Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ya Mwaka 2024
This section states the by-law’s short title: the Kisarawe District Council Fees and Charges By-Law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the by-law’s short title: the Kisarawe District Council Fees and Charges By-Law, 2024. This section says the by-law applies throughout the entire Kisarawe District Council area. This section defines key terms used in the by-law, including fees, permit, market, stand, levy, authorized officer, director, and agent. Halmashauri inatoza ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma mbalimbali, na malipo hufanywa kwa Halmashauri au wakala wake kama itakavyoelekeza. Wajibu wa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii unapaswa kutekelezwa kwa viwango vilivyoainishwa humo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ya Mwaka 2024
Showing 37 of 37
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section states the by-law’s short title: the Kisarawe District Council Fees and Charges By-Law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This section says the by-law applies throughout the entire Kisarawe District Council area.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, permit, market, stand, levy, authorized officer, director, and agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo vinginevyo- “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya lengo Kisarawe; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) “Mkurugenzi” maana udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; Utozaji wa Ada au Ushuru “soko” maana yake ni eneo lililotengwa na linalomilikiwa na Halmashauri kwa matumizi ya soko; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii; - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma mbalimbali, na malipo hufanywa kwa Halmashauri au wakala wake kama itakavyoelekeza.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama la Kwanza la Sheria Ndogo hii. ilivyoainishwa katika Jedwali (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadiri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Wajibu wa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii unapaswa kutekelezwa kwa viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) Muda wa kukusanya ada au ushuru Ukodishaji wa mali na rasilimali za Halmashauri ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Fees or taxes are collected during the stated daytime hours, unless the Director gives special permission for collection after hours.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (5) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalum kuruhusu shughuli za usafirishaji wa bidhaa yoyote kufanyika nje ya muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itapangisha na kukodisha mali
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kupangisha/kukodisha mali zake na kutoza kodi; wapangaji fulani lazima waweke mkataba wa maandishi na hawaruhusiwi kupanga tena, kuuza, au kufanya ukarabati mkubwa bila idhini.
7.-(1) Halmashauri itapangisha na kukodisha mali na rasilimali zake na kutoza kodi katika majengo, mitambo, nyumba, vibanda vya biashara, viwanja na maeneo ya biashara yanayomilikiwa au kutengwa na Halimashauri katika maeneo yote ya miji na vijiji ndani ya Halmashauri. (2) Itakua ni wajibu kwa mtu yeyote atakayepanga au kukodi mtambo, nyumba au vibanda au jengo la Halmashauri au upangajii kuingia mkataba wa ukodishwaji wa maandishi kati yake na Halmashauri. (3) Mtu yeyote atakayeshindwa kulipa kodi ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kupanga au kukodi atafungiwa kibanda au nyumba au kurejesha na kukabidhi 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) mtambo kwa mmiliki na endapo kibanda au nyumba itaendelea kufungwa kwa sababu hiyo kwa muda wa siku thelathini huyo atanyang’anywa na atapangishwa mtu mwingine kwa mujibu wa masharti yatakayoainishwa katika mkataba wa upangaji. pango mpangaji kulipa bila Rejesta katika nyumba za kulala wageni Wajibu wa kuandaa taarifa. Utoaji wa stakabadhi za malipo (4) Mpangaji hatampangisha mtu mwingine, kuuza au kufanya ukarabati mkubwa wa nyumba au jengo bila idhini ya Halimashauri. - 8 Verify source ↗
Kila mmiliki wa nyumba ya kulala wageni
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni anatakiwa kuandika wageni wote katika rejista ya wageni inayotolewa na Halmashauri, baada ya kulipa ada iliyoainishwa na Halmashauri.
8. Kila mmiliki wa nyumba ya kulala wageni atatakiwa kuandikisha wageni wote katika rejista ya wageni itakayotolewa na Halmashauri baada ya mmiliki wa nyumba ya kulala wageni kulipia ada kwa kiwango kitakachokuwa kimepangwa na Halmashauri. - 9 Verify source ↗
Kila mfanyabiashara au mtoa huduma katika
AI-assisted research summary: Kila mfanyabiashara au mtoa huduma katika Halmashauri lazima aandaye na atunze taarifa za biashara au huduma yake.
