Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe ya Mwaka 2024
This provision names the bylaw as the Njombe Town Council Fees and Taxes By-Law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision names the bylaw as the Njombe Town Council Fees and Taxes By-Law, 2024. This section says the by-law applies within the area under Njombe Town Council’s jurisdiction. This section defines key terms used in the by-law, including fees, levy, council, permits, markets, bus stands, and transport registration. The Council must charge fees and levies for permits, licenses, and services at the rates in the First Schedule. Mtu anayelazimika kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe ya Mwaka 2024
Showing 34 of 34
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This provision names the bylaw as the Njombe Town Council Fees and Taxes By-Law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la
AI-assisted research summary: This section says the by-law applies within the area under Njombe Town Council’s jurisdiction.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la mamlaka yaHalmshauri ya Mji Njombe. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, levy, council, permits, markets, bus stands, and transport registration.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha mtu, watu au mizigo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine; “ghala” maana yake ni jengo lolote lililotengwa kwa ajili ya kuhifadhia mazao au bidhaa; “gulio” maana yake ni eneo lililotengwa kwa ajili ya kuuza bidhaa; “gunia” maana yake ni mfuko wa mazao wenye ujazo usiozidi debe sita zenye ujazo wa sado tano kila moja; “Halmashauri” maana yake ni Halmshauri ya Mji Njombe; 1 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “machinjio” maana yake ni sehemu inayomilikiwa na taasisi ya umma au mtu binafsi iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia mifugo; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “meza au kizimba” maana yake ni kitu au kifaa kinachotambulika alama kinachotumika kuwekea bidhaa za biashara katika soko; namba kwa au “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnada” maana yake ni soko la wazi lililoidhinishwa na Halmashauri ambalo bidhaa huuzwa kwa ushindani wa bei; “soko” maana yake ni eneo maalumu la biashara lililotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuuza na kununua bidhaa; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo na itajumuisha kituo cha maegesho ya malori na vituo vingine vidogo vya kupakia na kushusha abiria; “usajili wa vyombo vya usafiri” maana yake ni utaratibu wa Halmashauri kuorodhesha idadi ya vyombo vya usafiri vinavyofanya biashara ndani ya mamlaka ya Halmashauri; na “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri. Utozaji wa ada na ushuru - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: The Council must charge fees and levies for permits, licenses, and services at the rates in the First Schedule.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utakusanywa 2 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) na Halmashauri itakavyoelekeza. au wakala kadri Halmashauri (3) Ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru kwa mujibu
AI-assisted research summary: Mtu anayelazimika kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza.
5. Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atalipa kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Malipo ya ada na ushuru Stakabadhi za malipo za kieletroniki Kibali au leseni - 6 Verify source ↗
(1) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kabla au
AI-assisted research summary: Fee or tax payment must be made before or when the charged service is received, and it may also be paid later on the same day or month if the Council and the payer agree.
6.- (1) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1), ada au ushuru unaweza kulipwa muda wowote katika siku husika, mwezi husika au kwa namna nyingine itakayokubalika baina ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoa stakabadhi ya kielektroniki
AI-assisted research summary: Halmashauri must issue an electronic receipt for fees or taxes charged under these bylaws, and each payer must ask for and verify the payment receipt.
7.-(1) Halmashauri itatoa stakabadhi ya kielektroniki ya ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Kila mlipa ada au ushuru atakuwa na wajibu wa kudai na kuhakiki stakabadhi ya malipo kulingana na kiasi ikiwa ni ushahidi wa malipo cha fedha alicholipa yaliyofanyika. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoa kibali au leseni kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoa kibali au leseni kwa mfanyabiashara au mtu yeyote, na anayepanga kufanya biashara au shughuli inayohitaji kibali au leseni lazima aombe kwa Halmashauri.
8. (1) Halmashauri itatoa kibali au leseni kwa mfanyabiashara au mtu yeyote kadri itakavyoona inafaa kwa madhumuni yaliyokusudiwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Kila mfanyabiashara au mtu yeyote anayekusudia kufanya biashara au jambo lolote linalohitaji kibali au leseni atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa anaomba kibali au leseni kutoka Halmashauri kwa utaratibu atakaoelekezwa au kubainishwa na Halmashauri. Ukusanyaji wa madeni - 9 Verify source ↗
(1) Endapo mlipa ada na ushuru atashindwa kulipa
AI-assisted research summary: If a fee or tax payer fails to pay on time and creates a debt, the Council may seize property with a value equal to the debt and related seizure costs, with court authorization, and may sell the property under the stated timing rules.
