Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ya Mwaka 2024
Hii ni kifungu cha jina rasmi kinachotaja Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ya mwaka 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Hii ni kifungu cha jina rasmi kinachotaja Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ya mwaka 2024. This by-law applies within the Pangani District Council area. This section defines key terms used in the by-law, including fees, permit, mining materials, prohibited areas, the Council, the Director, tax, and agent. Halmashauri lazima ipokee na kukagua maombi au taarifa za kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi, na isimamie uchimbaji ili ufanyike kwa kufuata sheria na taratibu na kuzuia uharibifu wa mazingira. Mtu au kampuni inayotaka kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri lazima iwasilishe maombi ya kibali kwa Mkurugenzi kwa fomu maalum, na iambatishe taarifa na nyaraka zinazotakiwa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ya Mwaka 2024
Showing 17 of 17
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama
AI-assisted research summary: Hii ni kifungu cha jina rasmi kinachotaja Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ya mwaka 2024.
1.Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ya Mwaka 2024. - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika
AI-assisted research summary: This by-law applies within the Pangani District Council area.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Pangani. - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, permit, mining materials, prohibited areas, the Council, the Director, tax, and agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha unahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yatakayolipwa na mtu yeyote kwa Halmashauri kwa ajili ya kupata kibali kinachotolewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa la kusimamia utekelezaji wa lengo Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Pangani; 1 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maeneo yasiyoruhusiwa” maana yake ni maeneo ya mito, madaraja, barabara, mashamba ya watu, mijini pamoja na maeneo mengine yanayofanana na hayo; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani na ni pamoja na afisa yeyote atakayeteuliwa kutekeleza majukumu kwa niaba ya Mkurugenzi; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli zinazohusu ununuzi wa madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake mtu, taasisi, kikundi cha watu, kampuni au asasi iliyoteuliwa na Halmashauri kukusanya ushuru wa madini ya ujenzi kwa niaba yake. Wajibu Halmashauri wa za taarifa - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ipokee na kukagua maombi au taarifa za kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi, na isimamie uchimbaji ili ufanyike kwa kufuata sheria na taratibu na kuzuia uharibifu wa mazingira.
4.-(1) Halmashauri itakuwa na wajibu wa kupokea yote yanayokusudiwa kuanzishwa machimbo ya madini ya ujenzi na kuyakagua ili kujiridhisha kama maeneo yaliyotolewa taarifa yametengwa kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya ujenzi. maeneo 2 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) (2) Kusimamia shughuli za uchimbaji wa madini ya ujenzi ili kuhakikisha kuwa uchimbaji unafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa ili kuzuia uharibifu wa mazingira. Maombi ya kibali cha uchimbaji au taasisi - 5 Verify source ↗
(1) Mtu,
AI-assisted research summary: Mtu au kampuni inayotaka kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri lazima iwasilishe maombi ya kibali kwa Mkurugenzi kwa fomu maalum, na iambatishe taarifa na nyaraka zinazotakiwa.
5.-(1) Mtu, kampuni inayokusudia kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri itatakiwa kuwasilisha kwa Mkurugenzi maombi ya kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi kupitia fomu maalum itakayotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Maombi ya kibali Halmashauri yatakayowasilishwa yatatakiwa kuambatishwa na taarifa zifuatazo: kwa (a) leseni ya uchimbaji wa madini iliyotolewa na mamlaka husika; (b) aina ya madini yanayokusudiwa kuchimbwa; (c) umiliki pamoja na ukubwa wa eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi; (d) mpango wa utunzaji wa mazingira katika eneo la machimbo; na kijiji (e) muhtasari wa ambacho uchimbaji wa madini ya ujenzi utafanyika ukionyesha kukubaliana na uchimbaji huo. (3) Kibali kitakachotolewa chini ya Sheria Ndogo hii kitaeleza aina ya madini yanayochimbwa na eneo litakalochimbwa madini hayo na kitalipiwa ada kwa kiwango 3 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) wa Uwezo kufunga machimbo Ushuru wa madini ya ujenzi kilichoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. (1) - 6 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na uwezo wa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kufunga machimbo ya madini ya ujenzi ikiwa inaona ni kwa maslahi ya Halmashauri na umma, lakini lazima itoe notisi kabla ya kufunga.
