AI-assisted research summary: General and detailed plans for the area in the table must be prepared and kept by the named planning and city directors in Dodoma.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo la kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Jiji Halmashauri ya Jiji la Dodoma. _________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) MIPANGA YA ENEO LA UPANGAJI Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MHS1 yenye majira - nukta 787190.53MS, 9303584.07KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS100MS kwa umbali wa kilomita 0.58 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MHS2 yenye majira - nukta 78729MS, 9303014 KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS660MG kwa umbali wa kilomita 1.606 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MHS3 yenye majira - nukta 785817.7MS, 9302384.58KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ830MG kwa umbali wa kilomita 0.53 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MHS4 yenye majira - nukta 785291.33MS, 9302445.22KZ; 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo la Mphusu Tangazo la Serikali Na. 890 (Linaendelea) baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ160’MG kwa umbali wa kilomita 0.678 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MHS5 yenye majira - nukta 785098.08MS, 9303095.39KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS700’MS kwa umbali wa kilomita 1.081 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MHS6 yenye majira - nukta 786114.54MS, 9302726.66KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ140’MS kwa umbali wa kilomita 0.546 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MHS7 yenye majira - nukta 786254.93MS, 9303254.43KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ700MS kwa umbali wa kilomita 0.992 hadi ulipoanzia Dodoma, 28 Oktoba, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2