Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za Mwaka 2024
It calls for advising the council to set goals that reflect district requirements and to take suitable steps to achieve the intended goals.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
It calls for advising the council to set goals that reflect district requirements and to take suitable steps to achieve the intended goals. This provision refers to advising the Council on making decisions about important policies. Provision inashauri Halmashauri kufanya maamuzi ya utoaji huduma kulingana na rasilimali zilizopo, na kuwezesha uongozi wa Kamati, Kamati Ndogo, na watumishi kutimiza wajibu wao. Provision calls for a review to enable the Council to decide whether to increase, reduce, privatize, or involve stakeholders in service delivery. The council’s structures and operating procedures should be efficient, stable, and productive in achieving its goals.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za Mwaka 2024
Showing 8 of 8
- 1 Verify source ↗
Jina na tarehe ya kuanza kutumika
AI-assisted research summary: It calls for advising the council to set goals that reflect district requirements and to take suitable steps to achieve the intended goals.
1. Kuishauri Halmashauri kutengeneza malengo yanayozingatia matakwa ya Wilaya na kuchukua hatua ambazo zitaonekana zinafaa ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. - 2 Verify source ↗
Tafsiri ya misamiati iliyotumika
AI-assisted research summary: This provision refers to advising the Council on making decisions about important policies.
2. Kuishauri Halmashauri kufanya maamuzi juu ya sera muhimu. - 3 Verify source ↗
Mikutano ya Kawaida ya Halmashauri
AI-assisted research summary: Provision inashauri Halmashauri kufanya maamuzi ya utoaji huduma kulingana na rasilimali zilizopo, na kuwezesha uongozi wa Kamati, Kamati Ndogo, na watumishi kutimiza wajibu wao.
3. Kuishauri Halmashauri kufanya maamuzi juu ya utoaji wa huduma kulingana na rasilimali walizo taratibu nazo Kuiwezesha Halmashauri zitakazoongoza utendaji wa Kamati, Kamati Ndogo, na ule wa watumishi ili watimize wajibu wao. kutengeneza - 4 Verify source ↗
Mkutano Maalum wa Halmashauri
AI-assisted research summary: Provision calls for a review to enable the Council to decide whether to increase, reduce, privatize, or involve stakeholders in service delivery.
4. Kufanya mapitio yatakayowezesha Halmashauri kuamua juu ya kuongeza, kupunguza, kubinafsisha au kuwashirikisha wadau katika utoaji wa huduma. - 5 Verify source ↗
Mkutano wa Bajeti
AI-assisted research summary: The council’s structures and operating procedures should be efficient, stable, and productive in achieving its goals.
5. Kuhakikisha kuwa miundo na taratibu za utendaji wa Halmashauri zinazingatia ufanisi, uthabiti na tija katika kufikia malengo ya Halmashauri. - 6 Verify source ↗
Mkutano wa mwaka
AI-assisted research summary: Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango inapaswa kukutana kila mwezi na kusimamia mapato, matumizi, hesabu za fedha, na mapendekezo ya bajeti na maendeleo kwa Halmashauri.
6. Kuiwezesha Halmashauri kujenga mahusiano imara kati yake na Serikali kuu, Serikali zingine za Mitaa na Umma kwa ujumla. A: Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango: 61 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) Majukumu ya jumla: Kamati hii inawashirikisha Wenyeviti wa Kamati zote za Kudumu na inapaswa kukutana kila Mwezi mara moja. Aidha, madaraka ya Kamati hii ni kama ya Kamati zingine za Kudumu na hivyo hairuhusiwi kiSheria kufanya kazi/majukumu ya Kamati zingine za Kudumu. Kwa ujumla, majukumu yake ni pamoja na kusimamia na kudhibiti ukusanyaji wa mapato na matumizi ya mali ya Halmashauri kwa kupitia vikao vyake. Majukumu Maalum ya Kamati: (i) Kuweka mikakati na kupendekeza uongezaji wa mapato. (ii) Kuwasilisha mapendekezo ya Bajeti na mpango wa Maendeleo kwenye Halmashauri ili kuidhinishwa na Halmashauri. (iii) kusimamia utunzaji wa hesabu za fedha ikiwa ni pamoja na uhakiki wa mali za Halmashauri, ukusanyaji