Tanzania Regulation

Parliament of Tanzania

Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia Kwenda Nje ya Nchi za Mwaka 2024

This provision gives the name of the regulations. This section defines several terms used in the regulations, including “Kamishna wa Uhifadhi,” “Sheria,” “venia,” “Wakala,” and “Waziri.” Mtu haruhusiwi kusafirisha venia…

application requirementscontact informationcross-border transportcustomsexport complianceexport controlexport controlsexport documentationexport feesexport licensingexport permitsforestryformsgovernment approvalinspectionpermit applicationsregulatory compliancereport reviewreportingshipping inspection

Publicly available, excluded from search-engine indexing

This page remains available for direct research for the following reasons:

  • The record does not meet this release's canonical indexing criteria. (market-indexing-disabled)
  • The record does not meet this release's canonical indexing criteria. (emergency-noindex)

Professional statute overview

Enactment structure, operative effect and source provenance

Official source

01

Purpose and legislative effect

“This provision gives the name of the regulations.”

This provision gives the name of the regulations. This section defines several terms used in the regulations, including “Kamishna wa Uhifadhi,” “Sheria,” “venia,” “Wakala,” and “Waziri.” Mtu haruhusiwi kusafirisha venia kwenda nje ya nchi bila kibali cha Kamishna wa Uhifadhi, na kibali hicho hutolewa baada ya ridhaa ya Waziri. Mtu anayetaka kusafirisha venia nje ya nchi lazima aombe kibali kwa Kamishna wa Uhifadhi kwa kutumia Fomu 1 na kuonyesha kiasi anachoomba. The Conservation Commissioner must process applications, assess whether the applicant meets the rules in regulation 4, and then send recommendations to the Minister. The Minister may approve or رفض the permit in writing, and if approved the Commissioner must issue the export permit in Form 3.

02

How the instrument operates

  1. 01

    Start with the recorded version

    Legal dates not recorded. The date shown identifies this source expression and should not be treated as proof that no later change exists.

  2. 02

    Locate the controlling provision

    Use the provision map, part headings and full-text filter to move from the broad subject to the exact legal language.

  3. 03

    Read conditions and exceptions together

    Keep subsections, definitions, provisos and cross-references in context before drawing a legal conclusion.

  4. 04

    Verify currency and official wording

    Confirm later legislation, commencement notices and corrections with the official publisher before advice, filing or reliance.

03

Research entry points

Selected provisions across the instrument. Open any row to continue with the exact stored text.

(1) Kamishna wa Uhifadhi atachakata maombi

The Conservation Commissioner must process applications, assess whether the applicant meets the rules in regulation 4, and then send recommendations to the Minister. The Minister may approve or رفض the permit in writing, and if approved…

Section 5

Kiwango kwa Mita za Ujazo

This provision shows forms for a permit, inspection certificate, and shipping certificate for exporting venia outside the country.

Section 6

04

Source and current-law status

Source record view

Source record from oagmis.oag.go.tz · Legal dates not recorded

Verify current force

The source record does not state a definitive current-law status. Check the official publisher and later amendments before relying on this text.

Source-indexed provision map

Sections and provisions

Search by section, heading, part or exact legal wording. Every result remains linked to the stored source record.

Showing 15 of 15 provisions

Provision 15
§ 1Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni zaProvision

This provision gives the name of the regulations.

1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia Kwenda Nje ya Nchi za Mwaka 2024. Tafsiri
§ 2Katika Kanuni hizi, isipokuwa kama muktadhaProvision

This section defines several terms used in the regulations, including “Kamishna wa Uhifadhi,” “Sheria,” “venia,” “Wakala,” and “Waziri.”

2. Katika Kanuni hizi, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Kamishna wa Uhifadhi” maana yake ni Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania; Sura ya 323 TS. Na. 269 la 2010 “Sheria” maana yake ni Sheria ya Misitu; kipande “venia” maana yake chembamba kilichomenywa kutoka kwenye gogo ambacho hutumika kuzalisha bidhaa mbalimbali; ni “Wakala” maana yake ni Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ulioanzishwa chini ya Amri ya Uanzishwaji wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania; na “Waziri” ina maana iliyotolewa katika Sheria. 1 Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia kwenda Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 807 (Linaendelea) SEHEMU YA PILI UTARATIBU WA USAFIRISHAJI WA VENIA KWENDA NJE YA NCHI Katazo la kusafirisha venia

Part

SEHEMU YA PILI

§ 3Mtu hatasafirisha venia kwenda nje ya nchiProvision

Mtu haruhusiwi kusafirisha venia kwenda nje ya nchi bila kibali cha Kamishna wa Uhifadhi, na kibali hicho hutolewa baada ya ridhaa ya Waziri.

