Notisi ya Kuondoa kwenye Mzunguko Noti za Zamani za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 hadi 2003 na Noti ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 ya Mwaka 2024
This notice is titled a notice to withdraw certain old Tanzanian shilling notes from circulation.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Notice
- Citation
- Notisi ya Kuondoa kwenye Mzunguko Noti za Zamani za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 hadi 2003 na Noti ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This notice is titled a notice to withdraw certain old Tanzanian shilling notes from circulation. Benki Kuu ya Tanzania inaita noti fulani za shilingi na inapiga zuio benki kutoa noti zilizoondolewa kwenye mzunguko. Kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa Notisi hii, benki zote hazipaswi kulipa noti fulani zilizoondolewa kwenye mzunguko na Benki Kuu ya Tanzania. Benki Kuu ya Tanzania na benki zote lazima zikubali amana au maombi ya kubadilisha noti zilizotolewa kwenye mzunguko, kwa kipindi cha 6 Januari 2025 hadi 5 Aprili 2025. Notes listed in the Table stop being legal tender from 6 April 2025, and banks must not pay or accept deposits or exchange requests for the withdrawn notes.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Notisi ya Kuondoa kwenye Mzunguko Noti za Zamani za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 hadi 2003 na Noti ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 ya Mwaka 2024
Showing 13 of 13
- 1 Verify source ↗
Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kuondoa
AI-assisted research summary: This notice is titled a notice to withdraw certain old Tanzanian shilling notes from circulation.
1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kuondoa kwenye Mzunguko Noti za Zamani za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 hadi 2003 na Noti ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 ya Mwaka 2024. Kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani - 2 Verify source ↗
Benki Kuu ya Tanzania inaitisha noti za
AI-assisted research summary: Benki Kuu ya Tanzania inaita noti fulani za shilingi na inapiga zuio benki kutoa noti zilizoondolewa kwenye mzunguko.
2. Benki Kuu ya Tanzania inaitisha noti za shilingi kwa malipo halali sawa na thamani zilizotolewa kuanzia mwaka 1985 hadi 2003 na noti ya Shilingi mia tano toleo la mwaka 2010 zenye alama kuu kama ilivyoainishwa katika Jedwali. Zuio kwa benki kutoa noti zilizoondolewa kwenye mzunguko - 3 Verify source ↗
Kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa Notisi hii,
AI-assisted research summary: Kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa Notisi hii, benki zote hazipaswi kulipa noti fulani zilizoondolewa kwenye mzunguko na Benki Kuu ya Tanzania.
3. Kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa Notisi hii, Benki zote hazitalipa noti zilizotolewa kwenye mzunguko na Benki Kuu ya Tanzania kama ilivyoainishwa katika Jedwali ambazo ni noti za Shilingi ishirini, mia mbili, mia tano, elfu moja, elfu mbili, elfu tano na elfu kumi kwa matoleo ya mwaka 1985 hadi mwaka 2003, na noti ya Shilingi mia tano iliyotolewa mwaka 2010. Kupokea noti zilizoondolewa kwenye mzunguko - 4 Verify source ↗
Kuanzia tarehe 06 Januari, 2025 hadi tarehe 05
AI-assisted research summary: Benki Kuu ya Tanzania na benki zote lazima zikubali amana au maombi ya kubadilisha noti zilizotolewa kwenye mzunguko, kwa kipindi cha 6 Januari 2025 hadi 5 Aprili 2025.
4. Kuanzia tarehe 06 Januari, 2025 hadi tarehe 05 Aprili, 2025, Benki Kuu ya Tanzania na benki zote zitakubali amana au maombi ya kubadilisha noti 1 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) zilizotolewa kwenye mzunguko na Benki Kuu ya Tanzania kama zilivyobainishwa katika Notisi hii. Kusitisha matumizi ya noti zilizoondolewa kwenye mzunguko - 5 Verify source ↗
Noti zilizoainishwa katika Jedwali zitakoma
AI-assisted research summary: Notes listed in the Table stop being legal tender from 6 April 2025, and banks must not pay or accept deposits or exchange requests for the withdrawn notes.
5. Noti zilizoainishwa katika Jedwali zitakoma kuwa fedha halali kuanzia tarehe 06 Aprili, 2025, ambapo benki zote hazitalipa wala kupokea amana au maombi ya kubadilisha noti zilizoondolewa kwenye mzunguko. 2 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) __________ JEDWALI __________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) NOTI ZILIZOONDOLEWA KWENYE MZUNGUKO N A
Part
JEDWALI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Maelezo haya yanafafanua muonekano wa noti ya 20 kwa rangi, picha za mbele na nyuma, na alama iliyofichika.
1. KIWAN GO KWA SHILIN GI 20 MWAK A WA TOLEO MAELEZO KUHUSU MUONEKANO WA NOTI 1985 Rangi: Zambarau. PICHA Mbele: Mwenge wa Uhuru, Nembo ya Taifa, Rais wa kwanza, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyuma: na Mfanyakazi mashine katika kiwanda cha tairi, ya ramani Tanzania bila visiwa, Utepe wa usalama. Alama iliyofichika: kichwa cha Twiga. - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza maelezo ya noti, ikiwemo rangi na picha/alama zilizo mbele na nyuma.
