SHERIA NDOGO YA USHURU WA HUDUMA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YA MWAKA 2024
This section gives the by-law’s name: Muheza District Council Service Levy By-Law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA USHURU WA HUDUMA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YA MWAKA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the by-law’s name: Muheza District Council Service Levy By-Law, 2024. This by-law applies throughout the entire area of Muheza District Council. This section defines key terms used in the by-law, including the Council, Director, service levy payer, service levy, and agent. Halmashauri lazima itozeshe na kukusanya Ushuru wa Huduma kutoka kwa biashara na watoa huduma kwa kiwango kisichozidi 0.3%, na pia inaweza kutumia kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza kwa baadhi ya leseni za biashara. A sales-tax payer who fails to submit accurate sales information on time may be given a notice by the Director to submit it within 30 days.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA USHURU WA HUDUMA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YA MWAKA 2024
Showing 16 of 16
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This section gives the by-law’s name: Muheza District Council Service Levy By-Law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the entire area of Muheza District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa kama muktadha
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including the Council, Director, service levy payer, service levy, and agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Muheza; “kipindi maalum cha hesabu” maana yake ni muda ambao mfanyabiashara anatakiwa kuwasilisha hesabu za biashara kwa Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi chini ya Sheria; “mlipa ushuru wa huduma” maana yake ni taasisi, kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara mwenye leseni anayefanya shughuli zake katika eneo la Halmashauri; “Ushuru wa Huduma” maana yake ni ushuru unaotozwa na kukusanywa na Halmashauri kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara yeyote mwenye 1 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na. 778 (Linaendelea) leseni ya biashara ambaye mauzo yake kwa mwaka ni zaidi ya shilingi milioni nne kutokana na huduma anazopata na kutumia miundombinu ya umma inayomuwezesha kufanya biashara katika eneo la Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, na limeteuliwa kampuni Halmashauri kufanya kazi yoyote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri husika. ambalo shirika au Ushuru wa Huduma - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza na kukusanya Ushuru wa
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itozeshe na kukusanya Ushuru wa Huduma kutoka kwa biashara na watoa huduma kwa kiwango kisichozidi 0.3%, na pia inaweza kutumia kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza kwa baadhi ya leseni za biashara.
4.-(1) Halmashauri itatoza na kukusanya Ushuru wa Huduma kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kutoka kwa kila kampuni, tawi la kampuni, taasisi ya biashara, mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara na mtoa huduma yeyote yule kwa kiwango kisichozidi asilimia sifuri nukta tatu kutokana na uzalishaji wa bidhaa, kazi na huduma zinazofanyika na kutolewa ndani ya eneo la Halmashauri ukiondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani na kodi ya bidhaa. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri itatoza na kukusanya Ushuru wa Huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza kutoka leseni za biashara ambao kwa wafanyabiashara wenye hawawasilishi makadirio yao ya mapato au a kumbukumbu za kibiashara. Mamlaka ya Mkurugenzi - 5 Verify source ↗
(1) Endapo mlipa Ushuru wa Huduma anayetakiwa
AI-assisted research summary: A sales-tax payer who fails to submit accurate sales information on time may be given a notice by the Director to submit it within 30 days.
5.-(1) Endapo mlipa Ushuru wa Huduma anayetakiwa kuwasilisha taarifa ya mauzo chini ya Sheria Ndogo hii atashindwa kuwasilisha taarifa sahihi za mauzo kwa wakati, Mkurugenzi anaweza kutoa notisi ya kumtaka mlipa Ushuru wa Huduma kuwasilisha taarifa hiyo ndani ya siku thelathini kuanzia tarehe ya kutolewa kwa notisi. Wajibu wa Mlipa Ushuru wa- - 6 Verify source ↗
(1) Mlipa Ushuru wa Huduma atakuwa na wajibu
AI-assisted research summary: The service tax payer must pay the service tax, file accurate monthly sales information and accounts, keep records, and provide documents for inspection; there are also deadlines for final accounts, notice, estimates, and payment.