3. Mtu hatasafirisha venia kwenda nje ya nchi bila kupata kibali kutoka kwa Kamishna wa Uhifadhi kitakachotolewa baada ya kupata ridhaa ya Waziri. Utaratibu wa maombi ya kibali cha kusafirisha venia
§ 4(1) Mtu anayekusudia kusafirisha veniaProvision

Mtu anayetaka kusafirisha venia nje ya nchi lazima aombe kibali kwa Kamishna wa Uhifadhi kwa kutumia Fomu 1 na kuonyesha kiasi anachoomba.

4.-(1) Mtu anayekusudia kusafirisha venia kwenda nje ya nchi atatakiwa kuomba kibali kwa Kamishna wa Uhifadhi kwa kujaza Fomu Namba 1 iliyoainishwa katika Jedwali akiainisha kiasi cha mita za ujazo anazoomba. (2) Maombi ya kibali cha kusafirisha venia kwenda nje ya nchi yaliyoainishwa katika kanuni ndogo ya (1) yatatakiwa kuambatana na nyaraka zifuatazo: (a) cheti cha usajili wa kampuni; (b) cheti cha usajili wa namba ya Utambulisho ya Mlipa Kodi; (c) cheti cha usajili wa biashara ya mazao ya misitu; (d) leseni ya biashara kwa ajili ya kusafirisha mazao ya misitu kwenda nje ya nchi kutoka kwenye Mamlaka husika; (e) cheti cha uthibitisho wa mlipakodi; (f) hati ya usajili wa kiwanda cha kuzalisha venia; (g) iwapo ni mwombaji wa mara ya kwanza, mpango wa uwekezaji unaoainisha namna ya kubadili teknolojia kwa ajili ya kuzalisha mazao na ya misitu utekelezaji wake; na yaliyohandisiwa (h) iwapo ni mwombaji wa mara ya pili na kuendelea, taarifa ya utekelezaji wa mpango wa uwekezaji ulioainishwa katika aya ya (g). Uchakataji wa maombi
§ 5(1) Kamishna wa Uhifadhi atachakata maombiProvision

The Conservation Commissioner must process applications, assess whether the applicant meets the rules in regulation 4, and then send recommendations to the Minister. The Minister may approve or رفض the permit in writing, and if approved the Commissioner must issue the export permit in Form 3.

5.-(1) Kamishna wa Uhifadhi atachakata maombi yaliyowasilishwa chini ya kanuni ya 4 kwa lengo la kujiridhisha endapo mwombaji amekidhi masharti yaliyoainishwa katika kanuni ya 4. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1) 2 Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia kwenda Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 807 (Linaendelea) Kamishna wa Uhifadhi atajiridhisha endapo taarifa ya utekelezaji iliyowasilishwa kwa mujibu wa kanuni ya 4(2)(g) inaakisi maendeleo ya utekelezaji wa mpango wa uwekezaji. (3) Kamishna wa Uhifadhi baada ya kuchakata maombi atawasilisha mapendekezo yake kwa Waziri kwa ajili ya kupata ridhaa. (4) Baada ya Waziri kupokea mapendekezo ya kutolewa kibali chini ya kanuni ndogo ya (1), anaweza kwa maandishi- (a) kuridhia kutolewa kwa kibali; au (b) kutoridhia kutolewa kwa kibali na kueleza sababu za uamuzi huo. (5) Baada ya Waziri kuridhia kutolewa kwa kibali cha usafirishaji wa venia kwenda nje ya nchi, Kamishna wa Uhifadhi, atatoa kibali cha kusafirisha venia kwenda nje ya nchi katika Fomu Namba 3 iliyoainishwa katika Jedwali. (6) Endapo Waziri hataridhia kutolewa kwa kibali cha usafirishaji wa venia kwenda nje ya nchi, atamjulisha mwombaji Kamishna wa Uhifadhi, kutoridhiwa kwa maombi yake akiainisha sababu zilizobainishwa na Waziri.
§ 6(1) Mtu mwenye kibali cha kusafirisha veniaProvision

Holders of a permit to transport venia must apply for an export transportation and inspection certificate, and the Commissioner of Conservation must inspect the shipment and then issue the inspection and transport certificates if satisfied.

