Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ya Mwaka 2024
This section says the by-law is called the Ludewa District Council Fees and Levies By-Law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the by-law is called the Ludewa District Council Fees and Levies By-Law, 2024. This bylaw applies throughout the entire area of Ludewa District Council. Sehemu hii inafafanua maneno na istilahi mbalimbali zinazotumika katika Sheria Ndogo hii. Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake zilizoorodheshwa, na malipo ya ada au ushuru hufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma. A person who is required to pay a fee or tax under this bylaw must pay it at the rates set in the bylaw.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ya Mwaka 2024
Showing 23 of 23
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This section says the by-law is called the Ludewa District Council Fees and Levies By-Law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the entire area of Ludewa District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha
AI-assisted research summary: Sehemu hii inafafanua maneno na istilahi mbalimbali zinazotumika katika Sheria Ndogo hii.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha unahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha watu au mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine isipokuwa baiskeli, mkokoteni, au wanyama wanaotumika kusafirisha watu au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “machinjio” maana yake ni iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi; sehemu 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) “maegesho” maana yake ni sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha vyombo vya usafiri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnara” maana yake ni kifaa kinachopokea na kusafirisha isipokua mnara mawasiliano ya simu au redio unaotumika kuongoza vyombo vya usafiri; “soko”, “gulio” au “mnada” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa na kumilikiwa na Halmashauri kwa ajili ya biashara ya kuuza na kununua bidhaa au huduma kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na Halmashauri; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; na “Wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii.
Part
sehemu moja kwenda nyingine isipokuwa baiskeli,
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake zilizoorodheshwa, na malipo ya ada au ushuru hufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Ada au ushuru Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: A person who is required to pay a fee or tax under this bylaw must pay it at the rates set in the bylaw.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atapaswa kulipa ada au ushuru husika kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) Muda wa kukusanya ada au ushuru Ukusanyaji wa madeni - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hukusanywa kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni, isipokuwa Halmashauri au Wakala wakipata kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi kuendelea kukusanya baada ya muda huo.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda ulioainishwa katika kanuni ndogo ya (1). (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kwa kuzingatia makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa chini ya Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya deni la ushuru kupitia Mahakama, kukamata mali zinazohamishika za mdaiwa, na kuuza mali zilizokamatwa kwa masharti ya muda, idhini ya Mahakama, na taarifa ya siku saba.
7.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zilizokamatwa zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. (5) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ya (3) na (4), kabla ya Halmashauri kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa kwa uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) Uteuzi wa Wakala - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua Wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake, na Wakala huyo lazima akusanye na kuwasilisha makusanyo kulingana na eneo, viwango, mfumo wa kielektroniki, na mkataba wa uwakala.
8.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua Wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniw a Makosa - 9 Verify source ↗
(1) Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa muda fulani ili kukusanya ada au ushuru na kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali.
9.-(1) Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. tathmini au kufanya jambo (2) Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri baada ya muda ulioainishwa katika kanuni ndogo ya (1) kupita katika maeneo ambayo huduma au biashara inafanyika kwa saa ishirini na nne. - 10 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Any person commits an offence if they evade, refuse, or fail to pay fees or taxes, obstruct officials, give false information, use forged documents, fail to keep records, or transport untaxed goods.
10.- (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) anashindwa, anadharau, anakwepa au anakataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) anamshawishi mtu au kikundi cha watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) anamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) anatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) anashindwa kutoa taarifa sahihi au anatoa taarifa za 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (f) anashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (g) anatengeneza, anatayarisha, anaidhinisha kutengeneza au anatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; au (h) anatumia chombo chochote cha usafiri kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. - 11 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa lolote
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence against this by-law must pay a fine, serve imprisonment, or both.
11. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa lolote kinyume cha Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji hadi shilingi laki mbili, ikiwa mkosaji anakiri kwa hiari, anajaza fomu ya Jedwali la Pili, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. - 13 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri
AI-assisted research summary: This section repeals the Ludewa District Council fees and charges bylaw of 2017.
13. Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri Wilaya ya Ludewa ya Mwaka 2017 inafutwa. Adhabu Kufifilisha kosa Kufutwa kwa Sheria Ndogo TS. Na. 278 la 2017 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA KWANZA ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU A: ADA YA MATANGAZO YA BIASHARA Na. Aina ya Tangazo 1 2 3 4 5 6 7 8 Maombi ya kuweka bango la biashara Matangazo yanayong’aa kwa nguvu ya umeme kwa mita ya mraba Ubao wa tangazo usioanganza/kung’aa kwa mita ya mraba Bango la tangazo lililoangaza au kung’aa kwa mita ya mraba Tangazo la kutumia kitambaa Tangazo la karatasi a) Ukubwa wa A4 b) Ukubwa wa A3 c) Ukubwa wa zaidi ya A3 Matangazo ya ukutani kwa mita ya mraba Matangazo ya kutumia vyombo vya usafiri na vipaza sauti Bango la tangazo linalobadilika badilika 9 10 Matngazo kwa njia ya maonesho Kiwango cha Ushuru (shilingi) 10,000/= kwa kila ombi 15,000/= kwa mwaka 10,000/= kwa mwaka 10,000/= kwa mwaka 30,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 1,200/= kwa siku 1,500/= kwa siku 20,000/= kwa mwaka 30,000/= kwa siku 200,000/= kwa mwaka a) Kutambulisha na kuuza bidhaa b) Kutambulisha huduma 10,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku SEHEMU B: I: ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI Na Magari na vifaa vingine 1 2 3 4 5 6 7 Isuzu yenye uwezo wa kubeba tani 7 Land cruiser hard top Land cruiser pick up Pikipiki Trekta Kukodi boti Vifaa vya GPS, darubini, spika, Kamera, projector na vifaa vingine vya kielektroniki. DGPS RTK Kukodi viti vya Halmashauri 8 9 10 Mashine ya kupukuchua mahindi Kiwango cha ada (shilingi) 3,000/= kwa kilometa 2,000/= kwa kilometa 2,000/= kwa kilometa 20,000/= kwa siku 200,000/= kwa siku 200,000/= kwa siku 50,000/= kwa kifaa kwa siku 300,000/= kwa siku 500/= kwa kiti kimoja 1,000/= kwa gunia moja 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) II: MAJENGO NA VIBANDA VYA HALMASHAURI la kilo 90 Na 1 2 3 4 5 6 7 Na 1 2 3 4 Aina ya Jengo Ukumbi mkubwa wa Halmashauri kwa sherehe Ukumbi mkubwa wa Halmashauri semina/warsha Ukumbi mdogo wa HIMA Kupangisha eneo la umma kusimika mnara wa simu na huduma nyingine. kwa Nyumba za Halmashauri daraja I Nyumba za Halmashauri daraja II Nyumba za Halmashauri daraja III Kiwango cha ada (shilingi) 500,000/= kwa siku 200,000/= kwa siku 100,000/= 300,000/= kwa mwezi kwa eneo la ukubwa usiozidi mita 5 za mraba. 80,000/= kwa mwezi 50,000/= kwa mwezi 30,000/= kwa mwezi SEHEMU C: ADA NA USHURU WA SOKO NA MNADA Aina ya ushuru Ushuru wa meza sokoni Ushuru wa mnada /Lembuka Ushuru wa kuingiza gari la mizigo sokoni Tani 1 hadi 3 Zaidi ya tani 3 Ushuru wa choo sokoni Kiwango cha ada (shilingi) 500/= kwa siku 500/= kwa siku 1,000/= kwa siku 2,000/= kwa siku 200/= SEHEMU D: ADA YA HUDUMA YA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA Na Ada ya machinjio na Ukaguzi wa nyama 1 2 3 Ada ya machinjio na Ukaguzi wa nyama kwa kila ng’ombe anayechinjwa Ada ya machinjio na ukaguzi wa nguruwe, kondoo na mbuzi Kuwamba na kukausha ngozi eneo la machinjio Ng’ombe Mbuzi, kondoo 4 Ushuru wa bucha Kiwango cha Ada (shilingi) 9,000/= kwa ng’ombe 7,000/= kila mmoja 500/= kwa kipande kwa siku 200/= kwa kipande kwa siku 7,000/= kwa siku SEHEMU E: USHURU WA MIFUGO NA BIDHAA KWENYE MNADA WA MIFUGO Na Aina ya Mfugo Kiwango