Kanuni za Uteuzi, Ujira na Nidhamu ya Wasuluhishi za mwaka 2024
This section is titled “Interpretation” and marks the start of the introductory provisions and the part on appointment of mediators.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Kanuni za Uteuzi, Ujira na Nidhamu ya Wasuluhishi za mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section is titled “Interpretation” and marks the start of the introductory provisions and the part on appointment of mediators. Section titled “Rejesta ya Wasuluhishi” in Part Three, “Ujira.” Section title about an obligation to pay arbitrators/mediators. Section 12 is titled “Use and Enforcement of the Code of Ethics.” Sehemu hii inaeleza adhabu kwa kukiuka Kanuni za Maadili.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Kanuni za Uteuzi, Ujira na Nidhamu ya Wasuluhishi za mwaka 2024
Showing 27 of 27
- 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: This section is titled “Interpretation” and marks the start of the introductory provisions and the part on appointment of mediators.
3. Tafsiri SEHEMU YA KWANZA MASHARTI YA UTANGULIZI SEHEMU YA PILI UTEUZI WA WASULUHISHI
Part
SEHEMU YA PILI
- 8 Verify source ↗
Rejesta ya Wasuluhishi
AI-assisted research summary: Section titled “Rejesta ya Wasuluhishi” in Part Three, “Ujira.”
8. Rejesta ya Wasuluhishi SEHEMU YA TATU UJIRA - 4 Verify source ↗
Masharti ya Sehemu hii yatatumika kwa
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonekana kutaja kwamba masharti yake yanahusu watu fulani wanaohusiana na usuluhishi, lakini maandishi ni ya mkato na hayako wazi kikamilifu.
4. Masharti ya Sehemu hii yatatumika kwa siyo maafisa wa mahakama wasuluhishi wanaohudumu na waliostaafu. ambao Sifa za kuteuliwa kuwa msuluhishi TS. Na. 147 la 2021 - 5 Verify source ↗
Mtu atastahili kuteuliwa kuwa msuluhishi chini ya
AI-assisted research summary: A person is eligible to be appointed as an arbitrator under these Regulations if they are approved as a mediator, arbitrator, or adjudicator under the relevant accreditation regulations.
5. Mtu atastahili kuteuliwa kuwa msuluhishi chini ya Kanuni hizi iwapo mtu huyo ameidhinishwa kuwa mpatanishi, msuluhishi au mwamuzi chini ya Kanuni za Uidhinishaji wa Watoa Huduma za Upatanishi, Usuluhishi na Uamuzi. Utaratibu wa uteuzi TS. Na. 147 ya 2021 Uamuzi wa maombi - 6 Verify source ↗
(1) Mtu anayekusudia kuteuliwa kuwa msuluhishi
AI-assisted research summary: An intended arbitrator must submit an appointment application to the Chief Justice.
6.-(1) Mtu anayekusudia kuteuliwa kuwa msuluhishi atawasilisha maombi ya uteuzi kwa Jaji Mkuu. (2) Maombi chini ya kanuni hii yatakuwa katika Fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Kwanza na kuambatishwa na cheti cha uthibitisho kilichotolewa chini ya Kanuni za Uidhinishaji wa Watoa Huduma za Upatanishi, Usuluhishi na Uamuzi. - 7 Verify source ↗
Baada ya kupokea maombi, Jaji Mkuu, ndani ya
AI-assisted research summary: After receiving an application, the Chief Justice must decide it within 30 days and notify the applicant in writing.
7. Baada ya kupokea maombi, Jaji Mkuu, ndani ya siku thelathini tangu tarehe ya kupokelewa kwa maombi hayo- (a) ikiwa ameridhika kwamba mwombaji anastahili kuteuliwa, atakubali maombi na kumjulisha mwombaji kwa maandishi kuhusu kuteuliwa kwake; au (b) kama hajaridhika na maombi- (i) (ii) atamtaka mwombaji kutoa maelezo zaidi kwa ajili kuzingatiwa; au atakataa maombi na kumjulisha mwombaji kwa maandishi kuhusu kukataliwa huko na sababu zake. Rejesta ya wasuluhishi - 8 Verify source ↗
Msajili wa Mahakama Kuu atatunza rejesta ya
AI-assisted research summary: Msajili wa Mahakama Kuu lazima atunze rejesta ya wasuluhishi walioteuliwa chini ya Kanuni hizi.
