Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ya Mwaka 2024
This provision gives the short title of the bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the short title of the bylaw. This by-law applies throughout the entire area of Kalambo District Council. This section defines terms used in the bylaw. Halmashauri itatoza ushuru kwa mazao ya uvuvi ndani ya Halmashauri, na mazao ya uvuvi yanayoingizwa kwa biashara pia yatatozwa ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Watu au entities wanaokusanya ushuru wa mazao ya uvuvi kwa njia zilizoelezwa lazima waombe kibali kwa Mkurugenzi; walioshauriwa kupokea kibali hupewa na Halmashauri. Wamiliki wa vyombo vya uvuvi au wawakilishi wao lazima washirikiane na wakusanyaji wa Halmashauri na kuhakikisha ushuru umelipwa, na mlipaji anaweza kuhitajika kuonyesha mazao yake kielektroniki kwa uhakiki.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ya Mwaka 2024
Showing 15 of 15
- 1 Verify source ↗
Sheria hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This provision gives the short title of the bylaw.
1. Sheria hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the entire area of Kalambo District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii
AI-assisted research summary: This section defines terms used in the bylaw.
3. Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa kama Sura 279 muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Afisa Uvuvi” maana yake ni Afisa Uvuvi yeyote anayetambulika na Sheria ya Uvuvi mwenye dhamana ya kuandikisha vyombo vya uvuvi, wavuvi, wachuuzi wa samaki pamoja na bidhaa zitokanazo na samaki katika eneo la Halmashauri; usafiri wa majini ”Kitengo cha Usimamizi wa Mialo” maana yake ni kitengo kinachohusika na usimamizi wa rasilimali za uvuvi; “chombo cha uchukuzi” maana yake ni chombo chochote cha kavu kilichotengenezwa maalum kwa kutumika kubeba, kusafirisha au kuchukua samaki wakavu, wabichi kwa kutumia vibebea barafu na chombo hiki chaweza kuwa gari, boti, karua, kilagala, ngama, mashua ya kutumia injini, mashua, mtumbwi wa kutumia joshi au kasia; na chombo hicho kiwe nchi au 1 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.815 (Linaendelea.) kimesajiliwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzani; “chombo cha uvuvi” maana yake ni mtumbwi au chombo chochote kilichosajiliwa au kukatiwa leseni kwa ajili ya shughuli za uvuvi; “dandali” maana yake ni vipande viwili vya fito vilivyotengenezwa kwa duara au namna nyingine yoyote na kusukwa kwa kamba na miti, katani au manila na hutumika kufungia samaki wakavu wakati wa kusafirisha kwenda kuwauza; “Halmashauri” Maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “Mwalo” maana yake ni kando kando ya Ziwa, bwawa au sehemu yoyote ile inayotumiwa na wavuvi kutua, kupakua au kupakia samaki na zana za uvuvi na bidhaa nyinginezo kwa madhumuni ya biashara au matumizi ya nyumbani; “sumu” maana yake ni madawa yatokanayo na miti au yanayoweza kutengenezwa viwandani ambayo hutumika kwa kuwaleweshea au kuwaua samaki ; “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. Ushuru wa mazao yatokanayo na uvuvi
Part
sehemu yoyote ile inayotumiwa na wavuvi kutua,
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ushuru kwa mazao
AI-assisted research summary: Halmashauri itatoza ushuru kwa mazao ya uvuvi ndani ya Halmashauri, na mazao ya uvuvi yanayoingizwa kwa biashara pia yatatozwa ushuru chini ya Sheria Ndogo hii.