wa mapato, kufuta madeni, na kuomba vibali Maalum kwa matumizi yanayohitaji kibali cha Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa. (iv) Kufikiria na, pale inapowezekana, kupendekeza kwenye Halmashauri masuala yanayohusu Sheria Ndogo na utendaji katika ngazi za chini za Halmashauri. (v) Kupokea na kuzingatia mapendekezo ya kubadili matumizi ya mafungu ya fedha (re- allocation) yaliyopo katika makisio yaliyoidhinishwa na kuyapeleka kwa Halmashauri. (vi) Kuratibu mapendekezo kutoka kwenye Kamati zingine kuhusu matumizi ya kawaida na miradi na kuyawasilisha kwenye Halmashauri. (vii) Kufikiria na kupendekeza kwenye Halmashauri mikopo yote ya Halmashauri. (viii) Kutoa mapendekezo ya vitega uchumi kwa madhumuni ya kuongeza mapato kwa mujibu wa Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa, Sura ya 290. (ix) kupokea na kujadili taarifa za wakaguzi wa fedha na mali ya Halmashauri na kupendekeza hatua za kuchukuliwa kutokana na maelekezo na maoni ya wakaguzi kwa mujibu wa Sheria za Serikali za Mitaa, Sura ya 290. (x) Kusimamia na kudhibiti matumizi ya fedha za Halmashauri, kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na Waziri na taratibu nyingine zitakazowekwa na Halmashauri; (xi) Kupitia marekebisho yote yaliyopendekezwa hususan kuhusu taratibu za fedha, ikiwa ni pamoja na mapitio ya mara kwa mara yanayohusu thamani ya fedha ambapo Kanuni mbalimbali za manunuzi ya mali na vifaa hutumika; (xii) Kufikiria na kupendekeza mabadiliko ya viwango vya kodi, ada na ushuru mbalimbali, vinavyotolewa na Halmashauri; (xiii) Kufikiria mapendekezo ya Bajeti na Mipango ya Maendeleo ya kila Kamati ya Kudumu na kuiwasilisha kwenye Halmashauri ili kupata idhini; (xiv) Kushughulikia tofauti ya mapato na matumizi katika bajeti yote na kupendekeza hatua stahiki ya kuchukua kuondoa mapungufu katika mapato au ziada matumizi; (xv) Kufikiria mapendekezo yote yanayohusu matumizi makubwa ya fedha kabla hayajawasilishwa kwenye Halmashauri ili kupata idhini; 62 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) (xvi) Kupokea mahesabu ya mwaka ya Halmashauri na kuhakikisha taarifa ya mahesabu ya mwaka inawasilishwa kwa wakati kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali; (xvii) Kupitia na kuidhinisha mpango wa manunuzi wa Halmashauri kwa kuzingatia mpango wa Bajeti uliopitishwa na Halmashauri; (xviii) Kupitia taarifa ya kila robo mwaka kuhusu Manunuzi iliyowasilishwa na Afisa Masuuli; (xix) Kusimamia utekelezaji wa mikataba ya Halmashauri kwa kukagua miradi inayotekelezwa na vifaa vilivyopokelewa; (xx) Kumwelekeza Mkurugenzi kufanya manunuzi au ukaguzi wa huduma au vifaa vilivyonunuliwa ili kupata thamani halisi, itafanyika hivyo endapo itadhihirika kwamba, maelezo yaliyotolewa kuhusu manunuzi ya vifaa au huduma hayaridhishi; (xxi) Kuidhinisha majina ya wajumbe wa Bodi ya zabuni na wa Bodi zingine kwa mujibu wa Sheria husika; (xxii) Kushughulikia orodha ya wadaiwa wote itakayokayowasilishwa kwenye Kamati na kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukua; (xxiii) Kupendekeza njia na taratibu za kuondosha vifaa chakavu. Uondoshaji wa vifaa unaweza kufanyika kwa njia ya kuuza au kuviharibu; (xxiv) Kujadili na kupitia taarifa za fedha za kila mwezi na kila robo mwaka; (xxv) Kupendekeza kwa Halmashauri hatua za kuchukua kuhusu kufuta madeni ya Halmashauri; (xxvi) Kushughulikia Sera kuhusu kukopa na uwekezaji, (xxvii) Kujadili na kupendekeza mabadiliko ya viwango vya kodi, ada na ushuru mbalimbali vinavyotozwa na Halmashauri, (xxviii) Kubuni na kupendekeza mpango wa kuanzisha na kuendeleza uhusiano na Halmashauri nyingine. (xxix) Kurekebisha na kusimamia makusanyo na matumizi ya mapato ya vijiji na miji midogo kwa mujibu wa Sheria, Sura ya 287. (xxx) Kuteua wakaguzi wa fedha/mali za Serikali za Vijiji kwa mujibu wa Sheria, Sura ya - 290 Verify source ↗
Section 290
AI-assisted research summary: Kamati ya Elimu, Afya na Maji inatakiwa kushughulikia masuala ya afya ya jamii, elimu na huduma za maji, pamoja na kupanga na kupendekeza hatua mbalimbali za maendeleo katika maeneo hayo.
