Notisi ya kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu ya Mwaka 2024
This notice is titled the Notice establishing the Wami Ruvu Basin Water Source Protection Areas for 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Notice
- Citation
- Notisi ya kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This notice is titled the Notice establishing the Wami Ruvu Basin Water Source Protection Areas for 2024. The areas listed in the Second Schedule are established as protected areas. Shughuli za kibinadamu haziruhusiwi katika eneo linalotiririsha maji au juu ya mipaka ya eneo lililohifadhiwa, kwa madhumuni ya kulinda na kuhifadhi maeneo yaliyoainishwa. Inaonekana kuorodhesha majina ya maeneo na thamani za eneo kwa mita za mraba. This notice identifies the Lukurunge water source area and says it is to be preserved as a protected water-source area.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Notisi ya kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu ya Mwaka 2024
Showing 9 of 9
- 1 Verify source ↗
Notisi hii itaitwa Notisi ya kuanzishwa kwa
AI-assisted research summary: This notice is titled the Notice establishing the Wami Ruvu Basin Water Source Protection Areas for 2024.
1. Notisi hii itaitwa Notisi ya kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu ya Mwaka 2024. - 2 Verify source ↗
Maeneo yaliyoainishwa katika Jedwali la Pili
AI-assisted research summary: The areas listed in the Second Schedule are established as protected areas.
2. Maeneo yaliyoainishwa katika Jedwali la Pili yameanzishwa kuwa maeneo ya hifadhi. - 3 Verify source ↗
Kwa madhumuni ya kulinda na kuhifadhi maeneo
AI-assisted research summary: Shughuli za kibinadamu haziruhusiwi katika eneo linalotiririsha maji au juu ya mipaka ya eneo lililohifadhiwa, kwa madhumuni ya kulinda na kuhifadhi maeneo yaliyoainishwa.
3. Kwa madhumuni ya kulinda na kuhifadhi maeneo yaliyoainishwa katika aya ya (2), shughuli za kibinadamu hazitaruhusiwa katika eneo linalotiririsha maji au lililopo juu ya mipaka ya eneo hilo lililohifadhiwa. 1 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) JEDWALI (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) ORODHA YA MAENEO YA HIFADHI YA VYANZO VYA MAJI BONDE LA WAMI RUVU Wilaya Mkoa Kijiji Na. Chanzo cha Maji Lukurunge Mzuwazi Mwangazi MbeziMorun g’anya Mbezi Kalundwa 1
Part
JEDWALI
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Inaonekana kuorodhesha majina ya maeneo na thamani za eneo kwa mita za mraba.
5. Konga Amini Kiswira Bagilo Morogoro Morogoro Morogoro Morogoro Morogoro Morogoro Morogoro Morogoro Eneo (mita za mraba) 231,62 61,055 10,027 76,488 Bagilo Morogoro Morogoro 70,882 - 1 Verify source ↗
ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA LUKURUNGE
AI-assisted research summary: This notice identifies the Lukurunge water source area and says it is to be preserved as a protected water-source area.
1. ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA LUKURUNGE Chanzo cha maji cha Mto Lukurunge Kinapatikana katika Kijiji cha Konga. Chanzo hiki kimetambuliwa mwaka 1998 na kimewekewa alama za mipaka mwaka 2022. Chanzo kinapatikana kati ya jira nukta mashariki 343844 hadi 344538 na jira nukta kaskazini 9235187 hadi 9236981. Pia kinapatikana umbali wa mita 520 hadi 536 kutoka usawa wa Bahari. Chanzo hiki ni moja ya kijito kinachomwaga maji yake katika Mto Ruvu na kinapatikana Wilaya ya Morogoro. Chanzo hiki huingiza maji yake katika Bwawa la Mindu ambalo hutumika na mamlaka ya maji Morogoro (MORUWASA). Eneo linlopendekezwa kuhifadhiwa ni Mita za Mraba 231,162 na hakuna ulipaji wa fidia unaohitajika kwakuwa hakuna shughuli za kibinadamu zinazofanyika katika eneo hili. Maeneo yaliyohifadhiwa ya vyanzo vya maji yameanzishwa kutoka katika Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji, Sura ya 331. Jira nukta zimeambatishwa kwenye jedwali na ramani ya eneo pendekezwa kwa ajili ya kutangazwa. Alama ya Mpaka B1 B2 B3 MASHARIK I KASKAZIN I UMBAL I (a.m.s.l) 