4.-(1) Halmashauri itatoza ushuru kwa mazao yanayotokana na uvuvi ndani ya Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Mazao ya uvuvi yatakayoingizwa ndani ya Halmashauri kwa madhumuni ya biashara yatalipiwa ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Kibali cha kukusanya ushuru - 5 Verify source ↗
(1) Mtu binafsi, kampuni au taasisi yenye lengo
AI-assisted research summary: Watu au entities wanaokusanya ushuru wa mazao ya uvuvi kwa njia zilizoelezwa lazima waombe kibali kwa Mkurugenzi; walioshauriwa kupokea kibali hupewa na Halmashauri. Wamiliki wa vyombo vya uvuvi au wawakilishi wao lazima washirikiane na wakusanyaji wa Halmashauri na kuhakikisha ushuru umelipwa, na mlipaji anaweza kuhitajika kuonyesha mazao yake kielektroniki kwa uhakiki.
5.-(1) Mtu binafsi, kampuni au taasisi yenye lengo la kukusanya ushuru wa mazao ya uvuvi kwenye Halmashauri kwa kutumia mashua, mtumbwi, karua, ngama, gari au kwa kutumia sanduku la kuhifadhia samaki atatakiwa kuomba kibali kwa Mkurugenzi kwa kujaza 2 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.815 (Linaendelea.) fomu maalumu na kusaini mkataba kama ilivyobanishwa katika Jedwali la Pili . (2) Mtu binafsi, kampuni au taasisi ambayo maombi yake yamekubaliwa atapewa kibali na Halmashauri kama ilivyobainisha katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii. (3) Ushuru wa Mazao ya Uvuvi utakusanywa na Afisa Mwidhiniwa, au wakala wa Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (4) Kila mmiliki wa chombo cha uvuvi au mwakilishi atapaswa kutoa ushirikiano kwa Afisa Mwidhiniwa au Wakala wa Halmashauri na kuhakikisha kuwa Ushuru wa Mazao ya Uvuvi unalipwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (5) Mtu yeyote aliyelipia ushuru wa samaki na stakabadhi ya atatakiwa kuonyesha mazao yake kielektroniki endapo atahitajika kufanya hivyo kwa ajili ya uhakiki na ukaguzi. - 6 Verify source ↗
Halmashauri itaainisha sehemu zisizo ruhusiwa
AI-assisted research summary: Halmashauri must identify the places where selling, buying, and transporting fish products is not allowed.
6. Halmashauri itaainisha sehemu zisizo ruhusiwa kuuza, kununua na kusafirisha mazao ya uvuvi. - 7 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atatakiwa kuwa na kibali na
AI-assisted research summary: Anyone must have a permit and pay the fisheries produce tax to the Council before transporting the produce.
7.-(1) Mtu yeyote atatakiwa kuwa na kibali na kulipia ushuru wa mazao ya uvuvi kwa Halmashauri kabla ya kusafirisha. (2) Endapo mtu yeyote atasafirisha mazao ya uvuvi bila kulipa ushuru atatakiwa kulipia asilimia hamsini ya anachodaiwa ikiwa ni kufidia gharama za kufuatilia ushuru huo. Sehemu zisizo ruhusiwa kuuza, kununua na kusafirisha mazao ya uvuvi Ushuru wa kusafirisha mazao ya uvuvi Kipindi maalumu cha kusimamisha shughuli za Uvuvi - 8 Verify source ↗
Halmashauri itatangaza kipindi maalumu cha
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itangaze kipindi maalumu cha kusitisha uvuvi ili kuruhusu samaki kuzaliana, na mtu yeyote haruhusiwi kuvua samaki wakati huo.
8. Halmashauri itatangaza kipindi maalumu cha ili kupisha samaki kusimamisha shughuli za uvuvi kuzaliana. (a) Mtu yeyote hatoruhusiwa kuvua samaki katika kipindi ambacho shughuli za uvuvi zitakuwa zimesimamishwa. 3 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.815 (Linaendelea.) Usajili wa vyombo vya uvuvi - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri itasajili vyombo vya uvuvi na
AI-assisted research summary: Halmashauri must register fishing vessels and assign registration numbers; an owner who uses an unregistered fishing vessel commits an offence and must register it and pay a fine.