290. (xxxi) Kujadili na kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa kuhusu mambo yote ya yanayohusu masuala ya ajira na kinidhamu ya wafanyakazi na watumishi. (xxxii) Kujadili na kutoa mapendekezo kuhusu masuala yanayohusu nyumba za Halmashauri. (xxxiii) Kupokea na kutoa uamuzi juu ya mapendekezo ya watumishi wanaokwenda masomoni. (xxxiv) Kujadili na kupendekeza masuala yote yanayohusu maslahi ya jumla ya watumishi, ikiwa ni pamoja na mikopo, nyumba, usafiri, matibabu, rambirambi na motisha nyinginezo. (xxxv) Kupitisha mapendekezo ya kuthibitisha watumishi kazini baada ya kumaliza kipindi cha majaribio kulingana na miundo husika ya utumishi. (xxxvi) Kupendekeza Sheria Ndogo zinazohusu Kamati hii. 63 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) B: Kamati ya Elimu, Afya na Maji: Majukumu ya Jumla Kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii, elimu na huduma za maji. Kamati hii pia itashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wanannchi vijijini kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi, kuzindua, kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo. Majukumu Maalum ya Kamati: (i) Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati (ii) Kuandaa mipago ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa shule za awali na msingi na elimu ya watu wazima kwa mujibu wa Sheria ya Elimu ya 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995. (iii) Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa vituo,viwanja, majengo na mazingira ya burudani, starehe, mapumziko na michezo. (iv) Kuamua juu ya mambo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali zenye Sura nzuri. (v) Kuandaa na kuratibu njia bora juu ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kwa ajili ya kumbukumbu hizo zitahifadhiwa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya - 287 Verify source ↗
Section 287
AI-assisted research summary: Kamati za halmashauri lazima zishirikishe wadau, zisimamie na kutathmini mipango ya UKIMWI, na kamati ya uchumi/mazingira ishughulikie mipango ya maendeleo, biashara, matumizi ya ardhi, na miradi ya masoko na mifugo.
287. (vi) Kupendekeza njia bora juu ya uhifadhi wa sanaa mbalimbali za ufundi na za maonyesho kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 287, (vii) Kupendekeza matumizi mazuri ya lugha ya taifa. (viii) Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa. (ix) Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa. (x) Kusimamia uanzishaji wa uendelezaji wa vikundi vya jamii na vya hiari vya wananchi katika Halmashauri kwa mujibu wa sera wa maendelo ya jamii. (xi) Kusimamia na kuhakiki maeneo ya misitu, mapori, na mbuga zilizotengwa kama hifadhi ya mamlaka ya Serikali za Mitaa. (xii) Kupendekeza na kufanya tathmini ya uendelezaji wa mabonde, mito na mabwawa. (xiii) Kubuni na kupendekeza namna ya kidhibiti moto. (xiv) Kubuni na kupendekeza mikakati ya utumiaji wa nishati mbadala, kuzuia ukataji miti ovyo, na kuhimiza upandaji miti kwa wingi. (xv) Kuhakikisha kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara. (xvi) Kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara vijijini na wilayani kwa ujumla. (xvii) Kupendekeza Sheria Ndogo zinazohusu Kamati hii. 64 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) C: Kamati ya Kudhibiti Ukimwi Majukumu ya Kamati: (a) (b) (c) (d) (e) (f) (g) (h) (i) Kushirikisha wadau tofauti katika maeneo husika ili kuongeza uchangiaji wa mawazo na/au nyenzo, usimamizi, uratibu na utekelezaji wa kazi za Tume za kudhibiti UKIMWI; Kusimamia uundaji wa Kamati zote za kudhibiti UKIMWI; Kupendekeza na kuchambua hali ya UKIMWI/Mipango na utekelezaji wake na kufikisha katika ngazi husuka kwa hatua zaidi; Kutathmini hali ya UKIMWI katika eneo lake kuhusu; idadi ya waathirika: