AI-assisted research summary: Mipango kina kwa eneo lililoainishwa kwenye Jedwali lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi.
3. Mipango kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi. __________ JEDWALI ___________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SP5 yenye majira – nukta 606036.82MS, 9739236.38KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ51018’15”MS kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB336 yenye majira – nukta 606688MS, 9739758KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Sapiwi Tangazo la Serikali Na. 757 (Linaendelea) Mashariki katika uelekeo wa KS104019’35”MS kwa umbali wa kilomita 1.66 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SP6 yenye majira – nukta 608349.55MS, 9739333.66KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS186015’52”MG kwa umbali wa kilomita 1.35 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SP7 yenye majira – nukta 608201.5MS, 9737984.98KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS195010’24”MG kwa umbali wa kilomita 0.78 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SP8 yenye majira – nukta 607991.65MS, 9737208.97KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS256039’39”MS kwa umbali wa kilomita 0.56 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SP1 yenye majira – nukta 607428MS, 9737075KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ271047’11”MG kwa umbali wa kilomita 0.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SP2 yenye majira – nukta 606542.97MS, 9737103.19KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ357053’41”MG kwa umbali wa kilomita 0.67 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SP3 yenye majira – nukta 606518.47MS, 9737769.76KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ320059’52”MG kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SP4 yenye majira – nukta 606231.69MS, 9738123.66KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ35003’53”MG kwa umbali wa kilomita 1.1 hadi ulipoanzia” Dodoma, DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI 14 Agosti, 2024 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2