Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Chapisho la Noti kwenye Mzunguko lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) ya mwaka 2024
This section says the notice is to be known as the Bank of Tanzania Notice (Currency in Circulation with 2010 Series Reference) of 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Notice
- Citation
- Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Chapisho la Noti kwenye Mzunguko lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) ya mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the notice is to be known as the Bank of Tanzania Notice (Currency in Circulation with 2010 Series Reference) of 2024. Benki ya Tanzania inatangaza kuingizwa kwenye mzunguko kwa noti mpya za Shilingi 1,000, 2,000, 5,000 na 10,000 za toleo la 2010, na noti za toleo hilo zilizopo zitaendelea kuwa halali kwa malipo. Noti za Shilingi elfu moja, elfu mbili, elfu tano na elfu kumi zina sifa sawa na toleo la mwaka 2010, kama ilivyoainishwa kwenye jedwali. This section says the side-middle area shows the national emblem. The banknote must show the words “BENKI KUU YA TANZANIA” above the central motif and the payment promise clause for the note concerned.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Chapisho la Noti kwenye Mzunguko lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) ya mwaka 2024
Showing 43 of 43
- 1 Verify source ↗
Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Benki Kuu
AI-assisted research summary: This section says the notice is to be known as the Bank of Tanzania Notice (Currency in Circulation with 2010 Series Reference) of 2024.
1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Noti kwenye Mzunguko lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) ya mwaka 2024. la Chapisho - 2 Verify source ↗
(1) Katika kutekeleza mamlaka iliyopewa Benki
AI-assisted research summary: Benki ya Tanzania inatangaza kuingizwa kwenye mzunguko kwa noti mpya za Shilingi 1,000, 2,000, 5,000 na 10,000 za toleo la 2010, na noti za toleo hilo zilizopo zitaendelea kuwa halali kwa malipo.
2.-(1) Katika kutekeleza mamlaka iliyopewa Benki Kuu ya Tanzania na vifungu vya 26 na 27(2) vya Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania, Benki inautaarifu umma kuwa kuanzia tarehe ya kuchapishwa kwa Notisi hii, imeingiza kwenye mzunguko Chapisho la Noti za Shilingi Elfu Moja, Elfu Mbili, Elfu Tano na Elfu Kumi lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010. (2) Noti za Shilingi Elfu Moja, Elfu Mbili, Elfu Tano na Elfu Kumi za toleo la mwaka 2010 zilizopo kwenye mzunguko zitaendelea kutumika kama noti halali kwa malipo sambamba na chapisho linaloingizwa kwenye mzunguko likirejea toleo la Mwaka 2010. Sifa za Chapisho linaloingizwa kwenye mzunguko - 3 Verify source ↗
Chapisho la Noti za Shilingi Elfu Moja, Elfu
AI-assisted research summary: Noti za Shilingi elfu moja, elfu mbili, elfu tano na elfu kumi zina sifa sawa na toleo la mwaka 2010, kama ilivyoainishwa kwenye jedwali.
3. Chapisho la Noti za Shilingi Elfu Moja, Elfu Mbili, Elfu Tano na Elfu Kumi zina sifa sawa na Toleo la Mwaka 2010 na sahihi ya Waziri wa Fedha na Gavana wa 1 Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Chapisho la Noti Kwenye Mzunguko Lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) Tangazo la Serikali Na.1080 (Linaendelea.) Benki Kuu ya Tanzania kama ilivyoainishwa katika Jedwali. _________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3) SIFA ZA CHAPISHO LENYE MAREJEO YA TOLEO LA MWAKA 2010 UPANDE WA NOTI UPANDE WA MBELE A: SIFA ZA UJUMLA ZILIZOPO KWENYE NOTI ZOTE
Part
JEDWALI
- 1 Verify source ↗
Upande wa pembeni-katikati unaoonyesha Nembo ya Taifa
AI-assisted research summary: This section says the side-middle area shows the national emblem.
1. Upande wa pembeni-katikati unaoonyesha Nembo ya Taifa. - 2 Verify source ↗
Juu ya katikati ya noti na juu ya motifu kuu kuna maneno
AI-assisted research summary: The banknote must show the words “BENKI KUU YA TANZANIA” above the central motif and the payment promise clause for the note concerned.