8. Msajili wa Mahakama Kuu atatunza rejesta ya wasuluhishi walioteuliwa chini ya Kanuni hizi. 3 Kanuni Za Uteuzi, Ujira Na Nidhamu ya Wasuluhishi Tangazo la Serikali Na.827 (Linaendelea.) SEHEMU YA TATU UJIRA Matumizi ya Sehemu hii Sura ya 33
Part
SEHEMU YA TATU
- 11 Verify source ↗
Wajibu wa kulipa wasuluhishi
AI-assisted research summary: Section title about an obligation to pay arbitrators/mediators.
11. Wajibu wa kulipa wasuluhishi SEHEMU YA NNE KANUNI ZA MAADILI NA HATUA ZA KINIDHAMU - 9 Verify source ↗
Masharti ya Sehemu hii yatatumika kwa
AI-assisted research summary: Masharti ya Sehemu hii yanatumika kwa wasuluhishi wote, isipokuwa msuluhishi aliyechaguliwa na wadaawa chini ya kanuni ya 25(6)(f).
9. Masharti ya Sehemu hii yatatumika kwa wasuluhishi wote isipokuwa msuluhishi aliyechaguliwa na wadaawa chini ya kanuni ya 25(6)(f) ya Amri ya Nane ya Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Madai. Ujira wa wasuluhishi - 10 Verify source ↗
(1) Kwa kuzingatia masharti ya Sehemu hii,
AI-assisted research summary: Msuluhishi ana haki ya kulipwa ada ya huduma kwa kila shauri la upatanishi, na anaweza pia kupata posho za safari na kujikimu ikibidi kusafiri.
10.-(1) Kwa kuzingatia masharti ya Sehemu hii, msuluhishi atastahili kulipwa ada ya huduma kwa kila shauri la upatanishi kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili. (2) Bila ya kuathiri kanuni ndogo ya (1), pale ambapo ni muhimu kwa msuluhishi kusafiri, atastahili kupata posho za safari na kujikimu kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili: Isipokuwa kwamba, pale ambapo msuluhishi ni afisa wa mahakama anayehudumu, gharama chini ya kanuni hii zitalipwa kwa mujibu wa masharti ya utumishi wake. Wajibu wa kulipa wasuluhishi - 11 Verify source ↗
Ujira, matumizi na gharama zinazopaswa kulipwa
AI-assisted research summary: Mahakama inapaswa kulipa ujira, matumizi na gharama za msuluhishi chini ya Kanuni hizi.
11. Ujira, matumizi na gharama zinazopaswa kulipwa kwa msuluhishi chini ya Kanuni hizi zitalipwa na Mahakama. SEHEMU YA NNE KANUNI ZA MAADILI NA HATUA ZA KINIDHAMU Matumizi na utekelezaji wa Kanuni za Maadili
Part
SEHEMU YA NNE
- 12 Verify source ↗
Matumizi na Utekelezaji wa Kanuni za Maadili
AI-assisted research summary: Section 12 is titled “Use and Enforcement of the Code of Ethics.”
12. Matumizi na Utekelezaji wa Kanuni za Maadili - 13 Verify source ↗
Adhabu kwa kukiuka Kanuni za Maadili
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza adhabu kwa kukiuka Kanuni za Maadili.
13. Adhabu kwa kukiuka Kanuni za Maadili - 14 Verify source ↗
Malalamiko kuhusu ukuikwaji wa maadili ya kitaaluma
AI-assisted research summary: This section concerns complaints about breaches of professional ethics.
14. Malalamiko kuhusu ukuikwaji wa maadili ya kitaaluma - 15 Verify source ↗
Uchunguzi wa malalamiko
AI-assisted research summary: This provision is titled “Uchunguzi wa malalamiko” (complaint investigation).
15. Uchunguzi wa malalamiko ________ MAJEDWALI ________ 1 Kanuni Za Uteuzi, Ujira Na Nidhamu ya Wasuluhishi Tangazo la Serikali Na.827 (Linaendelea.) SHERIA YA USIMAMIZI WA HAKI NA MATUMIZI YA SHERIA, (SURA YA 358) _______ KANUNI _______ (Zimetengenezwa chini ya kifungu cha 4) KANUNI ZA UTEUZI, UJIRA NA NIDHAMU YA WASULUHISHI ZA MWAKA 2024 SEHEMU YA KWANZA MASHARTI YA UTANGULIZI Jina - 12 Verify source ↗
(1) Kanuni za Maadili zitatumika pamoja na
AI-assisted research summary: The Chief Justice must implement the Code of Ethics to discipline arbitrators, and an arbitrator who breaches the Code breaches professional ethics.