6.-(1) Mlipa Ushuru wa Huduma atakuwa na wajibu (a) kulipa Ushuru wa Huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kuwasilisha taarifa sahihi za mauzo ya kila mwezi endapo anawasilisha taarifa za hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania; (c) kuwasilisha hesabu sahihi na za kweli; (d) kuwasilisha nyaraka, maelezo taarifa au 2 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na. 778 (Linaendelea) inayotakiwa kuwasilishwa kwa Halmashauri katika muda uliowekwa; (e) kutunza kumbukumbu za vitabu vya hesabu; na (f) kuonesha kumbukumbu yoyote au nyaraka kwa ajili ya uchunguzi. (2) Mlipa ushuru atawasilisha kwa Halmashauri hesabu za mwisho katika kipindi cha miezi mitatu tangu kumalizika kwa kipindi cha hesabu. (3) Mlipa Ushuru wa Huduma atatakiwa kulipa Ushuru wa Huduma ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi. (4) Endapo mlipa ushuru hajawasilisha hesabu za mwisho kwa mwaka wa fedha husika, Mkurugenzi atatoa notisi kwa mlipa ushuru huyo, ya kumtaka kuwasilisha hesabu hizo ndani ya siku thelathini tangu siku ya kutolewa notisi hiyo. (5) Endapo mlipa ushuru hajawasilisha majumuisho ya hesabu zake kwa mwaka wowote wa mapato, Mkurugenzi au afisa muidhiniwa anaweza kwa kadri atakavyoona inafaa, kukadiria kiwango cha hesabu za mlipa ushuru huyo, isipokuwa makadirio hayo hayataathiri wajibu wowote wa mlipa ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kwa kushindwa kwake kuwasilisha hesabu hizo. (6) Ushuru unaotakiwa kulipwa kwa mujibu wa makadirio katika kanuni ndogo ya (5), utalipwa katika kipindi cha siku thelathini tangu tarehe ya makadirio hayo. (7) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (3), Halmashauri inaweza kukubaliana na mlipa Ushuru wa Huduma utaratibu wa kulipa ushuru huo. - 7 Verify source ↗
Mkurugenzi atakua na mamlaka yafuatayo
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuwataka walipa ushuru na watu wengine walio na taarifa kutoa hesabu, kumbukumbu, au taarifa za biashara kwa ajili ya ushuru wa huduma, na anaweza kuteua au kuelekeza maafisa kwa uchunguzi na ukokotoaji.
7. Mkurugenzi atakua na mamlaka yafuatayo: (a) kumtaka mlipa ushuru yeyote kuwasilisha hesabu zenye taarifa kamili za shughuli za kibiashara zikionyesha thamani ya kiasi na ya kifedha ya bidhaa au huduma zilizozalishwa, kutolewa kusambazwa au kuuzwa kibiashara na taarifa ya fedha katika kipindi maalum kisichozidi siku thelathini tangu tarehe ya taarifa hiyo. (b) kwa taarifa ya maandishi ya siku saba anaweza kumtaka mlipa ushuru kuwasilisha kumbukumbu za kibiashara na vitabu vya hesabu kwa nia ya kupata 3 Mamlaka ya Mkurugenzi Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na. 778 (Linaendelea) taarifa kwa ajili ya kufanyiwa kukusanya Ushuru wa Huduma. tathmini au (c) kumtaka kwa maandishi mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu mfanyabiashara anayepaswa kulipa Ushuru wa Huduma kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kuwasilisha kwake taarifa ambazo zitatumika kama taarifa sahihi. (d) kumteua Kamishna wa kodi ya forodha au kodi ya mapato kwa ajili ya kutathmini na kukusanya Ushuru wa Huduma na kuwasilisha kwa Halmashauri kwa lengo la kupata Ushuru wa Huduma pamoja na madeni yake. (e) kumwagiza kwa maandishi Afisa Muidhiniwa kuingia kwenye jengo au eneo la taasisi ya kibiashara au la mlipa ushuru yeyote kwa nia ya kufanya uchunguzi na tathmini ya kumbukumbu za biashara, vitabu vya hesabu na taarifa kwa ajili ya kupata na kujua kiwango sahihi cha ushuru anachotakiwa kulipa. Ukokotoaji wa Ushuru wa Huduma Uteuzi wa wakala Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 8 Verify source ↗
Halmashauri itakokotoa Ushuru wa Huduma kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri itakokotoa Ushuru wa Huduma kwa walipa ushuru wanaowasilisha taarifa za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania.
8. Halmashauri itakokotoa Ushuru wa Huduma kwa walipa Ushuru wa Huduma wanaowasilisha taarifa za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kuzingatia taarifa zinazowasilishwa na walipa Ushuru wa Huduma katika kipindi maalum cha hesabu. - 9 Verify source ↗
Bila ya kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri, na wakala huyo lazima awasilishe majumuisho ya makusanyo na ushuru aliokusanya.
9. Bila ya kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Mkurugenzi anaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri na wakala huyo atakuwa na majukumu ya- (a) kuwasilisha majumuisho ya makusanyo ya ushuru kwa Mkurugenzi au afisa muidhiniwa; na (b) kuwasilisha ushuru aliokusanya kwa mujibu wa mkataba. - 10 Verify source ↗
Afisa Muidhiniwa anaweza
AI-assisted research summary: Afisa Muidhiniwa anaweza kupokea, kukubali, na kutathmini hesabu za mlipa ushuru, na anaweza pia kukataa hesabu za mwisho ikiwa ana sababu za msingi za kuamini kuwa si sahihi.