9. Kila mfanyabiashara au mtoa huduma katika Halmashauri atakuwa na wajibu wa kuandaa na kutunza taarifa za biashara au huduma yake. - 10 Verify source ↗
(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hulipwa kwa Halmashauri au Wakala, na mlipaji anatakiwa kudai na kukagua stakabadhi ya malipo.
10.-(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, utalipwa kwa Halmashauri au kwa Wakala ambaye atatoa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (2) Utakuwa ni wajibu wa kila mlipa ada au ushuru kudai na kuhakiki stakabadhi ya malipo kulingana na kiasi cha fedha alicholipa. (3) Utakuwa sio utetezi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, mtu kudai kuwa amelipa ada au ushuru lakini hakupewa stakabadhi ya kielektroniki. Ukusanyaji wa madeni - 11 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya ushuru unaodaiwa kupitia mahakama, kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa, na kuuza mali zilizokamatwa chini ya masharti fulani.
11.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya mahakama endapo mtu halisi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1), Halmashauri 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. zilizokamatwa (5) Bila kuathiri ya kanu ni ndogo ya (3) na (4), Halmashauri kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote ile itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 12 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake, na wakala huyo lazima akusanye kwa viwango vilivyoainishwa na kwa kutumia mfumo wa kielektroniki.
12.-(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua Wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 13 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa mchana kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali.
13. Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Makosa - 14 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa
AI-assisted research summary: Anyone commits an offence if they fail to pay required fees or taxes, interfere with officials, give false information, fail to keep required records, ignore council orders, make or keep false documents, or use a vehicle to transport untaxed goods.
14.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; (g) atatengeneza, ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; au (h) atatumia cha usafiri kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru chochote chombo 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) au ada. Adhabu Kufililisha kosa - 15 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti
AI-assisted research summary: A person convicted of violating these by-laws must pay a fine, serve imprisonment, or both.
15. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua Shilingi laki mbili na kisichozidi Shilingi Milioni moja au kifungo kisichopungua miezi sita na kisichozidi miaka miwili au vyote. - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumaliza kosa kwa kumtoza mkosaji Shilingi laki mbili, ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari, yuko tayari kujaza fomu maalum, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
16. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha Shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa TS. Na. 482 la, 2015 - 17 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya
AI-assisted research summary: This section repeals the Kisarawe District Council Fees and Charges By-Law of 2015.
17. Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ya Mwaka 2015 inafutwa. ______________ JEDWALI LA KWANZA _______________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(1)) ADA NA USHURU WA VIBALI, LESENI NA HUDUMA MBALIMBALI SEHEMU YA KWANZA Ushuru wa Minara na Matangazo/Mabango Namba Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha maombi na aina za matangazo au promosheni zinazohusiana na kutumia vipaza sauti, pamoja na matangazo mengine ya masuala ya kijamii na picha jongefu.
1. Maombi ya kufanya matangazo ya biashara au promosheni Kwa siku kwa kutumia vipaza sauti Matangazo mengineyo yahusuyo masuala ya kijamii kwa kutumia vipaza sauti Picha Jongefu. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The section lists daily charge amounts in shillings for Halmashauri rental fees or taxes.
3. Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 50,000/= kwa siku 5,000/= kwa siku 50,000/= kwa siku 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) SEHEMU YA PILI Ada za kukodisha Mali za Halmashauri Namba Aina ya kifaa
Part
SEHEMU YA PILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The provision lists a fee or tax of Shilingi 40,000 per month for Banda la Mgahawa.
1. Banda la Mgahawa Kiwango cha Ada au Ushuru (Shilingi) 40,000 kwa mwezi - 24 Verify source ↗
Section 24
AI-assisted research summary: This provision lists local council fees and charges for different services and facilities.
