Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga za mwaka 2024
These by-laws are named the Mwanga District Council Fisheries Activities By-laws, 2024, and they apply throughout the area under the Mwanga District Council.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga za mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
These by-laws are named the Mwanga District Council Fisheries Activities By-laws, 2024, and they apply throughout the area under the Mwanga District Council. This section defines the terms used in these by-laws. The council must charge a license fee for fishing vessels and a levy on fish products, and people or entities trading fish or involved in fishing must have a license as set out in the Schedule. Watu na kampuni wanaokusanya au kununua samaki ndani ya Halmashauri lazima waombe na wapate kibali, na watu binafsi wanaotumia vyombo vilivyoainishwa lazima waombe kwa Mkurugenzi na, ikikubaliwa, wasaini mkataba wa kulipa ushuru wa samaki. There is an annual license-fee payment period for fishing vessels, fishers, and fish traders, from January 1 to March 31.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga za mwaka 2024
Showing 16 of 16
- 1 Verify source ↗
Sheria ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: These by-laws are named the Mwanga District Council Fisheries Activities By-laws, 2024, and they apply throughout the area under the Mwanga District Council.
1. Sheria ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga za mwaka 2024 na zitatumika katika eneo lote lililopo chini ya Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga. - 2 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi
AI-assisted research summary: This section defines the terms used in these by-laws.
2. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa Uvuvi aliye au asiye na taaluma ya Uvuvi au Afisa au Mtumishi yeyote anayeruhusiwa au kuteuliwa na Mkurugenzi kwa maandishi kutekeleza wajibu wowote kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; “Afisa Uvuvi” maana yake ni Mtumishi wa Serikali aliye chini ya Utumishi wa Halmashauri katika Sekta au Idara ya Uvuvi kuanzia cheo cha Afisa Uvuvi Msaidizi Daraja la IV; “baruti” maana yake ni bomu au mlipuko wa bomu ambao unasababisha uharibifu wa mazingira na kuuwa viumbe, samaki na mazalia yao katika sehemu mlipuko huo ulikofanyika; “chombo cha uchukuzi” maana yake ni chombo cha usafiri wa majini au nchi kavu kilichotengenezwa maalum kwa ajili ya kutumika kubeba, kusafirisha au kuchukua samaki wakavu au wabichi kwa kutumia vibebea barafu na chombo hiki kinaweza kuwa gari, boti, karua, ngama, mashua ya kutumia injini, mashua, mtumbwi wa kutumia joshi au kasia; “chombo cha chombo kilichoandikishwa au ambacho hakijaandikishwa na uvuvi” maana yake ni 1 Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo La Serikali Na. 276 (Linaendelea) kilichokatiwa au ambacho hakijakatiwa leseni ya uvuvi chini ya Sheria ya Uvuvi; “dandali” maana yake ni vipande viwili vya fito vilivyotengenezwa kwa duara au namna nyingine yoyote na kusukwa kwa kamba na miti,katani au manila na hutumika kufungia samaki wakavu wakati wa kusafirisha kwenda kuwauza; “eneo la kuanika Samaki” maana yake ni eneo la ardhi lililotengwa na Serikali au jamii lililopo katika ufukwe wa ziwa (Mwaloni) lenye urefu wa mita zipatazo sitini kutoka ufukweni hadi nchi kavu lenye mchanga au nyasi fupi fupi linalotumiwa na wavuvi kuanika samaki; “gunia” maana yake ni mfuko mkubwa uliotengenezwa kwa kamba za katani, nailoni, politheni au viloba kwa madhumuni ya kuchukulia samaki au dagaa na kutumika kufungia samaki wakavu au wabichi wakati wa