2. Juu ya katikati ya noti na juu ya motifu kuu kuna maneno yanayosomeka “BENKI KUU YA TANZANIA” na kifungu cha ahadi ya malipo kwa noti husika. - 3 Verify source ↗
Chini ya motifu kuu ni sahihi ya Mwigulu Lameck Nchemba
AI-assisted research summary: This section names the signatories: Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, Minister of Finance, and Emmanuel Mpawe Tutuba, Governor of the Bank of Tanzania.
3. Chini ya motifu kuu ni sahihi ya Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, Waziri wa Fedha na Emmanuel Mpawe Tutuba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. - 4 Verify source ↗
Eneo ambalo halijachapishwa upande wa kushoto wa noti
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza kwamba upande wa kushoto usiochapishwa wa noti una alama ya kivuli kilichojificha cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na thamani ya noti, ikielekezwa kwenye mwanga.
4. Eneo ambalo halijachapishwa upande wa kushoto wa noti lina alama ya kivuli kilichojificha cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na thamani ya noti husika, ikielekezwa kwenye mwanga. - 5 Verify source ↗
Noti ina namba mbili zinazofanana zenye muundo wa herufi
AI-assisted research summary: Noti lazima iwe na namba mbili zinazofanana zenye muundo wa herufi mbili na tarakimu saba.
5. Noti ina namba mbili zinazofanana zenye muundo wa herufi mbili na tarakimu saba; moja kwa mlalo upande wa chini kushoto na nyingine wima kwenye ukingo wa kulia wa noti. - 6 Verify source ↗
Alama za vipande vipande zenye kuonesha thamani ya noti
AI-assisted research summary: The provision describes fragmented marks that show the value of the banknote when light is shone through it, revealing the note’s value digits.
6. Alama za vipande vipande zenye kuonesha thamani ya noti husika inapomulikwa kwenye mwanga ambapo tarakimu za thamani ya noti husika hutokea. - 7 Verify source ↗
Alama ya wino maalum uliofichika upande wa kushoto wa
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza alama za usalama kwenye noti za TZS zinazoonekana kwa mwanga maalum wa zambarau na kwa vifaa vya kukuza maandishi.
7. Alama ya wino maalum uliofichika upande wa kushoto wa noti ambayo huonesha thamani ya noti husika na kifupisho cha Shillingi ya Tanzania “TZS” noti ikimulikwa kwa mwanga maalum wa rangi ya zambarau kwa noti za 2000, 5000 na 10000. Vile vile, kwa noti ya 1000 alama ya wino maalum uliofichika huonekana upande wa kushoto wa motifu kuu ikionesha thamani ya noti husika pindi noti ikimulikwa kwa mwanga maalum wa zambarau. na kutuna yanayoonekana kwa kutumia vifaa maalum vya kukuzia maandishi. - 9 Verify source ↗
Kivuli kilichofichika upande wa kushoto wa motifu kuu
AI-assisted research summary: Maelezo haya yanafafanua kivuli kilichofichika upande wa kushoto wa motifu kuu kinachoonesha thamani ya noti husika, ambacho huonekana angavu noti inapogeuzwageuzwa.
9. Kivuli kilichofichika upande wa kushoto wa motifu kuu chenye kuonesha thamani ya noti husika ambayo huonekana kuwa angavu noti inapogeuzwageuzwa. 2 Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Chapisho la Noti Kwenye Mzunguko Lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) Tangazo la Serikali Na.1080 (Linaendelea.) - 10 Verify source ↗
Utepe mwembamba wa kiusalama upande wa kulia wa noti
AI-assisted research summary: Noti zina utepe mwembamba wa kiusalama upande wa kulia unaoonekana kubadilika rangi na kuonyesha maandishi ya BOT unapoziangalia kwa mwanga.