24. 300 50,000 kwa mwezi 200,000/= kwa mwezi 40,000/= kwa mwezi 40,000/= kwa mwezi 100,000 kwa mwezi 50,000 kwa mwezi 30,000 kwa mwezi 50,000 kwa mwezi 70,000 kwa mwezi 100,000 kwa mwezi 40,000 kwa mwezi Kisadeko ya zamani Kisadeko mpya Sehemu ya kuoshea vyombo vya moto (car wash) Gereji ya vyombo vya moto Choo cha umma kituo kipya Choo cha umma kituo cha zamani Kutumia choo cha umma cha kulipia Nyumba ya chumba kimoja Nyumba ya vyumba viwili Nyumba ya vyumba vitatu Jengo la ofisi Banda la biashara kituo cha zamani cha mabasi Banda la biashara kituo kipya cha mabasi Banda la biashara uwanja wa mpira bombani Banda la biashara la Halmashauri Trekta Lori Ukumbi kwa ajili ya mikutano au vikao Ukumbi kwa ajili ya sherehe Machine ya kushindilia Maegesho ya kulaza gari katika gereji 100,000 kwa Ligi Uwanja wa mpira Kukodisha mitambo mingine 50,000 kwa siku 50,000 kwa siku 10,000 kwa siku 100,000 kwa masaa 8 200,000 kwa masaa 8 30,000 kwa siku 1,000 kwa siku 20,000 kwa mwezi 80,000 kwa mwezi 40,000 kwa mwezi 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) SEHEMU YA TATU Ada ya Mabaraza ya Kata Namba Huduma
Part
SEHEMU YA TATU
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Provision hii inaorodhesha ushuru/ada za baadhi ya shughuli, ikiwemo kufungua shauri, usafirishaji wa mazao ya mbao, na ada za vibali.
3. Kufungua shauri Kuhamisha Baraza Upekuzi wa Jalada Kiwango cha Ushuru 5,000/= 40,000/= 5,000/= (Shilingi) SEHEMU YA NNE Ushuru wa Usafirishaji Mazao ya mbao Jina la kinachosafirishwa Kiwango/Idadi Mlango wa mbao mpya 1 1 Dirisha la mbao jipya 1 Kitanda cha mbao kipya 1 Meza/Kiti cha mbao kipya Mipini 1 Miko/Chanuo/Vinu/Mikeka/Vigoda/Vikapu 1 Magome/Mizizi/Majani/Vijiti Kindu/Matete/Mianzi Kilo1 M3 1 SEHEMU YA TANO Ada za Vibali Kiwango cha Ada (Shilingi) 10,000/= 10,000/= 20,000/= 10,000/= 300/= 300/= 1,000/= 1,000/= Namba Aina ya Kibali A
Part
SEHEMU YA TANO
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Orodha hii inataja vibali vya ujenzi na vibali vya shughuli mbalimbali, ikiwemo kwa kiwanja cha makazi, huduma za jamii, makazi na biashara, na biashara na viwanda.
1. Vibali vya Ujenzi Kiwanja cha makazi pekee Kiwanja cha huduma za jamii Kiwanja cha Makazi na Biashara Kiwanja cha biashara na viwanda Ukaguzi wa ramani za nyumba kwa ajili ya kibali cha ujenzi Vibali vya Shughuli mbalimbali - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The provision lists fee amounts in shillings, apparently linked to square-meter measurements.
2. B Kiwango cha Ada (Shilingi) Ada 500/=kwa mita za mraba 300/= kwa mita za mraba 600/= kwa mita za mraba 700/= kwa mita za mraba 30,000/= 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) - 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: The provision lists fees for several event-related activities and separate veterinary service charges for different animals.