cha Ushuru (shilingi) 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) 1 2 3 4 5 6 7 Ng’ombe au Punda Nguruwe Mbuzi au Kondoo Kuku au Bata kwa tenga lenye idadi ya 5 Ushuru wa ngozi ya Ng’ombe au Punda Ushuru wa ngozi ya mbuzi au kondoo a) Tenga la kuku Na. Aina ya Mazao 1 Viazi 2 3 4 5 6 7 8 9 Kabichi Karoti Ufuta Mchele Maharage Kahawa iliyokobolewa Pareto Vitunguu swaumu 10 11 Vitunguu maji Nyanya 12 Mahindi/Alizeti/ngano/Mtama 13 Mazao mengine yasiyotajwa 5,000/= kwa kila mmoja 1,500/=kwa kila mmoja 1,500/=kwa kila mmoja 1,000/= 500/= kwa kipande 250/= kwa kipande 3,000/= kwa tenga zaidi ya kuku 10 kila tenga. Kiwango cha Ada na Ushuru (Asilimia) 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia SEHEMU G: I: ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI Na Aina ya Huduma Kiwango cha Ada (shilingi) 1 2 3 4 Washereheshaji Wapambaji wa kumbi za burudani (harusi, sherehe za jikoni, sherehe za kuaga binti na nyinginezo) Mtoa burudani (DJ)/Muziki Wamiliki wa kumbi mbalimbali 15,000/= kwa siku 15,000/= kwa siku 15,000/= kwa tukio Ukumbi unaochukua watu 100- 200 shilingi 20,000/=kwa siku. Ukumbi unaochukua watu 300- 500 shilingi 40,000/= kwa siku. 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) 5 6 7 8 Matangazo ya barabarani ya sherehe Mpishi wa vyakula Picha jongevu na mnato Matangazo ya kuuza bidhaa zinazopungua bei (promotion) 30,000/= kwa tukio moja kwa siku 30,000/= kwa tukio moja kwa siku 15,000/= kwa tukio moja kwa siku. 30,000/= kwa tangazo
Part
SEHEMU G:
- 9 Verify source ↗
Maombi ya kibali cha kufanya Tiba za Jadi
AI-assisted research summary: The provision mentions an application for a permit to conduct traditional medicine and a charge of 20,000/= per day.
9. Maombi ya kibali cha kufanya Tiba za Jadi 20,000/= kwa siku - 11 Verify source ↗
Mnada
AI-assisted research summary: Section 11 lists a fee of 30,000/= for tamasha and 30,000/= for mnada.
11. Mnada 30,000/= kwa tamasha 30,000/= kwa mnada - 12 Verify source ↗
Kibali cha kupiga muziki ukumbi mkubwa
AI-assisted research summary: A music-playing permit for a large hall costs 50,000 per day.
12. Kibali cha kupiga muziki ukumbi mkubwa 50,000/= kwa siku - 13 Verify source ↗
Kibali kupiga muziki ukumbi mdogo
AI-assisted research summary: Kibali cha kupiga muziki kwenye ukumbi mdogo ni 30,000/= kwa siku.
13. Kibali kupiga muziki ukumbi mdogo 30,000/= kwa siku - 15 Verify source ↗
Kibali kwa ajili ya sherehe (harusi, sendoff na
AI-assisted research summary: The provision mentions permits for ceremonies, including weddings, sendoff events, and concerts, with a fee of 30,000/= for concert permits.
15. Kibali kwa ajili ya sherehe (harusi, sendoff na 30,000/= kwa kibali matamasha) - 16 Verify source ↗
Kibali cha kuchezesha mchezo wa snuka
AI-assisted research summary: A permit for snooker play is set at 80,000/= per year.
16. Kibali cha kuchezesha mchezo wa snuka 80,000/= kwa mwaka (pooltable) - 17 Verify source ↗
Kibali cha kuchezesha mechi za mipira
AI-assisted research summary: A permit for playing ball matches costs 20,000/= for league matches.
17. Kibali cha kuchezesha mechi za mipira 20,000/= kwa ligi - 18 Verify source ↗
Ada ya Waganga wa Jadi waliosajiliwa
AI-assisted research summary: Ada ya waganga wa jadi waliosajiliwa ni 100,000/= kwa mwaka.