kuwasafirisha; “Halmashauri” Maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga; “Kampuni” maana yake ni kampuni au kiwanda cha samaki kilichosajiliwa kisheria kinachojishughulisha na ununuzi au ukusanyaji wa samaki kwa kutumia wafanyakazi wake au mawakala kwa madhumuni ya kutengeneza au kusindika samaki kiwandani; “kutengeneza samaki” maana yake ni kukata katika vipande vipande visivyo au vyenye mifupa, kuweka barafu, kufukiza, kuhifadhi au kukausha kwa kutumia chumvi (Kayabo), kukaanga au kuhifadhi samaki kwa njia au namna yoyote ile kwa madhumuni ya biashara; “kuuza nje” maana yake ni kutoa bidhaa zitokanazo na uvuvi na mazao yake katika Halmashauri ya Mwanga na kupeleka mahali popote nje ya eneo la Mamlaka ya Halmashauri; “mchuuzi wa samaki” maana yake ni Mtu binafsi, kikundi cha watu, Taasisi, Kampuni, Shirika au Chama kinachojihusisha au kushughulika na biashara ya samaki au bidhaa yoyote ya Samaki kwa kununua, kuuza kutengeneza au kusafirisha samaki hao au mazao yake kwa mujibu wa Sheria ya Uvuvi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Sura ya 279 2 Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo La Serikali Na. 276 (Linaendelea) Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga au Mtu aliyeteuliwa kukaimu nafasi hiyo na kutekeleza majukumu kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; “Mvuvi” maana yake ni mtu, kikundi cha watu, Taasisi au Shirika linalojishughulisha na shughuli za uvuvi katika Wilaya ya Mwanga; “Mwalo” maana yake ni eneo lililopo kando kando ya ziwa, bwawa au sehemu yoyote ile inayotumiwa na wavuvi kutua, kupakua au kupakia samaki, zana za uvuvi na bidhaa nyinginezo kwa madhumuni ya biashara au matumizi ya nyumbani; “sumu” maana yake ni dawa zinazotokana na miti aina ya mruku au mti wowote ule ambao majani yake, magome au mizizi ya miti hiyo iliyopondwa pondwa na kutengenezwa madawa ya kienyeji au dawa inayotokana na kemikali za viwanda ambayo hutumika kuwalewesha au kuwaua samaki na zina madhara kwa binadamu; “Tenga” maana yake ni chombo ambacho kimetengenezwa kwa mianzi au matete ambacho kinatumika kusafirisha bidhaa za mazao ya uvuvi na Tenga nne ni sawa na dandali moja kwa maana ya tafsiri ya utozaji ushuru wa Halmashauri; “Wakala” maana yake ni mtu, Taasisi, Kampuni au mtu aliyepewa uwakala wa kukusanya ushuru wa samaki na Halmashauri na inahusisha Watumishi wa Wakala huyo waliopewa vitambulisho vilivyosainiwa na Mkurugenzi vyenye kuonyesha aina ya uwakala na mwaka walioruhusiwa kukusanya ushuru huo; na “Waziri” maana yake ni Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mita. - 3 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza Ada ya Leseni kwa
AI-assisted research summary: The council must charge a license fee for fishing vessels and a levy on fish products, and people or entities trading fish or involved in fishing must have a license as set out in the Schedule.
3.-(1) Halmashauri itatoza Ada ya Leseni kwa vyombo vya uvuvi na ushuru kwa mazao yanayotokana na uvuvi kama ilivyoainishwa katika Jedwali (2) Mtu au taasisi inayofanya biashara ya samaki au kujishughulisha na shughuli za uvuvi itatakiwa kuwa na leseni kama ilivyoainishwa katika Jedwali. Utaratibu wa Ada ya Leseni na ushuru wa mazao yanayotokana na uvuvi Wajibu katika Sheria Ndogo - 4 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni wajibu wa kila Kampuni, Mtu au
AI-assisted research summary: Watu na kampuni wanaokusanya au kununua samaki ndani ya Halmashauri lazima waombe na wapate kibali, na watu binafsi wanaotumia vyombo vilivyoainishwa lazima waombe kwa Mkurugenzi na, ikikubaliwa, wasaini mkataba wa kulipa ushuru wa samaki.