wagonjwa, yatima, wajane, kasi ya maambukizo (i) (ii) (iii) mazingira Maalum yanayochangia maambukizo; (iv) uelewa wa wananchi juu ya janga hili. Serikali haitatoa fedha kwa Halmashauri isiyokuwa na mipango madhubuti ya kudhibiti UKIMWI. Kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila mtoto aliyefikia umri wa kwenda shule anafanya hivyo, Kuweka mikakati ya makusudi juu ya njia bora za kuchangia baadhi ya huduma za Elimu na Afya. Kubuni na kupendekeza njia bora za kuzuia na kudhibiti magonjwa ya milipuko. Kupendekeza Sheria Ndogo za Kamati hii. D: Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira: Majukumu ya jumla Kamati hii itashughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo, mifugo, viwanda, madini, Biashara n.k. Aidha itashughulikia pia miundombinu na suala zima la mendeleo ya Ardhi na hifadhi ya mazingira. Majukumu Maalum ya Kamati; Kupendekeza kwa Halmashauri mipango ya kupanua biashara na jinsi ya Kupendekeza mipango ya matumizi ya ardhi katika eneo la Halmashauri Kusimamia matumizi ya Sheria ya nguvu kazi. Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa kilimo katika (i) kukusanya mapato yatokanayo na upanuzi huo. (ii) (iii) (iv) Halmashauri (v) vituo vya mifugo. Kusimamia na kuhakiki miradi ya ujenzi wa masoko, minada,majosho na 65 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) (vi) mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika, Kushughulikia uanzishaji na uendelezaji wa vyama vya ushirika kwa Kamati ya Maadili ya Madiwani Majukumu ya Kamati (a) (b) Kamati hii itatekeleza kazi zake kwa kuzingatia Kanuni za Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) (Maadili ya Madiwani), Tangazo la Serikali Na. 280 la Mwaka 2000 Bila kuathiri majukumu yaliyoainishwa katika aya (a) hapo juu Kamati itakuwa na uwezo wa kusikiliza malalamiko na kuyatolea uamuzi, Malalamiko yataletwa na diwani ambaye hakuridhika na maamuzi ya Mwenyekiti dhidi yake ndani ya siku saba. FAHARASA – HALMASHAURI ZA WILAYA Kanuni Na. Kifungu cha Sheria A Ajenda za Kamati Akidi katika Halmashauri Akidi kwenye mikutano ya Kamati Athari za nafasi wazi kwenye Kamati mikutano ya B C D Diwani au Afisa kutokuwa na maslahi katika mikataba Diwani kutembelea maeneo, shughuli mbalimbali za ujenzi. Dua ya kuiombea Halmashauri E. F Fujo zinazosababishwa na umma Fujo zinazosababishwa na Wajumbe Sura ya 287 kif.64 Sura ya 287 kif.84(2) na (3) Sura ya kif.84(1);84(3) 287 Sura ya 287 kif.71 49 8 55 54 69 77 90 18 17 Kanuni Na. Kifungu cha Sheria 66 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) G H Haki ya kujibu Hoja kuhusu matumizi Hoja na marekebisho ya hoja Hoja za Mwenyekiti Hoja Halmashauri Hoja zinazoweza kutolewa bila taarifa zinazohusu watumishi wa 21 32 19 15 37 20 I J K Kamati Ndogo Kamati za Kudumu Kamati za pamoja Kanuni za Kudumu kutumika katika mikutano ya Kamati Kanuni za Kudumu kutolewa kwa Wajumbe Kauli zenye kashfa Kiapo na kukubali wadhifa Kuidhinishwa kwa Taarifa ya Kamati Kufikiriwa upya maamuzi Kufutwa kwa Kanuni zilizopo Kujiuzulu ujumbe wa Kamati na kujazwa kwa nafasi iliyoachwa wazi. Kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Kamati Kukasimu madaraka kwenye Kamati Kumbukumbu ya mahudhurio. Kumwondoa Mwenyekiti madarakani Kupokelewa kwa taarifa za Kamati Kuruhusu watu na vyombo vya 45 40 43 56 87 27 70 34 59 91 62 61 44 11 82 33 12 67 Sura ya 287 kif.79 Sura ya Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) Habari Halmashauri kwenye mikutano ya 287 kif.36(5); GN 263/95 Sura ya 287 kif.67(1) Kushiriki kwa Umma Kusitisha utumiaji wa Kanuni za Kudumu. Kutafsiri Kanuni za Kudumu Kuthibitisha muhtasari Kutokuwepo kwa Wajumbe Kutunza siri za Majadiliano ya Kamati na Kamati Ndogo. L ya ya mikutano M Maamuzi Halmashauri Mahudhurio katika mikutano ya Kamati Mahudhurio ya Umma na vyombo vya habari