10. Utepe mwembamba wa kiusalama upande wa kulia wa noti unaonesha kutembea na kubadilika kwa rangi. Rangi za utepe zinaonesha upinde wa mistari mithili ya mawimbi yanayotembea kutoka kushoto kwenda kulia na kinyume chake pale noti hiyo inapogeuzwageuzwa upande au juu na chini. Pia, inapoelekezwa kwenye mwanga maneno “BOT 2000”, “BOT 5000” na “BOT 10000” yanasomeka kwa noti za 2000, 5000 na 10000. - 11 Verify source ↗
Chapisho la motifu Kuu, Nembo ya Taifa, Thamani ya noti,
AI-assisted research summary: The provision describes the printed features on the banknote, including the main motif, national emblem, denomination, the words “BENKI KUU YA TANZANIA,” very small text, and marks for visually impaired users.
11. Chapisho la motifu Kuu, Nembo ya Taifa, Thamani ya noti, maneno “BENKI KUU YA TANZANIA", Maandishi madogo sana, Alama za Utambuzi wa noti kwa wenye uoni hafifu zimechapishwa kwa kutuna na kuparuza. - 12 Verify source ↗
Nyuzi nyembamba zenye rangi nyekundu na bluu kwenye
AI-assisted research summary: The note has red and blue threads visible in normal light, and hidden red, blue, and green threads visible under special purple light.
12. Nyuzi nyembamba zenye rangi nyekundu na bluu kwenye noti ambazo huonekana kwenye mwanga wa kawaida na Nyuzi nyembamba zenye rangi nyekundu, bluu na kijani zilizofichika ambazo huonekana kwa kutumia mwanga maalum wa rangi ya zambarau. UPANDE WA NYUMA - 2 Verify source ↗
Maneno yanayosomeka
AI-assisted research summary: The note shows the words “BANK OF TANZANIA” on its upper left side.
2. Maneno yanayosomeka “BANK OF TANZANIA” yamechapishwa kwenye upande wa kushoto, juu ya noti. - 3 Verify source ↗
Alama ya wino maalum uliofichika iliyopo katikati ya noti
AI-assisted research summary: This provision describes a hidden special ink feature in the middle of certain notes that shows two colors under purple light.
3. Alama ya wino maalum uliofichika iliyopo katikati ya noti ambayo huonesha rangi mbili pindi noti ikimulikwa kwa mwanga wa rangi ya zambarau kwenye noti ya 2000, 5000 na 10000. - 4 Verify source ↗
Namba ya thamani ya noti husika imechapishwa kwenye
AI-assisted research summary: Namba ya thamani ya noti husika imechapishwa kwenye upande wa juu kulia na pembe ya chini kushoto.
4. Namba ya thamani ya noti husika imechapishwa kwenye upande wa juu kulia na pembe ya chini kushoto. - 5 Verify source ↗
Maandishi ya thamani ya noti husika yameandikwa kwa
AI-assisted research summary: Maandishi ya thamani ya noti husika lazima yaandikwe kwa Kiingereza na kuchapishwa kwa herufi kubwa kwenye pembe ya chini upande wa kulia.
5. Maandishi ya thamani ya noti husika yameandikwa kwa Kiingereza na yamechapishwa kwa herufi kubwa kwenye pembe ya chini upande wa kulia. - 6 Verify source ↗
Alama maalum ya Twiga inaonekana ndani yenye rangi ya
AI-assisted research summary: Noti za 2000, 5000 na 10000 zina alama maalum ya Twiga inayong’aa kwa dhahabu na kubadilika kuwa kijani ukigeuza noti.
6. Alama maalum ya Twiga inaonekana ndani yenye rangi ya dhahabu juu kidogo katikati ya noti upande wa kulia ambayo hubadilika kuwa rangi ya kijani na kurudia tena kuwa ya dhahabu noti inapogeuzwa kwa noti ya 2000, 5000 na 10000. - 7 Verify source ↗
Nyuzi nyembamba zenye rangi nyekundu na bluu kwenye
AI-assisted research summary: This section describes the security features and physical specifications of a TZS 1000 banknote.
