AI-assisted research summary: Mipango kina ya eneo lililo kwenye Jedwali lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi.
3. Mipango kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi _________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGG1 yenye majira – nukta 607068MS, 9732963.07KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS177020’30”MS kwa umbali wa kilomita 1.93 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NAF147 yenye majira – nukta 607157.28MS, 9731040.18KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ68044’13”MS kwa umbali wa kilomita 0.355 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGG2 yenye majira – nukta 607488.51MS, 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Igegu Na Igegu Magharibi Tangazo la Serikali Na. 735 (Linaendelea) 9731169.08KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS143045’12”MS kwa umbali wa kilomita 1.07 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGG3 yenye majira – nukta 608122MS, 9730305KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ271011’59”MG kwa umbali wa kilomita 0.757 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGG4 yenye majira – nukta 607365.2MS, 9730320.85KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ271011’59”MG kwa umbali wa kilomita 0.962 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGG5 yenye majira – nukta 609403MS, 9730341KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ356020’46” kwa umbali wa kilomita 0.784 MG hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGG6 yenye majira – nukta 606353MS, 9731124KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ276012’28”MG kwa umbali wa kilomita 0.86 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGG7 yenye majira – nukta 605498MS, 9731866KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ35705’21”MG kwa umbali wa kilomita 0.65 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGG8 yenye majira – nukta 605465MS, 9731866KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ6500’1”MS kwa umbali wa kilomita 0.606 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB392 yenye majira – nukta 606014MS, 9732122KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ13057’9”MS kwa umbali wa kilomita 0.664 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB442 yenye majira – nukta 606174MS, 9732766KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS95039’28”MS kwa umbali wa kilomita