section lists cattle, goats, sheep, pigs, numbers, types, and skin.
4. Ng’ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe Namba Aina ya Ngozi - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This text appears to be a section heading list about skin tax and entertainment/culture fees.
3. Ngozi ya Ng’ombe Ng’ozi ya Mbuzi Ng’ozi ya Kondoo SEHEMU YA TANO USHURU WA NGOZI Namba Aina ya Burudani na Utamaduni SEHEMU YA SITA ADA ZA BURUDANI
Part
SEHEMU YA SITA
- 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: This section lists shilling charges and permit/inspection fees for a range of entertainment, media, sports, and promotion activities.
19. Muziki (disko, dansi na Taarabu) Burudani msanii binafsi Maigizo ya mazingaombwe Kuonyesha video/Runinga au Sinema au Mpira Matangazo au Promosheni Mashindano ya Urembo (Miss) Burudani kikundi Vituo vya TV, na Redio Vituo vya magazeti Mchezo wa pull (Pool Table) Wamiliki wa kumbi za burudani Kupiga picha za video Mapromota Usajili wa vikundi vya sanaa Usajili wa vyama vya michezo Michezo ya bahati nasibu Burudani nyingine Kuendesha Ligi za Mpira 3,000/= 1,000/= 1,000/= 2,000/= Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 300/= kwa kipande 200/= kwa kipande 200/= kwa kipande Ada na Ushuru wa Kibali (Shilingi) 50,000/= kwa tukio 50,000/= kwa tukio 10,000/= kwa tukio 60,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa tukio 50,000/= kwa tukio 50,000/= kwa tukio 100,000/= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka 40,000/= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa tukio 200,000/= kwa tukio 60,000/= kwa kikindi 30,000/= kwa mwaka 30,000/= kwa mwezi 50,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa Ligi SEHEMU YA SABA ADA/KIBALI CHA UKAGUZI NA IDHINI YA UJENZI “A” Namba
Part
SEHEMU YA SABA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha viwango vya ada kwa aina za majengo tofauti, ikiwemo mnara wa simu, jengo la ghorofa moja, na nyumba za biashara.
3. Aina ya Jengo Mnara wa simu Jengo la Ghorofa moja Nyumba za biashara (Guest, Hotel) Kiasi (Shilingi) 300,000/= 100,000/= kwa kila ghorofa moja 100,000/= 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) - 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts for different types of buildings and facilities.
18. Kituo cha mafuta Kituo cha mafuta na Huduma (Supermakert) Nyumba za makazi Nyumba za makazi na biashara Shule Binafsi na Hospitali Binafsi Majengo ya Taasisi Binafsi na Ofisi Binafsi Maghala na Bohari Uzio wa Ujenzi Ujenzi wa viwanda vidogo vya huduma Ada ya ukarabati wa nyumba Majengo ya Ibada Vituo vya Utalii/ Mapumziko Majengo ya Viwanja Ada ya ukaguzi wa ramani za ujenzi Maeneo mengine ndani ya halmashauri “B” 250,000/= 300,000/= 30,000/= 50,000/= 100,000/= 150,000/= 100,000/= 50,000/= 250,000/= 20,000/= 100,000/= 250,000/= 1,000,000/= 20,000/= 10,000/= Namba - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada za huduma za ardhi na kiwango cha kila huduma.
3. Ada za huduma ya Ardhi Ada ya maombi ya kumilikishwa kiwanja Kutambua eneo (Plot Identification) Kurudisha mawe yanayoonesha mipaka (Beacon replacement) Kiwango (Shilingi) 20,000/= kwa kila ombi 20,000/= kwa kila plot 15,000/= kwa kila jiwe SEHEMU YA NANE USHURU WA HOTEL (Hotel Levy) Namba
Part
SEHEMU YA NANE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists local government fees for hotel/guesthouse services and for hiring vehicles, chairs, and halls.
