AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina ya eneo lililo kwenye Jedwali lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipango Miji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Itilima.
3. Mipango ya jumla na ya kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Itilima. ________ JEDWALI ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP7 yenye majira – nukta 647843.050MS, 9675433.490KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ79038’38’’MS kwa umbali wa kilomita 4.113 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB185 yenye majira – nukta 652023.000MS, 9676273.000KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS211032’10’’MG kwa umbali wa kilomita 8.379 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB187 yenye majira – nukta 646826.000MS, 9669509.000KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kufuata mto Simiyu hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB413 yenye majira – nukta 646047.000MS, 9669412.000KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kufuata mto Simiyu hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP12 yenye majira nukta640979.74MS, 9669448.67KZ; baada ya hapo mpaka unaaelekea Kasikazini - Magharibi KZ080 14’22’’MG umbali wa kilometa 0.276 hadi kwenye alama ya upimaji namba VB199 yenye 1 Tangazo la Serikali Na. 855 (Linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Migato Na Simiyu majira – nukta 640934.000MS, 9669771.000KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ352014’22’’MG kwa umbali wa kilomita 1.086 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP11 yenye majira – nukta 640764.000MS, 9670945.000KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ16035’49’’MS kwa umbali wa kilomita 1.752 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB350 yenye majira – nukta 641262.000MS, 9672729.000KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ12033’43’’MS kwa umbali wa kilomita 1.321 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB198 yenye majira – nukta 641557.000MS, 9674171.000KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ78039’45’’MS kwa umbali wa kilomita 1.018 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB200 yenye majira – nukta 642748.000MS, 9674426.000KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ79048’53’’MS kwa umbali wa kilomita 5.043 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 2 Oktoba, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2