AI-assisted research summary: General and detailed plans for the area in the Schedule must be prepared and kept by the listed planning and district council officials.
3. Mipango ya jumla na ya kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Maswa. ________ JEDWALI ________ Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MA69 yenye majira - nukta 568407MS, 9647661KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa uelekeo KZ68006’05”MS kwa umbali wa kilomita 2.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MA84 yenye majira – nukta 571020MS, 9648711KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS110010’16”MS kwa umbali wa kilomita 1.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VM 709 yenye majira – nukta 572031MS, 9648340KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS98047’00”MS kwa umbali wa kilomita 1.04 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VM708 yenye majira – nukta 573073MS, 9648179KZ; baada ya hapo mpaka 1 Tangazo la Serikali Na. 840 (Linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Njia Panda unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KS85003’52”MS kwa umbali wa kilomita 1.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VM 728 yenye majira – nukta 574370MS, 9648291KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS217031’27”MG kwa umbali wa kilomita 6.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MA130 yenye majira – nukta 570663MS, 9643465KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini -Magharibi katika uelekeo wa KS282053’12”MG kwa umbali wa kilomita 5.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MA 68 yenye majira – nukta 565527MS, 9644640KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ43038’25”MS kwa umbali wa kilomita 3.02 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 2 Oktoba, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2