19. Sherehe Mshereheshaji na Music MC Mpiga picha Mpambaji Chakula Vinjwaji Ngoma Muziki Mikutano ya adhara isipokuwa ya dini na siasa Kongamano Uhamasishaji Tamasha Bonanza Ushoroba Festival Mashindano ya michezo utafiti Shughuli zingine ambazo hazijatajwa Holding fee 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa uhamasishaji 500,000/= kwa siku 100,000/= kwa shindano 500,000 kwa siku 100,000/ kwa shindano 50,000/= kwa tafiti 30,000/= kwa siku 30,000/= kwa mwaka SEHEMU YA SITA Ada za Huduma za Mifugo Namb a. MFUG O MNAD A MACHINJI O USAFIRISH AJI CHANJO/DA WA UKAGU ZI Ng’omb e 4,000 1,500 4,000 1,000 – 10,000 1,500 ULIN ZI 20,000 kwa Siku kwa Mlinzi Mbuzi 1,500 1,500 Kondoo Nguruw e Sungura 500 1,500 Mbwa 1,000 Paka kuku 500 200 600 600 600 500 - - - 1,500 1,500 1,500 500 1,500 500 - 10
Part
SEHEMU YA SITA
- 200 Verify source ↗
5,000
AI-assisted research summary: This fragment lists numbers and repeated text, but it does not clearly state a rule.
200 – 5,000 600 600 600 500 Uteketeza ji Uteketeza ji 500 100,00 0 100,00 0 - - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Section 8 of the Kisarawe District Council fees and taxes bylaw notice.
8. Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Section 12 lists names and figures, including amounts such as 200 and 4000, but no clear rule is stated in the text provided.
12. Bata Kanga 200 200 Njiwa 200 Mingin e 200 – 4000 - - - - - - - 200 Verify source ↗
5,000
AI-assisted research summary: This section lists mining tax rates per ton for different mineral types.
200 – 5,000 500 500 500 500 - - - - Namba Aina ya Madini Mawe Mchanga Kifusi Kokoto Kaolin (dongojasi) SEHEMU YA SABA Ushuru wa Madini Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 6,000 kwa tani 2,000 kwa tani 1,500 kwa tani 6,000 kwa tani 3,000 kwa tani
Part
SEHEMU YA SABA
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Huu ni jedwali la ada/ushuru wa ukusanyaji wa taka ngumu na fidia ya utunzaji mazingira kwa viwanda na machimbo.
10. Chokaa Fidia ya utunzaji mazingira kwa viwanda na machimbo 2,000 kwa tani 1,500,000 kwa mwaka SEHEMU YA NANE Ushuru wa Ukusanyaji wa Takangumu Aina ya Biashara au Huduma Makazi (Kaya) Kundi lenye kipato cha juu Kundi lenye kipato cha kati Kundi lenye kipato cha chini Mgahawa mkubwa Mgahawa mdogo Nyumba ya kulala wageni Zahanati (taka zisizo hatari) Kituo cha afya (taka zisizo hatari) Hospitali (binafsi) Kiwanda cha kuuza mbao Fundi seremala wakubwa Fundi seremala wadogo 11 kiwango cha ushuru (Shilingi) 10,000 kwa mwezi 5,000 kwa mwezi 2,000 kwa mwezi 15,000 kwa mwezi 10,000 kwa mwezi 20,000 kwa mwezi 15,000 kwa mwezi 20,000 kwa mwezi 50,000 kwa mwezi 20,000 kwa mwezi 10,000 kwa mwezi 3,000 kwa mwezi Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA NANE
- 45 Verify source ↗
Section 45
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaorodhesha ada za kila mwezi kwa biashara na huduma mbalimbali, na kinaonyesha kwamba ada hiyo inaweza kupangwa na kamati ya kudumu husika.