6.-(1) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kufunga machimbo yoyote ya madini ya ujenzi kama itaona kufanya hivyo ni kwa maslahi ya Halmashauri na umma kwa ujumla. (2) Kabla ya kufunga machimbo yoyote, Halmashauri itatoa notisi kwa madhumuni ya kuwataarifu wakazi wa Halmashauri kuhusu kusudio hilo. 7-(1) Mtu yeyote atakayesafirisha madini ya ujenzi kutoka eneo yalikochimbwa kwenda tani maeneo mengine atalipa ushuru kwa kulingana na viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii. (2) Ushuru wa madini ya ujenzi utatozwa mara baada ya msafirishaji kununua madini kutoka kwa mchimbaji au kupakia madini hayo katika chombo ambacho atakitumia kwa ajili ya kusafirishia. eneo (3) Ushuru wa madini ya ujenzi utatozwa katika barabara la machimbo, zinazoelekea au kutoka maeneo ya machimbo au eneo lolote lililo chini ya mamlaka ya Halmashauri. (4) Mnunuzi yeyote atakayeshindwa kulipa ushuru anaotakiwa kulipa atatakiwa kupakua madini ya ujenzi kutoka katika chombo au kutochukua madini hayo mpaka hapo atakapolipa ushuru anaodaiwa. (2) Wajibu wa kulipa
Part
Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii.
- 8 Verify source ↗
(1) Kila mtu anayestahili kulipa
AI-assisted research summary: Watu wanaostahili kulipa ushuru wa madini ya ujenzi lazima walipe ushuru huo, na waliolipa lazima wadai stakabadhi ya kielektroniki.
8.-(1) Kila mtu anayestahili kulipa 4 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) ushuru Muda wa machimbo kuwa wazi na kusafirisha madini ya ujenzi ushuru atakuwa na wajibu wa kulipa ushuru huo kama ilivyoelekezwa katika Sheria Ndogo hii. (2) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kumzuia dereva wa gari lolote kujishughulisha na usafirishaji wa madini ya ujenzi ikithibitika kwamba kuna ukiukwaji na uvunjaji wa Sheria Ndogo hii. (3) Ushuru wa madini ya ujenzi utalipwa kwa Halmashauri au Wakala ambaye atatoa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo hayo. (4) Kila mtu aliyelipa ushuru atakuwa na wajibu wa kudai stakabadhi na haitakuwa utetezi kwa mtu yeyote kudai kuwa amelipa ushuru lakini hakupewa stakabadhi. (3) - 9 Verify source ↗
(1) Shughuli za uchimbaji, uuzaji na
AI-assisted research summary: Uchimbaji, uuzaji na ununuzi wa madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri unapaswa kufanyika kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni kila siku; Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalum kwa shughuli kufanyika nje ya muda huo; na mmiliki wa gari linalosafirisha madini ya ujenzi lazima ahakikishe gari limefunikwa wakati wote wa usafirishaji.
9.-(1) Shughuli za uchimbaji, uuzaji na ununuzi wa madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri zitafanyika kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni ya kila siku. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalum kuruhusu shughuli za uchimbaji, uuzaji na ununuzi wa madini ya ujenzi kufanyika nje ya muda ulioainishwa. (3) Kila mmiliki wa gari linalosafirisha madini ya ujenzi atatakiwa kuhakikisha kuwa wakati wote wa usafirishaji wa madini ya ili kuzuia ujenzi gari hilo uharibifu na uchafuzi wa mazingira. limefunikwa (4) Vituo vya ukaguzi - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri itaanzisha vituo kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ianzishe vituo vya ukaguzi kwa magari yanayobeba madini ya ujenzi, na kila dereva lazima asimame na aonyeshe stakabadhi ya kielektroniki ya ushuru uliolipwa.