kwenye mikutano ya Kamati/Kamati Ndogo Majukumu ya Diwani Marekebisho na mabadiliko ya Kanuni za Kudumu Maswali Maswali ya papo kwa papo Mihtasari ya za Kata na vijiji. Mihtasari Halmashauri kupelekwa kwa Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa. Muhtasari wa Kamati Mikutano Halmashauri kawaida ya ya ya Kanuni Na. 38 85 Kifungu cha Sheria Sura ya 287 kif.114(1)(b) Sura ya 287 kif.41(2) na (3) Sura ya 287 kif.86 na 67(2) Sura ya 287 kif.66 Sura ya 287 vif.86; 67 (2) Sura ya 287 kif. 70(1) Taz.pia Sura ya 290 kif.47 Sura ya 287 kif.83(2) 88 14 73 60 28 50 53 71 86 22 23 30 31 58 3 46 68 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) kwenye kualikwa Mikutano ya Kamati Mtoa hoja Mkutano wa Kamati. Mkutano wa Bajeti Mkutano wa Mwaka Mkutano Maalum wa Halmashauri Mkutano Maalum wa Kamati Mwaliko wa wasiokuwa Wajumbe Mwenyekiti kuwa Mjumbe wa Kamati zote N Nafasi wazi Mkutano P Aina za Posho Posho umeahirishwa iwapo Q R Rejesta ya mikataba S T Taarifa za Kamati Taarifa kutoka kwenye kata Taarifa za mikutano Tafsiri Taratibu za kutunga Sheria Ndogo Taratibu za Majadiliano Taratibu za Uagizaji U Sura ya 287 kif.63(1) Sura ya 287 kif.63(3) Sura ya 287 kif.74(1) (4); Tangazo Sura ya 287 kif.42(1) (a) 172 la (1);41 Serikali Na.139/82 aya ya 23 na40 na Sheria Na.4/79 kif.40(1)(b);40 (1) (b) na SheriaNa 4/79kif.40(i) (b) (i); na Sheria Na.4/79 kif.40; tangazo la Serikali Na. 280/2000 kif.35;41(3)41(3) na kif.71(8). Sura ya 287 kif.85 Sura ya 287 kif.155 Na.21/2004 Sura ya 290 kif.68 51 5 6 4 48 29 41 72 83 84 68 24 25 7 2 74 16 63 69 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) ya wa mikutano Uahirishaji wa vikao Uandikishaji wa Anwani Uanzishaji wa Bodi za Huduma Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wa Mwenyekiti wa Halmashauri Uhalali wa majadiliano Halmashauri Uhifadhi wa lakiri ya Halmashauri Uhuru wa kutoa mawazo wakati wa majadiliano Ukaguzi wa nyaraka Uongozi Halmashauri Upigaji kura kwenye mikutano ya Kamati Usimamiaji wa mikataba Utaratibu wa shughuli za mikutano Uteuzi wa Wajumbe kwenye Taasisi za nje Utiaji mhuri kwenye Nyaraka Uvunjaji wa mkataba Uwezo wa Halmashauri kujigeuza kuwa Kamati ya Halmashauri nzima. Uwezo wa Kamati Uzuiaji wa Rushwa ya Sura ya 287 kif.88 Sura ya 287 kif.36(2) Sura ya 287 kif.72 Sura ya 287 kif.65 39 80 76 9 35 78 26 75 10 57 66 13 81 79 67 36 42 65 V W Waalikwa wasiokuwa Wajumbe kuhudhuria na kushiriki katika mikutano ya Kamati. X Y Z Ziara za Wajumbe Kanuni Na. Kifungu cha Sheria 52 Sura ya 287 kif.75(4) 89 ____________ 70 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) JEDWALI LA PILI ______________ Limetungwa chini ya Kanuni ya 70(a) JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KIAPO CHA DIWANI Mimi ……………………………….............................. naapa/natamka kwa dhati kwamba nitaitumikia Halmashauri ya………………….......... kwa wadhifa wangu wa Udiwani na kwamba nitahifadhi, nitalinda na kutetea, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheria za Tanzania, Maadili ya Madiwani na Kanuni za Kudumu za Halmashauri kama zilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria na kwamba nitaitumikia Halmashauri ya ………………………………………… kwa uaminifu kwa uwezo na moyo wangu wote. (Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie) Kiapo/Tamko hili limetolewa hapa:………………………………… Na………………………………………………………………………… Leo tarehe…………………… Mwezi wa…………………..20………. MBELE YA:……………………………………….. Jina:……………………………………………… Cheo:……………………………………………. Saini:…………………………………………… Anuani…………………………………………. ……………………... HAKIMU/WAKILI 71 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) ___________ JEDWALI LA TATU ____________ Limetungwa chini ya Kanuni ya 70(b) JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI (Kwa mujibu wa Kifungu cha 9 na cha 11 cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma) Mimi…………………………………………………… Anuani:……………………baada ya kuchaguliwa/kuteuliwa na kuapishwa katika wadhifa wa…….