4.-(1) Itakuwa ni wajibu wa kila Kampuni, Mtu au Watu wanaojishughulisha na kukusanya au kununua samaki 3 Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo La Serikali Na. 276 (Linaendelea) hizi au mazao yake kwa kutumia, gari, mtumbwi, karua, ngama au chombo kingine chochote cha kusafirisha samaki na mazao yake ndani ya eneo la Halmashauri kuhakikisha kwamba inaomba na kupata kibali cha Halmashauri. (2) Mtu binafsi endapo atakusanya Samaki kwenye Halmashauri kwa kutumia mashua, mtumbwi, karua, ngama, gari au sanduku la kuhifadhia samaki atatakiwa kutuma maombi kwa Mkurugenzi akionesha aina ya chombo atakachotumia kukusanyia na kusafirishia Samaki. (3) Maombi yaliyotumwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (2) yakipokelewa na kukubaliwa, mtu huyo atapaswa kusaini mkataba wa kulipa ushuru wa samaki kwa Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali. (4) Kampuni, Mtu au Taasisi ambayo imekubaliwa fomu na Halmashauri kama itapewa maombi yake ilivyoainishwa katika Jedwali. (5) Ushuru wa Samaki utakusanywa na Afisa Uvuvi, Afisa Mwidhiniwa, Mkusanya Ushuru au Wakala wa Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (6) Mmiliki wa chombo cha Uvuvi, Mtumishi au Msimamizi wake aliyemteua atapaswa kutoa ushirikiano kwa Afisa Uvuvi, Afisa Mwidhiniwa, Mkusanya Ushuru au Wakala wa Halmashauri kuhakikisha kuwa ushuru wa samaki unalipwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (7) Ushuru wa samaki na mazao yake hautatozwa mara mbili kwa samaki au bidhaa iliyokwisha kulipiwa ushuru wa Halmashauri katika sehemu nyingine ndani ya Halmashauri; (8) isipokuwa muhusika atapaswa kuonyesha stakabadhi ya ushuru aliyolipia kutoka sehemu aliyolipia samaki au bidhaa yake ndani ya eneo la Halmashauri kwa ajili ya uhakiki au ukaguzi. - 5 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kipindi cha kulipa Ada ya Leseni
AI-assisted research summary: There is an annual license-fee payment period for fishing vessels, fishers, and fish traders, from January 1 to March 31.
5.-(1) Kutakuwa na kipindi cha kulipa Ada ya Leseni ya vyombo vya uvuvi, wavuvi na wafanyabiashara wa samaki ambacho kitakuwa ni kuanzia Januari moja mpaka machi thelathini na moja ya kila mwaka. (2) Mara baada ya kipindi hicho kupita mmiliki wa chombo atapaswa kulipia Ada inayotakiwa pamoja na faini kwa mujibu wa sheria ndogo za ada na ushuru za Halmashauri. (3) Mtu hataruhusiwa kufanya biashara ya Kipindi cha kulipa leseni za uvuvi 4 Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo La Serikali Na. 276 (Linaendelea) kuuza,kuvua au shughuli yoyote ya uvuvi bila ya kuwa na leseni ya uvuvi iliyo hai. Makosa - 6 Verify source ↗
Kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi itakuwa ni kosa
AI-assisted research summary: This section makes several fishing-related acts offences, including fishing without reporting to the permit office and Executive Director, moving fish without paying council charges, using banned or undersized nets, taking juvenile fish, fishing or transporting fish at night without paying charges, obstructing enforcement officers, trading in fishing without a licence, and transporting unmeasured fresh fish.
6. Kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi itakuwa ni kosa kwa- (a) Mtu kutoka nje ya eneo la Halmashauri kufanya shughuli za uvuvi bila kuripoti Ofisi ya kibali na Mkurugenzi Mtendaji kilichoainishwa katika Jedwali; kupata (b) Mmiliki, Msimamizi au mwenye chombo cha uchukuzi kupakia au kusafirisha mzigo wowote wa samaki, au bidhaa nyingine zinazotokana na samaki kutoka katika mwalo au eneo la Halmashauri kabla ya kulipiwa ushuru wa Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika sheria ndogo hizi, sheria ndogo ya ada na ushuru ya Halmashauri au sheria nyingine za nchi; (c) Kampuni, taasisi, Mtu au kikundi cha watu kuvua samaki kwa kutumia nyavu za makila chini ya ukubwa wa macho ya inchi tatu au nyavu zozote zile zilizokatazwa kisheria; (d) kuvua au kuua samaki wadogo ambao hawajakua kufikia kiwango cha kuvuliwa; (e) kufanya shughuli za uvuvi na kusafirisha samaki nyakati za usiku bila ya kulipa ushuru; (f) kumzuia, kumgomea au kumshambulia Afisa Uvuvi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala wakati anapotekeleza mojawapo ya majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; (g) kufanya biashara ya uvuvi au kuuza samaki au mazao yatokanayo na Samaki bila Leseni; na (h) kusafirisha samaki wabichi ambao hawajapimwa. Maeneo maalum ya mazalio ya samaki - 7 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na maeneo yaliyotengwa maalum
AI-assisted research summary: Watu hawaruhusiwi kuvua samaki au kuingia/kupita kwenye maeneo ya mazalio ya samaki wakati wa kuzaliana, isipokuwa kwa hali maalum ya dhoruba au hali mbaya ya hewa iliyoelezwa.
