Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni ya Mwaka 2025
This provision gives the bylaw’s official name: the Handeni Town Council Parking Fees By-law, 2025.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni ya Mwaka 2025
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the bylaw’s official name: the Handeni Town Council Parking Fees By-law, 2025. This bylaw applies throughout the area of Halmshauri ya Mji wa Handeni. This section defines several terms used in the by-laws, including the authorised officer, the Council, a permit, the Director, parking fee, and an agent. Halmashauri must charge parking tax in designated parking areas, and vehicle users must park in the designated areas and pay the parking tax. Parking tax is charged daily from 12:00 a.m. to 12:00 p.m., or for 24 hours or monthly as chosen; payers receive an electronic receipt, and paid daily/monthly parking allows use of the paid parking area for the paid period without being charged again.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni ya Mwaka 2025
Showing 11 of 11
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This provision gives the bylaw’s official name: the Handeni Town Council Parking Fees By-law, 2025.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni ya Mwaka 2025. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the area of Halmshauri ya Mji wa Handeni.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmshauri ya Mji wa Handeni. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines several terms used in the by-laws, including the authorised officer, the Council, a permit, the Director, parking fee, and an agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmshauri ya Wilkanuni ya Handeni; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi lengo inayotolewa na Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilkanuni ya Mji wa Handeni au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “ushuru wa maegesho” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa kuegesha chombo cha usafiri katika eneo la Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. 1 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni Tangazo la Serikali Na.44 (Linaendelea.) Ushuru wa maegesho Namna ya kutoza ushuru wa maegesho - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ushuru wa maegesho
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge parking tax in designated parking areas, and vehicle users must park in the designated areas and pay the parking tax.
4.-(1) Halmashauri itatoza ushuru wa maegesho katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya maegesho ya vyombo vya usafiri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Halmashauri itatoza ushuru wa maegesho kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa kadiri Halmashauri itakavyoelekeza. (4) Kwa madhumuni ya utekelezaji wa Sheria Ndogo hii, Halmashauri itatenga na kuainisha maeneo ya maegesho kwa ajili ya kuegesha vyombo vya usafiri. (5) Mtu yeyote anayetumia chombo cha usafiri atakuwa na wajibu wa kuegesha chombo hicho katika maegesho yaliyoainishwa na kulipa ushuru wa maegesho kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 5 Verify source ↗
(1) Ushuru wa maegesho utatozwa kuanzia saa
AI-assisted research summary: Parking tax is charged daily from 12:00 a.m. to 12:00 p.m., or for 24 hours or monthly as chosen; payers receive an electronic receipt, and paid daily/monthly parking allows use of the paid parking area for the paid period without being charged again.
5.-(1) Ushuru wa maegesho utatozwa kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni kila siku. (2) Ushuru wa maegesho utatozwa kwa kila chombo cha usafiri ndani ya saa ishirini na nne au kwa mwezi kadri Halmashauri au mlipa ushuru atakavyoona inafaa. (3) Mtu yeyote atakayetozwa na kulipa ushuru wa maegesho atapewa stakabadhi ya kielektroniki. (4) Mtu yeyote atakayelipa ushuru wa maegesho kwa siku au mwezi ataruhusiwa kuegesha chombo cha usafiri alicholipia katika eneo lolote lililotengwa kwa ajili ya maegesho kwa muda aliolipia bila kutozwa tena. (5) Chombo cha usafiri kinachomilikiwa na Serikali, Jeshi au Ubalozi hakitatozwa ushuru wa maegesho kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Wajibu na uwezo wa Afisa Mwidhiniwa - 6 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana mamlaka ya kukamata, kufunga kwa kifaa maalum, na kuondoa gari lililoegeshwa eneo lisiloruhusiwa; Halmashauri inaweza kuuza gari hilo kwa masharti fulani.
6.-(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kukamata, kukifunga kwa kifaa maalum na kuondoa chombo cha usafiri kilichoegeshwa katika eneo ambalo halijaainishwa au kutengwa kwa ajili ya maegesho. 2 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni Tangazo la Serikali Na.44 (Linaendelea.) (2) Chombo cha usafiri kilichokamatwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) kitaondolewa na kuhifadhiwa katika yadi ya Halmashauri au eneo lolote lililoainishwa na Halmsahuri. (3) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuuza chombo cha usafiri baada ya kupata amri ya mahakama endapo mmiliki hatajitokeza au atashindwa kulipa gharama anazodaiwa ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kukamatwa. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutenga sehemu maalumu ya barabara kwa maegesho ya malori na magari mengine, na kutoza ushuru wa maegesho kulingana na Jedwali la Pili.