9.-(1) Endapo mlipa ada na ushuru atashindwa kulipa ada na ushuru ndani ya muda aliopewa na kusababisha deni, Halmashauri baada ya kupata amri ya mahakama inaweza kukusanya deni hilo kwa kukamata mali zenye thamani sawa na deni la ada au ushuru pamoja na gharama za kukamata za 3 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) mtu binafsi, kikundi, kampuni au shirika lililoshindwa kulipa deni husika. (2) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuuza mali za mdaiwa kwa njia ya mnada baada ya siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa. (3) Kwa mali zinazoweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri baada ya kupata kibali cha mahakama itakuwa na uwezo wa kuuza mali hizo kabla hazijaharibika. (4) Bila kuathiri masharti ya kanuni hii, kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Halmashauri itatoa taarifa ya siku zisizozidi saba kwa mdaiwa na umma kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. (5) Halmashauri hasara itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. haitawajibika kwa Uteuzi wa wakala - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kuteua wakala kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala, na wakala huyo lazima akusanye na apokee ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri, atumie mfumo wa kielektroniki, na awasilishe makusanyo yote kulingana na mkataba na maeneo na viwango vilivyoidhinishwa.
10.-(1) Halmashauri inaweza kuteua wakala kwa ajili ya kutekeleza majukumu chini ya Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya kuingia katika eneo la biashara - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa atakuwa na
AI-assisted research summary: A director or authorized officer may enter a place, building, or vehicle at any time to collect fees or taxes, assess them, or do anything related to fees, taxes, licenses, or permits under this bylaw.
11. Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri katika muda wowote kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa muibu wa Sheria Ndogo hii. 4 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) Bidhaa iliyokamatwa kwa kutolipiwa ada au ushuru tano ya - 12 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza kwa kila siku kiasi cha
AI-assisted research summary: Halmashauri hutoza kila siku kiasi kinachohusiana na thamani ya bidhaa zinazobebwa bila kulipiwa ada au ushuru, na bidhaa zilizokamatwa zinaweza kuuzwa kwa mnada ikiwa malipo hayatalipwa ndani ya siku saba.
12.-(1) Halmashauri itatoza kwa kila siku kiasi cha asilimia iliyokamatwa thamani ya bidhaa ikisafirishwa pasipo kulipiwa ada au ushuru. (2) Endapo mmiliki wa bidhaa iliyokamatwa atashindwa kulipa ada au ushuru husika ndani ya siku saba kuanzia siku ambayo bidhaa imekamatwa, Halmashauri itauza bidhaa husika kwa njia ya mnada kwa ajili ya kufidia gharama za kukamata, kuhifadhi bidhaa na ada au ushuru unaodaiwa. (3) Kwa madhumuni ya kanuni ndogo ya (2), Halmashauri itatumia utaratibu ulioainishwa katika kanuni ya 9 katika kushughulikia bidhaa iliyokamatwa. Makosa - 13 Verify source ↗
(1) Mtu anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: This section makes it an offence for a person or appointed agent to avoid, obstruct, or mishandle the collection and payment of fees or levies.
13.-(1) Mtu anatenda kosa endapo- (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, afisa mwidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Mkurugenzi, afisa au wakala kuhusu huduma mwidhiniwa zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; (g) atatengeneza, ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; au (h) atatumia chombo chochote kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. (2) Wakala aliyeteuliwa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii anatenda kosa endapo- 5 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) (a) atatumia nyaraka za kugushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (b) atashindwa kutoa taarifa au atatoa taarifa za uongo Halmashauri kuhusu bidhaa au huduma zinazotakiwa kulipiwa ada au ushuru; (c) hatawasilisha au atawasilisha kwa kuchelewa makusanyo ya ada au ushuru Halmashauri kulingana na muda aliopewa kwa mujibu wa mkataba; au (d) atashindwa kutunza kumbukumbu sahihi za malipo ya ada au ushuru. Adhabu - 14 Verify source ↗
(1) Mtu atakayepatikana na hatia kwa kosa lolote
AI-assisted research summary: Mtu akipatikana na hatia kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii anaweza kupewa faini, kifungo, au vyote kwa pamoja.