7.-(1) Kutakuwa na maeneo yaliyotengwa maalum kwa ajili ya mazalio ya samaki ambayo shughuli zozote za uvuvi hazitaruhusiwa wakati wote wa kipindi cha samaki kuzaliana na maeneo hayo yatatangazwa na Afisa Uvuvi. (2) Mtu hataruhusiwa kuvua samaki katika maeneo yatakayoainishwa na Afisa Uvuvi kuwa maeneo ya mazalio ya samaki. (3) Mtu hataruhusiwa kuvua samaki kwenye eneo au 5 Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo La Serikali Na. 276 (Linaendelea) ukanda wa mazalio ya samaki wakati msimu wa mazalio ya Samaki utakapokuwa umefungwa. (4) Mtu hataruhusiwa kuingia au kupita kwenye sehemu au eneo la ukanda au mazalio ya samaki wakati ukanda huo umefungwa kwa shughuli za mazalio ya samaki isipokuwa kama kutakuwa na hali ya hewa mbaya kama vile tufani ambayo italazimisha chombo kwenda mrama hadi kuingia, kupita au kuelekea ukanda huo na mwenye chombo awe amefanya jitihada zote na jitihada hizo zimeshindikana.
Part
sehemu au eneo la ukanda au mazalio ya samaki wakati
- 8 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na vituo, mialo au maeneo ya
AI-assisted research summary: Samaki zinaweza kununuliwa au kusafirishwa tu katika maeneo yaliyoidhinishwa; kufanya biashara hiyo nje ya maeneo yaliyotengwa ni marufuku na kunaweza kuwa kosa.
8.-(1) Kutakuwa na vituo, mialo au maeneo ya kupokelea, kuuza na kusafirisha samaki ambayo yatatumika kama sehemu maalum zilizoidhinishwa kwa shughuli za kununua na kusafirisha Samaki na maeneo hayo ni kama yalivyoainishwa katika Jedwali. (2) Mtu hataruhusiwi kuuza, kununua au kusafirisha samaki nje ya maeneo, vituo na mialo iliyoruhusiwa au kutengwa kama vituo, mialo na sehemu za kuuzia, kununua na kusafirisha samaki isipokuwa sokoni na kwenye mialo au maeneo ya vivuko kama ilivyoainishwa katika Jedwali. Vituo, mwalo na maeneo maalum ya kuuza, kupokea na kusafirisha samaki (3) Mtu, Taasisi, Mamlaka, Kampuni, Mfanyabiashara au mvuvi atakayepuuza au kukataa kununua au kusafirisha samaki kwa kutumia sehemu zisizoruhusiwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa. Kushindwa kulipa ada na ushuru Sura ya 290 Usajili wa vyombo vya uvuvi - 9 Verify source ↗
(1) Mtu, kikundi cha watu, Taasisi, Mamlaka,
AI-assisted research summary: People and entities who fail to pay or obstruct payment of the fish levy commit an offence, unpaid fish products may not be transported out of the council area without payment and a permit, and a person who refuses to pay must pay the levy and a fine.
9.-(1) Mtu, kikundi cha watu, Taasisi, Mamlaka, Kampuni, mfanyabiashara au mvuvi atakayeshindwa kulipa au kukwamisha au kusababisha kutolipwa kwa ushuru wa Samaki anatenda kosa. (2) Mazao ya samaki ambayo hayajalipiwa ushuru, hayataruhusiwa kusafirishwa kutoka eneo la Halmashauri bila kuwa yamelipiwa ushuru na kuwa na kibali. (3) Endapo kutatokea ukaidi wa kulipa ada au ushuru, mhusika atatakiwa kulipa ushuru anaodaiwa pamoja na kulipishwa faini kwa mujibu wa Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa. - 10 Verify source ↗
(1) Vyombo vya Uvuvi vinatakiwa kusajiliwa na
AI-assisted research summary: Fishing vessels must be registered with the Council, and unregistered vessels may trigger a 50% tax fine and confiscation if not paid within 24 hours.
