Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Wilaya ya Mji Njombe ya Mwaka 2024
This section gives the short title of the bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Wilaya ya Mji Njombe ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the bylaw. This by-law applies within the jurisdiction area of Njombe Town Council. This section defines key terms used in the bylaw. Halmashauri ina wajibu wa kusimamia na kuendesha masoko, ikiwa ni pamoja na usafi, usalama, huduma, upangishaji wa nafasi, ukusanyaji wa ushuru/ada, usajili wa wafanyabiashara, na ukaguzi wa masoko binafsi. The Council appoints a market manager to oversee market operations, and the manager must handle specified market tasks.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Wilaya ya Mji Njombe ya Mwaka 2024
Showing 28 of 28
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the bylaw.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Wilaya ya Mji Njombe ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la
AI-assisted research summary: This by-law applies within the jurisdiction area of Njombe Town Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la mamlaka ya Halmashauri ya Mji Njombe. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the bylaw.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “afisa mwidhiniwa” maana yake ni afisa aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “bidhaa” maana yake ni mazao, mifugo au kitu chochote chenye thamani kinachopelekwa sokoni kwa ajili ya kuuzwa; “dalali” maana yake ni mtu anayeuza bidhaa sokoni kwa njia ya mnada kwa niaba ya mwenye bidhaa; “gulio” maana yake ni soko la wazi linalofanyika kwa wakati maalumu kwa kibali cha Halmashauri; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Mji Njombe; “kibali” maana yake ni idhini ya maandishi inayotolewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; 1 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) “kikundi” maana yake ni kikundi cha ushirika wa wafanyabiashara kilichosajiliwa au kuandikishwa au umoja wa vikundi vyawafanyabiashara uliosajiliwa au kuandikishwa na kutambuliwa na Kamati ya Wadau wa Soko na Halmashauri; “makasha” maana yake ni vifaa maalumu vya kubebea, kufungashia au kuhifadhia bidhaa na inajumuisha matenga, viroba, magunia, karatasi ngumu, majani, masanduku ya mbao kitu kingine chenye matumizi hayo; “masoko” inajumuisha mnada na gulio; “mazao” maana yake ni mavuno ya shambani au maliasili yanayoingizwa sokoni; “meneja wa soko” maana yake ni mtu aliyeteuliwa au aliyeajiriwa na Halmashauri kwa ajili ya kusimamia shughuli zote katika soko; “meza au kizimba” maana yake ni kitu au kifaa kwa ajili ya kinachotumika kuweka bidhaa kuuza katika soko; “mfanyabiashara” maana yake ni mtu anayeuza bidhaa sokoni kwa jumla au rejareja; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri au afisa atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnada” maana yake ni soko la wazi lililoidhinishwa na Halmashauri ambalo bidhaa huuzwa kwa ushindani wa bei; “soko” maana yake ni eneo maalumu la biashara lililotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuuza na kununua bidhaa; “wadau wa soko” maana yake ni wafanyabiashara binafsi au vikundi vinavyofanya shughuli za biashara katika soko; “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi cha watu, kampuni au taasisi iliyoingia mkataba kutekeleza jukumu lolote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri. 2 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) Wajibu wa Halmashauri Meneja wa soko - 4 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Halmashauri ina wajibu wa kusimamia na kuendesha masoko, ikiwa ni pamoja na usafi, usalama, huduma, upangishaji wa nafasi, ukusanyaji wa ushuru/ada, usajili wa wafanyabiashara, na ukaguzi wa masoko binafsi.
4. Halmashauri itakuwa na wajibu wa- (a) kuanzisha, kusimamia miundombinu ya masoko; na kuboresha (b) kuendeleza masoko; (c) kusimamia afya na usafi wa masoko; (d) kudumisha usalama wa masoko kwa kuweka utaratibu mzuri wa ulinzi; (e) kutoa na kusimamia huduma za kijamii katika masoko; (f) kugawa na kupangisha vyumba, vibanda, meza au vizimba katika masoko; (g) kutenga maeneo kwa ajili ya minada na magulio; (h) kukusanya ushuru au ada kutoka kwa wafanyabiashara wa masoko; (i) kusajili wafanyabiashara katika masoko; na (j) kukagua masoko binafsi kwa madhumuni ya kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa sheria, na na kanuni Halmashauri. zilizowekwa taratibu - 5 Verify source ↗
(1) Kutakuwa
AI-assisted research summary: The Council appoints a market manager to oversee market operations, and the manager must handle specified market tasks.