14.-(1) Mtu atakayepatikana na hatia kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote kwa pamoja. (2) Endapo mtu aliyepatikana na hatia ni wakala, pamoja na adhabu iliyoainishwa katika kanuni ndogo ya (1) atalipa Halmashauri kiasi cha pesa alizopaswa kulipa au zilizopaswa kulipwa na mlipa ada au ushuru. Kufifilisha kosa - 15 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu aliyefanya kosa chini ya Sheria Ndogo hii hadi shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na kujaza fomu maalumu.
15. Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kujaza fomu maalumu kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. Kufutwa kwa Sheria Ndogo TS. Na. 777 la 2020 - 16 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: Sheria Ndogo ya Halmashauri ya Mji Njombe inafutwa. The provision also lists schedule fees for municipal property rental and health inspection services.
16. Sheria Ndogo ya Halmashauri ya Mji Njombe inafutwa. (Ada na Ushuru) za 6 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA KWANZA _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA ADA YA KUKODISHA MALI ZA HALMASHAURI Aina ya Mali Ukumbi mkubwa wa Halmashauri Ukumbi mdogo wa Halmashauri Nyumba ya biashara Nyumba ya kuishi (ambayo siyo ya watumishi) Soko: i. ii. iii. Kibanda kidogo Kibanda cha kati Kibanda kikubwa Kiwango cha Ada (Shilingi) 250,000/= kwa tukio 150,000/= kwa tukio Kwa mujibu wa mkataba Kwa mujibu wa mkataba i) ii) iii) 100,000/= kwa siku 150,000/= kwa siku 500,000/= kwa siku ADA YA KUPIMA AFYA YA WAHUDUMU NA WANAFUNZI SEHEMU YA PILI Aina ya Huduma Kinyozi Mhudumu wa baa Mhudumu wa famasi, zahanati, kituo vya afya na hospitali binafsi Mhudumu wa nyumba ya kulala wageni Msusi Muuzaji wa vyakula vilivyopikwa au kukaangwa Ajira mpya Wanafunzi: i. Sekondari ii. Vyuo Wahudumu wengine wa vyakula ambao hawakutajwa Kiwango cha Ada (Shilingi) 10,000/= kwa miezi sita 10,000/= kwa miezi sita 10,000/= kwa miezi sita 10,000/= kwa miezi sita 10,000/= kwa miezi sita 10,000/= kwa miezi sita 5,000/= 5,000/= 5,000/= 10,000/= kwa miezi sita Namba 1 2 3 4 5 Namba 1 2 3 4 5 6 7 8
Part
SEHEMU YA PILI
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka ada na ushuru mbalimbali, ikiwemo uthamini wa jengo, ada za viwanja, ushuru wa madini ya ujenzi, na ada za kuchinja na kukagua nyama.
9. SEHEMU YA TATU ADA YA UZIO, UTHAMINI WA MAJENGO UNAOFANYWA NA MTHAMINI WA HALMASHAURI, UUZAJI WA RAMANI ZA NYUMBA ZINAZOANDALIWA NA HALMSHAURI, UPIMAJI WA ARDHI Namba 1 2 Aina ya huduma Uthamini wa jengo Ada ya Uzio unaozungushwa kwa ajili ya ujenzi: Kiwango cha Ada (Shilingi) Asilimia 10 ya thamani ya jengo 150,000/= (a) kiwanja kidogo (mita za mraba kuanzia 01 hadi 900) (b) kiwanja cha wastani (mita za mraba kuanzia 901 hadi 1500) 50,000/= 70,000/= 90,000/= 7 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) (c) kiwanja kikubwa (Mita za mraba kuanzia 1501 na kuendelea) 3 Ada ya kuonyeshwa kiwanja mara ya pili baada ya upimaji 100,000/= SEHEMU YA NNE USHURU WA MADINI YA UJENZI Namba Aina ya Madini ya Ujenzi Uzito wa Gari 1 2 3 4 Mawe Kokoto Mchanga Kifusi Kwa kila mita ya ujazo (M3) Kwa kila mita ya ujazo (M3) Kwa kila mita ya ujazo (M3) Kwa kila mita ya ujazo (M3) cha Ushuru Kiwango (Shilingi) 1,500/= kwa kila mita ya ujazo 3,000/= kwa kila mita ya ujazo 2,000/= kwa kila mita ya ujazo 1,500/= kwa kila mita ya ujazo SEHEMU YA TANO USHURU WA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA Namba Aina ya Huduma 1 Kuchinja mfugo katika machinjio: Kiwango cha ushuru (Shilingi) kwa kila mmoja (i) (ii) (iii) (iv) (v) (vi) Ng’ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe Kuku Bata Ukaguzi wa nyama: (i) (ii) (iii) (iv) (v) (vi) Ng’ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe kuku Bata Kuchinja mfugo katika Mnada: (i)Ng’ombe (ii) Mbuzi (iii)Kondoo 2 3 5,000/= 3,000/= 3,000/= 3,000/= 3,00/= 3,00/= 4,000/= 3,000/= 3,000/= 5,000/= 2,00/= 2,00/= 5,000/= 3,000/= 3,000/= SEHEMU YA SITA USHURU WA KUEGESHA MAGARI YANAYOINGIA KATIKA MAGULIO, MASOKO NA MINADA. Namba
Part
SEHEMU YA SITA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Jedwali linaweka ushuru wa kila siku kwa aina mbalimbali za chombo cha usafiri.
