AI-assisted research summary: The specified area’s general and detailed plans must be prepared and kept by the Urban Planning Director and the Busega District Council Executive Director.
3. Mipango ya jumla na ya kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Busega. _________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba 21Y21 yenye majira - nukta 595325MS, 9752583KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS155052’34”MS kwa umbali wa kilomita 0.64 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y26 yenye majira – nukta 595572MS, 9751839KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS158031’41”MS kwa umbali wa kilomita 0.22 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y25 yenye majira – nukta 595659MS, 9751623KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS170056’53”MS kwa umbali wa kilomita 0.20 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y23 yenye majira – nukta 595689MS, 9751429KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea 1 Tangazo la Serikali Na. 853 (Linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Lamadi Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS257036’29”MG kwa umbali wa kilomita 0.73 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y22 yenye majira – nukta 594976MS, 9751258KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS175038’50”MS kwa umbali wa kilomita 0.41 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y24 yenye majira – nukta 595007MS, 9750849KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS168013’51”MS kwa umbali wa kilomita 0.20 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y220 yenye majira – nukta 594999MS, 9750666KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS166033’29”MS kwa umbali wa kilomita 3.01 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV569 yenye majira – nukta 595664MS, 9747563KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS272039’7”MG kwa umbali wa kilomita 7.00 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV578 yenye majira – nukta 588701MS, 9747874KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa kufuata mto Nyakarunduma hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV573 yenye majira – nukta 588070MS, 9749657KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa kufuata Ziwa Victoria hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira – nukta 593546MS, 973767KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa kufuata mto Lamadi hadi ulipoanzia.” Dodoma, 2 Oktoba, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2