5.-(1) Kutakuwa soko atakayeteuliwa na Halmashauri kwa ajili ya kusimamia shughuli za uendeshaji wa soko. na meneja wa (2) Kwa madhumuni ya kanuni ndogo ya (1), meneja wa soko- (a) atasimamia ukusanyaji wa ushuru na ada; (b) atasimamia usajili wa wadau wa soko kwa kushirikiana na kamati ya wadau wa soko; (c) ataimarisha huduma za ulinzi, maji na umeme katika soko; (d) atasimamia usafi na uondoshaji wa taka katika soko; (e) atahakikisha kuwa bidhaa haziuzwi kwenye eneo ambalo haliruhusiwi kwa shughuli hiyo; (f) atazuia ujenzi holela katika soko; na (g) atatekeleza majukumu mengine atakayoagizwa na Halmashauri. (3) Bila kujali masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kuingia mkataba na wakala kwa 3 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) Kamati ya Wadau wa Soko Majukumu ya Kamati ya Wadau wa Soko ajili ya kusimamia au kushughulikia majukumu mahsusi ya uendeshaji wa soko kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala. - 6 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na Kamati ya Wadau wa Soko
AI-assisted research summary: Soko stakeholders must form a Market Stakeholders Committee, give each market group one representative, submit a special procedure to the Council, meet at least monthly, and have the market manager serve as secretary.
6.-(1) Kutakuwa na Kamati ya Wadau wa Soko ambayo itaundwa na wadau wa soko kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Kila kikundi katika soko kitakuwa na mwakilishi mmoja katika Kamati ya Wadau wa Soko. (3) Kamati ya Wadau wa Soko itaandaa na kuwasilisha Halmashauri utaratibu maalumu wa- (a) kuwapata viongozi; (b) kuondoa viongozi madarakani; na (c) uendeshaji wa shughuli za Kamati ya Wadau wa Soko. (4) Vikao vya Kamati ya Wadau wa Soko vitafanyika angalau mara moja kila mwezi. (5) Meneja wa soko atakuwa katibu katika kikao cha Kamati ya Wadau wa Soko. (6) Muda wa wajumbe wa Kamati ya Wadau wa Soko kuwa madarakani ni miaka mitatu. - 7 Verify source ↗
Kamati ya Wadau wa Soko itakuwa na
AI-assisted research summary: Kamati ya Wadau wa Soko ina majukumu ya kukagua biashara za sokoni, kusimamia nidhamu, kusajili wadau kwa kushirikiana na meneja wa soko, na kuhakikisha usafi, ushuru/ada, na mipango ya huduma za soko.
7. Kamati ya Wadau wa Soko itakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kuhakiki aina za biashara zinazoendeshwa katika soko; (b) kuboresha ustawi wa wadau wa soko; (c) kusimamia nidhamu katika shughuli za soko; (d) kuhakikisha wadau wa soko wanalipa ushuru au ada; (e) kukuza na kuendeleza mfumo wa biashara; (f) kuhakikisha kila eneo la mdau wa soko linakuwa safi muda wote; (g) kuratibu mipango ya kugharamia huduma za ulinzi, usafi, maji na umeme katika soko; (h) kusimamia usajili wa wadau wa soko kwa kushirikiana na meneja wa soko; na (i) kutekeleza kazi nyingine watakazoelekezwa na Meneja wa soko kulingana na Sheria Ndogo hii. 4 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) Kamati ndogo Usajili wa wadau - 8 Verify source ↗
(1) Kamati ya wadau wa soko itaunda kamati
AI-assisted research summary: Kamati ya wadau wa soko lazima iunde kamati ndogo za wajumbe wanne, zikiwemo kamati za miundombinu na safi, utawala na biashara, na ulinzi na usalama.