10.-(1) Vyombo vya Uvuvi vinatakiwa kusajiliwa na Halmashauri na endapo chombo hakitasajiliwa, mmiliki wa chombo husika atatakiwa kukisajili na kulipa faini ya asilimia hamsini ya ushuru ili kufidia gharama za ufuatiliaji na endapo muhusika atashindwa kulipia chombo chake 6 Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo La Serikali Na. 276 (Linaendelea) ndani ya saa ishirini na nne, Halmashauri au Wakala atataifisha chombo husika na kukiuza kwa mnada kufidia gharama pamoja na ushuru. (2) Chombo cha uvuvi au usafiri wa majini hakitatakiwa kujirudia namba ya usajili na itakapobainika kuwa chombo au vyombo vya uvuvi au usafiri wa majini kimejirudia namba ya usajili Halmashauri itataifisha vyombo vyote ambavyo vimejirudia namba na itaviuza kwa mnada. - 11 Verify source ↗
Mtu ambaye atakuwa ametenda kosa au kwenda
AI-assisted research summary: A person who commits an offence or breaches any by-law provision that has no stated penalty is liable on conviction to a fine, imprisonment, or both.
11. Mtu ambaye atakuwa ametenda kosa au kwenda kinyume na kifungu chochote cha Sheria Ndogo hizi ambacho adhabu yake haikutajwa atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi Milioni moja au kifungo kisichopungua miezi sita jela au adhabu zote mbili kwa pamoja. Adhabu __________ JEDWALI ___________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(1),(2), 4(2),(3),(4),6(a),8(1),(2)) SEHEMU YA KWANZA ADA YA LESENI Namba
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists annual license fees of Tshs 23,000 for business fishing, fishing, and fishing vessel licenses.
1. 2 3 Aina Ya Leseni Leseni ya Biashara ya Samaki Leseni ya Uvuvi Leseni ya chombo cha uvuvi Ada Ya Leseni Kwa Mwaka (Tshs) 23,000/= 23,000/= 23,000/= SEHEMU YA PILI KIPIMO NA KIWANGO CHA USHURU Namba
Part
SEHEMU YA PILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya kibali cha kuendesha shughuli za uvuvi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, ikionyesha kuwa kibali hutolewa kwa mtu kufanya uvuvi, ununuzi au usafirishaji wa samaki kutoka eneo hilo.
1. Kipimo Ndoo ya Lita 20 (Wakavu/wabichi) Aina Samaki Kiwango Cha Ushuru Perege, Kambale 2,000@ndoo SEHEMU YA TATU KIBALI CHA KUENDESHA SHUGHULI ZA UVUVI Picha ya Muombaji 7 Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo La Serikali Na. 276 (Linaendelea) KIBALI CHA KUENDESHA SHUGHULI ZA UVUVI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA Namba ya Leseni……………………Namba ya Simu………………………. Kibali kinatolewa kwa Bwana/Bibi/Bi./Ndugu……………………………… Ambaye ni mkazi wa……...……………Wilaya ya…………………………… za Mkoa wa …………………………………………………. kufanya uvuvi/ununuzi/ usafirishaji wa Samaki kutoka eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga. shughuli Kibali hiki kitatumika kuanzia tarehe ………. mwezi wa ……Mwaka………… Mpaka tarehe ………………. mwezi……………………………… mwaka…………… Mwombaji wa kibali amelipa malipo yote yanayohusiana na kibali hiki kwa stakabadhi Na…………………………………ya tarehe …….. mwezi…………….. mwaka………. …………………………………………….. Afisa Uvuvi HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA SEHEMU YA NNE SEHEMU YA MAENEO YA VITUO, MIALO, SOKO LA SAMAKI AU SEHEMU YA KUEGESHA MITUMBWI AU KUUZIA, KUNUNUA NA KUSAFIRISHA SAMAKI WILAYA YA MWANGA Namba Tarafa
Part
SEHEMU YA MAENEO YA VITUO, MIALO, SOKO LA SAMAKI AU SEHEMU
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: 1. Lembeni Kata Kirya Kijiji Nijapanda Kituo/Mwalo/Soko la Samaki National
1. Lembeni Kata Kirya Kijiji Nijapanda Kituo/Mwalo/Soko la Samaki National - 2 Verify source ↗
Mwanga
AI-assisted research summary: This section shows place names and references the Mwanga District fisheries bylaw notice.
2. Mwanga Lang’ata Kiti cha Mungu Lang’ata Bora Lang’ata Bora Kiti cha Mungu Kagongo Kagongo Nyabinda Nyabinda 8 Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo La Serikali Na. 276 (Linaendelea) Handeni Bunge - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Text lists place names or terms without a clear rule.
3. Jipendea Jipe Jipe Jipe Ubembe Kambi ya simba Butu Ugweno Mkisha Kigonigoni Ruru Ruru 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Shughuli za Uvuvi za Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga za mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in