9.-(1) Halmashauri itasajili vyombo vya uvuvi na kuvipatia namba za usajili. (2) Chombo ambacho kitafanya shughuli za uvuvi bila kusajiliwa, mmiliki wa chombo hicho atakuwa ametenda kosa na atatakiwa kukisajili na kulipa faini ya asilimia hamsini ya ushuru ili kufidia gharama za ufuatiliaji. (3) Endapo mmiliki wa chombo hicho atashindwa kulipia chombo chake ndani ya saa ishirini na nne toka kilipokamatwa na Halmashauri au Wakala, chombo hicho kitataifishwa na kuuzwa kwa mnada ili kufidia gharama pamoja na ushuru baada ya kupata amri ya Mahakama. Marufuku ya kutojirudia kwa namba ya usajili - 10 Verify source ↗
(1) Chombo chochote cha uvuvi hakitatakiwa
AI-assisted research summary: Fishing vessels must not have a duplicate registration number.
10.-(1) Chombo chochote cha uvuvi hakitatakiwa kujirudia namba ya usajili. (2) Endapo itakapobainika kuwa chombo au vyombo vya uvuvi au usafiri wa majini umejirudia namba ya usajili Halmashauri itataifisha vyombo vyote ambavyo vimejirudia namba na itaviuza kwa mnada wa hadhara baada ya kupata amri ya Mahakama. Ada ya Kibali - 11 Verify source ↗
Kibali cha kusafirishia mazao ya uvuvi
AI-assisted research summary: A fishing-products transport permit costs shilingi 10,000.
11. Kibali cha kusafirishia mazao ya uvuvi kitalipiwa shilingi elfu kumi. Makosa - 12 Verify source ↗
Mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mtu yeyote haruhusiwi kufanya vitendo vilivyotajwa hapa, ikiwemo uvuvi bila kibali, usafirishaji au uuzaji wa samaki bila leseni au ushuru, na kuingilia kazi za maafisa wa uvuvi.
12. Mtu yeyote- (a) anayetoka nje ya eneo la Halmashauri na kufanya shughuli za uvuvi bila kuripoti kwa Kitengo cha Usimamizi wa Mialona kupata kibali; (b) kanayefanya ukusanyaji, utengenezaji na usafirishaji wa samaki wabichi, wa kubanikwa kwa moshi, jua au chumvi bila ya kuwa na kibali cha Halmashauri; shughuli za (c) anayepakia au kusafirisha mzigo wowote wa samaki, mabondo au bidhaa nyinginezo zitokanazo na mazao ya uvuvi kutoka mwaloni au eneo lolote la Halmashauri bila ya kulipiwa ushuru wa mazao ya uvuvi; kwa (d) anayevua kutumia samaki nyavu zisizoruhusiwa; 4 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.815 (Linaendelea.) (e) anayevua au kuua samaki wadogo ambao hawajakua kufikia kiwango cha kuvuliwa. (f) anayefanya shughuli za uvuvi na kusafirisha samaki nyakati za usiku bila ya kulipia ushuru; (g) anayemzuia, kumgomea au kumshambulia Afisa uvuvi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala wakati anapotekeleza mojawapo ya majukumu yao; (h) anayefanya biashara ya uvuvi au kuuza samaki au mazao yatokanayo na samaki bila leseni; samaki (i) anayesafirisha wabichi ambao watathibitika wana madhara kwa mlaji. (j) anayelima mazao ya chakula ndani ya ziwa na matumizi ya dawa zenye sumu za magugu na wadudu; (k) anayeuuza samaki wabichi na wakavu katika maeneo yasiyoruhusiwa kama barabarani bila kujali afya ya mlaji. Adhabu Kufililisha kosa - 13 Verify source ↗
Mtu yeyote anayekiuka masharti ya kifungu
AI-assisted research summary: Anyone who breaches any provision of this by-law commits an offence and, if convicted, may be fined, imprisoned, or both.