8.-(1) Kamati ya wadau wa soko itaunda kamati ndogo zenye wajumbe wanne kutoka miongoni mwa wajumbe wa kamati ya wadau wa soko ambazo zitajumuisha- (a) kamati ndogo ya miundombinu na safi; (b) kamati ndogo ya utawala na biashara; na (c) kamati ndogo ya ulinzi na usalama. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), kamati ya wadau wa soko inaweza kuunda kamati ndogo nyingine kadri itakavyohitajika. - 9 Verify source ↗
Mtu anayekusudia kufanya biashara katika
AI-assisted research summary: A person intending to do business in the market area must be registered by the market manager, working with the market stakeholders committee, for identification and entry in the market stakeholders register.
9. Mtu anayekusudia kufanya biashara katika eneo la soko atatakiwa kusajiliwa na meneja wa soko akishirikiana na kamati ya wadau wa soko kwa ajili ya utambuzi na kuandikishwa katika rejesta ya wadau wa soko. Wajibu wa mfanyabiashara - 10 Verify source ↗
Kila mfanyabiashara katika eneo la soko
AI-assisted research summary: Kila mfanyabiashara katika eneo la soko anatakiwa kutimiza masharti ya usajili, usafi, matumizi ya maeneo yanayoruhusiwa, ulipaji wa ushuru au ada, na kufuata miongozo ya soko.
10. Kila mfanyabiashara katika eneo la soko atakuwa na wajibu ufuatao: (a) kujiandikisha katika rejesta ya wadau wa soko; (b) kulinda na kuhifadhi miundombinu ya soko; (c) kufanya biashara katika maeneo yanayoruhusiwa; (d) kufanya usafi katika eneo analofanyia biashara; (e) kulipa ushuru au ada kwa wakati; (f) kutobandika au kutobandua tangazo bila idhini ya meneja wa soko; (g) kushiriki usafi wa jumla wa soko; (h) kutotupa machafu; taka ovyo au kutiririsha maji (i) kutowasha moto maeneo yasiyohusika ndani ya soko; (j) kuzingatia miongozo viongozi wa soko; na itakayotolewa na (k) kuzingatia masharti ya upangaji. 5 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) Muda wa biashara Ada ya kupangisha Ada na ushuru wa masoko Kibali cha soko kwa muda Kibali cha minada na magulio - 11 Verify source ↗
(1) Soko litakuwa wazi siku ya Jumatatu hadi
AI-assisted research summary: The market is open Monday through Sunday. The Director may close it for maintenance or other emergency reasons, if appropriate, after consulting the market manager, and must give seven days’ notice to market stakeholders before a maintenance closure.
11.-(1) Soko litakuwa wazi siku ya Jumatatu hadi Jumapili. (2) Mkurugenzi kwa kushauriana na meneja wa soko, anaweza kufunga soko kwa ajili ya matengenezo au sababu nyingine yoyote ya dharura iwapo itaonekana inafaa, isipokuwa kwamba Mkurugenzi atatoa notisi ya siku saba kwa wadau wa soko kuhusu kusudio la kufunga soko kwa ajili ya matengenezo. - 12 Verify source ↗
(1) Kila mfanyabishara katika soko atalipa
AI-assisted research summary: Mfanyabishara wa soko lazima alipe ada ya kupangisha kwa nafasi anayotumia kulingana na mkataba; Halmashauri inaweza pia kumruhusu mtu kujenga chumba au kibanda cha biashara sokoni kwa makubaliano maalumu.
12.-(1) Kila mfanyabishara katika soko atalipa ada ya kupangisha chumba, kibanda, meza au kizimba kwa mujibu wa mkataba. (2) Halmashauri inaweza kwa makubaliano maalumu kumruhusu mtu kujenga chumba au kibanda cha biashara katika soko. - 13 Verify source ↗
Halmashauri itatoza ada na ushuru wa soko
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ada na ushuru wa soko kwa kila mfanyabiashara aliyesajiliwa kufanya biashara katika eneo la masoko, kwa viwango na utaratibu ulioainishwa na sheria ndogo ya ada na ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe.