45. 30,000 kwa mwezi 15,000 kwa mwezi Fundi chuma 20,000 kwa mwezi Karakana 20,000 kwa mwezi Kiwanda kidogo 100,000 kwa mwezi Kiwanda kikubwa 20,000 kwa mwezi Duka la jumla Duka la rejereja/huduma vijijini 5,000 kwa mwezi Duka la rejareja/huduma mji mdogo 10,000 kwa mwezi 20,000 kwa mwezi Shule ya Msingi ya Bweni (binafsi) 10,000 kwa mwezi Shule ya msingi ya kutwa (binafsi) 15,000 kwa mwezi Shule ya Sekondari ya kutwa (binafsi) Shule ya Sekondari ya Bweni (binafsi) Duka dogo la chakula Duka kubwa la chakula Baa Klabu ya usiku Kumbi za Sherehe Duka la kuuza nyama na samaki Duka la dawa (Jumla na Rejareja) Duka la dawa (Rejareja) Dobi mkubwa Fundi wa vifaa vya umeme Fundi kushona Saluni Kituo cha kuuza mafuta Stoo Ghala Hoteli: (a) ya kitalii (b) ya kawaida Taasisi klabu ya pombe ya asili Kituo cha michezo Uwanja wa michezo Washona viatu Stoo za mkaa Mama Lishe na Baba Lishe Vituo vya kuoshea magari Aina nyingine ya biashara/huduma 10,000 kwa mwezi 30,000 kwa mwezi 20,000 kwa mwezi 20,000 kwa mwezi 20,000 kwa mwezi 10,000 kwa mwezi 10,000 kwa mwezi 10,000 kwa mwezi 20,000 kwa mwezi 5,000 kwa mwezi 3,000 kwa mwezi 10,000 kwa mwezi 30,000 kwa mwezi 5,000 kwa mwezi 10,000 kwa mwezi 30,000 kwa mwezi 15,000 kwa mwezi 50,000 kwa mwezi 5,000 kwa mwezi 5,000 kwa mwezi 20,000 kwa mwezi 2,000 kwa mwezi 10,000 kwa mwezi 5,000 kwa mwezi 50,000 kwa mwezi Ada itapangwa na kamati ya kudumu husika na chanzo hicho kila itakapo 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) - 46 Verify source ↗
Section 46
AI-assisted research summary: Text suggests a monthly charge of 5,000 per square meter for demolition and removal of construction debris, but the wording is unclear.
46. Ubomoaji na uondoaji mabaki ya vifaa vya ujenzi kwa mita moja ya mraba hitajika kwa mwezi 5,000 kwa kazi SEHEMU YA TISA Ushuru wa kulaza vyombo vya usafiri maeneo yanayomilikiwa na Halmashauri Namba
Part
SEHEMU YA TISA
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonesha viwango vya ushuru kwa aina tofauti za magari yanayoingia kituo cha mabasi.
10. Aina ya Chombo cha Usafiri Basi kubwa Basi dogo Gari ndogo (pick up) Lori lenye uwezo wa kubeba tani 2 hadi 5 Lori lenye uwezo wa kubeba tani 6 hadi 10 Kuingia kituo cha mabasi lenye uwezo wa kubeba abiria 30 na zaidi Kuingia kituo cha mabasi lenye uwezo wa kubeba abiria 15 hadi 29 Kuingia kituo cha mabasi lenye uwezo wa kubeba abiria 1 hadi 14 Kuingia kituo cha mabasi kwa teksi, pikipiki na bajaji. Kuingia kituo cha mabasi kwa kwa magari yasiyo ya abiria. Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 2,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 2,000/= kwa siku 5,000/= kwa siku 2,000 kwa safari 1,000 kwa safari 500 kwa safari 1,000 kwa safari 1,000 kwa safari SEHEMU YA KUMI Gharama za utupaji taka kwenye jalala la taka Namba Kiasi cha taka
Part
SEHEMU YA KUMI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka ada na ushuru mbalimbali kwa bidhaa za misitu, mazao ya kilimo, na mauzo ya kiwanja/shamba lisilopimwa, pamoja na bei zinazotokana na gharama za uzalishaji kwa bidhaa fulani za Halmashauri.