13. Mtu yeyote anayekiuka masharti ya kifungu chochote cha Sheria Ndogo hii anatenda kosa na akitiwa hatiani atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. - 14 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kutoza shilingi 200,000 kwa mtu aliyekubali kosa chini ya Sheria Ndogo hii na kukamilisha fomu maalum pamoja na kulipa ada au ushuru unaodaiwa.
14. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Nne la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 5 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.815 (Linaendelea.) _______ JEDWALI LA KWANZA _______ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 4 (1) USHURU WA MAZAO YATOKANAYO NA UVUVI MAZAO YA UVUVI UJAZO KIASI CHA USHURU Perege Kilo 1 100/= Tshs Kambale Kuhe Sato Sangara Migebuka Dagaa Samaki wa mapambo Kilo 1 Kwa Samaki 100/= 300/= 6 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.815 (Linaendelea.) ________ JEDWALI LA PILI ________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 5(1 KIBALI CHA KUKUSANYA USHURU Picha ya Mwombaji Namba ya Leseni ……………………… Namba ya Simu………………………. Kibali hikikinatolewa kwa Bwana/Bibi/Bi./Ndugu…………………………………..………… ambaye ni mkazi wa……...…………………. Wilaya ya……………………………… Mkoa wa …………………………………………………. kufanya shughuli za uvuvi/ununuzi/ usafirishaji wa Samaki kutoka eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo. Kibali hiki kitatumika kuanzia tarehe ……. mwezi wa ……… Mwaka …….……. Mpaka tarehe ………………. Mwezi ……………………… mwaka …………… Mwombaji wa kibali amelipa malipo yote yanayohusiana na kibali hiki kwa stakabadhi Na…………………………… ya tarehe ……..mwezi …………….. mwaka………. …………………………………………….. Afisa Uvuvi (W) 7 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.815 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA TATU ___________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 5(2) KIBALI CHA KUSAFIRISHA MAZAO YA UVUVI Kibali kinatolewa kwa Bwana/Bibi/Bi/Ndugu ……………………….…..……………… ambaye anamiliki leseni ya biashara Na. ……….…………………. ya kusafirisha samaki/mazao ya uvuvi. Bidhaa zitokanazo na samaki kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kwenda sehemu iliyobainishwa hapa chini kwa ajili ya biashara au matumizi ya nyumbani. Na. Aina ya Samaki Idadi ya Mzigo Kizio Thamani yake Kituo anakopeleka Ada iliyolipwa kwa Halmashauri
Part
JEDWALI LA TATU
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya kukiri kosa mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo na kuonyesha utayari wa kulipa ada/ushuru unaodaiwa pamoja na faini.
3. Tarehe ambayo kibali kimetolewa ………...………………………….……………………………… Tarehe ya mwisho wa kibali ………………………………………..………………….…………….. …………………… ………...………………… Afisa Uvuvi (W) Saini ya Mwombaji wa Kibali 8 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.815 (Linaendelea.) ________ JEDWALI LA NNE _________ (Limetungwa chini ya kifungu cha 14) FOMU YA KUFILILISHA KOSA Mimi …………………………..……………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Kalambo, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya Kifungu cha …… cha Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya mwaka, 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU ya mwezi…………..… mwaka ……………. Leo tarehe…………. Jina……………………………….. Saini……………………… Mbele yangu : Jina: ……………………………………..…………… Saini………………………….………………………… Wadhifa: ……………………………………………… Tarehe…………………………………………………… 9 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.815 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo imegongwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo uliofanyika tarehe 4/11/2022 na kushuhudiwa lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- SHAFI K. MPENDA, Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri ya wilaya, Kalambo DAUDI NZELANI SECHOME, Mwenyekiti Halmashauri ya wilaya, Kalambo NAKUBALI, L.S Dodoma, 19 Julai, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB.) Waziri wa Nchi-OR-TAMISEMI, 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in