7. Nyuzi nyembamba zenye rangi nyekundu na bluu kwenye noti ambazo huonekana kwenye mwanga wa kawaida na Nyuzi nyembamba zenye rangi nyekundu, bluu na kijani zilizofichika ambazo huonekana kwa kutumia mwanga maalum wa rangi ya zambarau. B: SIFA MAHSUSI TZS 1000 Ukubwa: 125 x 65mm Rangi: Bluu Dhima: Rasilimali Asili na Kilimo 3 Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Chapisho la Noti Kwenye Mzunguko Lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) Tangazo la Serikali Na.1080 (Linaendelea.) UPANDE WA MBELE UPANDE WA NYUMA - 1 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza ya picha rasmi ya Mwalimu
AI-assisted research summary: Hii ni maelezo ya nafasi ya alama ya mguso inayoparuza ya picha rasmi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye noti.
1. Alama ya mguso inayoparuza ya picha rasmi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katikati ya nusu ya kulia ya noti. - 2 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza inayotambulisha thamani ya
AI-assisted research summary: Noti ina alama ya mguso inayoparuza kwa watu wenye uoni hafifu, ikiwa kama mistari miwili mikubwa iliyo sambamba kwenye kona ya chini kushoto.
2. Alama ya mguso inayoparuza inayotambulisha thamani ya noti kwa kuipapasa kwa watu wenye uoni hafifu iliyowasilishwa kama mistari miwili mikubwa iliyo sambamba iliyowekwa kwenye kona ya chini kushoto. - 3 Verify source ↗
Alama maalum upande wa kulia wa noti inayoonesha
AI-assisted research summary: Inaeleza alama maalum upande wa kulia wa noti yenye tarakimu 1000 na kichwa cha twiga, inayotazamika sambamba na usawa wa macho.
3. Alama maalum upande wa kulia wa noti inayoonesha tarakimu 1000 na kichwa cha twiga, noti ikiangaliwa sambamba usawa wa macho. - 1 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza ya picha ya Ikulu ya Rais wa
AI-assisted research summary: Hii inataja alama za picha kwenye noti: alama ya mguso inayoparuza, picha ya Ikulu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na mimea ya kahawa na karafuu iliyo upande wa katikati-kushoto.
1. Alama ya mguso inayoparuza ya picha ya Ikulu ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, mimea ya kahawa na karafuu inayoonekana upande wa katikati-kushoto wa noti. - 2 Verify source ↗
Uzi mwembamba upande wa kulia wa noti wenye ukubwa
AI-assisted research summary: Noti ina uzi mwembamba upande wa kulia wenye ukubwa wa 2mm na maandishi “BOT 2023” yanayojirudia yanayoonekana noti inaposhikwa kwenye mwanga.
2. Uzi mwembamba upande wa kulia wa noti wenye ukubwa wa 2mm na maandishi “BOT 2023” yanayojirudia na kuonekana noti ikiwa imekingwa kwenye mwanga. - 3 Verify source ↗
Alama maalum yenye kichwa cha Twiga ndani yake upande
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha alama maalum yenye kichwa cha Twiga upande wa kulia wa noti.
3. Alama maalum yenye kichwa cha Twiga ndani yake upande wa kulia wa noti. - 4 Verify source ↗
Mkanda unaong’aa ulio katikati ya noti ukionesha tarakimu
AI-assisted research summary: This section describes a banknote feature: a shining strip in the middle of the note showing the repeated denomination number.
4. Mkanda unaong’aa ulio katikati ya noti ukionesha tarakimu ya thamani ya noti 1000 inayojirudia. TZS 2000 Ukubwa: 130 x 66mm Rangi: Hudhurungi Dhima: Utalii na Utamaduni UPANDE WA MBELE UPANDE WA NYUMA - 1 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza yenye picha inayoonesha
AI-assisted research summary: Inaeleza alama ya mguso inayoparuza yenye picha ya kichwa cha simba iliyoko upande wa katikati-kulia wa noti.
1. Alama ya mguso inayoparuza yenye picha inayoonesha kichwa cha simba iliyo upande wa katikati-kulia kwa noti. - 2 Verify source ↗
Alama ya mguso inayotambulisha thamani ya noti kwa
AI-assisted research summary: The note has a tactile mark on the lower-left side to identify its value for people with low vision.