1. Aina ya Biashara Hoteli / Nyumba ya kulala wageni Kiwango (Shilingi) 10% ya mauzo kila chumba kwa siku SEHEMU YA TISA ADA YA KUKODI MALI MBALIMBALI ZA HALMASHAURI Namba. i Huduma Kukodi Gari dogo ii iii iv Kukodi lori Kukodi viti Kukodi Ukumbi Kiwango (Shilingi) 1,500/= kwa kila kilomita moja 1,500/= Kwa kila kilomita moja 200 kwa viti vidogo 500 kwa viti vikubwa 150,000/= kwa ukumbi mkubwa 50,000/= kwa ukumbi mdogo 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI ADA YA KUOMBA ZABUNI Namba
Part
SEHEMU YA KUMI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision lists application fees for several types of tenders.
4. Aina ya Zabuni Zabuni ya Ushuru, Minada au Masoko na Mazao Zabuni ya kutoa huduma na kazi mbalimbali Zabuni ya kazi za Ujenzi Zabuni nyingine Kiasi cha Ada (Shilingi) 50,000/= kwa kila ombi 50,000/= kwa kila ombi 100,000/= kwa kila ombi 100,000/ kwa kila ombi SEHEMU YA KUMI MOJA USHURU WA KITUO CHA MABASI YA ABIRIA Namba
Part
SEHEMU YA KUMI MOJA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Kiwango cha ushuru wa siku kinategemea idadi ya abiria wa basi: 1-20 hulipa 1,000/=, 21-30 hulipa 1,500/=, na 31 au zaidi hulipa 3,000/=.
3. Idadi ya Abiria Basi dogo la abiria kati ya 1-20 Basi kubwa la abiria kati ya 21 – 30 Basi kubwa la abiria 31 au zaidi Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1,000/= kwa Siku 1,500/= kwa Siku 3,000/= kwa Siku SEHEMU YA KUMI MBILI USHURU WA MAEGESHO MAGARI YA MIZIGO Namba
Part
SEHEMU YA KUMI MBILI
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada na ushuru za kila siku kwa aina mbalimbali za magari na ada ya kuingia stendi kwa mtu asiye na tiketi.
10. Aina ya Gari Gari la Mizigo zaidi ya tani 5 Gari la mizigo chini ya tani 5 Pick Up/Staion Wagon Lori lenye Trela zaidi ya tani 3 Lori lenye Trela tani 3 na zaidi Kwa Siku 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= Kulaza Gari kwa siku 2,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= MAGARI YA ABIRIA NA VYOMBO VINGINE VYA USAFIRI Aina ya Chombo Basi dogo la abiria kati ya 1 – 20 Basi kubwa la abiria kati ya 21 – 30 Basi kubwa la abiria zaidi ya 31 Gari dogo (Taxi Cab) Gari dogo (Binafsi) Pikipiki Bajaji Guta Magari mengine Ada ya kuingia stendi kwa mtu mmoja asiye na ticket Ushuru (Shilingi) 1,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 200/= kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku 1,000/= kwa siku 200/= kila anapoingia 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI TATU GHARAMA ZA KUVUTA NA KUHIFADHI CHOMBO CHA USAFIRI KILICHOVUNJA SHERIA Namba Aina ya Chombo
Part
SEHEMU YA KUMI TATU
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This section lists fees for different commercial transport vehicles and related charges such as towing and daily storage.
10. Basi kubwa la abiria kati ya 21 – 28 Basi kubwa la zaidi ya abiria 28 Basi dogo la abiria kati ya 1 – 20 Gari dogo (Binafsi) Gari dogo (Taxi Cab) Lori na Trela chini ya tani 3 Lori na Trela tani 3 na zaidi Magari ya mizigo (Pick – Up) Magari mengine Pikipiki na Bajaji Gharama za Kuvuta 150,000/= Gharama za Kuhifadhi kwasiku 20,000/= 200,000/= 100,000/= 80,000/= 80,000/= 200,000/= 300,000/= 80,000/= 150,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 10,000/= SEHEMU YA KUMI NA NNE GHARAMA ZA USAJILI WA VYOMBO VYA USAFIRI VYA BIASHARA Namba Aina ya Chombo
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists annual registration fees, in shillings, for several transport categories such as taxis, motorcycles, bajajis, boats, canoes, dhows, ngalawa, and private hire vehicles.