6.-(1) Mtu mwenye kibali cha kusafirisha venia atapaswa kuwasilisha maombi ya kupatiwa cheti cha usafirishaji na ukaguzi wa kila shehena ya venia inayokusudiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi kutoka kwa Kamishna wa Uhifadhi kwa kutumia Fomu Namba 2 iliyoainishwa katika Jedwali. (2) Kamishna wa Uhifadhi, baada ya kupokea maombi yaliyowasilishwa katika kanuni ndogo ya (1), atafanya ukaguzi wa shehena ya venia inayokusudiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi ili kujiridhisha na taarifa zilizotolewa na mwombaji. (3) Baada ya kujiridhisha na taarifa za shehena ya venia inayokusudiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi, Kamishna wa Uhifadhi atatoa Cheti cha Ukaguzi na Cheti cha Kusafirisha venia kwenda nje ya nchi kwa kutumia Fomu Namba 4 na 5 kama zilivyoainishwa katika Jedwali. 3 Cheti cha usafirishaji wa venia na ukaguzi wa shehena Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia kwenda Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 807 (Linaendelea) Ada ya usafirishaji wa venia kwenda nje ya nchi
§ 7Mtu anayesafirisha venia kwenda nje ya nchiProvision

Mtu anayesafirisha venia kwenda nje ya nchi lazima alipe kwa Wakala ada ya usafirishaji ya asilimia 5 ya thamani ya shehena.

7. Mtu anayesafirisha venia kwenda nje ya nchi atatakiwa kulipa kwa Wakala ada ya usafirishaji wa venia kwenda nje ya nchi ambayo ni asilimia tano ya thamani ya shehena ya venia inayosafirishwa kwenda nje ya nchi. SEHEMU YA TATU MASHARTI MENGINEYO Taarifa ya utekelezaji

Part

SEHEMU YA TATU

§ 8Kamishna wa Uhifadhi kila baada ya mieziProvision

The Commissioner of Conservation must submit a detailed report to the Minister every three months.

8. Kamishna wa Uhifadhi kila baada ya miezi mitatu, atawasilisha kwa Waziri taarifa ya kina ya utekelezaji wa Kanuni hizi ikiainisha- (a) idadi ya vibali vilivyotolewa; (b) utekelezaji wa mpango wa uwekezaji wa namna ya kubadili teknolojia kwa ajili ya kuzalisha mazao ya misitu yaliyohandisiwa kwa wote waliopatiwa vibali vya kusafirisha venia kwenda nje ya nchi; (c) ujazo wa iliyotolewa venia kusafirishwa kwenda nje ya nchi; na iliyotolewa venia (d) thamani ya kibali kibali kusafirishwa kwenda nje ya nchi. Muda wa matumizi ya Kanuni hizi
§ 9(1) Kanuni hizi zitatumika kwa kipindi chaProvision

Kanuni hizi zinatumika kwa miaka miwili kuanzia tarehe ya kuchapishwa gazettini, na baada ya muda huo mtu yeyote haruhusiwi kusafirisha venia kwenda nje ya nchi.

9.-(1) Kanuni hizi zitatumika kwa kipindi cha miaka miwili kuanzia tarehe ya kuchapishwa katika Gazeti la Serikali. (2) Baada ya muda wa matumizi ya Kanuni hizi kufika ukomo, mtu yeyote hataruhusiwa kusafirisha venia kwenda nje ya nchi. ________ JEDWALI ________ (Limetengenezwa chini ya kanuni za 4(1), 5(5), 6(1) na 6(3)) FOMU NAMBA 1 FOMU YA MAOMBI YA KIBALI CHA USAFIRISHAJI WA VENIA KWENDA NJE YA NCHI 4 Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia kwenda Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 807 (Linaendelea) Mimi/Sisi ninaomba/tunaomba kibali cha kusafirisha Venia kwenda nje ya Nchi. Jina la Kampuni: ………………………………………

Part

JEDWALI

§ 2Anuani: ……………………… Namba ya simu: …………………Provision

This section asks for an address and a phone number.