……...tarehe……………………….mwaka 20......….Ninatamka rasmi na kwa moyo mnyofu kwamba hadi sasa nina rasilimali na madeni yafuatayo:- (1) Fedha taslimu, Amana katika benki au taasisi ya fedha; taja namba ya akaunti, benki au taasisi ya fedha na kiasi: ………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………........... ............ 2) Hawala za Hazina (Treasury Bills) na dhamana nyingine Maalum: - ………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………........... ............ 3) Faida ya akiba, mafungu ya mgawanyo wa faida zinazotokana na hisa n.k. ………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………........... ........... 4) Nyumba au majengo ya kupangisha, taja mahali yalipo na ukubwa au eneo: ………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………........... ............ * Rasilimali zinazotakiwa ni pamoja na zifuatazo, ambazo ni zako binafsi, za mume/mke au watoto wadogo wasiooa au kuolewa wa kiongozi wa umma. (a) fedha taslimu na amana katika benki au taasisi nyingine ya fedha. (b) hawala za Hazina Treasury Bills) na nyinginezo za dhamana Maalum zinazotolewa au kudhaminiwa na Serikali au vyombo vya Serikali. 72 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) (c) faida itolanayo na fedha iliyowekwa akiba benki, chana cha Ujenzi au taasisi nyingine ya fedha. (d) mgao wa fedha kutokana na fungu la rasilimali ya kampuni (stocks) au hisa za kiongozi wa umma katika kampuni au shirika lolote. (e) maslahi katika chombo cha biashara kisichokuwa na mkataba na Serikali, na kisichokuwa na au kisichotawala amana zinazouzwa bayana na vyombo vya umma. (f) mashamba ya kibiashara. (g) mali halisi zisizohamishika ambazo si rasilimali zisizotakiwa kutajwa; na (h) rasilimali zinazoleta faida, ambazo si rasilimali zisizotakiwa kutajwa na ambazo zinamilikiwa kwa mbali. (5) Mashamba ya kibiashara, mifugo, madini n.k. ………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………… ………… (6) Magari na aina nyingine za usafiri wa kibiashara; ………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………… ………… (7) Mashine za kusaga nafaka, viwanda na shughuli nyingine za kibiashara au mitambo:……………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………… ……… (8) Rasilimali nyinginezo au maslahi ambayo kiongozi wa umma anapenda kutaja:…………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………… (9)Madeni:……………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………… Tamko hili linatolewa na kusainiwa mbele yangu …………………………………………………………. na (mtoa tamko)……………………………………… ninayemfahamu binafsi, au aliyetambulishwa kwangu na …………………………………………………………………… .....….………….. ambaye ninamfahamu leo tarehe …………………………….. Mtoa tamko Mwezi wa ………………………………………………………. saini……………………………………………………………... Wadhifa:……………………………………………………….. 73 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) Anuani:………………………………………………………... …………………………………………………………………. (Tamko hili lazima litolewe mbele ya Kamishna wa Viapo) KWA: KAMISHINA WA MAADILI, SEKRETARIETI YA MAADILI, S.L.P 13341, DAR ES SALAAM. 74 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo La Serikali Na. 277 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya wilaya ya Kiteto Imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya Kiteto Uliofanyika Tarehe 23 mwezi, 06, 2022 na Kushuhudiwa Lakari Hiyo Ikigongwa Mbele Ya :- INNOCENT MBANDWA MUKANDALA Mkurugenzi Mtendaji (w) Halmashauri ya Wilaya Biharamulo LEO MATHEW LUSHAHU mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya Biharamulo L.S NAKUBALI Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA 30 January, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 75
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in