9. Teksi Pikipiki Bajaji Boti mita sita hadi mita tisa Boti chini ya mita sita Mtumbwi Jahazi Ngalawa Magari ya kukodisha ya binafsi Ada ya Usajili kwa mwaka (Shilingi) 40,000/= 10,000/= 15,000/= 60,000/= 45,000/= 30,000/= 30,000/= 30,000/= 45,000= SEHEMU YA KUMI NA TANO ADA NA USHURU WA MAZAO YA CHAKULA NA BIASHARA Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This schedule sets a 3% charge based on market price for the listed goods.
9. Zao Viazi vitamu Vitunguu maji Matunda Karoti Kabichi Nyanya Maharage Karanga Mchele 13 Kiwango/Ushuru (Shilingi) 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) - 22 Verify source ↗
Section 22
AI-assisted research summary: The provision lists several crops and shows a permit fee of 3% of market price.
22. 23 Mazao ya mboga mboga Viazi mviringo Mahindi Uwele Mtama Mpunga Mhogo Mazao ya matunda Kahawa Vitunguu saumu Ufuta Alizeti Miwa Mazao mengine 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya Bei ya soko 3% ya bei ya soko ADA YA KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO YA NAFAKA Namba - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: A permit to buy grain produce in Songwe District Council markets, centers, fairs, or auctions carries an annual fee of 200,000/=.
1. Aina ya chanzo Kibali cha kununua mazao ya nafaka ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Soko, Vituo, Magulio au Minada. Kiasi cha ushuru 200,000/= kwa Mwaka ADA YA HUDUMA ZA CHANJO, JOSHO, UKAGUZI WA NYAMA NA USHURU WA BUCHA SEHEMU YA KUMI NA SITA Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This section lists fees for several livestock- and meat-related services, including meat inspection, hide processing, slaughterhouse permits, livestock washing, branding, vaccination, bucha fees, and other charges.
10. 11 Aina ya Huduma Ada ya Ukaguzi wa nyama kwa kila Ng’ombe atakayechinjwa Ada ya Ukaguzi wa nyama kwa kila Kondoo, Mbuzi au Nguruwe atakayechinjwa Kuwamba na kukausha ngozi ya; Ng’ombe ( b) Mbuzi, Kondoo au mnyama mwingine Ushuru wa wachoma nyama Ada ya uogeshaji mifugo (Josho) Kibali cha machinjio binafsi Ada ya kusafirisha ngozi Ada ya chapa ya mifugo Ada ya chanjo ya mifugo Ada ya bucha Ada nyingine Kiwango(shilingi) 3,000/= kwa mmoja 2,000/= kwa mmoja 500/= kwa ngozi 300/= kwa ngozi 500/= kwa siku 200/= kwa ng’ombe 50/= kwa mbuzi na kondoo 30,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa mwaka 500/= kwa mfugo Inategemea bei ya chanjo 50,000/= kwa mwaka 2,000/= kwa mwaka 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA SABA USHURU WA MAZAO YA MISITU Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section sets tariffs and service fees for specified wood products, charcoal, honey, livestock impoundment, health checks, fines, registrations, and school audit checks.
