AI-assisted research summary: The provision describes the boundary of the designated area and says the listed table is to be kept by the named city planning and city directors in Dodoma.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo na Jedwali lililoainishwa kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Jiji Halmashauri ya Jiji la Dodoma. itaandaliwa kwenye _________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) MIPAKA YA ENEO LA URASIMISHAJI Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN1 yenye majira - nukta 824957.79MS, 9332330.13KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kasikazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ240MS kwa umbali wa kilomita 1.41 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN2 yenye majira - nukta 825396.44MS, 1 Amri ya kurasimisha Makazi yasiyopangwa katika Eneo la Sokoine Tangazo la Serikali Na. 899 (Linaendelea) 9333705.04KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ570MG kwa umbali wa kilomita 0.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN3 yenye majira - nukta 825396.44MS, 9333705.04KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini -Magharibi katika uelekeo wa KZ170MG kwa umbali wa kilomita 0.226 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN4 yenye majira - nukta 825326.77MS, 9333920.15KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ500’MG kwa umbali wa kilomita 0.137 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN5 yenye majira - nukta 825220.00MS, 9334006.88KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ650’MG kwa umbali wa kilomita 0.738 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN6 yenye majira - nukta 824545.95MS, 9334307.64KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ510MG kwa umbali wa kilomita 0.893 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN7 yenye majira - nukta 823845.53MS, 9334862.50KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ220MG kwa umbali wa kilomita 0.241 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN8 yenye majira - nukta823754.75MS, 9335086.68KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ060MS kwa umbali wa kilomita 0.119 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN9 yenye majira - nukta 823768.95MS, 9335205.36KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ080MG kwa umbali wa kilomita 0.417 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN10 yenye majira - nukta 823710.11MS, 9335618.21KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS380MG kwa umbali wa kilomita 1.852 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SKN11 yenye majira - nukta 822550.99MS, 9334172.88KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS520MS kwa umbali wa kilomita 3.031 hadi ulipoanzia. Dodoma, 28 Oktoba, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2