AI-assisted research summary: Mipango ya kina kwa eneo lililo kwenye Jedwali inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Jiji la Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
3. Mipango ya kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Jiji Halmashauri ya Jiji la Dodoma. jumla na _________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) MIPAKA YA ENEO LA UPANGAJI “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG1 yenye majira - nukta 779866.74MS, 9328742.95KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ650MS kwa umbali wa kilomita 1.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG2 yenye majira - nukta 781676.99MS, 9329417.06KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ770MS kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG3 yenye majira - nukta 782236.12MS, 9329541.38KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS830MS kwa umbali wa kilomita 1.0 hadi kwenye alama ya mpaka 1 Amri ya kurasimisha Makazi yasiyopangwa katika Eneo la Chigongwe Tangazo la Serikali Na. 897 (Linaendelea) ya upimaji namba CHG4 yenye majira - nukta 783326.82MS, 9329414.79KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS100’MG kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG5 yenye majira - nukta 783292.93MS, 9329226.95KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS880’MG kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG6 yenye majira - nukta 782547.00MS, 9329206.00KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS090’MS kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG7 yenye majira - nukta 782640.39MS, 9328667.51KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS730’MG kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG8 yenye majira - nukta 781990.29MS, 9328469.87KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ190’MG kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG9 yenye majira - nukta 781736.30MS, 9329182.85KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS610’MG kwa umbali wa kilomita 1.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG10 yenye majira - nukta 780068.73MS, 9328278.15KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa KZ250MG kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 28 Oktoba, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2