18. Ada ya Waganga wa Jadi waliosajiliwa 100,000/= kwa mwaka - 19 Verify source ↗
Wauza dawa za asili/kienyeji
AI-assisted research summary: Sellers of traditional/herbal medicines must pay a fee of 20,000 shillings per year.
19. Wauza dawa za asili/kienyeji 20,000/= kwa mwaka II: ADA NA USHURU WA KUENDESHA SHUGHULI ZA MICHEZO YA KUBAHATISHA Na 1 2 3 Aina ya Mchezo Bahati nasibu Fete Mashine ya kubetisha au gulugulu 4 Ada ya leseni ya mashine ya kubetisha Kiwango cha Ada (shilingi) 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 30,000/= kwa mwaka kwa mwezi 300,000/= kwa mwaka SEHEMU H: I: USHURU WA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI STENDI, SOKONI, MWALO NA KARAKANA YA HALMASHAURI Na 1 2 3 Chombo cha Usafiri Pikipiki Teksi Gari yenye uwezo wa kubeba chini ya tani 7 Kiwango cha Ushuru (shilingi) 300/= kwa siku 1,000/= kwa siku 2,000/= kwa siku 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) 4 5 6 7 Na 1 2 3 4 5 Na. 1 2 Gari yenye uwezo wa kubeba zaidi ya tani 7 Mitambo Bajaji, guta na pikipiki ya magurudumu matatu Boti, Mtumbwi au chombo chochote cha uvuvi 2,500/= kwa siku 3,000/= kwa siku 300/= kwa siku 1,000/= kwa siku II: USHURU WA KUINGIZA GARI STENDI NA SOKONI Chombo cha Usafiri Pikipiki Teksi Gari chini ya tani 7 Gari zaidi ya tani 7 Magari mengine ya Kiwango cha Ushuru (shilingi) 300/= ambaye hana stika kwa siku 500/= kwa siku 1,000/= kwa siku 1,500/= kwa siku 500/= kwa siku SEHEMU I: I: ADA YA KUPIMA AFYA WAHUDUMU Aina ya Huduma Nyumba za starehe (vilabu vya pombe za kienyeji, nyumba za kulala wageni, migahawa Maduka ya bidhaa na mama lishe na baba lishe, wauza vyakula aina yoyote kwa matumizi ya binadamu na wachoma nyama, chipsi na mishkaki. Kiwango cha ada (shilingi) 5,000/= kila baada ya miezi sita kwa kila mhudumu 5,000/= kila baada ya miezi sita kwa kila mhudumu Na. Aina ya ukaguzi II: ADA YA UKAGUZI Maombi ya ukaguzi wa kufungua au kufunga biashara Ukaguzi wa viwanda vikubwa chenye mtaji zaidi ya Tzs.500,000,000/= Ukaguzi wa viwanda vya kati chenye mtaji zaidi ya Tzs.100,000,000/= hadi Tzs.500,000,0000/= Ukaguzi wa viwanda vidogo chenye mtaji usiodizi 100,000,000/= Ukaguzi wahudumu wa vyakula katika hoteli, bar na glocery Kiwango cha Ada (shilingi) 10,000/= kwa ombi 150,000/= kwa mwaka 100,000/= mwaka 50,000/= mwaka 5,000/= kila baada ya miezi sita kwa kila mhudumu kwa kwa SEHEMU J: ADA NA USHURU WA MAZAO YA MALIASILI Na Aina ya Zao Kiwango cha Ada na Ushuru (shilingi) 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 Ushuru wa mbao (kwa size na aina zote) Mkaa Nguzo za kujengea (dbh0-6) Nguzo za kujengea (dbh 7-10) Nguzo za kujengea zaidi ya dbh 11 Magogo ya kuchana mbao 3% ya bei ya kununulia shambani 3% ya bei ya kununulia shambani 3% ya bei ya kununulia shambani 3% ya bei ya kununulia shambani 3% ya bei ya kununulia shambani 3% ya bei ya kununulia shambani 3% ya bei ya kununulia shambani Ushuru wa kuni za matumizi ya nyumbani na viwandani kuanzia tani 1 Bei ya kuuza nguzo kutoka mashamba ya Halmashauri (shilingi) 7,000/= kwa nguzo moja 20,000/= kwa nguzo moja 30,000/= kwa nguzo moja 40,000/= kwa nguzo moja a) Nguzo ya unene wa dbh 0-10 b) Nguzo ya unene wa dbh 11-20 c) Nguzo ya unene wa dbh 21-30 d) Nguzo ya unene zaidi ya dbh 30 Bei kuuza miti kutoka shamba la Halmashauri (shilingi) a) Mti wenye ujazo wa sm10-20 b) Mti wenye ujazo wa sm21-25 c) Mti wenye ujazo wa sm26-30 d) Mti wenye ujazo wa sm31-35 e) Mti wenye ujazo zaidi ya sm36 Ushuru wa asali Ushuru wa nta Ushuru gundi ya miti na maganda ya miti Tozo ya ada kwa mazao ya miti ya asili inayovunwa kwenye misitu ya hifadhi na ardhi ya kawaida kwa M3 isipokuwa miti ya sandal. 