2. Anuani: ……………………… Namba ya simu: ………………….
§ 4Kiwango kwa Mita za UjazoProvision

This text is part of an application form for a certificate to ship/inspect venia for export outside the country.

4. Kiwango kwa Mita za Ujazo: .............................................................. Jina la Mwombaji: ……………………………. Wadhifa: ……………………….. Saini: ……………………………… Tarehe: ……………………………. Muhuri wa Kampuni: ……………………………. 5 Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia kwenda Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 807 (Linaendelea) FOMU NAMBA 2 FOMU YA MAOMBI YA CHETI CHA USAFIRISHAJI/UKAGUZI WA VENIA KWENDA NJE YA NCHI Mimi/Sisi ninaomba/tunaomba cheti cha usafirishaji/ukaguzi wa venia kwenda nje ya Nchi.
§ 2Anuani: ……………………Namba ya simu: …………………………Provision

This section asks for an address and phone number.

2. Anuani: ……………………Namba ya simu: ………………………….
§ 4Nchi ambako venia inapelekwa: …………………………………………Provision

Section 4 is a heading about the country where the permit is taken to be sent.

4. Nchi ambako venia inapelekwa: …………………………………………
§ 5Sehemu (kituo cha forodha) shehena ya venia inapopitaProvision

This section appears to name a customs checkpoint related to cargo in transit.

5. Sehemu (kituo cha forodha) shehena ya venia inapopita: ……………………
§ 6Kiwango kwa Mita za UjazoProvision

This provision shows forms for a permit, inspection certificate, and shipping certificate for exporting venia outside the country.

6. Kiwango kwa Mita za Ujazo: .................................................................. Jina la Mwombaji: …………………………………………………………… Wadhifa: ………………………………….. Saini: ……………………………………………………………………….. Tarehe: ……………………………………………………………………….. Muhuri wa Kampuni: …………………………………………………… KIBALI CHA USAFIRISHAJI WA VENIA KWENDA NJE YA NCHI FOMU NAMBA 3 kimetolewa sanduku Kibali kwa kwenda …………………...........cha ..................................kupitia wa cha……………………………………………………………. ................................wa kusafirisha bandari/uwanja venia posta la ya nchi ndege/kituo (i) Spishi ya venia: ………………..……………… (ii) Mita za Ujazo: ………………………………… (iii) Tarehe ya kutolewa kibali: …………………… Jina: ………………………… Saini: ……………………………. Kamishna wa Uhifadhi Tarehe: ........................................ 6 Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia kwenda Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 807 (Linaendelea) FOMU NAMBA 4 CHETI CHA UKAGUZI WA VENIA KWENDA NJE YA NCHI Mimi………………………………………………Nathibitisha kuwa nimekagua shehena ya venia inayomilikiwa na ………………………………………………. iliyopo…………………….na kubaini kuwa imekidhi masharti yaliyotolewa chini ya Sheria za Misitu, Sura ya 323. Leo tarehe ……………………………Mwezi………………….20………………. ………………………. Saini ya Afisa Mkaguzi FOMU NAMBA 5 CHETI CHA KUSAFIRISHA VENIA NJE YA NCHI Cheti hiki kimetolewa kwa................................... wa sanduku la posta ..................................... kusafirisha Venia kutoka bandari/uwanja wa ndege/kituo cha ………………………kwenda nchi ya………………………kama ifuatavyo: (a) Spishi ya venia: ............................................................... (b). Mita za Ujazo: ................................................................. Jina: …………………………………… Saini: ………………………………… Kamishna wa Uhifadhi Tarehe: …………………………… Dodoma, 3 Septemba, 2024 PINDI HAZARA CHANA Waziri wa Maliasili na Utalii 7

Legislative relationships

0 referenced instruments

Names are derived from the stored provision headings and citation-enrichment layer. Treat this as a research index and verify each relationship against the source text.

No structured legislative relationships were detected

The statute remains fully searchable by provision. Consult the source text for amendments and cross-references that have not yet been indexed.

Recorded versions and source checkpoint

1 version available in this collection

Current-law checkpoint
  • Undated version · currentSwahili

Source-linked research

Ask AI about this statute

The overview, provisions, and source records above are public. Continue in a separate conversation with this statute’s jurisdiction and source version attached.

About this LexChat collection

Statute information is organised from identified legislative sources for professional research. Corrections can be reported to hello@esheria.ai.