AI-assisted research summary: Mwombaji anapewa kibali cha kujenga gati la kupokea meli za mafuta au gesi na bomba lake, lakini lazima utekeleze masharti kadhaa ya kiufundi na uhakikishe kampuni na wakandarasi wanazingatia kanuni za ushirkishwaji wa wazawa.
3. Mwombaji anapewa kibali cha ujenzi kwa ajili ya ujenzi wa Gati la Kupokea Meli za Mafuta au Gesi katika eneo lililopo kilomita 1.2 kutoka ufukweni bahari ya Hindi na Bomba la kupokea Mafuta au Gesi lenye urefu wa kilomita 3.4 lililopo Viwanja Na. 46, 47 na 48, Mjimwema, Kata za Tungi na Vijibweni, Manispaa ya 1 Notisi ya Kibali cha Ujenzi wa Gati la Kupokea Meli za Mafuta au Gesi na Bomba la Kupokea Mafuta au Gesi Kutoka Kwenye Gati Hadi Kwenye Ghala la Mafuta au Gesi kwa Kampuni Taifa Gas Tanzania Limited Tangazo la Serikali Na. 770 (Linaendelea) Kigamboni, Mkoa wa Dar es salaam, kwa masharti yafuatayo: (a) gati la kupokea meli za mafuta au gesi na bomba la kupokea mafuta au gesi litajengwa kwa kuzingatia viwango vikiwemo viwango vya Shirika la Viwango vya Kimataifa ISO 19901-7:2013, Viwango vya Taasisi ya Petroli ya Marekani API RP 2SK na API 570, Viwango vya Det Norske Veritas DNV-OS- E403, Baraza la Majini la Kampuni za Mafuta la Kimataifa, muongozo na mapendekezo, teknolojia na misingi ya uhandisi na mienendo bora ya ufanyaji za petroli inayokubalika kimataifa; shughuli (b) gati la kupokea meli za mafuta au gesi likiwa na uwezo wa kuhimili litajengwa matukio ya mabadiliko ya hali ya hewa ikiwemo mawimbi, upepo mkali, mkondo, kimbunga, uzito wa meli na dhoruba zinazotokana na mabadiliko ya misimu; (c) nyaya za kuunganisha meli na gati la kupokea meli za mafuta au gesi zitakuwa na uwezo wa kuhimili uzito wa meli; (d) gati la kupokea meli za mafuta au gesi litakuwa na nguzo imara ambazo zina uwezo wa kuhimili dhoruba za baharini, uzito wa meli na kuhakikisa shughuli za ufungaji meli katika gati zinafanyika kwa usalama; (e) kuhakikisha vifaa kwa ajili ya ujenzi wa gati la kupokea meli za mafuta au gesi vitakuwa na uimara wa unyumbulifu, visivyoweza kushika moto au kutu kwa urahisi, rahisi kuchomelea, na kuwekwe mifumo yakudhibiti kutu; kutosha na (f) kuhakikisha kunakuwa na vifaa vya kupima na kufuatilia mabadiliko ya hali ya hewa kwa ajili ya kuchukua hatua stahiki za kujikinga na dhoruba zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa; (g) kuhakikisha gati la kupokea meli za mafuta au 2 Notisi ya Kibali cha Ujenzi wa Gati la Kupokea Meli za Mafuta au Gesi na Bomba la Kupokea Mafuta au Gesi Kutoka Kwenye Gati Hadi Kwenye Ghala la Mafuta au Gesi kwa Kampuni Taifa Gas Tanzania Limited Tangazo la Serikali Na. 770 (Linaendelea) litakuwa na vifaa vya kutosha vya gesi kukabiliana na moto; (h) eneo la gati la kupokea meli za mafuta au gesi litakuwa na ukubwa wa kutosha ili kuwezesha meli kuingia na kutoka kwa urahisi na kuhakikisha operesheni zinafanyika kwa ufanisi na usalama; (i) kuhakikisha kunakuwa na mifumo ya mawasiliano kwa ajili ya gati la kupokea meli za mafuta au gesi na bomba lake kwa ajili ya kufuatilia operesheni za upokeaji mafuta au gesi; (j) kuhakikisha bomba la kupokea mafuta au gesi lina mifumo ya kulinda na kufuatilia utendaji wake ikiwemo mifumo ya kuzuia kutu, vali za kupunguza shinikizo la mafuta au gesi kwenye bomba, vali za kufunga bomba, geji za kupima shinikizo alama zinazoonesha mkuza wa bomba, mfumo wa kugundua uvujaji wa mafuta au gesi, na mfumo wa kusafisha na kufuatilia hali ya ubora wa bomba; na la mafuta gesi, au TS. Na. 197 la 2017 Ukomo wa kibali cha ujenzi (k) atahakikisha kampuni pamoja na wakandarasi wote wanazingatia masharti ya Kanuni za Mafuta ya Petroli za Ushirikishwaji wa Wazawa.