4,050/= kwa mti mmoja 8,100/= kwa mti mmoja 20,260/= kwa mti mmoja 35,050/= kwa mti mmoja 38,900/= kwa mti mmoja 200/= kwa lita moja 150/=kwa kilo 1 100/= kwa kilo moja. Daraja IA Daraja IB Daraja II Daraja III Daraja la IV i) ii) iii) iv) v) Miti mingine ambayo haijatajwa Nguzo za miti ya asili Ushuru wa miche ya miti ya kupanda Ushuru wa nguzo za miti ya mikoko Sentimita 15 hadi 20 Chini ya sentimita 15 17 Miche ya mapambo Miche isiyo ya mapambo Ushuru wa mazao ya mifugo na uvuvi 18 11
Part
SEHEMU J:
- 36 Verify source ↗
000/=
AI-assisted research summary: This section sets several Ludewa District Council fees and charges for fishing, minerals transport, building permits, land-use changes, workshop repairs, and other services.
36.000/= 32,000/= 24,000/= 18,000/= 12,000/= 10,000/= 5% ya mrahaba wa tozo ya Wakala wa Misitu Tanzania. 40/= kwa mche mmoja 1,500/= kwa nguzo moja 1,000/= kwa nguzo moja 200/= kwa mche mmoja 80/= kwa mche mmoja Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) a)Ushuru wa samaki kuanzia kg 30 b) Ushuru wa dagaa c) Samaki wa mapambo 19 A: Ada za leseni za uvuvi Leseni za uvuvi 10,000/= kwa kila kg30 3,000/= kwa ndoo ya lita 20 kila ndoo 50/= kwa samaki mmoja au 20,000/= kwa tenki moja. 20,000/= kwa raia kwa mwaka Dola 10 kwa wasio raia kwa mwaka 20 B: Ada za Leseni za Vyombo vya Uvuvi a) Leseni ya mtumbwi b) Leseni ya boti Ushuru kwa nguzo za miti ya kupandwa na Halmashauri kwa miti laini yote isipokuwa jamii ya juniperus procera: - a) Zaidi ya sentimeta 10 dbh b) Kipenyo cha sentimeta 10 na chini ya 20,000/=kwa mwaka 30,000/=kwa mwaka 2,000/= kwa nguzo Itauzwa kama kuni. hapo 21 Ushuru wa Usafirishaji wa Madini a) Madini ya ujenzi (mawe, mchanga, 1,000/= kwa tani moja kokoto na kifusi) b) Usafirishaji madini (Makaa ya mawe, 1500/= kwa tani moja. kopa na madini mengine) 22 Na 1 2 3 Ushuru wa Hewa Ukaa a) Ikiwa umiliki wa msitu ni wa Halmashauri Ikiwa umiliki ni wa Mamlaka nyingine ndani ya Wilaya Ikiwa umiliki ni wa mtu binafsi au vikundi vya kijamii b) c) 61% ya mauzo ya hewa ukaa 10% ya mauzo ya hewa ukaa 4% ya mauzo ya hewa ukaa SEHEMU K: I: ADA YA UPIMAJI NA IDHINI YA UJENZI Aina ya Jengo Kiwango cha Ada (shilngi) Makazi chini ya 400m2 Makazi zaidi ya 400m2 Viwanda na biashara Maeneo mengine (huduma za jamii 1,360/= 4,240/= 3,000/= kwa m2 720/= kwa m2 II: KIBALI NA IDHINI YA UJENZI Na 1 2 3 4 Aina ya Jengo Nyumba za makazi ya kawaida Nyumba za makazi na biashara Kituo cha mafuta Majengo ya ghorofa Kiwango cha Ada (shilingi) 30,000/= kwa kibali 50,000/= kwa kibali 200,000/= 300,000/= 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) 5 6 7 8 9 10 Majengo ya biashara Minara ya simu (Telephone towers) Mmajengo ya ofisi binafsi Maghala na bohari Uzio Majengo mengineyo 50,000/= 300,000/= 100,000/= 200,000/= 20,000/= 20,000/= SEHEMU L: ADA YA MABADILIKO YA MATUMIZI YA ARDHI Na Aina ya Jengo Kiwango cha Ada (shilingi) 1 2 3 4 5 6 Makazi kuwa biashara au makazi na biashara Makazi kuwa viwanda Biashara kuwa viwanda Makazi kuwa