AI-assisted research summary: Mipango kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi.
3. Mipango kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi ________ JEDWALI __________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL1 yenye majira – nukta 575966EMS, 9715430KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS203019’16”MG kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL2 yenye majira – nukta 575747MS, 9714922KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS264021’19”MG kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL3 yenye majira – nukta 575269EMS, 9714875KZ; baada ya hapo 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Kasoli Tangazo la Serikali Na. 729 (Linaendelea) mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ30002’38”MG kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL4 yenye majira – nukta 574938MS, 9715066KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ3056’43”MS kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL5 yenye majira – nukta 574964MS, 9715443KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ296026’5”MG kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL6 yenye majira – nukta 574612MS, 9715618KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Masahriki katika uelekea wa KZ23049’35”MS kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL7 yenye majira – nukta 574888MS, 9716243KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ69046’3”MS kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL8 yenye majira – nukta 575238MS, 9716372KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS12305’15”MS kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL9 yenye majira – nukta 575459MS, 9716228KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS18302’28”MG kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL10 yenye majira – nukta 575442MS, 9715008KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS121036’55”MS kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KL11 yenye majira - nukta 575853MS, 9715655KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS153019’59”MS kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi ulipoanzia.” Dodoma, DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI 14 August, 2024 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2