AI-assisted research summary: Mipango kina kwa eneo lililoainishwa kwenye Jedwali inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi.
3. Mipango kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Kilalo Tangazo la Serikali Na. 727 (Linaendelea) ________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL7 yenye majira – nukta 486184MS, 9693292KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS30012’19”MS kwa umbali wa kilomita 1.05 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB328 yenye majira – nukta 487090MS, 9692928KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS188010’21”MG kwa umbali wa kilomita 0.77 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba KL1 yenye majira – nukta 486982MS, 9692006KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS246031’13”MG kwa umbali wa kilomita 0.24 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL2 yenye majira – nukta 486767MS, 9691910KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ315017’10”MG kwa umbali wa kilomita 0.42 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL3 yenye majira – nukta 486462MS, 9692212KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ28002’17”MG kwa umbali wa kilomita 0.44 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB329 yenye majira – nukta 485861MS, 9692211KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS244013’16”MG kwa umbali wa kilomita 0.18 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL4 yenye majira – nukta 485861MS, 9692211KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ342017’03”MG kwa umbali wa kilomita 0.52 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL5 yenye majira – nukta 485703MS, 9692711KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ37013’55”MS kwa umbali wa kilomita 0.64 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL6 yenye majira – nukta 486092MS, 9693223KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ52044’1”MG kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi ulipoanzia.” Dodoma, DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI 14th Agosti, 2024 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2