12.-(1) Kanuni za Maadili zitatumika pamoja na mabadiliko muhimu yanayofaa kwa wasuluhishi chini ya Kanuni hizi. (2) Jaji Mfawidhi atatekeleza Kanuni za Maadili kwa madhumuni ya kudhibiti nidhamu ya wasuluhishi. (3) Msuluhishi anayekiuka Kanuni za Maadili anakiuka maadili ya kitaaluma. Adhabu kwa kukiuka Kanuni za Maadili Sura ya 237 - 13 Verify source ↗
Msuluhishi anayekiuka maadili ya kitaaluma
AI-assisted research summary: A mediator who violates professional ethics may face disciplinary action.
13. Msuluhishi anayekiuka maadili ya kitaaluma- (a) ikiwa ni afisa wa mahakama anayehudumu, atawajibika kwa hatua za kinidhamu kama ilivyoainishwa chini ya Sheria ya Usimamizi wa Mahakama; au (b) katika hali nyingine yoyote, atawajibika kwa hatua za kinidhamu kwa mujibu wa Kanuni hizi. 4 Kanuni Za Uteuzi, Ujira Na Nidhamu ya Wasuluhishi Tangazo la Serikali Na.827 (Linaendelea.) Malalamiko kuhusu ukuikwaji wa maadili ya kitaaluma - 14 Verify source ↗
(1) Mtu ambaye hajaridhishwa na mwenendo wa
AI-assisted research summary: A person unhappy with an arbitrator’s conduct may complain to the Chief Judge if they believe professional ethics were breached.
14.-(1) Mtu ambaye hajaridhishwa na mwenendo wa msuluhishi na anaamini kuwa msuluhishi amekiuka maadili ya kitaaluma anaweza kuwasilisha malalamiko kwa Jaji Mfawidhi dhidi ya ukiukwaji huo. (2) Malalamiko yatafanyika kwa maandishi katika lugha ya Kiingereza au Kiswahili yakiungwa mkono na nyaraka nyingine yoyote au taarifa kama uthibitisho wa malalamiko hayo. (3) Kanuni hizi hazitatafsiriwa kumzuia Jaji Mfawidhi kuanzisha mashauri ya kinidhamu kwa utashi wake. Uchunguzi wa malalamiko - 15 Verify source ↗
(1) Jaji Mfawidhi, ndani ya siku saba baada ya
AI-assisted research summary: Jaji Mfawidhi lazima aamua ndani ya siku saba baada ya kupokea malalamiko kama ni ya msingi au la, na akiridhika kuwa ni ya msingi anaweza kumchukulia msuluhishi hatua za kinidhamu.
15.-(1) Jaji Mfawidhi, ndani ya siku saba baada ya kupokea malalamiko, ataamua kama malalamiko hayo ni ya msingi au ni uzushi na yasiyo na msingi. (2) Endapo Jaji Mfawidhi ataridhika kwamba malalamiko ni ya msingi, kwa kuzingatia haki ya msuluhishi kusikilizwa, anaweza kutoa adhabu zifuatazo dhidi ya msuluhishi: (a) kutoa onyo la maandishi; (b) kumtaka kulipa kiasi cha fedha ambacho kinaweza kutosha kufidia gharama au hasara aliyopata mlalamikaji kutokana na malalamiko; (c) kupendekeza kwa Jaji Mkuu kusimamishwa kazi au kutenguliwa kwa msuluhishi; au (d) hatua nyingine yoyote kadri Jaji Mfawidhi atakavyoona inafaa. 5 Kanuni Za Uteuzi, Ujira Na Nidhamu ya Wasuluhishi Tangazo la Serikali Na.827 (Linaendelea.) _____________ JEDWALI LA KWANZA _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 6(2)) MAOMBI YA KUTEULIWA KUWA MSULUHISHI …………………………………………………………………………………MWOMBAJI FOMU MD
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uteuzi,
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinasema jina la kanuni hizi ni Kanuni za Uteuzi, Ujira na Nidhamu ya Wasuluhishi za mwaka 2024.
1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uteuzi, Ujira na Nidhamu ya Wasuluhishi za mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Kanuni hizi
AI-assisted research summary: Kanuni hizi zinatumika kwa wasuluhishi walioteuliwa na mahakama kwa ajili hiyo.
2. Kanuni hizi wanaofanya usuluhishi ulioamriwa na mahakama walioteuliwa kwa ajili hiyo. zitatumika kwa wasuluhishi au Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Kanuni hizi, isipokuwa kama muktadha
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafafanua maneno kadhaa yanayotumika katika Kanuni hizi.