5. Aina ya Chombo cha Usafiri Basi kubwa Magari madogo (hiace) Teksi Pikipiki Bajaji au guta Kiwango cha ushuru (Shilingi) kwa Siku 2,000/= 1,500/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 8 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: This provision lists daily market fees and charges for certain vehicle types.
13. Gari binafsi lisilo la biashara Gari ya mzigo aina ya Fusso Gari la mizigo aina ya Semi Treiller Gari ya mzigo aina ya Canter Gari ya mzigo aina ya Tandamu 1,000/= 3,000/= 5,000/= 2,000/= 3,000/= SEHEMU YA SABA USHURU KATIKA MASOKO, MAGULIO NA MINADA Aina ya Biashara Kiwango cha Ushuru (Shilingi) kwa Siku Nguo za mitumba au Dukani viatu vya mitumba Mama au Baba lishe Vileo na Soda au Maji Mananasi, Nazi, Madafu na Miwa na vingine vinavyofanana na hivyo Michezo mbalimbali katika soko bidhaa za urembo vyombo vya ndani Minada ya hadhara Biashara hazijaorodheshwa Fedha Mtandao Kibanda cha kuuza simu na line Kuuza dawa za kienyeji nyingine ambazo 5,00/= 5,00/= 5,00/= 5,00/= 5,00/= 1,000/= 5,00/= 5,00/= 5,00/= 5,00/= 1,000/= 5,00/= 5,00/= SEHEMU YA NANE USHURU WA MINARA ILIYOKO KATIKA MAENEO YA WANANCHI NA UPANGAJI WA MAENEO YA UMMA NA VIBANDA VYA FEDHA MTANDAO Namba Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA NANE
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Provision hii inaonyesha kiwango cha ushuru cha 5% ya thamani ya mkataba kwa kazi ya mnara wa mawasiliano katika eneo la wazi/eneo la mwananchi.
3. Mnara wa mawasiliano kwenye eneo la mwananchi. Maeneo ya wazi na ya Umma Kibanda cha Fedha Mtandao katika eneo la wazi Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5% ya thamani ya mkataba kwa mujibu wa mkataba kwa mujibu wa mkataba SEHEMU YA TISA ADA YA VIBALI VYA UJENZI Namba. Aina ya ujenzi
Part
SEHEMU YA TISA
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada za ujenzi na matumizi ya ardhi kwa aina mbalimbali za majengo na miundombinu.
8. kiwanja cha makazi Makazi na Biashara Taasisi zisizo za serikali kwa nyumba ambazo sio ghorofa Kiwanda kikubwa Kiwanda cha uzalishaji Kiwanda kidogo Kituo cha mafuta Ukarabati Uzio: 9 Kiwango cha Ada (Shilingi) 150,000/=kwa ujenzi wa nyumba moja na inayoongezeka italipiwa 100,000/= 250,000/= 300,000/= 1,000,000/= 1,000,000/= 500,000/= 1,000,000/= 80,000/= Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) (a)Taasisi (b)Binafsi Hifadhi ndogo, uwanja wa michezo, hoteli ya utalii ambayo sio ghorofa Ghorofa: -ghorofa 1-3 -ghorofa 4-6 -ghorofa 6 na kuendelea 120,000/= kwa mita moja ya mzunguko. 80,000/=kwa mita moja ya mzunguko. 150,000/= 500,000/= 600,000/= 700,000/= kwa kila ghorofa inayoongezeka Kuhuisha kibali cha ujenzi wa ghorofa Malipo yatakuwa sawa na yaliyolipwa Kusimika minara ya mawasiliano Kuhuisha kibali cha ujenzi usio ghorofa Mnara uliosimikwa eneo la mtu binafsi 1,000,000/= Ghala au bohari Kubadili matumizi ya Ardhi Sehemu ya kuoshea magari Eneo la mapumziko 1,000,000/= Malipo yatakuwa sawa na yaliyolipwa awali 500,000/= 700,000/= 50,000/= 50,000/=
Part
Sehemu ya kuoshea magari
- 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: This section is a parking tax table heading showing the tax applies by vehicle type and daily rate in shillings.