6. Aina ya Zao / Shughuli Mbao za miti laini ya kupandwa na saizi aina zote Mbao za miti ya asili na saizi aina zote Nguzo za miti laini na ngumu (softwood & hardwood) zenye kipenyo kati ya 10cm – 20cm Mkaa kwa gunia la kilo 50 Mkaa kwa gunia la debe 10 Asali Mazao mengine yasiyo ya mbao Magogo ya kuni Ushuru (Tsh) 5% ya thamani kulingana na bei ya soko ya ubao 5% ya thamani kulingana na bei ya soko ya ubao 5% kulingana na thamani ya bidhaa kwa bei ya soko ya nguzo 5% kulingana na thamani ya bidhaa kwa bei ya soko la gunia la mkaa 5% kulingana na thamani ya bidhaa kwa bei ya soko la gunia la mkaa 5% kulingana na thamani ya bidhaa kwa bei ya soko kwa kila lita ya asali 5% kulingana na thamani ya bidhaa kwa bei ya soko 10,000/= kwa kila gogo SEHEMU YA KUMI NA NANE ADA NA USHURU WA HUDUMA NYINGINE Aina ya Huduma Ada ya kupima afya kwa wahudumu wa Baa, Hoteli, Migahawa na maeneo mengine ya kutoa huduma za vyakula au vinywaji kwa umma Gharama ya kuhifadhi wanyama waliokamatwa kwa kuzurura hovyo (kwa siku) Kiwango (Shilingi) 5,000/= kwa kila miezi sita (6) 1,000/= kwa ng’ombe 500/= kwa mbuzi 500/= kwa kondoo 1,000/= kwa punda 1,000/= kwa ngamia 1,000/= kwa mbwa 1,000/= kwa nguruwe Faini ya kutovaa sare kwa wahudumu wa Bar, Mgahawa, Hoteli na maeneo mengine ya kutoa huduma za vyakula au vinywaji kwa umma Ada ya usajili vikundi vya ujasiriamali Ada ya vikundi vya kijamii Ada ya kukagua hesabu za shule za Sekondari 10,000/= kwa tukio 25,000/= kwa ombi 20,000/= kwa ombi 100,000/= kwa ombi 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE
- 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada, ushuru na bei mbalimbali za huduma/leseni za halmashauri, ikijumuisha viwango vya soko na kiasi maalum kwa baadhi ya huduma.
17. 18 binafsi Ada ya pango la ardhi kwa wamiliki wa maeneo yaliopangishwa Minara ya simu Mauzo ya vitabu vya stakabadhi za fedha za shule za Serikali Mauzo ya hati za malipo katika vijiji Mauzo ya vitabu vya hati za malipo shule za Msingi na Sekondari Mauzo ya vitabu vidogo vya Ushuru mbalimbali Ushuru wa kufanya biashara katika eneo la Halmashauri Vitabu vya ushuru wa Hotel au nyumba ya kulala wageni Leseni ya Biashara ya Samaki Leseni ya uvuvi Kibali cha kununua mazao ya biashara Kodi ya vibanda kwa watu waliopangisha vyumba vya biashara Kodi ya pango ya vyumba vya Halmashauri (Sokoni na maeneo ya stendi) 5% ya alicholipwa kwa mwaka Bei ya soko Bei ya soko Bei ya soko Bei ya soko 500/= kwa siku Bei ya soko 30,000/= kwa leseni 5,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa kila kata 5% ya kodi ya pango ya mwezi 1,500/= kwa mita mraba kwa mwezi SEHEMU YA KUMI NA TISA ADA YA UZOAJI TAKA Namba Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA KUMI NA TISA
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists waste and sanitation charges for different premises and activities, with amounts set by category and billing period.
9. Viwanda vikubwa / Taasisi Viwanda vidogo Hoteli Mgahawa Duka la jumla Biashara nyinginezo Nyumba za kuishi Masoko / stendi za basi Ada ya ushuru wa dampo Kiwango cha Ada/ Ushuru (Shilingi. 780,000/= kwa mwaka 260,000/= kwa mwaka 700/= kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku 100/= kwa siku 5,000/= kwa tani 5,000/= kwa tripu ADA YA UNYONYAJI MAJI MACHAFU KATIKA VYOO KWA KUTUMIA MAGARI YA HALMASHAURI Namba - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists local fee amounts for trips and an added charge per kilometre.