10.-(1) Halmashauri itaanzisha vituo kwa 5 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) ajili ya ukaguzi wa magari yanayobeba madini ya ujenzi katika njia zinazoingia na kutoka katika maeneo ya machimbo. (2) Kila dereva wa gari linalosafirisha madini ya ujenzi atakuwa na wajibu wa kusimama katika kituo cha ukaguzi wa madini ya ujenzi na kuonesha stakabadhi ya kielektroniki aliyolipia ushuru na endapo hatakuwa na stakabadhi hiyo atatakiwa kulipa ushuru kwa kiwango kilichoainishwa katika Sheria Ndogo hii. (5) atakayopata mnunuzi - 11 Verify source ↗
Halmashauri haitawajibika kwa
AI-assisted research summary: The council is not liable for losses to a construction-minerals transporter during tax collection, except where the loss is caused by negligence of a council officer.
11. Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote au msafirishaji wa madini ya ujenzi wakati wa kukusanya ushuru isipokuwa kama hasara hiyo itatokana na uzembe wa afisa yeyote wa Halmashauri. - 12 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana mamlaka ya kuingia eneo la uchimbaji wa madini ya ujenzi wakati wa saa za kazi ili kukagua na kukusanya ushuru.
12. Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa atakuwa na lolote uwezo wa kuingia katika linalochimbwa madini ya ujenzi muda wa saa za kazi kwa ajili ya kukagua na kukusanya ushuru. eneo Halmashauri kutowajibika kwa hasara Uwezo wa Afisa Mwidhiniwa Wakala - 13 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kuteua wakala
AI-assisted research summary: Halmashauri may appoint an agent to collect tax on its behalf.
13. Halmashauri inaweza kuteua wakala ili kukusanya ushuru kwa niaba yake. Kufutwa au kusimamishwa kwa kibali (6) - 14 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kufuta au
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kufuta au kusimamisha kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi ikiwa kuna ukiukwaji wa masharti; kabla ya kufanya hivyo lazima itoe notisi ya siku saba, na kibali kikifutwa au kusimamishwa mchimbaji lazima aache uchimbaji.
14.-(1) Halmashauri inaweza kufuta au kusimamisha kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi endapo itajiridhisha kuwa kuna ukiukwaji wa masharti ya Sheria Ndogo hii au masharti ya kibali cha uchimbaji wa madini ya 6 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) ujenzi. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), kabla ya kufuta au kusimamisha kibali Halmashauri itatakiwa kutoa notisi ya siku saba kwa mtu, taasisi au kampuni iliyopewa kibali cha kusudio la kufuta au kusimamisha kibali. (3) Notisi itakayotolewa chini ya kanuni hii itaainisha sababu za kufuta au kusimamisha kibali husika. kibali (4) Endapo au kitafutwa taasisi au kampuni kusimamishwa, mtu, iliyopewa kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi itakoma kuchimba madini hayo. (7) Makosa na adhabu - 15 Verify source ↗
Mtu yeyote ambaye
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayekiuka masharti yaliyoorodheshwa kuhusu kutii maagizo, kuzuia afisa, ulipaji wa ushuru, uchimbaji au usafirishaji wa madini ya ujenzi, anaweza kupigwa faini, kifungo, au vyote pamoja.
15. Mtu yeyote ambaye- (a) anakataa au kushindwa kutii agizo na Afisa atakalopewa lolote Mwidhiniwa; (b) anamzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (c) anakataa au anakwepa kulipa ushuru; (d) anashawishi mtu au kundi la watu kukataa kulipa ushuru; yasiyoidhinishwa (e) anachimba madini ya ujenzi katika au maeneo yasiyoruhusiwa na Halmashauri; (f) anaanzisha machimbo ya madini ya ujenzi bila kuwa na kibali kutoka Halmashauri; (g) anapeleka maombi ya leseni ya madini ya ujenzi Wizara ya Madini bila kujadiliwa na kuridhiwa na kijiji 7 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) husika na kupitishwa na Halmashauri; (h) anasafirisha madini ya ujenzi bila kulipa ushuru; (i) anachimba madini ya ujenzi kabla au ulioruhusiwa ya muda baada kuchimba; au (j) anasafirisha madini ya ujenzi katika gari ambalo halijafunikwa, anatenda kosa na akipatikana na hatia atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi sita na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote kwa pamoja. - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji kiasi kisichozidi shilingi laki mbili, ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na yuko tayari kujaza fomu maalum ya Jedwali la Nne.
16. Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume na Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Nne la Sheria Ndogo hii. Kufifilisha kosa 8 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA KWANZA ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 5(1)) KIBALI CHA KUCHIMBA MADINI YA UJENZI NDUGU; …………………………………..… S.L.P…………………………………………. ………………………………….... Yah: KIBALI CHA KUCHIMBA MADINI YA UJENZI ni hiki kwa Kibali Kibali kinatolewa kwa ajili ya kufanya shughuli hiyo kama ulivyoomba kwa mujibu wa Sheria. kuchimba ……………..………………………………………………………………………. (mawe, mchanga, kokoto, kifusi, udongo, madini mengine). Katika eneo la shamba/kiwanja lililopo/kilichopo cha ……………………………….Kata ya…………….………………... Halmashauri ya Wilaya ya Pangani. Kibali hiki kitatumika kuanzia tarehe ………………….. hadi tarehe ………………………………. na kwamba kibali hiki kitatumika katika eneo lililoainishwa tu katika kibali hiki. Kibali hiki kinatolewa kwa wamiliki au watu/kampuni walioingia mkataba na mmiliki/wamiliki wa eneo linaloombewa kibali. cha …………………………. Kitongoji Kijiji ajili ya MAONI YA AFISA MAZINGIRA Kibali kitolewe/kisitolewe, kwani tathmini ya mazingira imefanyika/haijafanyika na imebaini kutakuwa/hakutakuwa na uharibifu wa Mazingira. Jina: …………………………………………………….. Cheo: …………………………………………………… Saini: …………………………………………………… Tarehe: ………………………………………………… MAONI YA AFISA MIPANGO MIJI Kibali kitolewe/kisitolewe, kwani uchimbaji kwenye eneo hilo mpango wa matumizi yake utaathiri/hautaathiri upangaji miji. Jina: …………………………………………………….. Cheo: …………………………………………………… Saini: …………………………………………………… 9 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) Tarehe: ………………………………………………… (N.B) kibali kijazwe nakala mbili moja apatiwe msafirishaji na nyingine iwasilishwe kwa Mkurugenzi Mtendaji (W). 10 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 5(3)) ADA YA KIBALI CHA UCHIMBAJI WA MADINI YA UJENZI NA
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Kuna ada ya Shilingi 1,000,000 kwa kila kibali cha kumiliki eneo la kuchimba madini ya ujenzi.
1. ADA Ada ya kibali cha kumiliki eneo la kuchimba madini ya ujenzi KIWANGO (SHILINGI) 1,000,000/= kwa kila kibali ____________ JEDWALI LA TATU ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 7(1)) USHURU WA MADINI YA UJENZI AINA YA MADINI NA
Part
JEDWALI LA TATU
- 8 Verify source ↗
Madini mengine
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha kiwango cha shilingi kwa tani kwa “madini mengine”, lakini maandishi ya jedwali hayajakamilika na yanaonekana kuchanganyika.
8. Madini mengine KIWANGO (SHILINGI) 5,000/= kwa tani 5,000/= kwa tani 4,000/= kwa tani 6,000/= kwa tani 4,000/= kwa tani 6,000/= kwa tani 6,000/= kwa tani ____________ JEDWALI LA NNE _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 16) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……..…. mwaka ……..… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, niko tayari kulipa kiasi cha shilingi …………….. kama ushuru ninaodaiwa na kiasi cha shilingi …………………. kama faini ya ufifilishaji wa kosa badala ya kupelekwa Mahakamani. 11 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe………….ya Mwezi…………..… Mwaka …………….…………. Jina……………………………….. Saini……………………………………. MBELE YANGU : Jina: ……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 12 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Tangazo la Serikali Na. 792 (Linaendelea.) Mhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ulibandikwa kwenye sheria Ndogo hizi kwa kufuatia Azimio lililopitishwa kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika mnamo tarehe 29/4/2022 mbele ya:- ISAYA MUGISHANGWE MBENJE, Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, PANGANI AKIDA OMARI BAHORARE, Mwenyekiti, Halmahsuair ya wilaya, PANGANI NAKUBALI, L.S Dodoma, 30 Novemba, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB.), Waziri wa Nchi-OR-Tamisemi, 13
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in