2. 20 1986 Rangi: Zambarau. Mbele: Mwenge wa Uhuru, Nembo ya Taifa, Rais wa kwanza, Mwalimu 3 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) Julius Kambarage Nyerere. Nyuma: na Mfanyakazi katika mashine kiwanda cha matairi, ramani ya Tanzania yenye visiwa, Utepe wa usalama. Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. cha - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section describes design features and colours, including the front, back, hidden mark, and colour scheme.
3. 20 1987 Rangi: Zambarau. Mbele: Mwenge wa Uhuru, Nembo ya Taifa, Rais wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi. Nyuma: na Wafanyakazi katika mashine kiwanda cha matairi, ramani ya Tanzania yenye visiwa, Mwenge wa Uhuru, Utepe wa usalama. Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. cha Rangi: Kahawia, hudhurungi na chungwa. 4 - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This notice concerns the withdrawal from circulation of old Tanzanian shilling banknotes.
4. 200 - 1986 1992 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) Mbele: Mwenge wa Uhuru, Nembo ya Taifa, Rais wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi. Nyuma: Wanaume wawili katika maji yenye kina kifupi wakiwa na samaki, mashua, ramani ya yenye Tanzania visiwa, mwenge wa uhuru, Utepe wa usalama, - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza sifa za noti ya shilingi 500 ya mwaka 2010, ikiwemo rangi na michoro yake, na kusema kuwa haina alama iliyofichika.
5. 200 1993 – 1995 ya cha Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. Rangi: Kahawia, hudhurungi na chungwa. Chui Mbele: mwenye watoto wawili, Nembo ya Taifa, Rais wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi. Nyuma: Wanaume wawili katika maji yenye kina kifupi wamebeba samaki, ramani ya boti, Tanzania yenye visiwa, Utepe wa usalama. Alama iliyofichika: Hakuna. 5 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Maelezo ya noti ya shilingi 500 na sifa zake za rangi na picha zilizochapishwa juu yake.
7. 500 1993 – 1995 Rangi: waridi chungwa. bluu, na Mbele: Pundamilia, Nembo ya Taifa, Rais wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi. na Nyuma: Mwanamke aliyeketi kikapu, wafanyakazi watano wakivuna karafuu, matunda ya kahawa, Utepe wa usalama, Alama iliyofichika: kichwa cha Twiga. Rangi: Zambarau, kijani na chungwa. Mbele: Pundamilia, Nembo ya Taifa, Rais wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi. Nyuma: Mwanamke aliyeketi na kikapu na wafanyakazi watano wakivuna karafuu, matunda ya kahawa, wa Mwenge Uhuru, Utepe wa usalama uliochapwa maneno “BENKI 6 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The text describes the design and security features of a 500-shilling Tanzania banknote.
8. 500 1997 KUU TANZANIA”. YA Alama iliyofichika: kichwa cha Twiga. Rangi: Zambarau, kijani na chungwa. Mbele: Pundamilia, Nembo ya Taifa, Rais wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi. na Nyuma: Mwanamke aliyeketi kikapu, wafanyakazi watano wakivuna karafuu, matunda ya kahawa, Utepe wa usalama uliochapwa maneno “BENKI KUU YA TANZANIA”. Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. cha - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists Tanzanian banknote denominations and their designs in a notice about withdrawing old notes from circulation.
9. 500 2003 Rangi: Kijani. Mbele: Nembo ya Taifa, Nyati, Miti, Utepe wa Usalama wenye maandishi 7 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) ya rangi ya fedha ‘BOT 2003’. Nyuma: Mashua, Jengo la ukumbi mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Nyoka Salaam, aliyejiviringisha kwenye Twiga. fimbo, Alama iliyofichika: Kichwa cha Twiga na maandishi maalumu 500. 500 2010 Rangi: Kijani. 10 . Mbele: Nembo ya Taifa, Picha ya Abeid Sheikh Aman Karume Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Utepe wa usalama wenye mawimbi yanayaoonekana noti pale inapogeuzwageuz wa upande au juu na chini. hiyo Nyoka Nyuma: aliyeviringishwa kwenye fimbo, Jengo la ukumbi mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wanafunzi waliohitimu wakiwa wamevaa kofia na gauni za mahafali. 8 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) 1000 1990 11 . 1000 12 . - 1993 1995 Alama iliyofichika: Sura ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere maandishi maalumu 500. Kijani, Rangi: zambarau na kutu. na Mbele: Tembo na wake, mtoto Nembo ya Taifa, Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi. Nyuma: majengo ya kiwanda, Mmea, mlango wa kale wenye nakshi wa Jengo la Benki ya Watu wa Zanzibar, Utepe usalama wa uliochapishwa maneno BENKI KUU YA TANZANIA. Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. Rangi: kahawia nyekundu. cha Kijani, na Mbele: Tembo na mtoto wake, Nembo ya Taifa, 9 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) Picha ya Rais wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi. Nyuma: Majengo ya kiwanda, Mmea, Mlango wenye nakshi wa Benki ya Watu wa Zanzibar, Utepe wa usalama uliochapishwa maneno BENKI KUU YA TANZANIA. 1000 1997 13 . Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. Rangi: kahawia nyekundu. cha Kijani, na Tembo Mbele: wawili, Nembo ya Taifa, Picha ya Rais wa Awamu wa ya pili Ali Tanzania Hassan Mwinyi. Nyuma: Majengo kiwanda, ya mimea, mlango wa kale wenye nakshi wa Benki ya Watu Zanzibar, wa Utepe wa usalama uliochapishwa maneno BENKI KUU YA TANZANIA. Alama iliyofichika: 10 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) 1000 2000 14 . Kichwa Twiga. cha Rangi: kahawia nyekundu. Kijani, na Tembo Mbele: wawili, Nembo ya Taifa, Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Kambarage Nyerere. Julius Nyuma: Majengo ya kiwanda, Mmea, mlango wa kale wenye nakshi wa Jengo la Benki ya Watu wa Zanzibar, Utepe wa usalama uliochapishwa maneno BENKI KUU YA TANZANIA. Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. cha 1000 2003 Rangi: Zambarau. 15 . Mbele: Nembo ya Taifa, Picha ya Rais wa Awamu ya Kwanza wa 11 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) 2000 2003 16 . Julius Tanzania Mwalimu Kambarage Nyerere, Jiwe la Bismark lililopo bandarini Mwanza, utepe wa holographic wenye tarakimu 1000. Nyuma: Jengo la Ikulu ya Dar es Salaam juu yake ikipepea Bendera ya Rais, Mimea, utepe wa usalama wenye Maneno BOT 2003. Alama iliyofichika: Kichwa cha Twiga na maandishi maalumu ya 1000. Rangi: Hudhurungi kahawia. na Mbele: Nembo ya Taifa, Picha ya Simba na Mlima Kilimanjaro, utepe holographic wa tarakimu wenye 2000. Nyuma: Ngome Kongwe, mawe ya mviringo, Utepe wa usalama wenye maandishi ya metali BOT 2003. Alama iliyofichika: Kichwa cha Twiga 12 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) 5000 1993 17 . 5000 1997 18 . na maandishi maalumu ya 2000. Rangi: Kahawia na njano. Mbele: Nembo ya Taifa, Picha ya Rais wa Awamu wa ya pili Ali Tanzania Hassan Mwinyi, Kifaru, utepe wa usalama. Nyuma: sita, Kilimanjaro kasha. Twiga Mlima na Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. Rangi: Kahawia na njano. cha Mbele: Kifaru, Nembo ya Taifa, Kichwa cha Twiga, alama ya usalama yenye maandishi maalumu 5000. BOT Twiga Mlima Nyuma: sita, Kilimanjaro, kasha. Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. cha 13 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) 5000 2003 Rangi: Zambarau. 19 . 10000 20 . - 1993 1995 Mbele: Nembo ya Kifaru Taifa, mweusi na mawe. utepe wa holographic wenye tarakimu 5000. Nyuma: Nyumba ya maajabu iliyopo Zanzibar, mtambo wa kuchimba madini, Utepe wa usalama wenye maandishi maalumu 2003. BOT Alama iliyofichika: Kichwa cha Twiga na maandishi maalumu ya 5000. Rangi: Bluu na nyekundu. Mbele: Simba, Nembo ya Taifa, Picha ya Rais wa Awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi, Utepe wa usalama. Nyuma: Jengo la zamani la Benki ya Tanzania, Jengo la Nyumba ya Maajabu lililopo Zanzibar. Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. cha 14 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) 10000 1997 21 . Rangi: Bluu na Nyekundu. Simba, Mbele: Nembo ya Taifa, Kichwa cha Twiga, utepe wa holographic, Utepe wa usalama wenye maandishi maalumu “BOT 10000”. Nyuma: Jengo la Benki ya Tanzania, Jengo la ya Nyumba Maajabu lililopo Zanzibar. Alama iliyofichika: Kichwa Twiga. cha 15 Notisi ya Kuondoa Kwenye Mzunguko Noti Za Zamani Za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 Hadi 2003 Na Noti Ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 Tangazo la Serikali Na.858 (Linaendelea.) 10000 2003 22 . Rangi: Nyekundu na njano. Mbele: Nembo ya Tembo, Taifa, utepe wa holographic, wenye 10000. tarakimu Nyuma: Jengo la Benki Kuu Dar es Salaam, Bwawa la maji yanayotiririka, maua, utepe wa wenye usalama maandishi maalumu 2003. BOT Alama iliyofichika: Kichwa cha Twiga maandishi na maalumu ya 10000. Dodoma, 10 Oktoba, 2024 EMMANUEL M. TUTUBA, Gavana 16
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Notisi ya Kuondoa kwenye Mzunguko Noti za Zamani za Shilingi Zilizotolewa Kuanzia Mwaka 1985 hadi 2003 na Noti ya Shilingi Mia Tano Iliyotolewa Mwaka 2010 ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in