343938 343962 343991 9236982 9236874 9236800 520 522 523 2 ENEO (MITA ZA MRABA) 231,162 MATUMIZI YA CHANZO Matumizi nyumbani ya Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) Alama ya Mpaka B4 B5 B6 B7 B8 B9 B10 B11 B12 B13 B14 B15 B16 B17 B18 B19 B20 B21 B22 B23 B24 B25 B26 B27 B28 B29 B30 B31 B32 B33 B34 B35 B36 B37 MASHARIK I KASKAZIN I UMBAL I (a.m.s.l) ENEO (MITA ZA MRABA) MATUMIZI YA CHANZO 344010 344002 344037 344096 344129 344140 344205 344286 344363 344417 344438 344443 344498 344510 344506 344510 344538 344478 344418 344283 344345 344413 344405 344389 344386 344390 344371 344322 344319 344279 344215 344129 344046 344030 9236693 9236605 9236515 9236422 9236326 9236234 9236181 9236115 9236042 9235951 9235851 9235746 9235656 9235557 9235515 9235478 9235360 9235268 9235188 9235222 9235303 9235386 9235418 9235449 9235503 9235549 9235651 9235743 9235849 9235942 9236015 9236079 9236163 9236210 523 523 530 525 526 527 530 530 529 528 530 530 530 532 533 534 536 534 534 533 532 532 532 531 531 531 530 530 529 529 529 529 526 527 3 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) Alama ya Mpaka B38 B39 B40 B41 B42 B43 B44 B45 MASHARIK I KASKAZIN I UMBAL I (a.m.s.l) ENEO (MITA ZA MRABA) MATUMIZI YA CHANZO 344021 344007 343991 343937 343896 343884 343893 343844 9236256 9236305 9236357 9236444 9236541 9236634 9236741 9236830 526 525 525 524 523 524 524 522 4 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) 5 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.)
Part
jedwali na ramani ya eneo pendekezwa kwa ajili ya kutangazwa.
- 2 Verify source ↗
ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA MZUWAZI
AI-assisted research summary: This provision identifies and describes the protected Mzuwazi water source area and its mapped boundaries.
2. ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA MZUWAZI. Chanzo cha maji cha Mto Mzuwazi Kinapatikana katika Kijiji cha Amini. Chanzo kimetambuliwa mwaka 2003 na kimewekewa alama za mipaka mwaka 2023. Chanzo hiki kinapatikana kati ya jira nukta mashariki 365821 hadi 366113 na jira nukta kaskazini 92367051 hadi 9237508. Pia kinapatikana umbali wa mita 842 hadi 914 kutoka usawa wa Bahari. Chanzo hiki ni moja ya kijito kinachomwaga maji yake katika Mto Ruvu na kinapatikana Wilaya ya Morogoro. Eneo linalopendekezwa kuhifadhiwa ni Mita za Mraba 61,055 na hakuna ulipaji wa fidia unaohitajika kwakuwa hakuna shughuli za kibinadamu zinazofanyika katika eneo hili. Maeneo yaliyohifadhiwa ya vyanzo vya maji yameanzishwa kutoka katika sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji, Sura ya 331. Jira nukta zimeambatishwa kwenye jedwali na ramani ya eneo pendekezwa kwa ajili ya kutangazwa. ALAMA YA MASHAR KASKAZ UMBAL ENEO MATUMIZI YA MPAKA IKI INI I (MITA ZA CHANZO (a.m.s.l) MRABA) 61,05 5 Matumizi ya nyumbani kupitia mradi wa usambazaji maji wa Kalundwa B1 B2 B3 B4 B5 B6 B7 B8 B9 B10 B11 B12 B13 B14 B15 365990 9237160 365988 9237203 366004 9237240 366013 9237279 366015 9237359 366037 9237380 366075 9237388 366101 9237412 366113 9237455 366030 9237509 366019 9237492 365988 9237491 365960 9237487 365942 9237489 365932 9237442 849 853 865 858 889 895 902 908 906 908 858 907 908 914 908 6 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) ALAMA YA MASHAR KASKAZ UMBAL ENEO MATUMIZI YA MPAKA IKI INI I (MITA ZA CHANZO (a.m.s.l) MRABA) B16 B17 B18 B19 B20 B21 B22 B23 B24 B25 B26 B27 B28 B29 B30 365916 9237421 365903 9237398 365894 9237360 365890 9237339 365887 9237318 365870 9237299 365860 9237279 365858 9237246 365850 9237219 365847 9237185 365837 9237172 365822 9237122 365976 9237127 365960 9237099 365935 9237051 911 909 903 899 895 893 891 880 873 862 858 844 845 842 844 7 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) - 3 Verify source ↗
ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA MWANGAZI
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza eneo la chanzo cha maji cha Mto Mwangazi na ukubwa wa eneo linalopendekezwa kuhifadhiwa.
3. ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA MWANGAZI Chanzo cha maji cha Mto Mwangazi Kinapatikana katika Kijiji cha Kiswira. Chanzo kimetambuliwa mwaka 2001 na kimewekewa alama za mipaka mwaka 2023. Chanzo 8 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) hichi kinapatikana kati ya jira nukta mashariki 361610 hadi 362154 na jira nukta kaskazini 9219439 hadi 9220151. Pia kinapatikana umbali wa mita 325 hadi 426 kutoka usawa wa bahari. Chanzo hiki ni moja ya kijito kinachomwaga maji yake katika Mto Ruvu na kinapatikana Wilaya ya Morogoro. Eneo linalopendekezwa kuhifadhiwa ni Mita za Mraba 100,271 na hakuna ulipaji wa fidia unaohitajika kwakuwa hakuna shughuli za kibinadamu zinazofanyika katika eneo hili. Maeneo yanayohifadhiwa ya vyanzo vya maji yameanzishwa kutoka katika Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji, Sura ya 331. Jira nukta zimeambatishwa kwenye jedwli na ramani ya eneo pendekezwa kwa ajili ya kutangazwa ALAMA MASHARI KASKAZI UMBALI ENEO MATUMIZI YA KI NI (a.m.s.l) (MITA ZA YA CHANZO MRABA) 100,271 Usambazji wa huduma ya maji katika Kijiji cha Kiswira MPAKA B1 B2 B3 B4 B5 B6 B7 B8 B9 B10 B11 B12 B13 B14 B15 B16 B17 B18 361669 361685 361698 361712 361727 361754 361771 361798 361820 361848 361865 361878 361893 361911 361930 361953 361972 361999 9219439 9219454 9219472 9219494 9219510 9219543 9219543 9219573 9219613 9219654 9219695 9219694 9219702 9219725 9219753 9219768 9219776 9219828 426 425 421 415 411 403 407 400 390 381 372 374 341 368 359 356 357 347 9 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) ALAMA MASHARI KASKAZI UMBALI ENEO MATUMIZI YA KI NI (a.m.s.l) (MITA ZA YA CHANZO MPAKA MRABA) B19 B20 B21 B22 B23 B24 B25 B26 B27 B28 B29 B30 B31 B32 B33 B34 B35 B36 B37 B38 B39 B40 B41 B42 B43 B44 B45 362013 362026 362039 362046 362054 362074 362089 362104 362122 362154 362113 362090 362058 362045 362021 362011 361984 361971 361952 361940 361929 361909 361884 361864 361844 361829 361816 9219852 9219877 9219893 9219910 9219939 9219944 9219963 9219982 9219993 9220012 9220152 9220136 9220117 9220093 9220074 9220053 9220030 9220022 9219995 9219964 9219944 9219923 9219900 9219882 9219873 9219861 9219840 343 340 339 336 334 334 330 328 328 325 341 337 333 333 338 339 343 347 350 349 351 353 353 361 366 370 373 10 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) ALAMA MASHARI KASKAZI UMBALI ENEO MATUMIZI YA KI NI (a.m.s.l) (MITA ZA YA CHANZO MPAKA MRABA) B46 B47 B48 B49 B50 B51 B52 B53 B54 B55 B56 B57 361793 361772 361762 361754 361753 361745 361725 361694 361669 361649 361630 361611 9219820 9219794 9219774 9219749 9219717 9219687 9219677 9219661 9219646 9219629 9219616 9219606 379 384 387 389 386 386 392 403 409 411 415 417 11 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) - 4 Verify source ↗
ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA MBEZI – MORUNG’ANYA
AI-assisted research summary: This section describes the Mbezi-Morung’anya water source area in Bagilo Village and gives its boundary, location, and size details.
4. ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA MBEZI – MORUNG’ANYA Chanzo cha maji cha Mto Mbezi-Morung’anya Kinapatikana katika Kijiji cha Bagilo. Chanzo kimetambuliwa mwaka 1996 na kimewekewa alama za mipaka mwaka 2023. 12 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) Chanzo kinapatikana kati ya jira nukta mashariki 358747 hadi 359267 na jira nukta kaskazini 9234383 hadi 9234683. Pia kinapatikana umbali wa mita 667 hadi 749 kutoka usawa wa bahari. Chanzo hiki ni moja ya kijito kinachomwaga maji yake katika Mto Ruvu na kinapatikana Wilaya ya Morogoro. Eneo linalopendekezwa kuhifadhiwa ni Mita za Mraba 76,488 na hakuna ulipaji wa fidia unaohitajika kwakuwa hakuna shughuli za kibinadamu zinazofanyika katika eneo hili. Maeneo yaliyohifadhiwa ya vyanzo vya maji yameanzishwa kutoka katika Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji, Sura ya 331. Jira nukta zimeambatishwa kwenye jedwali na ramani ya eneo pendekezwa kwa ajili ya kutangazwa, ALAMA MASHAR KASKAZ UMBALI ENEO MATUMIZI YA IKI INI (a.m.s.l) (MITA ZA YA CHANZO MRABA) 76,488 Usambazji wa huduma ya maji MPAKA B1 B2 B3 B4 B5 B6 B7 B8 B9 B10 B11 B12 B13 B14 B15 B16 B17 B18 358777 9234384 358820 9234396 358866 9234401 358927 9234394 358968 9234407 358989 9234432 359013 9234444 359038 9234453 359065 359105 9234471 9234494 359169 9234517 358748 9234523 358784 9234541 358851 9234549 358903 9234542 358945 9234540 358967 9234570 359001 9234607 736 729 724 729 724 714 710 709 706 701 667 749 745 736 724 717 720 725 13 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) ALAMA MASHAR KASKAZ UMBALI ENEO MATUMIZI YA IKI INI (a.m.s.l) (MITA ZA YA CHANZO MPAKA MRABA) B19 B20 B21 B22 B23 B24 359047 9234644 359096 9234661 359175 9234679 359206 9234551 359267 9234548 359235 9234683 722 718 710 695 688 696 14 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) - 5 Verify source ↗
ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA MBEZI – KALUNDWA
AI-assisted research summary: This notice identifies and describes the Mbezi-Kalundwa water source protection area and its boundary coordinates.
5. ENEO LA CHANZO CHA MAJI CHA MBEZI – KALUNDWA. Chanzo cha maji cha Mto Mbezi-Kalundwa Kinapatikana katika Kijiji cha Bagilo. Chanzo kimetambuliwa mwaka 1996 na kimewekewa alama za mipaka mwaka 2023. Chanzo kinapatikana kati ya jira nukta mashariki 363747 hadi 364198 na jira nukta kaskazini 9234068 hadi 9234577. Pia kinapatikana umbali wa mita 448 hadi 464 kutoka usawa wa bahari. Chanzo hiki ni moja ya kijito kinachomwaga maji yake katika Mto 15 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) Ruvu na kinapatikana Wilaya ya Morogoro. Eneo linalopendekezwa kuhifadhiwa ni Mita za Mraba 70,882 na hakuna ulipaji wa fidia unaohitajika kwa kuwa hakuna shughuli za kibinadamu zinazofanyika katika eneo hili. Maeneo yaliyohifadhiwa ya vyanzo vya maji yameanzishwa kutoka katika Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji, Sura ya 331. Jira nukta zimeambatishwa kwenye jedwali na ramani ya eneo pendekezwa kwa ajili ya kutangazwa. ALAMA MASHAR KASKAZ UMBALI ENEO MATUMIZI YA YA IKI INI (a.m.s.l) (MITA CHANZO ZA MRABA) 70,882 Mradi wa usambazaji maji Mkuyuni MPAKA B1 B2 B3 B4 B5 B6 B7 B8 B9 B10 B11 B12 B13 B14 B15 B16 B17 B18 B19 B20 364135 9234068 364101 9234122 364080 9234144 364047 9234200 364019 9234239 364012 9234276 363969 9234355 363939 9234370 363885 9234407 363857 9234413 363847 9234424 363816 9234443 363799 9234449 363785 9234459 363763 9234476 363747 9234474 364198 9234217 364163 9234237 364167 9234272 364141 9234295 459 456 457 453 452 449 454 457 464 461 459 457 459 459 459 460 448 451 454 455 16 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) ALAMA MASHAR KASKAZ UMBALI ENEO MATUMIZI YA YA IKI INI (a.m.s.l) (MITA CHANZO MPAKA ZA MRABA) B21 B22 B23 B24 B25 B26 B27 B28 B29 B30 B31 B32 B33 B34 B35 B36 B37 B38 364126 9234332 364117 9234343 364105 9234363 364094 9234370 364087 9234382 364069 9234387 364032 9234433 364004 9234460 363979 9234496 363947 9234518 363923 9234535 363911 9234537 363878 9234544 363861 9234549 363849 9234555 363814 9234571 363788 9234578 363765 9234576 454 453 451 450 449 448 451 455 460 458 457 456 460 455 457 460 460 460 17 Notisi ya Kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu Tangazo la Serikali Na.788 (Linaendelea.) Dodoma 13 Agosti, 2024 JUMAA H. AWESO Waziri wa Maji 18
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Notisi ya kuanzishwa kwa Maeneo ya Hifadhi ya Chanzo cha Maji Bonde la Wami Ruvu ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in