AI-assisted research summary: Mipango kina kwa eneo lililoainishwa kwenye Jedwali inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipango Miji pamoja na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi.
3. Mipango kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi. ________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MSN1 yenye majira – nukta 642543.96MS, 9706609.15KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS16601’15”MS kwa umbali wa kilomita 0.914 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MSN2 yenye majira – nukta 642764.75MS, 9705722.24KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG28302’35”MG kwa umbali wa kilomita 0.17 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MSN3 yenye majira – nukta 642600.85MS, 9705762.25KZ; baada ya 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Mwasinasi Tangazo la Serikali Na. 761 (Linaendelea) hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS230043’49”MG kwa umbali wa kilomita 0.58 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MSN4 yenye majira – nukta 642154.99MS, 9705397.71KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS19209’43”MG kwa umbali wa kilomita 0.65 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MSN5 yenye majira – nukta 642120.2MS, 9705236.28KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ279030’2”MG kwa umbali wa kilomita 0.68 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MSN6 yenye majira – nukta 641448.99MS, 9705348.61KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ152032’34”MS kwa umbali wa kilomita 0.203 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MSN7 yenye majira – nukta 641609.24MS, 9705474.37KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ326011’56”MG kwa umbali wa kilomita 0.42 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MSN8 yenye majira – nukta 641375.77MS, 9705823.11KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ36054’33”MS kwa umbali wa kilomita 0.94 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MSN9 yenye majira – nukta 641938.91MS, 9706572.89KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ86034’14”MS kwa umbali wa kilomita 0.61 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 14 Agosti 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2