AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufililisha kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa, anakubali kujaza fomu maalum, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
9. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa 3 Sheria Ndogo ya Utamaduni Na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.816 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA KWANZA _________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 7) ADA YA VIBALI (a) (b) Ada ya kusajili kikundi cha sanaa na muziki Kibali cha disko kwa siku moja:- Ada kwa siku Tshs Ada kwa mwaka Tshs 30,000/= (c) (i) (ii) Kikundi cha ndani ya Wilaya Kikundi cha nje ya Wilaya lakini ndani ya Mkoa Kikundi toka nje ya Mkoa 10% ya mapato lakini si chini ya shilingi Kibali cha kupiga dansi siku moja :- (iii) (i) (ii) (iii) cha Kikundi ndani ya Wilaya Kikundi toka nje ya Wilaya lakini ndani ya Mkoa Kikundi toka nje ya Mkoa 10% ya mapato lakini si chini ya shilingi 12,000/= 30,000/= 30,000/= 20,000/= 30,000/= 50,000/= (d) Kibali cha kuonyesha sanaa za maonyesho (sinema, video, maigizo, kumbi za mpira, sarakasi, ngumi, ngoma, kunyanyua vyuma na kadhalika) (i) (ii) (iii) (iv) za Sanaa maonyesho ngoma, maigizo, ngumi sarakasi, na kadhalika kwa siku moja Sinema au video kibali Ada ya video au sinema Kikundi ndani ya Wilaya cha 4 10,000/= 10,000/= 20,000/= 40,000/= Sheria Ndogo ya Utamaduni Na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.816 (Linaendelea.) (v) (vi) Kikundi toka nje ya Wilaya lakini ndani ya mkoa Kikundi nje ya Mkoa 10% ya mapato lakini si chini ya Shilingi 30,000/= 30,000/= (e) (f) Kibali cha kuuza dawa za asili Kibali cha kuendesha tiba ya asili ndani ya eneo la Halmashauri (i) (ii) (iii) Waganga toka nje ya Wilaya Waganga maarufu ndani ya Wilaya Waganga wadogo ndani ya Wilaya 20,000/= 30,000/= 30,000/= 30,000/= (g) Ada kwa ajili ya kuzuru sehemu za makumbusho au za kihistoria kwa mtu mmoja Mhusika Mtu mzima Mwanafunzi (h) Raia (Tshs) 2000/= bure Asiye Raia (Us $) 5/= 3/= Ada kwa ajili ya kumbi za Starehe au maeneo ya miji kwa ajili ya shughuli za maonyesho, starehe (Social clubs and Halls) viwanja vya michezo (Stadium) ambazo hutumika kwa kutoza viingilio kwa kila mwaka ni kama ifuatavyo:- (i) (ii) Kumbi za kuonyesha mpira Kibali cha kuendesha kumbi za sherehe 30,000/= 30,000/= (i) kujishughulisha na fani za kiutamaduni kwa mara moja Kibali cha kunasa nyimbo za asili, upigaji picha vitu na vikundi vyenye Raia (Tshs) 5000/= Asiye Raia (Us $) 5$ (j) (k) (l) 20,000/= 20,000/= Kibali cha kuendesha fete kwa siku moja Kibali cha kuchezesha michezo ya mpira wa miguu kwa kutoza viingilio kwenye viwanja vya michezo (Stadium) kokote kule ndani ya eneo la Halmashauri ya Wilaya itakuwa Kibali cha kuendesha shughuli zozote za mikutano ya kidini nje ya maeneo ya makanisa au misikiti bure (lakini lazima kibali kitolewe). 5 Sheria Ndogo ya Utamaduni Na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.816 (Linaendelea.) _________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 9) FOMU YA KUKIRI NA KUFILILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Kalambo, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya Kifungu cha …… cha Sheria Ndogo ya Utamaduni na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ya mwaka, 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya mwezi…………..… mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… Mbele yangu : Jina: ……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 6 Sheria Ndogo ya Utamaduni Na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Tangazo la Serikali Na.816 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo imegongwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo uliofanyika tarehe 4/11/2022 na kushuhudiwa lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- SHAFI K. MPENDA, Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri ya wilaya, Kalambo DAUDI NZELANI SECHOME, Mwenyekiti Halmashauri ya wilaya, Kalambo NAKUBALI, L.S Dodoma, 19 Julai, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB.) Waziri wa Nchi-OR-TAMISEMI, 7