2. Alama ya mguso inayotambulisha thamani ya noti kwa kuipapasa kwa watu wenye uoni hafifu iliyo upande wa chini kushoto kama mistari miwili inayounda umbo linalofanana na ‘V’ iliyo kinyume (iliyogeukia chini). - 3 Verify source ↗
Utepe wa usalama wenye ukubwa wa 4.0mm unaoonesha
AI-assisted research summary: The note has a 4.0mm security thread that changes color and shows a moving wave pattern, with “BOT 2000” visible in light.
3. Utepe wa usalama wenye ukubwa wa 4.0mm unaoonesha kutembea na kubadilika kwa rangi. Rangi za utepe huo zinaonesha upinde wa mistari mithili ya mawimbi yanayotembea kutoka kushoto kwenda kulia na kinyume chake, pale noti hiyo inapogeuzwageuzwa upande au juu na chini. Rangi za utepe huo zinabadilika toka rangi ya dhahabu kuwa kijani. Noti unapoielekeza kwenye mwanga kuna maneno yanayosomeka: “BOT 2000”. - 1 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza iliyo katikati-kushoto kwa
AI-assisted research summary: The text describes a watermark mark on a note showing a picture of Ngome Kongwe ya Zanzibar.
1. Alama ya mguso inayoparuza iliyo katikati-kushoto kwa noti inayoonesha picha ya Ngome Kongwe ya Zanzibar. - 2 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza iliyo katikati ya noti na
AI-assisted research summary: This text describes a touch mark located in the middle of the note and at the edge of Ngome Kongwe ya Zanzibar, showing a box of Zanzibar origin.
2. Alama ya mguso inayoparuza iliyo katikati ya noti na pembeni ya Ngome Kongwe ya Zanzibar inayoonesha sanduku lenye asili ya Zanzibar. - 3 Verify source ↗
Alama ya mng’ao ya rangi ya dhahabu ambayo inabadilika
AI-assisted research summary: Describes a security feature of the note: a gold shimmer that changes to green and then back to gold.
3. Alama ya mng’ao ya rangi ya dhahabu ambayo inabadilika kuwa kijani na kurudia kuwa rangi ya dhahabu. 4 Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Chapisho la Noti Kwenye Mzunguko Lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) Tangazo la Serikali Na.1080 (Linaendelea.) TZS 5000 Ukubwa: 135 x 67mm Rangi: Zambarau Dhima: Madini na Viwanda UPANDE WA MBELE - 1 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza katikati upande wa kulia wa
AI-assisted research summary: Noti ina alama ya mguso inayoparuza katikati upande wa kulia, kwenye upande unaoonesha picha ya kichwa cha Kifaru.
1. Alama ya mguso inayoparuza katikati upande wa kulia wa noti inayoonesha picha ya kichwa cha Kifaru. - 2 Verify source ↗
Alama ya mguso inayotambulisha thamani ya noti kwa
AI-assisted research summary: The provision describes a tactile mark used to identify a banknote’s value for people with low vision.
2. Alama ya mguso inayotambulisha thamani ya noti kwa kuipapasa kwa watu wenye uoni hafifu iliyo upande wa chini kushoto iliyowasilishwa kama mistari miwili inayounda maumbo mawili yanayofanana na ‘V’ iliyo kinyume (iliyogeukia chini). - 3 Verify source ↗
Utepe wa usalama wenye ukubwa wa 4.5mm unaoonesha
AI-assisted research summary: The provision describes a 4.5mm security ribbon that changes color and shows moving wave-like patterns, with “BOT 5000” visible when held to light.
3. Utepe wa usalama wenye ukubwa wa 4.5mm unaoonesha kutembea na kubadilika kwa rangi. Rangi za utepe huo zinaonesha upinde wa mistari mithili ya mawimbi yanayotembea kutoka kushoto kwenda kulia na kinyume chake noti hiyo inapogeuzwageuzwa upande au juu na chini. Rangi za utepe huo zinabadilika toka rangi ya bluu kwenda zambarau. Noti unapoielekeza kwenye mwanga, kuna maneno yanayosomeka: “BOT 5000”. UPANDE WA NYUMA - 1 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza iliyo katikati ya noti
AI-assisted research summary: Hii inataja alama ya mguso inayoparuza iliyo katikati ya noti inayoonesha kiwanda cha Ashanti Goldmine.