2. Chini ya tani moja Tani moja Kiwango cha Ada (Shilingi) 50,000/= kwa safari 40,000/= kwa safari 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA MOJA Ushuru wa Mazao ya Misitu Namba Aina ya Mazao Aina zote za mazao ya Misitu. Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Asilimia tano (5%) ya Mrabaha wa Serikali Kuu 500/=kwa kila ubao 1,000 100/=kwa kila mche 3,000/=kwa kila gunia 2,000/=kwa kila gunia Mbao (Mijengo, mikurunge na milunda) Mche wa matunda na isiyo ya matunda Mkaa gunia au kiloba kilo 50 Mkaa gunia au kiloba cha kati chini ya kilo 50 Mkaa gunia au kiloba cha kati chini ya kilo 50 Kuni kwa mita za mraba 3,000/= kwa mita za mraba Ushuru wa mazao ya kilimo kwa mnunuzi Asilimia 3 ya bei ya Mauzo Ushuru wamauzo ya kiwanja/shamba/eneo lisilopimwa asilimia kumi (10%) ya mauzo Bei ya tofali ni asilimia 25 ya gharama za uzalishaji kujumlisha gharama za uzalishaji na itakuwa ikikokotolewa na kutangazwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya. Bei ya korosho ni asilimia 25 ya gharama za uzalishaji kujumlisha gharama za uzalishaji na itakuwa ikikokotolewa na kutangazwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya. Bei ya bidhaa au malighafi zitakazo zalishwa na Halmashauri ni asilimia 25 ya gharama za uzalishaji kujumlisha gharama za uzalishaji na itakuwa ikikokotolewa na kutangazwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya.
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
- 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha vipengele vya ada ya utalii kwa wageni wa nje, wazee/watoto wenye umri wa miaka 7–16, wakazi, na Watanzania, lakini haionyeshi kiasi au kanuni kamili.
12. SEHEMU YA KUMI NA MBILI Namba Huduma/Eneo Mgeni wa nje Ada ya Utalii Mgeni wa nje mtoto umri miaka 7-16 Mgeni wa nje mkazi Mgeni wa nje mkazi motto umri miaka 7-16 Watanzania Watanzania watoto umri wa miaka7- 16
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text shows a Kisarawe District Council bylaw on fees and taxes, with listed amounts for Boma la Kisangire.
1. Boma la Kisangire 20,000 10,000 10,000 5,000 3,000 1,000 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Section 7 lists fees and charges for named activities and says research is charged at five percent of the research budget.
7. Vimondo Panga la Mwingereza Chuo cha Biblia Maneromango Majengo ya Minaki Ada ya Kambi kwa siku Utafiti katika maeneo ya malikale 10,000 5,000 5,000 2,500 2,000 10,000 5,000 5,000 2,500 2,000 1,000 1,000 20,000 10,000 10,000 5,000 3,000 1,000 20,000 10,000 10,000 5,000 3,000 1,000 20,000 10,000 10,000 7,000 6,000 2,000 Asilimia tano ya bajeti ya Utafiti. 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) ___________ JEDWALI LA PILI ____________ (Limetengenezwa Chini ya aya ya 16) FOMU YA KUKIRI NA KUFILILISHA KOSA Mimi ........................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MIMI MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe kwamba Tarehe ..........ya Mwezi .................. Mwaka................ nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya Kifungu cha …….. cha Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru na faini ninayodaiwa. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo Tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka …… Jina: .................................................... Saini: .................................................. MBELE YA: Jina…….............................................. Wadhifa: ............................................. Saini: .................................................. Tarehe: ............................................... 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Tangazo La Serikali Na. 322 (Linaendelea) Nembo ya Halmashauri ya wilaya ya kisarawe imebandikwa katika Sheria Ndogo hizi kufutia maamuzi ya yaliyopitishwa na kikao cha Halmashauri kilichofanyika tarehe 10 mwezi Mei 2023 Muhuri huo umepigwa mbele ya:- BETRICE R. DOMINIC Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ZUBERI J. KIZWEZWE Mwenyekiti wa Halmashauri Halmashauri ya Wilaya Kisarawe NAKUBALI L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB) 25 March, 2024 Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 17
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in