18. SEHEMU YA KUMI USHURU WA MAEGESHO Namba Aina ya gari Kiwango cha ushuru (Shilingi) kwa siku
Part
SEHEMU YA KUMI
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha kiwango cha ushuru wa stendi kwa aina mbalimbali za vyombo vya usafiri na pia ushuru wa kutunza magari au pikipiki zilizokamatwa au kuzuiliwa, kwa siku.
8. Gari lenye uwezo wa kubeba uzito wa tani 10 Lori lenye uwezo wa kubeba zaidi ya tani 10 Gari dogo Pikipiki ya magurudumu mawili au matatu Gari dogo ya mizigo Ushuru wa kutunza gari lililokamatwa au kuzuiliwa Ushuru wa kutunza pikipiki iliyokamatwa au kuzuiliwa Bajaji au Guta 2,500/= 3,000/= 1000/= 500/= 1500/= 20,000/= 10,000/= 1,000/= SEHEMU YA KUMI NA MOJA USHURU WA STENDI Namba. Aina ya chombo cha usafiri na watu Kiwango cha ushuru (Shilingi) kwa siku
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for different vehicle types and for people entering the stand, plus a heading for entertainment, culture, arts, and advertising charges.
8. Basi Gari dogo la abiria Gari binafsi Gari la mizigo- lenye uwezo wa kubeba tani 1 hadi 3 lenye uwezo wa kubeba tani 4 hadi 10 lenye uwezo wa kubeba tani 11 na zaidi 2,000/= 2,000/= 1,000/= 2,000/= 2,500/= 5,000/= Pikipiki ya magurudumu matatu Pikipiki ya magurudumu mawili Watu wanaoingia stendi 1,000/= 1,000/= 3,00/= kila anapoingia 10 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) SEHEMU YA KUMI NA MBILI ADA AU USHURU WA SHUGHULI ZA BURUDANI, UTAMADUNI, SANAA NA MATANGAZO ((1) - (7) ADA HIZO ZITALIPWA KWA PAMOJA NA MWENYE SHEREHE) Namba. Aina ya Huduma Kiwango cha Ada au Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The section lists several local charges/fees for different services and activities, including event services, advertisements, permits, auctions, and music in halls.
9. Mshereheshaji 15,000/= kwa sherehe Mpambaji wa kumbi za burudani 30,000/= kwa sherehe Mpishi wa chakula 20,000/= kwa sherehe moja kwa siku Picha jongevu na mnato 10,000/= kwa sherehe moja kwa siku. 15,000/= kwa tangazo kuuza bidhaa Matangazo ya zinazopungua bei Maombi ya kibali cha kufanya Tiba za Jadi Mnada: (a) mali isiyohamishika (b)mali nyinginezo Kupiga muziki kwenye ukumbi mkubwa 40,000/= kwa siku 1% ya kuuzia. 1% ya kuuzia 15,000/= kwa siku Kupiga muziki kwenye ukumbi mdogo 20,000/= kwa siku SEHEMU YA KUMI NA TATU USHURU WA KULAZA VYOMBO VYA USAFIRI MAENEO YANAYOMILIKIWA NA HALMASHAURI Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonyesha kiwango cha ushuru wa siku kwa aina tofauti za vyombo vya usafiri.
4. Aina ya chombo cha usafiri Basi kubwa Basi dogo Gari ndogo Gari dogo la mizigo Kiwango cha ushuru (Shilingi) kwa siku 3,000/= 3,000/= 1,500/= 2,000/= SEHEMU YA KUMI NA NNE USHURU WA MAZAO YA KILIMO Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Mazao ya biashara na mazao ya chakula yanaonekana kutozwa ushuru wa asilimia 3 ya bei ya kununulia.