3. Katika Kanuni hizi, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Jaji Mfawidhi” maana yake ni Jaji Mfawidhi wa Masjala ya Mahakama Kuu, Masjala ndogo au Divisheni; “Kanuni za Maadili” maana yake ni Kanuni za Maadili na Wapatanishi, Wasuluhishi na Mwenendo wa Waamuzi; “ukiukaji wa maadili ya kitaaluma” maana yake ni kitendo chochote au kutotenda kunakochukuliwa kuwa ni ukiukaji wa Kanuni za Maadili; na “usuluhishi ulioamriwa na mahakama” maana yake ni usuluhishi unaorejewa chini ya Amri ya Nane ya Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Madai. TS. Na. 148 la 2021 Sura ya 33 2 Kanuni Za Uteuzi, Ujira Na Nidhamu ya Wasuluhishi Tangazo la Serikali Na.827 (Linaendelea.) SEHEMU YA PILI UTEUZI WA WASULUHISHI Matumizi ya Sehemu hii
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Mimi………………………………………………………………………… (Anwani)
AI-assisted research summary: This section identifies Mimi as the address and introduces what follows.
1. Mimi………………………………………………………………………… (Anwani) naeleza kama ifuatavyo: - 2 Verify source ↗
Kwamba, mwombaji ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyezaliwa tarehe
AI-assisted research summary: The applicant must be a citizen of the United Republic of Tanzania and was born on the stated date.
2. Kwamba, mwombaji ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyezaliwa tarehe ……………… - 3 Verify source ↗
Kwamba, mwombaji ameidhinishwa kuwa msuluhishi chini ya Kanuni za Uidhinishaji
AI-assisted research summary: Mwombaji amesema ameidhinishwa kuwa msuluhishi chini ya Kanuni za Uidhinishaji za mwaka 2021, na anafuatisha nakala za cheti cha kuzaliwa na cheti cha uidhinishwaji.
3. Kwamba, mwombaji ameidhinishwa kuwa msuluhishi chini ya Kanuni za Uidhinishaji wa Watoa Huduma za Upatanisho, Majadiliano, Usuluhishi na Uamuzi za mwaka 2021 tarehe ……………… Nakala za cheti cha kuzaliwa na cha uidhinishwaji vimeambatishwa pamoja na maombi haya . - 4 Verify source ↗
Kwamba, uzoefu wa mwombaji kama msuluhishi uko katika (Bainisha maeneo ya
AI-assisted research summary: Mwombaji anapaswa kutaja maeneo ya utaalamu yanayohusu uzoefu wake kama msuluhishi.
4. Kwamba, uzoefu wa mwombaji kama msuluhishi uko katika (Bainisha maeneo ya utaalamu kwa mfano; Ardhi, uhamishaji miliki, ujenzi, kazi, bima, madini, mafuta na ……………………………… gesi ………………………………………………………………………………………… …………………………………………………… …………… n.k.): - 5 Verify source ↗
Mwombaji anaomba ikupendeze kumteua kuwa msuluhishi chini ya kanuni ya 6(1) ya
AI-assisted research summary: This section is an application form for appointment as an arbitrator and includes the fee and allowance table for arbitrators.
5. Mwombaji anaomba ikupendeze kumteua kuwa msuluhishi chini ya kanuni ya 6(1) ya Kanuni za Uteuzi, Ujira na Nidhamu ya Wasuluhishi za mwaka 2024. IMESAINIWA Tarehe……......mwezi……………………..mwaka................................... ………………… ( MWOMBAJI) 6 Kanuni Za Uteuzi, Ujira Na Nidhamu ya Wasuluhishi Tangazo la Serikali Na.827 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 10) ADA NA POSHO SEHEMU A: ADA YA HUDUMA WA MAAFISA MAHAKAMA WANAOHUDUMU Tshs. 500,000/= Haitumiki WASULUHISHI TOFAUTI NA MAAFISA WA MAHAKAMA WANAOHUDUMU Ada Tshs. 500,000/= Tshs. 300,000/= Haitumiki Tshs. 200,000/= SEHEMU B: POSHO YA USAFIRI NA KUJIKIMU Maelezo Kwa kila usuluhishi uliofanikiwa. Kwa kila usuluhishi uliofanikiwa kwa sehemu. Kwa kila usuluhishi usiofanikiwa. S/N 1 2 3 4 5 AINA YA USAFIRI Anga Bahari Treni Barabara Ikiwa ni usafiri binafsi 6 Posho ya kujikimu DARAJA Daraja la Uchumi Daraja la Kwanza Daraja la Kwanza Daraja la kifahari Msuluhishi atastahiki posho ya mafuta kulingana na kiwango kinachotumiwa na Serikali Isiyozidi Tshs. 250,000/= kwa usiku Dodoma, 26 Septemba, 2024 IBRAHIM HAMIS JUMA, Jaji Mkuu 7
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Kanuni za Uteuzi, Ujira na Nidhamu ya Wasuluhishi za mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in