7.-(1) Halmashauri inaweza kutenga eneo maalumu la barabara ya Halmashauri kwa ajili ya maegesho ya malori na vyombo vingine vya usafiri na kutoza ushuru wa maegesho kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ya 6(1) ya Sheria Ndogo hii, muda wa kuegesha chombo cha usafiri katika maegesho maalumu utapangwa kadri Halmashauri itakavyoona inafaa.
Part
Jedwali la Pili.
- 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: The Halmashauri may appoint an agent to collect parking fees on its behalf.
8.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kwa madhumuni ya kukusanya ushuru wa maegesho kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru wa maegesho kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kukusanya ushuru wa maegesho kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 9 Verify source ↗
Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kuwa ametenda kosa ikiwa hatalipa ushuru wa maegesho au akafanya mojawapo ya vitendo vilivyokatazwa katika eneo la maegesho.
9. Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote- (a) atakayeshindwa kulipa ushuru wa maegesho; (b) atakayeegesha chombo cha usafiri katika eneo ambalo halijaainishwa au kutengwa kwa ajili ya maegesho; 3 Maegesho maalumu Uteuzi wa wakala Makosa Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni Tangazo la Serikali Na.44 (Linaendelea.) (c) atakayegesha chombo cha usafiri bila kuzingatia alama zilizoainishwa kwenye maegesho; (d) atakayeosha au kutengeneza chombo cha usafiri bila dharura katika eneo la maegesho au kufanya shughuli isiyo ya maegesho katika eneo la maegesho bila kibali; (e) atakayeshawishi mtu yeyote au kundi la watu wasilipe ushuru wa maegesho; (f) atakayefanya udanganyifu kwa madhumuni ya kukwepa ushuru; au (g) atakayemzuia Mkurugenzi, afisa mwidhiniwa au wakala kutekeleza wajibu wake chini ya Sheria Ndogo hii. Adhabu kisichopungua - 10 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayetenda kosa chini ya Sheria
AI-assisted research summary: Anyone who commits an offence under this by-law and is convicted may be fined, jailed, or both.
10. Mtu yeyote atakayetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii na kutiwa hatiani atawajibika kulipa faini ya kiasi na kisichozidishilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote kwa pamoja. laki mbili shilingi Kufililisha kosa - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi ana uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mkosaji kiasi kisichozidi shilingi laki mbili, ikiwa mkosaji anakiri kosa, anakubali kujaza fomu ya Jedwali la Tatu, na analipa ushuru anaodaiwa.
11. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu na kulipa ushuru anaodaiwa. 4 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni Tangazo la Serikali Na.44 (Linaendelea.) ______________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(2)) USHURU WA MAEGESHO Namba Aina ya Chombo cha Usafiri 1 2 3 4 5 6 7 Basi Gari la Kawaida Lori Noah Pick up Pikipiki yenye Magurudumu matatu au Bajaji Pikipiki yenye Magurudumu mawili Kiwango cha Ushuru Kwa Siku (Shilingi) 2,000/= 500/= 1,500/= 500/= 500/= 300 /= 200/= ______________ JEDWALI LA PILI ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 7(1)) USHURU WA MAEGESHO MAALUMU Namba Aina ya Chombo cha Usafiri 1 2 3 4 5 6 7 Bajaji Basi Fuso Gari la kawaida Lori bila tela Lori lenye tela Pikipiki Kiwango cha Ushuru kwa Shilingi KWA SIKU 3,000/= 5,000/= 5,000/= 3,000/= 5,000/= 10,000/= 2000/= KULAZA 6,000/= 10,000/= 10,000/= 6,000/= 10,000/= 20,000/= 4,000/= 5 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni Tangazo la Serikali Na.44 (Linaendelea.) ______________ JEDWALI LA TATU _____________ (Limetengezwa chini ya kanuni ya 11) _____________ FOMU YA KUKIRI NA KUFLILISHA KOSA Mimi …………………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni ya Mwaka 2025. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, niko tayari kulipa faini ya ufifilishaji wa kosa ya kiasi cha shilingi .......................... na ushuru ninaodaiwa wa kiasi cha shilingi ......................... NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Leo tarehe…………. Saini……………………… Jina……………………………….. MBELE YANGU: Jina: ……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………. 6 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni Tangazo la Serikali Na.44 (Linaendelea.) Nembo ya Halmashauri ya Mji Handeni imegongwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia azimio lililopitishwa katika mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji uliofanyika tarehe 7/2/2023 na kushuhudiwa Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- MARYAM A. UKWAJU, Mkurugenzi wa Halmashauri, Halmashauri ya Mji Handeni MUSSA A. MKOMBATI, Mwenyekiti wa Halmashauri, Halmashauri ya Mji, Handeni NAKUBALI, L.S Dodoma, 9 Disemba, 2023 MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Nchi OR-Tamisemi 7
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maegesho ya Halmashauri ya Mji wa Handeni ya Mwaka 2025
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in