13. Halmashauri itatoza ada na ushuru wa soko kutoka kwa kila mfanyabiashara aliyesajiliwa kufanya biashara katika eneo la masoko kwa viwango na utaratibu ulioainishwa kwenye sheria ndogo ya ada na ushuru iliyotengenezwa na Halmashauri ya Mji Njombe. - 14 Verify source ↗
(1) Mfanyabiashara ambaye hakuandikishwa
AI-assisted research summary: Mfanyabiashara ambaye hajaandikishwa kwenye rejesta ya wadau wa soko anaweza kutumia soko kwa muda ikiwa ana kibali maalumu.
14.-(1) Mfanyabiashara ambaye hakuandikishwa katika rejesta ya wadau wa soko anaweza kutumia soko kwa muda kwa kibali maalumu cha kutumia soko kwa muda. (2) Maombi ya kibali cha kutumia soko kwa muda yatawasilishwa kwa Mkurugenzi kwa kutumia fomu maalumu kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. - 15 Verify source ↗
(1) Minada na magulio inaweza kufanyika
AI-assisted research summary: Minada na magulio zinaweza kufanyika tu kwa kibali maalum cha Halmashauri, katika muda na maeneo yatakayoteuliwa na Halmashauri, na zitasimamiwa na afisa mwidhiniwa.
15.-(1) Minada na magulio inaweza kufanyika kwa kibali maalum cha Halmashauri. (2) Minada na magulio itafanyika katika muda na maeneo maalumu yatakayotengwa na Halmashauri. (3) Minada na magulio itasimamiwa na afisa mwidhiniwa. Uendeshaji wa minada - 16 Verify source ↗
(1) Bidhaa itakayoingizwa katika soko kwa
AI-assisted research summary: Bidhaa zinazoingizwa sokoni kwa mnada hupokelewa na dalali aliyeteuliwa na wafanyabiashara na kukubaliwa na kamati ya wadau wa soko, na dalali huyo lazima azikweze kuuza katika eneo lililotengwa.
16.-(1) Bidhaa itakayoingizwa katika soko kwa ajili ya kuuzwa kwa mnada itapokelewa na dalali 6 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) atakayeteuliwa na wafanyabiashara na kukubaliwa na kamati ya wadau wa soko. (2) Dalali atauza bidhaa husika katika eneo lililotengwa kwa shughuli hiyo. Mifugo isiyoruhusiwa ndani ya soko - 17 Verify source ↗
Mfanyabiashara hataruhusiwa kuingiza
AI-assisted research summary: A merchant may not bring livestock into the market, except poultry and small animals such as rabbits.
17. Mfanyabiashara hataruhusiwa kuingiza mifugo ndani ya soko isipokuwa mifugo ya jamii ya ndege na wanyama wadogo kama sungura. Ufungaji wa bidhaa Makosa - 18 Verify source ↗
(1) Mfanyabiashara anayeingiza bidhaa
AI-assisted research summary: A trader bringing goods into a market must pack them into boxes and later remove the boxes from the market area at their own expense.
18.-(1) Mfanyabiashara anayeingiza bidhaa katika masoko inayopaswa kufungashwa atafungasha bidhaa hizo kwenye makasha. (2) Mfanyabiashara atapaswa kuondoa makasha katika eneo la soko kwa gharama zake baada ya bidhaa kuondolewa kwenye makasha. - 19 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Mtu anatenda kosa akifanya mojawapo ya vitendo vilivyotajwa bila vibali au idhini zinazohitajika, ikiwemo kubandika/tabandua tangazo, kutumia moto, kusafirisha bidhaa ndani ya soko, kufanya shughuli eneo lisiloruhusiwa, kuharibu miundombinu, kujenga/kukarabati bila kibali, kutupa taka au kutolipa ada na ushuru wa masoko.
19. Mtu anatenda kosa endapo- (a) atabandika au atabandua tangazo bila idhini ya meneja wa soko au afisa mwidhiniwa; shughuli yoyote inayohusisha matumizi ya moto bila idhini ya maandishi ya meneja wa soko; (b) atafanya (c) atatembeza bidhaa ndani ya soko bila kibali; (d) atafanya shughuli yeyote kwenye eneo ambalo haliruhusiwi au halijatengwa kwa shughuli hiyo; (e) ataharibu miundombinu ya masoko; (f) atafanya ujenzi au ukarabati bila kibali; (g) atatupa taka ovyo au kutiririsha maji machafu; au (h)kutolipa ada na ushuru wa masoko. Adhabu - 20 Verify source ↗
Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda
AI-assisted research summary: Mtu akitiwa hatiani kwa kosa chini ya Sheria Ndogo hii anaweza kutozwa faini, kifungo cha jela, au vyote kwa pamoja.
20. Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi elfu hamsini na isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichopungua miezi sita jela na kisichozidi miezi kumi na mbili jela au vyote kwa pamoja. 7 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) Kufililisha kosa kwa Kufutwa Sheria Ndogo TS. Na. 127 la 2008 - 21 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji kiasi kisichozidi shilingi laki mbili, ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Pili.
21. Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kujaza fomu maalumu kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. - 22 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko ya
AI-assisted research summary: This section repeals the Njombe Town Council market levy by-law.
22. Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe inafutwa. 8 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA KWANZA __________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 15(1) na (2)) KIBALI CHA KUTUMIA SOKO KWA MUDA
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section labels the applicant’s name field.
1. Jina la Mwombaji ………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Anuani ya Mwombaji ………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: This section is about the applicant’s address.
2. Anuani ya Mwombaji ……………………………………………………………………… - 3 Verify source ↗
Matumizi yanayokusudiwa …………………………………………………………………
AI-assisted research summary: Section 3 is titled “Matumizi yanayokusudiwa” (intended uses).
3. Matumizi yanayokusudiwa ………………………………………………………………… - 4 Verify source ↗
Eneo maalum la Soko linalokusudiwa kutumiwa (Kama ni muhimu kutaja)
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha kifungu kinachotaja eneo maalum la soko linalokusudiwa kutumiwa, na inaonyesha kuwa kutaja hilo kunaweza kuwa muhimu.
4. Eneo maalum la Soko linalokusudiwa kutumiwa (Kama ni muhimu kutaja) …………………………………………………………………… - 5 Verify source ↗
Nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa ni kweli na niko tayari kuzingatia masharti ya
AI-assisted research summary: Mwombaji anathibitisha kuwa maelezo aliyotoa ni ya kweli na yuko tayari kuzingatia masharti ya kibali akipata kibali.
5. Nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa ni kweli na niko tayari kuzingatia masharti ya kibali iwapo nitapewa kibali. Jina la Mwombaji ………………………………… Saini ……………………………………………… Tarehe …………………………………………….. - 6 Verify source ↗
Kibali hiki hakitahamishika
AI-assisted research summary: The permit is non-transferable, and the text also provides a form for admitting an offence and accepting fees and a fine.
6. Kibali hiki hakitahamishika. KWA MATUMIZI YA OFISI TU Namba ya kibali ……………. Tarehe………….,Mahali ……………. Stakabadhi Na. ………………………ya Tarehe…………………………. Jina: ………………………………………. Saini:……………………………………… Wadhifa:………………………………….. Muhuri:…………………………………… 9 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 21) FOMU YA KUKIRI KOSA Mimi………………………………………………………NAKIRI KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya ........., kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya kanuni ya .…… ya Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe ya Mwaka 2024. NAKUBALI kulipa ada ninayodaiwa ya kiasi cha shilingi ...................... pamoja na faini ya kufifilisha kosa ya kiasi cha shilingi .................. NATHIBITISHA KWAMBA, maelezo niliyotoa hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa MIMI MWENYEWE na kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu. Leo hii tarehe………….ya mwezi…………..… mwaka 20……………. Jina………………………………..... Saini………........………………...... MBELE YA MKURUGENZI Jina:…………………..................................... Saini:…………………..….............................. Tarehe:.............................................................. 10 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.12 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Mji wa Njombe imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azinio lililopitishwa katika Mkutano wa baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Njombe uliofanyika tarehe 3/5/2023:- KURUTHUM A. SADICK, Mkurugenzi, Halmashauri ya Mji, Njombe ERASTO B. MPETE, Mwenyekiti, Halmashauri ya Mji, Njombe L.S NAKUBALI, Dodoma, 29 Agosti, 2024. MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Nchi OR-Tamisemi 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Wilaya ya Mji Njombe ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in