3. Maeneo ya makazi Nje ya Halmashauri Kiwango cha Ada/ Ushuru (Shilingi. 25,000/= kwa kila safari moja na nyongeza ya 5,000/= kwa kila kilometa moja 15,000/= kwa kila safari moja na nyongeza ya 5,000/= kwa kila kilometa moja 40,000/= kwa kila safari moja na nyongeza ya 5,000/= kwa kila kilometa moja 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) SEHEMU YA ISHIRINI ADA ZA SALUNI Namba
Part
SEHEMU YA ISHIRINI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists annual fee amounts for women’s salons, men’s salons, and other fees in a section on fees and permits for traditional healers.
1. 2 3 Aina ya Huduma Saluni za kike Saluni za Kiume Ada nyingine Kiwango cha Ada (Shilingi) 80,000/= Kwa Mwaka 40,000/= Kwa Mwaka 20,000/=Kwa Mwaka SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA ADA NA VIBALI KWA WATOA TIBA ASILIA Namba WATOA TIBA
Part
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision shows permit forms for transporting crop produce outside the district, says the permit is not transferable, and includes a form for admitting an offence and paying debt plus a fine instead of being taken to court.
1. Waganga wa Kienyeji/Jadi Kiwango (Shilingi) 100,000/= Kwa Mwaka ______________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 8(1)) KIBALI CHA KUSAFIRISHA MAZAO NJE YA WILAYA (Permit for Transportation of Crop Produce Outside the District) JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE Namba ya Kibali (Permit No) ……………………………………. Tarehe ya Kutolewa (Date of Issue) ………………………………. Jina la Msafirishaji (Transporter’s Name) ………………………… Aina ya Gari (Vehicle Type) ……………………………………… Namba ya Gari (Vehicle Registration No) ……………………….. Kibali kimetolewa kwa (Permit is here by granted to)……………………kusafirisha(To transport)………………… Tani(Tones)…………………kutoka(From)……………..kwenda (To)………………… 17 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) Kibali hiki ni cha siku (This Permit is valid for number of days) …………. kuanzia tarehe ( starting from)………………..mpaka (To)…………………….. Kibali hiki hakihamishiki (This Permit is not transferable) KWA MATUMIZI YA OFISI TU (For office use only) Namba ya kibali (Place)……………. Stakabadhi (Date)…………………………. (Receipt No.) Na. (Permit No.) ……………. Tarehe (Date)……………. Mahali ………………………ya Tarehe Jina la Afisa Muidhinishaji (Name of Authorizing Officer) …………………………………. Saini (Signature)……………………cheo (Designation)…………………………. Muhuri (official stamp) _____________ JEDWALI LA TATU _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 9)) KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE Jina la mwombaji…………………………………………………………….. Anuani ya mwombaji………………………………………………………. Kibali cha…………………………………………………………………… Eneo ambalo kibali kitatumika…………………………………………….. Muda wa kibali ni kuanzia tarehe……………..hadi tarehe……………….. Masharti ya kutumia kibali:- …………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………… 18 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) …………………………………………………………………………… Tarehe ya kuidhinishwa kuanza kutumika kwa kibali………………………. KWA MATUMIZI YA OFISI TU Namba ya kibali ……………. Tarehe ……………. Mahali ……………. Stakabadhi Na. ………………………ya Tarehe …………………………. Jina la Afisa Mwidhinishaji …………………………………. Saini ……………………cheo …………………………. Muhuri ___________ JEDWALI LA NNE ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 17) HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Songwe, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… cha Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, niko tayari kulipa kiasi cha Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU : Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 19 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Tangazo La Serikali Na. 275 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya wilaya ya SONGWE iliyogongwa katika Sheria Ndogo hizi kwa azimio Na SDC/BM/09/2023 la kikao cha Halmashauri ya wilaya SONGWE cha tarehe 02/1/2023 na imebandikwa na kushudiwa mbele ya ;- CPA CECILIA DONALD KAVISHE Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Songwe ABRAHIM KUGALUKA SAMBILA Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya Songwe L.S NAKUBALI Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 30 January, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 20
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in