1. Alama ya mguso inayoparuza iliyo katikati ya noti inayoonesha kiwanda cha Ashanti Goldmine. - 2 Verify source ↗
Alama ya mng’ao ya rangi ya dhahabu ambayo inabadilika
AI-assisted research summary: This provision describes a Tanzanian 10,000 TZS note: a gold security mark that changes to green and back to gold, with size 140 x 68 mm, red color, and a front-side reference.
2. Alama ya mng’ao ya rangi ya dhahabu ambayo inabadilika kuwa kijani na kurudia kuwa rangi ya dhahabu. TZS 10000 Ukubwa: 140 x 68mm Rangi: Nyekundu Dhima: Huduma za Fedha UPANDE WA MBELE - 1 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza iliyopo katikati upande wa
AI-assisted research summary: Inaeleza alama ya mguso inayoparuza iliyopo katikati upande wa kulia wa noti yenye kichwa cha Tembo.
1. Alama ya mguso inayoparuza iliyopo katikati upande wa kulia wa noti inayoonesha kichwa cha Tembo. - 2 Verify source ↗
Alama ya mguso inayotambulisha thamani ya noti kwa
AI-assisted research summary: The lower-left tactile mark identifying the value of the banknote for people with low vision is made of two lines forming three inverted V shapes.
2. Alama ya mguso inayotambulisha thamani ya noti kwa kuipapasa kwa watu wenye uoni hafifu iliyo upande wa chini kushoto iliyowasilishwa kama mistari miwili inayounda maumbo matatu yanayofanana na ‘V’ iliyo kinyume (iliyogeukia chini). - 3 Verify source ↗
Utepe wa usalama wenye ukubwa wa 4.5mm unaoonesha
AI-assisted research summary: The note has a 4.5mm security thread that changes color and shows moving wave-like lines; when held to the light it shows “BOT 10000”.
3. Utepe wa usalama wenye ukubwa wa 4.5mm unaoonesha kutembea na kubadilika kwa rangi. Rangi za utepe huo zinaonesha upinde wa mistari mithili ya mawimbi yanayotembea kutoka kushoto kwenda kulia na kinyume chake, pale noti hiyo inapogeuzwageuzwa upande au juu na chini. Rangi za utepe huo zinabadilika toka rangi ya pinki kwenda kijani. Noti unapoielekeza kwenye mwanga, yanaonekana maneno yanayosomeka: “BOT 10000”. 5 Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Chapisho la Noti Kwenye Mzunguko Lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) Tangazo la Serikali Na.1080 (Linaendelea.) UPANDE WA NYUMA - 1 Verify source ↗
Alama ya mguso inayoparuza iliyopo upande wa kushoto
AI-assisted research summary: Noti ina alama ya mguso inayoparuza upande wa kushoto, inayoonesha majengo ya Benki Kuu Makao Makuu ndogo ya Dar es Salaam.
1. Alama ya mguso inayoparuza iliyopo upande wa kushoto wa noti, inayoonesha majengo ya Benki Kuu Makao Makuu ndogo ya Dar es Salaam. - 2 Verify source ↗
Alama ya mng’ao ya rangi ya dhahabu ambayo inabadilika
AI-assisted research summary: Inaeleza alama ya mng’ao yenye rangi ya dhahabu inayobadilika kuwa kijani na kurudia kuwa dhahabu.
2. Alama ya mng’ao ya rangi ya dhahabu ambayo inabadilika kuwa kijani na kurudia kuwa rangi ya dhahabu. Dodoma, 17 Desemba, 2024 EMMANUEL M. TUTUBA, Gavana 6
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Notisi ya Benki Kuu ya Tanzania (Ingizo la Chapisho la Noti kwenye Mzunguko lenye Marejeo ya Toleo la Mwaka 2010) ya mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in