10. Afisa Muidhiniwa anaweza- (a) kupokea na kukubali hesabu za mlipa ushuru na kuzifanyia kutathmini; (b) kufanya tathmini kuhusu kiwango cha hesabu cha mlipa ushuru endapo hesabu hizo zitakuwa si sahihi; au 4 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na. 778 (Linaendelea) Makosa (c) kukataa hesabu za mwisho na kufanya tathmini kuhusu hesabu hizo iwapo atakuwa na sababu za msingi za kuamini kuwa hesabu hizo siyo sahihi; - 11 Verify source ↗
(1) Mtu anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: This section makes it an offence for a person to submit false sales information, fail to pay the service levy on time, interfere with an authorised officer, make false accounts or records, or fail to keep records for inspection.
11.-(1) Mtu anatenda kosa endapo- (a) atashindwa kuwasilisha kwa Halmashauri taarifa sahihi za mauzo katika muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) atawasilisha kwa Halmashauri taarifa zisizo sahihi; (c) atashindwa kulipa Ushuru wa Huduma katika muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii; (d) atamshawishi mlipa Ushuru wa Huduma kukataa au kukwepa kulipa ushuru; (e) atamzuia au atajaribu kumzuia afisa muidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake aliyopewa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (f) atafanya hesabu za uongo kwa kupunguza au kutoa hesabu zisizokuwa sahihi kwa Halmashauri au wakala; (g) atatoa taarifa isiyokuwa sahihi kuhusu jambo lolote linaloweza kuathiri jukumu lake au la mtu mwingine la kulipa ushuru; au atasababisha kuandaliwa au kutengenezwa kwa vitabu vya uongo vya hesabu au kumbukumbu; atatengeneza (h) ataandaa au (i) atashindwa kulipa Ushuru wa Huduma ndani ya muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii; au (j) atashindwa kutunza kumbukumbu yoyote au nyaraka kwa ajili ya ukaguzi. Adhabu Kufifilisha kosa - 12 Verify source ↗
Mtu atakayekiuka masharti ya kanuni yoyote ya
AI-assisted research summary: A person who violates the conditions of any regulation under this bylaw is liable to a fine, imprisonment, or both.
12. Mtu atakayekiuka masharti ya kanuni yoyote ya isiyopungua Sheria Ndogo hii atawajibikia kulipa faini Shilingi laki mbili na isiyozidi Shilingi Milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja. - 13 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji hadi shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kwa hiari, anakubali kujaza fomu maalum, na kulipa ushuru unaodaiwa.
13. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi kisichozidi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Sheria Ndogo hii 5 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na. 778 (Linaendelea) na kulipa ushuru anaodaiwa. 6 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na. 778 (Linaendelea) _____________ JEDWALI LA KWANZA _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(2)) VIWANGO VYA USHURU WA HUDUMA KWA WAFANYABIASHARA WASIOWASILISHA MAKADIRIO MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA Namba Kiwango cha Leseni kwa Mwaka (Shilingi) Kuanzia 0 - 20,000 Ushuru wa Huduma anayopaswa kulipa (Shilingi) kwa mwaka 10,000.
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The text lists amounts for income bands and says traders using EFD machines are subject to 0.3% of their annual income.
8. 21,000-50,000 15,000. 51,000-100,000 101,000 na zaidi Wafanyabiashara wanaotumia mashine za EFD 0.3% ya mapato yao kwa mwaka 20,000. 30,000. Mnara wa simu na redio - 0 Verify source ↗
3% kwa kila robo mwaka
AI-assisted research summary: Salt mines are associated with a 0.3% quarterly amount.
0.3% kwa kila robo mwaka Migodi ya chumvi - 0 Verify source ↗
3% ya mauzo kwa mwezi
AI-assisted research summary: The text states a 0.3% monthly sales charge and mentions a 5,000/= yearly amount for small traders without a licence or entrepreneur ID.
0.3% ya mauzo kwa mwezi Wafanyabiashara wadogo wasio na leseni wala kitambulisho cha Mjasiliamali 5,000/= kwa mwaka _____________ JEDWALI LA PILI _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFILILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. Mwaka ……… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, niko tayari kulipa kiasi cha shilingi ……………….. kama faini ya ufililishaji na shilingi ……………….. ambayo ni ushuru ninaodaiwa. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU 7 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na. 778 (Linaendelea) Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………….……………………….. Saini………………………… MBELE YANGU: Jina: ……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………. 8 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Tangazo la Serikali Na. 778 (Linaendelea) Lakari ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa kufuatia azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Halmashauri uliofanyika mnamo tarehe 29 mwezi 07 Mwaka 2022 na lakari hiyo ilibandikwa mbele ya;- DR JUMAA MOHAMED MHINA, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya Muheza ERASTO JEROME MHINA Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya Muheza NAKUBALI, L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA, 25 Machi, 2024 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA USHURU WA HUDUMA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YA MWAKA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in