housing estates Kugawa kiwanja au shamba Kuhakiki hati miliki 20,000/= 30,000/= 30,000/= 30,000/= 25,000/= 25,000/= SEHEMU M: ADA YA KUTENGENEZA VYOMBO VYA MOTO VYA WATU BINAFSI KATIKA KARAKANA YA HALMASHAURI Na Aina ya matengenezo Kiwango cha Ada (shilingi) 1 2 3 4 5 6 7 Na 1 2 3 Kubomoa, kushusha na kurudishia injini ya greda, trekta na mitambo mingine Kubomoa, kushusha na kurudishia injini ya gari kubwa zaidi ya tani mbili Matengenezo ya kawaida ya greda, trekta na mitambo mingine Matengenezo ya kawaida kwa gari zaidi ya tani mbili Kubomoa, kushusha na kurudishia injini ya gari chini ya tani mbili Matengenezo ya kawaida kwa gari chini ya tani mbili Pikipiki na bajaji (matengenezo aina zote) 200,000/= 150,000/= 100,000/= 80,000/= 80,000/= 40,000/= 25,000/= SEHEMU N: ADA NYINGINEZO Aina ya Ada Choo cha umma cha kulipia Huduma ya bafu ya umma Ada ya maombi ya zabuni 13 Kiwango cha Ada (shilingi) 200/= kwa mtu 500/= kwa mtu 10,000/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) 4 5 6 7 8 9 10 Ada ya ununuzi wa zabuni kwa mradi wa zaidi ya milioni 50 Ushuru wa vyuma chakavu kwa tani moja Kibali cha kuonesha sinema (video) Kibali cha kuonesha mieleka, maigizo, sarakasi, ngumi na michezo mingine Ushuru wa nyumba za kulala wageni Mama Lishe, Baba Lishe/wauzaji vileo/nyama choma/vyombo na bidhaa nyingine mchanganyiko mnadani. Ada ya usajili wa vikundi vya Mama, Vijana na Watu wenye Ulemavu 100,000/= 10,000/= 10,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku 10% ya mtu aliyelala kwa siku 500/= kwa siku 30,000/= kikundi kwa kila 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) _____________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ........................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MIMI MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa kwamba Tarehe ..........ya Mwezi .................. Mwaka................ nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya kanuni ya ……..ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, niko tayari kulipa kiasi cha shilingi ......................... kama faini ya kufifilisha kosa na kiasi cha shilingi ..................... ambacho ni ada au ushuru ninaodaiwa. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo Tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka …… Jina: ..................................................... Saini: ................................................... MBELE YA: Jina…….............................................. Wadhifa: ............................................. Saini: .................................................. Tarehe: ............................................... 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Tangazo la serikali Na.811 (Linaendelea.) Nembo ya. Mhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa umebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa Azimio lililopitishwa na Mkutano wa Baraza la Madiwani lililopitishwa tarehe 12/8/2023 na ubandikaji huo kushuhudiwa na:- SUNDAY NDORI DEOGRATIUS, Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, LUDEWA WISE CHARLES MGINA, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, LUDEWA L.S NAKUBALI, Dodoma, 10 Agosti, 2024 Mohamed Omary Mchengerwa (MB.), Waziri wa Mchi-OR-TAMISEMI 16
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in