AI-assisted research summary: Mipango kina ya eneo lililoainishwa kwenye Jedwali inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi.
3. Mipango kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi. _______ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IB6 yenye majira – nukta 604085MS, 9693661KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS14907’13”MS kwa umbali wa kilomita 0.95 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IB7 yenye majira – nukta 604575MS, 9692842KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS203041’42”MG kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IB1 yenye majira – nukta 604374MS, 9692384KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ273034’9”MG kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IB2 yenye majira – nukta 603877MS, 9692415KZ; 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ibulyu Tangazo la Serikali Na. 734 (Linaendelea) baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KS000’0”MG kwa umbali wa kilomita 0.26 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IB3 yenye majira – nukta 603877MS, 9693678KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ306054’44”MG kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IB4 yenye majira – nukta 603350MS, 9693098KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ44013’16”MS kwa umbali wa kilomita 0.35 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IB5 yenye majira – nukta 603704MS, 9693463KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ62032’23”MS kwa umbali wa kilomita 0.38 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 14 Agosti, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2