AI-assisted research summary: Mipango ya kina ya eneo lililo kwenye Jedwali lazima iandaliwe na ihifadhiwe na Mkurugenzi wa Mipango Miji pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi.
3. Mipango kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi. _________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MTG1 yenye majira – nukta 621090MS, 9740030KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS115058’10”MS kwa umbali wa kilomita 0.769 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MTG2 yenye majira – nukta 621403MS, 9739328KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS191034’49”KS kwa umbali wa kilomita 1.21 hadi kwenye alama ya mpaka ya 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Matongo Tangazo la Serikali Na. 760 (Linaendelea) upimaji namba MTG3 yenye majira – nukta 621161MS, 9738147KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS177056’56”KS kwa umbali wa kilomita 0.73 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MTG4 yenye majira – nukta 621187MS, 9737421KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS195059’8”MG kwa umbali wa kilomita 0.39 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MTG5 yenye majira – nukta 621079MS, 9737044KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ294016’28”MG kwa umbali wa kilomita 1.287 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MTG6 yenye majira – nukta 619906MS, 9737573KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ326057’41”MG kwa umbali wa kilomita 0.976 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MTG7 yenye majira – nukta 619374MS, 9738391KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ35058’33”MS kwa umbali wa kilomita 1.884 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MTG8 yenye majira – nukta 620481MS, 9739916KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ79023’51”MS kwa umbali wa kilomita 0.62 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 14 Agosti, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2