AI-assisted research summary: This section amends the by-law by replacing its tables with new annual service charges and tax rates for listed business types and machines.
3. Sheria Ndogo Kuu inarekebishwa kwa kufuta Majedwali na kuyaandika upya kama ifuatavyo: 1 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya (Ushuru wa Huduma) ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo la Serikali Na. 752 (Linaendelea) _______________ JEDWALI LA KWANZA ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 3) Ushuru wa Mashine za Nafaka Na. Aina ya Biashara Huduma inayotolewa 1 2 3 4 5 Mashine kubwa Mashine ya kati Mashine za kusaga na kukoboa kibiashara Mashine za mtaani Mashine za kufyatua tofali na kuuza kugrade, kukoboa, Kusaga, kupaki na kuwa na stoo Kusaga, kukoboa na kuwa na stoo bila kugrade Kusaga na kukoboa kibiashara bila kuwa na stoo wala kugrade Kusaga na kukoboa kwa kiwango cha chini mtaani Kufyatua tofali na kuuza paving, nguzo za uzio, nguzo za urembo na biashara nyingine inayoendana na hiyo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1,000,000/= kwa mwaka 500,000/= kwa mwaka 300,000/= kwa mwaka 60,000/= kwa mwaka 600,000/= kwa mwaka ____________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4) Ushuru wa Huduma kwa vyanzo vingine Na. Aina ya Biashara 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Gereji au karakana Taasisi za mikopo Maduka ya vifaa vya ujenzi Michezo ya kubashiri Maduka ya vipuri vya pikipiki Uchomeleaji Maeneo ya kuoshea magari Biashara ndogondogo Biashara za kati Biashara kubwa Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 300,000/= 300,000/= 120,000/= 600,000/= 120,000/= 120,000/= 100,000/= 40,000/= 60,000/= 120,000/= Muda wa kulipa Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka 2 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya (Ushuru wa Huduma) ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo la Serikali Na. 752 (Linaendelea) __________ JEDWALI LA TATU ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 5) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya (Ushuru wa Huduma) ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU: Jina: ……………………………………..…………… Saini………………………….………………………….. Wadhifa: ………………………………………………… Tarehe……………………………………………………. 3 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya (Ushuru wa Huduma) ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Tangazo la Serikali Na. 752 (Linaendelea) Lakari ya Halmashauri ya Wilaya ya shinyanga imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano uliofanyika tarehe 23- 25/3/2023 Mwaka 2022 na kushuhudiwa Lakari hiyo ikigongwa mbele ya;- MWL. ALEXIUS REVOCATUS KAGUNZE Mkurugenzi Halmashauri ya Manispaa Shinyanga MH. ELIAS RAMADHAN MASUMBUKO Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga NAKUBALI, L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA, 30 Januari, 2024 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa 4