2. Aina ya Mazao Mazao ya biashara Mazao ya chakula Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia. SEHEMU YA KUMI NA TANO USHURU WA MAZAO YA MISITU Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: For forest products other than teak, the levy is 3% of the purchase price.
1. Aina ya Mazao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Mazao ya Misitu isipokuwa mitiki. Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia 11 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section lists charges/rates for several goods, including percentages and fixed shilling amounts per unit.
8. Mbao laini (saiplas au misindano) Mbao laini (paina, mlingoti) Mkaa gunia Mbao za miti ya asili Kuni Asali Nta Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia au shilingi 100 kwa kila ubao Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia au shilingi 100 kwa kila ubao 1,000/=kwa kila gunia 2,00/=kwa kila ubao Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia 500/=kwa kilo SEHEMU YA KUMI NA SITA USHURU WA HUDUMA YA CHOO NA BAFU Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section shows tax amounts for services, including 3.00 and 5.00 shillings per service.
2. Choo Bafu Aina ya huduma Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 3,00/= kwa huduma 5,00/= kwa huduma SEHEMU YA KUMI NA SABA USHURU WA NYUMBA YA KULALA WAGENI Namba Aina ya huduma
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ushuru wa nyumba ya kulala wageni ni asilimia 10 ya gharama ya chumba.
1. Ushuru wa Nyumba ya Kulala Wageni Kiwango cha ushuru (Shilingi) Asilimia 10 ya gharama ya chumba SEHEMU YA KUMI NA NANE ADA ZA ARDHI NA MABADILIKO YA MATUMIZI YA ARDHI Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This text lists service types and corresponding fees in shillings.
4. Aina ya Shughuli ramani ya hati (Deed Plan) maombi ya kiwanja Ukaguzi wa ramani Mabadiliko ya matumizi Kiwango cha Ada (Shilingi) 20,000/= 20,000/= 50,000/= 200,000/= SEHEMU YA KUMI NA TISA ADA AU USHURU MCHANGANYIKO Namba Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA KUMI NA TISA
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada na ushuru kwa aina mbalimbali za vibali na huduma.
8. Zabuni za vibanda Zabuni nyingine Mkataba Kibali cha kutumia spika ndani ya duka Kibali cha kufanya ushawishi kwa spika (promotion) Kibali cha kuuza dawa au kufanya tiba asili Magari ya taka Kufunga barabara kwa ajili ya sherehe au hafla au shughuli ya kijamii 12 Kiwango cha Ada ua Ushuru (Shilingi) 10,000/= 10,000/= 5,000/= 5,00/=kwa siku 5,00/= kwa siku 10,000/= kwa mwaka 5,000/= kwa kila tripu 50,000/= kwa siku Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) SEHEMU YA ISHIRINI ADA YA HUDUMA YA KUPULIZA DAWA Namba Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA ISHIRINI
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Section 6 lists annual fees of TSh 10,000 for the listed premises/categories and includes a form for admitting an offence and agreeing to pay the amount owed plus a fine.
6. Zahanati Vituo vya afya Hospitali Makazi ya watu Nyumba za kulala wageni Hoteli Kiwango cha Ada (Shilingi) kwa mwaka 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= ___________ JEDWALI LA PILI ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 15) FOMU YA KUKIRI KOSA Mimi………………………………………………………NAKIRI KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mji Njombe, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. Mwaka ……. 1nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya kanuni ya ............ ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe ya Mwaka 2024. NAKUBALI kulipa ada au ushuru ninaodaiwa kwa kiasi cha shilingi .................... cha pamoja na faini ya kufifilisha kosa ya kiasi cha shilingi ........................... NATHIBITISHA KWAMBA, maelezo niliyotoa hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa MIMI MWENYEWE na kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu. Leo hii tarehe………….ya mwezi…………..… mwaka 20……………. Jina……………………………….................. Saini………........……………….................... MBELE YA MKURUGENZI Jina:…………………..................................... Saini:…………………..….............................. Tarehe:.............................................................. 13 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe Tangazo la Serikali Na.13 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Mji wa Njombe imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azinio lililopitishwa katika Mkutano wa baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Njombe uliofanyika tarehe 3/5/2023:- KURUTHUM A. SADICK, Mkurugenzi, Halmashauri ya Mji, Njombe ERASTO B. MPETE, Mwenyekiti, Halmashauri ya Mji, Njombe L.S NAKUBALI, Dodoma, 29 Agosti, 2024. MOHAMED OMARYMCHENGERWA, Waziri wa Nchi OR-Tamisemi 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in